BIKIRA YA BIBI HARUSI (70)

SEHEMU YA SABINI (70)


ILIPOISHIA SEHEMU YA SITINI NA NANE (69) “atawewe Malaya tu, kama mwenzio, na nita mwambia meneja wako” maskini Erasto akujuwa kama wazazi wake wamebaki midomo wazi, huku wakwezake watarajiwa wakichekea pembeni, “Malaya wewe na huyo Malaya mwenzio unae lala nae kila siku, na kupiga kelele zinazo wakela wenzenu”ENDELEA……….
Maneno hayo yalimtoka dada mhudumu, wamapokezi, na kuzidi kuwawekamidomo wazi wakina mzee Misago na mkewake, huku mama Mna na mume wake, wanatazamana na kuchekea pembeni, kika hii ilikuwa nizaidi ya burudani, kwa wazaziwa Monalisa, ambao walijisifu kugundua mapema swala hili, hukuwazazi wa Erasto wakitazamanawasijuwewaanziewapi kuamlia, marumbano hayo yanayo waweka uchi, awakujuwa kuwa kuwa, balaha zaidi linafwata***
Ndani ya chumba namba namba kumi nasaba, tayari wawili awa, walisha maliza kuoga, na sasa walikuwa chumbani, walisimama karibu na meza ndogo, iliyopo mle chumbani, Edgar akiwa ana maliza kumfuta maji Monalisa na kuanza kumpaka mafuta mpenzi wake huyu, huku wanaendelea na maongezi yao, “et! Eddy, kwani ninge kukubalia kuipidi kile unge nifanya hivi?” aliuliza Monalisa, huku anajichekesha, kicheko kilicho ambatana na aibu ya kike, “mh! hapo ata mimi sijuwi, lakini labda tunge subiri siku kama ya leo, yani tume kuwa wakubwa kama hivi” alijibu Edgar alie kuwa anaendelea kumpaka mafuta mpenzi wake, akipitiisha mikono sehemu mbali mbali za mwili wa binti huyu, “ti, Eddy kwnitukifanya tena, itauma kama hivi?” aliuliza Monalis hukuana chukuwa, kile kibahasha chakaki mezani, na kukifungua, “aitahuma, kwani ukusikia raha?” aliuliza Edgar, huku akimalizia kumpaka mafuta Monalisa, na kuyaweka mezani, “nilisiki, lakini mwanzoni iliuma, utazania unakata na kisu” alisema Monalisa, huku ana ingiza mkono kwenye muko na kutoa chupi ndogo, ya rangi nyekundu, na kuwekea Edgar mkononi, Edgar akaitazama na kujikutaana cheka, kidogo, “kumbe kweli uliitunza, akika ulikuwa unanipenda” alisema Edgar huku kwambali wakisikia keleleflani za malumbano zikisikika, kutoka nje, “yani kila siku nilikuwa natamani unifwate tena, ata nilipo kuona chuoni, nili furahisana, lakini mtu mwenyewe ukawa unani chunia” alisema Monalisa, kwa sauti iliyopoa kidogo, huku najisogeza kwenyekifua cha Edgar, “nilikuwa na waza tofauti kabisa, sasa kwanini huku niambia?” aliuliza Edgrkwa sautikama ya Monalisa, yani ya utulivu, “nilikuwa na subiri unimbie tena, nilipanga kukuambia kama unge chelewa kabisa, maana nilipogundua kuwa Erasto ndie alie mwambia mama, kuwa umeniandikia barua, na baadae mama na mshawishi mama niwe mchumba wa Erasto, nikahapa lazima nikutafute tufanye hivi blasija fanya mtu wingine yoyote” maneno hay yaliwafanya wawili awakukumbatiana wkanguvu, na kuganda kwa sekundekada, huku wakipeana ahadi ya kuto kuachana, “ Eddy, naomba usiniache , mimi wakinililazimishakuolewa na Erasto, natoroka nyumbani, alafu nakimbilia nyumbani kwenu”alisema Monalisa kwa sauti flani mbayo ili maanisha kuwa, alicho kiongea, hakuwa anatania, “sikuachi Mona, labda siku moja, uniambie kuwa unitaki tena” alisema Edgar, kwa sauti iliyo jaa iliyo jaa hisia za mapenzi, na kumfanya Monalisa ajihisi mwili una msisimka, “siwezikukuambia hivyo Eddy, yani hapa njisikia aha sana, ulivyo kuw mpenzi wangu, kama ingekuwa hivi tukiwa chuo, hii miaka mitatu ningeiona kama siku tatu, yani ninge chukia ata likizo” akika kuna mameno ya Monalisa yali mfanya Edgar ajione kuwa alikuwa mpumbavu kuhisi kuwa Monalisa akuwa anampenda tena.
Ok! wawili awa waliimbishana mashaili ya mapenzi, mpaka Monalisa alipoonyesha dalili za kuitaji kulala, ndipo alipo panda kitandani, na Edgar aka vaa bukta yake na kuka kwenye kiti huku bastorayake mkononi, taa ikazimwa, hapo ndipo alipopata nafasi, ya kusikiliza malumbano ya huko nje.**
Kumbe basi huku ndani ya chumba namba kumi na sita, ambako sasa alibakia dada mhudumu peke yake, ambae pia alisikia malumbano kati ya Erasto na mhudumu wa mapokezi, “huyu bwana mkorofi sana, sasa ameenda kufanya nini tena hukooo” alisema dada mhudumu huku ana inuka toka kitandani, ,a kiulifwata tauronakajifunga, kama lie wanavyo vaaga kanga moja, yani alivalia kifuani na kutoka nje, kwa lengo la kumchukuwa mpenzi wake kutoka songea na kumrudisha chumbani, maana alijuwa kuwa amelewa sana, na alivaa vile akiamini kuwa wazazi wa mchumba wa Erasto wamesha lala kama alivyo ambiwa na Erasto mwenyewe, wakati hule ametoka kuvuta hewa, ili dudu isimame, **
Askari Kijana Mike, baada ya kutoka pale maene ya karib na stand ya mji huu wa Njombe, alitembea kwa muda wa robo saa, huku akikumbuka jinsi alivyo kolomeana na afande wake Kingarame, akajikuta ana tokea barabara kuu, akasimama na kutazama kushoto na kulia, na uvuta kumbu kumbu, sehemu lilipo kambi la polisi, maana yeye alikuwa mgeni katika mji huu wa Njombe, na isitoshe ata hioyo mala moja aliyo kuja huku, alikuja usiku, tena kwa gari, hivyo isingekuwa lahisi kwake, kukumbuka sehemu kilipo kituo cha polisi wilaya, hivyo PC Mike, akajikuta amesimama pasipo kujuwa la kufanya.
Lakini askari ni askari tu, aka tazama kushoto nakulia umbali kama wa mita kumi, kushotokwake, yaninupande wa kueeka makambako, akaona kuna jengo la benk ya wakulima, akajuwa lazima kutakuwa na polisi wanafanya ulini wa benk hiyo, hivyo akaisogelea benk hiyo, “simama eleza shida yao” ilisikika sauti ya kuamlisha, toka pale benk, “naitwa PC Mike wa jeshi la polisi, mkoa waruvuma, nulizia njia ya kwenda kituo cha wilaya” alijitambilisha Mike, baada ya kumwona polisi mwenzie mwenye cho kama cha kwake, yani constable, akiwa ame shika bunduki aina ya SMG, “ok! kwanza poleni na kazi, maana ata wenzetu wamesombwa, yani toka tumekamata lindo juzi, mpaka leo atuja badirishana” lisema yule polisi huku anaelekea walipo pumzika wenzake wawili, “ndio hivyo bwana yani ay mambo yana tia uchungu sana” alisema Mike ambae alibakia kidogo aseme uchungu anao jisikia.
dani ya dakika mbili, tayari yule PC Mlinzi alisha mwamsha mmoja kati ya askariwawili waliokuwa wamepumzika, wakisubiri muda wao walindo, nakumweleza kuwa amsindikize Mike, na kumwonyesha njia ya kuelekea kituoni, ikiawa hivyo, ambapo Mike na yule askari, wakaongozana huku kila mmoja akiwa na SMG yake, mpaka sehemuflani umbali wa mita mia nne toka pale benk, yule askari akamwonyesha Mike, kituo ca polisi, ambacho kilionekana mbele yao umbali wa mita kama mia tatu hivi, kisha yule askari aka geuka na kumwacha mwenzie huyu toka songea anaelekea kituoni, pasipo kujuwa kuwa mbele ya Mik, mita kama hamsini hivi kuna mtu me jibanza kwenye chochoro ya mtaa wa njia panda ya zamani,akiwa amewai dakika tano kabla ya Mike, lengo likiwa nikumuwai Mike kabla ajafika kituoni, ili aichukuwa roho yake, mana alionyesha kuwa na kila dalili ya kufichua siri yao.
Siyo mwingine, alikuwa ni Koplo Lusinde, ambae baada ya upewa ishara na Kingarame, akajuwa anatakiwa kufanya nini, hivyo aliondoka pale kundini kwa gia ya kujisaidia, kisha akapita ndani ya chochoro, akiwa sehemu hii ya njiapanda ya zamani na kujibanza kwenye chochoro moja wapo ya nyumba zilizopo pembeni ya barabara, na kumsubiri Mike, ambae alijuwa kuwa akuwa na njia nyingine zaidi ya hii, barabara kuu.
Baada ya koplo Lusinde kutulia pale kwa dakikakamatano hivi, sasa akaanza kusikia vishindo vya viatu, vikija upande wake, akachungulia kidogo, akamwona mtu anakuja, na siyo mwingine ni PC Mike, Lusinde akjiweka tayari kuchomoa roho ya askari mwenzie, ambae alishawai kufanya nae kazi za hatari mala nyingi sana, wakiwa chini ya SSP King, ambae leo ame mtuma kuitoa roho ya mwenzie, mdau ebu kwanza turudi hotelini **
Ambako nikama vurugu ilizidi kuwa kubwa, maana Erasto akirusha ili dada mhudumu anawa mapokezi anarusha ili, kiasi kwamba RPC wa Iringa alie kuwa pembeni kidogo, karibu na ngazi alicheka kimoyo moyo, kutokana na bahadhi ya maneno yaliyo kuwa yana toka hapo, “eti, hooo Malaya, mbona huyu mwanamke ulie ndani nae ni mhudumu, na ume mng’ang’ania, toka juzi anashindwa kwenda kutazama watoto wake” alisema mhudumu wa mapokezi, na Erasto akajibu mapigo, kwa sauti ya kilevi, “si shida zake mwenyew, yeye anataka ela, na miminata kum..” ilionyesha wazi kuwa Erasto akujuwa uwepo wa wazazi wake na wazazi wa Monalisa, mahali hapo,
Dereva wa mzee Anderson akaona bola akaokoe jahazi, maana liona kuwa, Erasto anazidi kuharibu, lakini kabla aja msoglea, mala akatokea dada mhudumu, akiwa amejifungatauro fupi liliachia sehemu kubwa ya mapajayakewazi, “bola Anger umekuja, mchukue huyu mlevi wako, mwambie afanye yake asifwatilie ya vyumba vingine, kwani yakwenu mmesikia kuna mtu ana wasumbua” alisema dada mhudumu wa mapokezi, huku yule dada mhudumu, alie tokea chumba namba kumi na sita, akimsogeleaErasto na kumshika mkono, dah! bahati mbaya na yeye akuangalia kuona kama wazazi wa pandezote mbili walikuwepo kati ya watu waliokuwa wana shangaa, malumbano yale, dada mhudumu akiwa na taulo lake lililo onyesha wazi alitokea kwenyemoja ya vyumba vya mle ndani, pasipo kusema lolote, mala tu baada ya kumshika mkono, Erasto akaanza kumwongoza chumbani, huku wakiendelea kurushiana maneno, mpaka walipoingia kwenye chumba namba kumi na sita.
Hapo sasa, ndipo moto ulipo wawakia walio bakia, siyokwamba walianza kurushiana maneno, hapana, ila aibu kubwa iliwashika wazazi wa Erasto, ambao walishindwa ata kutazama wenywe, nikama baba Monalisa alitaka kuongea kitu, lakini akawai mke wake, yani mama Mona, “jamani wala msiwe na wasi wasi, hili tulisha lifahamu toka siku ya kwanza tulivyo fika hapa” kama unge kuwepo ungesema ni utani, maana mama Mona aliongea kama anatania hivi, sijuwi kwa ajili ya pombe alizo kunywa, yani akuonyesha mstuko wowote, juu ya tukio hili, lakini kabla maongezi ayaja endelea, ikasikika “pah” japo ilisikika kwa mbali lakini, lakini wote walisikia na kuduwaha, pamoja na RPC mwenyewe, ambae alikuwa anaanza kupanda ngazi, kulekea chumbani kwake ghorofa ya tatu, akasimama na kusikilizia mlio huo wa risasi, ambao sekunde chache baadae zka sikika nyingine tatu mfululizo, kisha zika tulia na sekunde kumi baadae zikaanza kusikika risasi zisizo na idadi zilizo pigwa kwakuachiana, “RPC akageuka na kurudi chini mbio mbio, akiwapita wakina baba Mona na wake zao, wakishangaa, na wakisikilizia milio ya risasi, lakini nikama waliambizana nawao wakaliunga, kumfwata RPC, ambae alipofika pale nj akawakuta wenzake wamesha kimbilia kwenye magri yao, maana yake walisha sikia milipuko ya risasi na sasa walikuwa wanakimbilia huko, japo milipuko ilisha koma na aikusikika tena.
lakini wakina mzee Misago wakati wana katiza ilikuwai kule barabarani, yani upande uliko sikika risasi, mala mzee Anderson akastuka akidawaka mkono, “mzee unabidi ujiulize mala mbili kabla uja fanya unacho kifanya, nazani umeona kilicho tokea mwanzo, ebu ingie mkalale, wakina Edgar awawezi kuzulula usiku huu, wakati wanajuwa wana tafutwa na polisi” alisema kisona huku wote wakisimama na kumtazama, “inamaana wewe bdo unaaminikuwa, Edgar aja mteka Monalisa, ila wapo wote kwenye ujambazi?” aliuliza mama Monalisa kwa jazba, “sijasema hivyo, ila tutajuwa baada ya kuwaona, kwasasa nawashauri mkapumzike, msije mkakutwa ma tatizo mengine” kwa maneno hayo ya Kisona, yaliwafanya wanafamilia awa kutazamana kwa sekunde kadhaa, kisha waka geukana kuingia ndani ya jengo la hotel, baba na mama mona wakiwa mble, alafu baba na mama Erasto wakiwa nyuma, “Dereva akiwa nyuma kabisa, “mwanao amesha vuruga kila kitu, mimi kesho narudi songea” alisema baba Erasto, kwa sauti yachini kabisa, “yani huyu mpuuzi na mipombe yake amenikela kweli, lakini usihofu, mama Mona nina mmudu, kesho na mpiga viswahili, mwenyewe ata poa” alisema mama Erasto kwa sauti ya kujiamini, kutokana na ulei aliokuwa nao, “lakini kumbuka alisema ameyajuwa haya toka siku tuliyofika” alisema baba Erasto, ambae alionekana wazi kuwa wenye wasi wasi juu ya jambo hili, “tatizo wewe unaogopa vitu vidogo, we niachie mimi” alisema mama Mona, kwa kujiamini,***
Yap, ile milipuko ya risasi ilikuwa ni risasi toka kwenye SMG ya koplo Lusinde, mala tu baada yaMike kusogea kwenye hulck of fire, ya Lunde, na risasi ili gonga kwenye paja la mguu wake wakushoto, hapo Mike akajuwakuwa tayri amesa vamiwa na Edgar, hivyo akusikilizia maumivu ya nguu, na kuamua kukimbia kwa kuchechemea, akifwata uchochoro wa nyumba zilizopo upande wapili, lakini aikuwa bahati yake, maana ile ana maliza kuvuka barabara tu, akahisi kitu chenye ncha kali, kikipenye kwenye bega lake la kulia, kikipangusa na kutokea upande wapili, ikifwatia na mlio wa “pah!” alirushwa na kuangukia mbele,huku silaha yakeikimtoka na kuangukia pembeni, Mike kiwa chini, haraka sana akageuka na kutazama nyuma, ni kweli alimwona mtu mmoja akiibuka toka kwenye chochoro za nyumba za upande wa kushoto, na kuvuka barabara kumfwata pale alipo anguka, Mike akaitazama silaha yake akaiona hipo pembeniyakkekama hatua kumi kutoka alipo, ileantaka kuifwata, lakini alisha chelewa, maana yulmtu alikuwa ameshamfikia, “hii ndio zawadi ya msariti, nazani ulisahau kuwa kifochako ulikibeba mwenyewe, kwa mikono yako” suti hii ilipenya kwenye masikio ya Mike, mbae alitambua kuwa ni sauti ya afande wake Ludinde, “inamaana afande ame kutuma unifanyie hivi?” aliuliza Mike kwa sauti ya uoga, akiamini kuwa mwisho wake umesha fika, “siyo kukujeruhi, ni kuku uwa kabisa” alisema Lusinde, huku ana inua silaha yake na kuielekeza pale alipo lala yeye Mike, tayari kufyetua risasi, lakini hapo hapo ikasikika “pah!” Mike akijkuwa tayari amesha tandikwa risasi, “mamaaaa!” zilikuwa kelele za koplo Lusinde, alie tandikwa risasi ya bega, bahati alikuwa ame uvaa mkanda wa kubebea bunduki, (siling lifre) vinginevyo ingesha mdondoka silaha yake, ikasikika Risasi nyingine ambayoilimkosa kidogo, hapo Koplo Lusinde akatoka mbio, kuwa chochoro ambayo, mwanzo Mike alikuwa anaiwai, je mdau uanamjuwa huyu ninani, alie msaidia Mike, ebu endelea kufwatilia mkasa huu unao elekea mwisho, wakati huo kaatayari kumpokea mtunzi wako,@iman hezron, anae kuletea story kali ya kusisimua, USIKATE TAMAA, hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata