
SEHEMU YA SABINI NA MBILI (72)
ILIPOISHIA SEHEMU YA SABINI NA MOJA (71) “atawewe una mjuwa mwanamke mzuri?” aliuliza Kisona kwa utani, “unazani kaka huyu dada ni mrembo, japo ajavaa nguo nzurisana, lakini mzuri, na sijawai kumwona hapa Njombe” alisema dada mhudumu, huku ana funua kitabu cha wageni, “huyu hapaanaitwaaaa… Monalisa.. sijuwi nani maana jinalake la mbele lakizungu, utamwona kesho akichelewa kutoka” alisema yule dada huku akishidwa kulisoma jina la mbele la mteja wa chumba namba kumi na saba,ENDEEA……
“Hahahahaha! we dada unamambo kweli kweli, haya kesho bwana” alisema Kisona huku naondoka zake kuelekea ghorofani, akika kisona akuwaza chochote juu ya huyu mgeni, wachu,mba namba kumi saba, yeye alijipandia zake ngazi mpaka ghorofa ya tatu, ambako chumba chake kipo, lakini wakati anataka kueekea chumbani kwake, kitu kama machale kika mtuma, kutazamamlango wa chumba cha RPC Iringa akauona ukiwa umegeshwa, kidogo, aukuwa umefungwa, akasogea kwa kunyata mpaka kwenye mlango huo, ambao ni wa kamanda wa polisi mkoa huu wa Iringa, (enzi hizo) hapo akaanza kusikia maongezi yam le ndani ya chumba, “maneno ya yule mpuuzi yanaukweli ndani yake, akika kama atuta mjuwa jambazi katika kundi letu, basi tutapoteza askari wengi mpaka tutashindwa kujileza kwa IGP” ilikuwa ni saui ya RPC wa Iringa, “kwa hiyo mpuuzi ni mimi”aliwaza Kisona, huku anatabasamu, “lakini afande, nivigumu kujuwa nani anausika na nani ausiki, mfano leo nashangaa kuona kuwa PC Mike, anashambuliana na wenzake” alisema OC FFU wa Ruvuma, “hivi unakumbuka huyu mvuta bangi alivyo tuambia, kama marehemu ange kuwepo angesema ukweli, sasa we unazani maneno hayo yana maanisha nini?” ilikuwa sauti ya RPC Iringa, Kisona aliendelea kusikiliza, jinsi alivyo kuwa anapewa majina ya hajabu, kikapita kimya kidogo, ikionyesha wenzake awakuwa najibu, “ebu tukumbushane kidogo, mapema leo tuliuokota mwili wa Isaya, pale njia panda, tuka ulizana maswali na tuka kosa jibu, masaa kadhaa baadae, tuka ukuta mwili wa askari mwingine, hapo hapo njia panda, na atuja pata majibu, na yeye ameuwaw3a na nani, japo tuna ambiwa mala ya mwisho alikuwa na Kingarame, je nahuyu si alikuwa kundi moja na Kingarame, na yeye nasema alimluhusu ande akapumzike, sasa Lusinde aliendaje kushambuliwa, na yule askari mlinzi wa benk, ame shambuliwaje na Mike, wakati yeye ndie alie kuwa ana msindikiza kituoni” alisema RPC Iringa, na wenzake wakimsikiliza, sambamba na kanal Kisona, aliekuwa bado amejibanza nje ya mlango wa chumba hiki, “hapo afande ange kuwepo Lusinde majibu yangekuwa mazuri zaidi” alisema OC CID, toka Iringa, “kwahiyo inabakia kuwa marehemu angekuwepo ange toa jibu?” swali hili la RPC Iringa liliwafanya wote wacheke kidogo, “hapo ndipo tunapo elewa kuwa yule mpuuzi anaona mbali, maana yake, awa askari kuna jambo wanalo lijuwa, aidha kwa kushiriki uharifu, au kwa kumwona mharifu harisi” alisema RPC kwa msisitizo, huku Kisona akichekea kwapani, “inabidi tutume askari kwa siri, waka msake Mike, nazani yeye ndie mwenye jibu sahihi” alishauriOC FFU, wa Iringa, na wenzake wakaunga mkono, kasolo RPC Ruvuma, “afande hiyo kwa siri, inaweza kusabisha tupoteze askari wengine, sababu kama Mikeanajuwa lolote juu ya jambo hili, inamaana wenzake wtaitaji kumwngamiza” hapo Kisona akuona sababu ya kuendlea kuwasikiliza akaondoka mahali pale na kuingia chumbani kwake, ungesem anitaji kwenda kupumzika, lakini kitu ch hajabu alifungua begi lake kubwa, la mgongoni na kutoa nguoflani flani na viatu.
Kitendo cha dkika tano tayari mwanaume alisha badirika, na kuwa katika vazi jeusi, nikama suit ya waogeleaji, na kichwani alivaa koia ya sueta, wengitunaita mzula, nao ulikuwa mweusi, mpaka viatu vyepesi alivyo vaa vilikuwa vyeusi, na kiunoni akiwa na mkanda mweusi, wenye vimiuko vingi kiasi, mbavyo, vilikuwa na bastora, mikebe ya bastora, kiwamba sauti, visu viwili vikali sana, tochi ndogo ya kusome ramani, na kamba moja ndefu iliyoungwa vizuri, ambayo utumiaka kushukia na kupandia majengo marefu, au wakati mwingine utumika kama fibe wire, yani kusafiria kwenye nyaya za umeme au kunyongea watu, pi visindano vidogo, kama vile pini za kubandikia matangazo.
baada ya hapo kidume kikazima taa, na kufungua dirisha, kisha aka tazama kushoto na kulia, alafu aka ikamata kofia yake na kuishusha usoni, kumbe ilikuwa mask, ambayo ilibakiza macho peke yake, ikiziba uso wote, alafu aka tokea dirishani, kama alivyo fanya wakati hule, akitumia bomba la maji machafu kama nguzo ya kushukia, huku targrt yake ya kwanza ni kuifwata benk ya wakulima, kisha kuelekea upande wa kituo cha polisi wilaya, kama walivyo kuwa wakiongea wala makamanda, na lengo lake ni kumpata Mike iliawe mmoja wa mashaidi wa nani muuwaji na jambazi, naama kwa hakiri za haraka, aligundua kuwa, Mike alishambuliwa siyo kwamba alishambulia.***
Edgar, alie kuwa chumbani kwake, anasinzia juu ya kiti, kufwatia uchovu wa siku tano, akaona kitu kama kimvuri, kikikatiza nje ya dirisha lake, kwa speed ya hajabu, pasipo kishido ata kidogo, “mh! ndio mida yawachawi nini?” alistuka Edgar, akichukuwa bastora yake mezani, kisha haraka sana akasogelea dirishani, na kujaribu kuchungulia vizuri, ambalo alikuwa amesha likunja panzia, alichoweza kuona ni kimvuri kikipotea nje ya ukuta wa hotel, “isijekuwa polisi wamesha kuja hapa” alijiuliza Edgar, huku akitega sikio vyema, kama angesikia sauti zawatu au vishindo, hapo ndipo alipo ikumbuka SMG, aliyo iacha kule porini, akamtazama Monalisa, akijiulizaamwamshe auamwache, lakini akaona bolaamwache kwanza, maana anaweza kuingiwa na kiwewe, alafu akawagutusha maadui zao, Edgar aka ufwata mlango taratibu na kutegasikio, akaona papo kimya, aka shika funguo yakwenye mlango na kuunyonga funguo taratibu, mpaka alipo ufungua, na kwa tahadhari kubwa sana akachungulia kwenye korido la hotel hii, akatazama kushoto na kulia, akuona kitu, hali ilikuwa shwali kabisa, akaufunga mlango na kurudi kwenye kiti chake, “kumbe kweli wachawi wapo” aliwaza Edgarhuku anakaa kwenyekiti, sasa akutaka tena kuluhusu usingizi umteke, akiofia kujiwa na wachawi, kama alivyo zania. ***
“pumbavu huu sasa niujinga, inakuwaje tunazidi kuharibu mambo namna hii?” alisema Kingarame kwa sauti ya ukari, huku akipiga mguu wake chini kwanguvu, huku askari wake wana mshangaa, nibaada ya kumsaka sana Mike pasipo mafaniki, akukuwa na jibu, toka kwa askari yoyote, aka mgaeukia askari mmoja kaniitie Hokololo pale barabarani” alisema Kingarame, kwasauti ambayo bado ilikuwa na jazba, “nyie mna shangaa nini?ebu endeleeni kumtafuta huyu mpuuzi, na sitaki kumwona akiwa mzima” hapo askari walijuwa kuwa afande wao amekasirika kupita kihasi, askari hao wakatawanyika mala moja, na kuzama kwenye chocholo, wakitawanyika katika makundi ya watu wawili wawili.
Dakika chache baadae likaonekana gari la Kingarame Toyota land cruzer la polisi, likiingia eneo lile, ikionyesha halikuwa mbali, atakupindi kile wwanatafutagari la kumpeleka Lusinde hospital , lilikuwa maeneo yakaribu, Hokololo akashuka toka kwenye gari, na kumfwata SSP Kingarame, ambaealimtoa pembeni na kuongeanae jambo, “sikia Hokololo, kaa tayari, nenda kituo cha polisi, kajaze gari mafuta ya kutosha, chukuwa na mafuta ya hakiba, naona kuna uwezekano wa kuondoka Njombe muda wowote, kama mambo yataendelea kuwa hivi” alisema Kingarame kwa sauti ya chini, “akuna tatizo afande naenda sasa hivi” alisema Hokololo, hukuakianza kuondoka, “subiri kwanza” alisema Kingarame na Hokololo akasimama na kumgeukia afande wake, “akikisha ajuwi mtu yoyote juu ya hili” alisema Kingarame kwa sasuti ya chini iliyo onyesha msisitizo, “usiwe na wasi wasi afande, akuna atakae juwa” alijibu Hokololo kwa sauti ya kujiamini, wawili awa kama nilivyo kueleza, wanafahamiana kutoka walipo kuwa tanga, na waliama pamoja, Kingarame alipo amishiwa Ruvuma.
Hokololo akarudi kwenye gari, akaliwasha na kuelekea kituo cha polisi wilaya,akimwacha boss wake anaendelea na msako wa Mike, sambamba na askari wake, ambao wengine walisha anza kuchoka na hii kazi ambayo pengine awakushirikishwa mawanzo, ***
Maeneo hayo hayo ambayo msako ulikuwa unaendelea, ndani ya choo koja kibovu, cha nje, kilicho zilibwa na bati chakavu, kiasi kwamba kama unamoyo mwepesiusingeweza kujisaidia mchana, ukiachilia kuwa ni choo cha shimo, ambacho usalama wake ni mdogo, pia choo hikili kilitengenezwa kwa mabati yaliyo toboka toboka na kuacha matobo makubwa kabisa, atamtu wanje, angeweza kuona ndani kabla ya kuingia, ndani yake alikuwepo Kijana Mike, ambae ilimlazimu kuvumilia haufu kali ya choo kile, kwa kutunza usalama wake, akiwa ndani ya choo kile, huku akichungulia nje kwa kutumia matundu ya mabati chakavu, huku anasikiliza sauti za wenzao wakiendelea kumsaka huku mala kwa mala wakikatiza mbele ya kile choo, pasipo kukitilia mashaka, nazani kwa mwonekano wake, lakini mala aka ona kitu kama kivuri chamtu, kikija upande wakile choo, kwa mwendo wa kunyata, mapigo ya moyo yakaanza kumwenda mbio, maana akujuwa ni kitu gani kile, ukizingatia aliona kimwangaza flani cha tochi chekundu sana, kilicho mulika akama vilekidoa flani kidogo kwenye ardhi, “mama yangu nini tena hiki?” aliwaza Mikeambae maumivu yalikuwa makali sana begani na pajani kwake, huku damu zikiendelea kumchuluzika, kwenye paja, maana risasi ilikuwa ndani.
Sasa Mike aliweza kukiona kile kimvuli kikizidi kuja uswa wa choo, nika akile kivuri kilikuwa kina tazama alama flani iliyo ashilia kuwa yeye yupo mle ndani, “nime kwisha” alijisemea Mike, kwa kunong’ona, huku akikiona kile kimvuri kikiwa kime bakiza hatua chache kukifikia choo, akaanza kuwaza namna ya kujokoa,
Wakati anawaza nmna ya kujiokoa mala aka kiona kile kitu kama kimvulri ambacho sasa alikiona kuwa ni mtu kabisa, aki binuka kwa kuroll, kama tairi lla gari, na kujibanza huku tani, “yani kaka, mimi nime choka kwa kweli, natafuta sehemu npumzika, mchongo aucheze yeye mwenyewe, alafu tabu tupate sisi” alisema mmoja wa askari alie kuwa na mwenzie, kati ya vile vijikundi vidogo vidogo, wanaendelea kumsaka yeye” yule mwingine nae akajibu, huku wana pita mbele ya yule mtu kama kimvuri, pasipo wao kumwona, “yani hii inshu imepoteza watu wengi sana…” lakini kabla haja malizia, Mike akamwona yule mtu Kimvuri aki fanya kitu ambacho yeye Mike kilimfanya aamini kuwa ule ni mzimu nasiyo binadamu, maana kitendo cha harakla sana, alimwona yule mtu mweusi, aki wa vamia waleaskari wawili, na kurusha kumi nzito ya shingo kwa mmoja wao na huyu mwingine wakani anageuka aka kutana na yakwakwe kwenye chembe ya moyo, sasa kila mmoja kashikilia pale alipotandikwa, hapo haraka sana zaidi ya mwanzo akamwona akijipapasa kiunoni, kama anatoa kitu na kuwa guza navyo shingoni, mala hiyo hiyo wale askari wawili wakaonekana wana legea, na yeye akawadaka na kuwalaza chini, lakini ile anawaweka chini tu!, mala wakatokea askari wengine wawili, ambao walipoona tukio lile la wenzao kulala chini, mala moja wakainua silaha zao, tayari kushambulia, lakini awakupata nafasi, maana ilikuwa haraka zaidi ya haraka, mtu kivuri ali wa sogelea kwa mwendo wa duma, wakati huyu wakushoto ana kula ngumi nzito ya savu, huyu mwingine alitandikwa teke la mbavu, na wawili awa wakaanguka chini kama viroba, wakitenganishwa na bunduki zao, ile wanataka kuinuka, mtu Kimvuri ali mtandika teke la uso yule wa upande wa kushoto, kisha akamgeukia huyu wa kushoto alie tandikwa teke la mbavu, akionekana kukosa punzi kwa muda, nakujishika mbavu, aka mfwata na kummwongeza teke la uso, “jamani tunakufaaaaa” alipiga kelele yulewa kulia hapo mtu kivuri aka muwai na kumwongezea ngumi nzito ya uso, iliyo mlegeza yule askari hukuwenzie akimtangulia kupoteza fahamu, Mike akiwa anazania kuwa yule mtu kimvuri atakimbia, baada uya kusikia vishindo na kelel za askari zikija upande huu, lakini akamwona anakifwata kile kibanda cha choo, na kuushika mlango ule wamabati, tayari askari wnne walisha jitokeza eneo lile nakuinua silaha zao, yule jamaa akauvuta ule mlango wa mabati kwanguvu, na kuurusha kwa nguvu kuelekea kwawale askari, ambao uliwakumba na kuwatupa chini, hapo pasipo kuongea kitu akamwona yule jamaa, akimshika mkono na kumvuta nje ya kibanda kile, pasipo kujali wala kuuliza kama anajisikiaje, kuhusu majelaha yake, yule jamaa akaanza kumvuta Mike kutoka nae eneo lile, huku Mike anajikongoja, maana aliona dalili ya kuwa huyu jamaa siyo adui, kama alivyo waza mwanzo.
Ile wanamaliza uchochoro wakasikia risasi kibao zikimiminwa upande wao, nikama mtu kimvuri alijuwa kuwa Mike asingeweza kukimbia mwenyewe, maana nikama aliinama kidogo huku ameushika mkono wa Mike, kisha akamdaka mguu, na kumweka begani miguu kushoto kichwa kulia, kisha akaanza kukimbia, kukatiza chochoro za mtaa wa Njia panda ya zamani, huku wakikoswa koswa na risasi, mpaka walipo potea kabisa, machoni kwa polisi awa wanaovunja sheria, ndipo yule jamaa akamshusha Mike, ili wapumzike kidogo, “samahani bwana Edgar, umefanya haya kwa maana gani?” aliuliza Mike, kwa sauti yatabu kidogo, maana alikuwa katika maumivu makali, huku anamtazama yule mtu alie valia nguo na mask nyeusi, akimgagua sehemu aliyo umia, akaiona kwenye paja, “kwani ujuwi kama ulitakiwa kuuwawa?” aliuliza yule jamaa ambae, Mike alimzania kuwa ni Edgar, huku ana mfungua Mike ile kamba ambayo mala nyingi uwa wanaitumia kuwekea filimbi, mabegani mwao, (wenyewe wanaita ranyat) “ndio nilitakiwa kuuwawa, lakini lazima na wewe unajuwa kuwa, mimi ni mmoja wawatu wanao taka wewe ufe” alisema Mike huku onekana wazi kuwa katika maumivu makali, huku anamwona yule mtu ana ichukuwa kamba ya filimbi na kuanza kuifunga kwenye jelaha, akizuwia damu isiendelee kutoka, “ilikuwa zamani, lakini kwa sasa na wewe unaitaji kuuwawa, au nime kosea?” aliuliza mtu mweusi huku anamaliza kumfunga ile kamba, kwenye paja, alafu akamwinua na kumbeba tena, “nikweli, sababu nilimwuliza, mwisho wa mauwaji haya ni nini?”alisema Mike ambaae alamini kuwa amebebwa na Edgar, mtu ambae, wamesha jaribu kumshambulia mala kadhaa, bila mafanikio, “lakini bado sija juwa kwanininume amua kunisaidia, na huku una nipeleka wapi?” aliuliza Mike kwa sauti ileile iliyo jaa maumivu, “shahidi” yule jamaa aliongea neno moja tu, hapo kikapita kimya kifupi, lakini uoni kuwa unayaweka maisha yangu hatarini zaidi?” aliuliza Mike kwa sauti ile ile ya maumivu, lakini sasa iliichanganyika na hamaki, “hapana nimesikia viongozi wako wakikuita, naamini wata kulinda” alijibu mtu kimvuri, huku akizidi kuchanja mbuga, na kutokomea gizani.**
Milindimo hii iliwafikia watu waliokuwepo kule hotelini, pengine makamanda ndio walikuwa wapo katika vyumba vyao wanajiandaa kulala, baada ya kuangaika kutwanzima na usiku huu, “pumbavu, wameshanza tena kuuwana,” alisema RPC Iringa, ambae ndio kwanza alikuwa amepanda kitandani, “siendi popote saahii wacha wauwane”alijisemea RPC Iringa, kabla ajasikia mlango wa chumba chake ukigongwa, “nani?” aliuliza RPC Iringa ambae ndio kwanza alikuwa amepanda kitandani, “nimimi hapa afande, umesikia tena risasi huko?”ilikuwa ni sauti ya RCO Iringa, “kapumzike SSP, bado masaa machache ifike asubuhi, tuta juwa kila kitu” alimaliza hivyo RPC Iringa, kisha ikawa kimya, inaonyesha RCO alirudi kulala.
Mwingine alie sikia milipuko ya Risasi alikuwa ni Edgar ambae alijitaidi asisinzie ata kidogo, akiogopa kuvamiwa na wachawi,”mh! awa ni polisi au, mbona wana pig asana risasi?” alijiuliza Edgar, akiwa amekaa kwenye kiti, anapambana na usingizi, Edgaraliisikia milipuko hiyo, iliyo dumu kwa dakika kadhaa, na kisha kukoma kabisa, “sijuwi nita tokaje humu, maana inaonyesha polisiwametapakaa huko nje” aliwaza Edgar, na kujaribu kuwazuwa, mpaka akapata jibu, “nitajificha uso na kujipenyeza mpaka nje nikaongee na mama anieleze baba ameikia wapi, ili nimfwate” hilo ndilo jibu alilo lipata Edgar, na kujikuta anatabasamu, wakati huo huo, akaona tena mtu kama kimvuri akikatiza mbele ya dirisha lake, kwa speed ya hajabu, Edgar akatulia kwa sekinde kadhaa, akisikilizia kama kuna lolote litatokea, akaona kimya, “lakini mchawi amlogi mtu bila sababu” alijisemea Edgar. ***
“unauakika kuwa ameondoka na Mike?” aliuliza Kingarame, kwa hasira na jazba kali sana, “nikweli afande, tena naami kuwa awezi kuwa yule kijana, huyu ni mtu mwingine kabisa, yani kama ninja vile” alijibu mmoja wa askari, hapo Kingarame akatazama chini, kama anawaza jambo, kisha akamtazama sajent Idd Kibabu, “Kisona” alisema Kingarame, huku akitikisa kichwa juu chini, “sizani kama kun mwingine, nazani huyu jamaa amekusudia kutuingiza matatizoni” alisema sajent Kibabu, “sikia Kiba walausikone, kabla ajatuharibia tumwaribie yeye” alisema SSP Kingarame, huku akigeuka na kuwatazama askari wake, “ebu sogeeni kidogo” alisema Kingarame ambae alikuwa na askari kama kumi na nne hivi ambao walikuwa wanatembea kwa miguu yao wanne walikuwa wame bebwa, kwa maana kwamba wamezimia, wote kumi na nne, walisogea kwa mkuu wao “sikieni , tuna fedha nyingi sana songea, na sasa tupo wachache, tugawaa vizuri kabisa, tena mgao wa maana” kauri hii ya SSP Kingarme iliwaingia na kuwa furaisha wale askari, ambao kiukweli walisha wai kufanya kazi nyingi na kmanda huyu wa upelelezi wa makosa ya jinai, na uwa siyo mchoyo kwenye mgao, “hwahiyo tuna kazi moja tu ya kwenda kumzuwi huyu mshenzi, anae ingilia mambo yetu, na tuna akikisha tuna mweka chini kwa risasi nyingi sana, na kwakuwa ata kuwa katik mavazi take ya hajabu, itakuwarhisi kwetu kumvesha huu mzigo wote” alisema Kingarame, na askari wake mmoja aka ongea neno, “lakini afande yeye ame ondoka muda mrefu hapa, tunawezakujuwa yupo wapi?” Kingarame akacheka kidogo, “yule ana hakiri za kitoto, lazima atakuwa aeenda kumficha Mike, hivyo mpaka sasa ata kuwa bado haja rudi hotelini, sisi tunaenda kumsubiri pale” alisema Kingarame kwa kujiamini. endelea kutembelea hapa hapa
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU