BIKIRA YA BIBI HARUSI (78)

SEHEMU YA SABINI NA NANE (78)


ILIPOISHIA SEHEMU YA SABINI NA SABA (77) kisha wakazima gari, baada hapo wakagawana majukumu, wakti sajent Kibabu akimlinda mama Monalis, Kingarame na Hokololo, wakashuka toka kwenye gari wakiwa na SMG zao mikononi, na kujiteg tayari kwa lolote,**
Kumbe basi, wakati wakina kisona wakiwa nyuma ya wakina Kingarame, kwa kilomita mbili, katika mwendo mkali sana, mala ENDELEA……….
Kisona kwakutumia darubini yake, aliweza kuliona gari la kina Kingarame likiwa mbele yao, “waleee” alisema Kisona, huku gari lao likipotelea bondeni , ni baada ya kumaliza mwinuko, hivyo aliwapoteza, “ianabidi tuwe makini, wapo kilomita mbili mbele yetu. aliongea Kisona, wakati huo walikuwa wanamaliza mtelemko na kukamata tena kipando, “inamaana bado wapo na mama yangu?” aliuliza Monalisa, ambae alikuwa kati kati ya Edgar na Katembo, huku askari wengine waliokaa nyuma kabisa ya gari, walikuwa wana mkodolea macho binti Monalisa, wakiusifu uzuri wake kimoyo moyo, “ndio wapo nae, ila ni hakiri za kitoto” alijibu Kisona, huku ana iweka darubini yake machoni, akiielekeza mbele, ilikuwa mala tu baada ya kumaliza Kipando na kukuta tambalale, “wale paleeee, ebu punguza mwendo kidogo” Kisona alimweleza mzee Mbogo, huku bado darubini ikiwa machoni pake, akishuhudia Toyota land cruzer la polisi, likikamata mtelemko, nawao walikuwa wanakata kona, akawapoteza tena, lakini nikama kuna kitu alikiona, “inaonyesha wamesha wamesha tuona na kuna kituwanataka kufanya, ebu simamisha gari” alisema Kisona kwa sauti ya kutilia mashaka, “vipi wanataka kututegea ambush?” aliuliza Katembo, wakati huo tayari gari lilikuwa limesha simishwa, ata wakitega ambush, wezi kutupata, wapo watatu tu! kingarame dereva na huyu mmoja alie kaa nyuma, tena anaonekana ana damu nyingi begani, sisi tupo wanane, watatuweza kweli?” aliongea Kisona huku anashuka toka kwenye gari, sambasamba na askari wake, ambao wali jipanga wakizunguka eneo lile kwa mkao wa ulinzi, Edgar nae akafanya kam wale askari, huku baba yake akimtazama na kuchekea pembeni, kuona hivyo Monalisa nae aka shuka toka kwenye gari, na kuanza kumfwata Edgar pale alipo kuwa, “we, rudi kwenye gari” alisema Kisona, akimwambia Monalisa, ambae akuwa mbishi, akarudi kwenye gari, mala moja, huku akisindikizwa na macho ya wale askari, walio yasanifisha makalio yake mazuri, yaliyo kuwa ndani ya suluali yake ya Jinsi, huku baba Edgar akichekea pembeni, maana aliona jinsimtoto wakike anayo mwamini mwanae.
Kisona akapanda juu ya gari lao, kama alivyo fanya kule porini, kisha akweka darubini yake machoni, n kutazama kule alihisi gari la kina kingarame lipo, akatazama uko kwa dakika kama mbili hivi, kisha aka cheka kidogo, huku anashuka toka juu ya gari, wapuuzi wame chepuka pembeni ya Barabara, alisema Kisona, huku akimtazama Katembo, alie kuwa amesimama nje yagari, wakati huo mzee Mbogo aliwa anashuka toka kwenye gari, na kuwasogelea wakina Kisona, “lazima tufanye jambo, ili tumpate mama Monalisa, akiwa salama kabisa” alisemtena Kisona huku akiingiza mkono wake,kwenye mfuko wa kombati wachini, na kutoa ramani, “we! unajuwa kutumia silaha?” aliuliza Kisona huku akimtazama Monalisa, na wakati huo huo, Kisona alikuwa ana tandika ramani kwenye bonet la gari lao, “mh! … mh… nawza kutumia kale kadogo” alisema Monalisa kwa kubabaika kidogo, huku akitazama kule aliko kuwepo Edgar, Kisona alicheka kidogo, sababualishajuwa kuwa Monalisa anamaanisha kuwa anaweza kutumia bastola, na niwazi kuwa alifundishwa na Edgar, Kisona hakuongea neno jingine na kuanza kuikagua ramani, akisaidiana na koplo Katembo na mzee Mbogo, huku Monalisa akiwa ndani yagari, macho kwa Edgar, akivuta picha ya tukio la jana usiku, wakati anaibgiziwa dudu, kwa mala yakwanza, Monalissa akajikuta anatabasamu mwenyewe,**
Wakina mzee Anderson, Misago mama Erasto Erasto na dereva wa mzee Anderson, wakiwa ndani ya gari lao Nissan patrol, ambalo lilikuwa katika mwendo mkali kahasi, sasa walikuwa wanakatiza maeneo ya Kifanya, “lakini mama, kwanini mlimwacha Monalisa aondokena Edgar, ata mteka tena” alisema Erasto, nikama alikuwa anashusha lawama kwa mama yake, “polisi wapo karibu, kama akijaribu tena wata mpiga risasi” alisema mama Erasto, akionyesha kuwa na yeye jambo lile lime mkela, na kumchukiza, “Edgar akumteka Monalisa, alikuwa ana msaidia, na awezi kumteka, na hivi ndivyo walivyo ishi toka wakiwa dogo” alisema Anderson, akiwa alie kuwa amekaa seat ya mbele, ya gari lake, amanno yale yaliwachukiza sana wakina mzee Misago na familia yake, “lakini shemeji, ni miaka mingi imepita mnajuwaje kama huyu kijana badoana hakiri kama zile za kipindi kile?” aliuliza mama Erasto, huku wakiwa wana kimaliza kijiji cha Kifanya na kuuanza msitu uliopo mble yao, “alau Edgar alikuwa na tabia mbaya toka zamani unakumbuka limwandikia barua Monalisa, akimfundisha ujinga” alisema Erasto, huku mama yake, akidakia, “tena inaonyeshawazazi wake walikuwa wanakaendekeza sana, eti kitoto cha darasa la tano, sijuwi la sita, kanaandika barua ya mapenzi” alisema mama Erato kw sauti ya chuki na uchonganishi, “kweli ni tabia mbaya sana, lakini zipo tabia mbaya nyingi sana., zaidi ya hiyo, ambayo ilifanywa kwa hakiri za kitoto” alisema baba Monalisa, kwa sauti tulivu sana, lakini bahati mbaya kwa wana familia haiyo, awa kufahamu maana ya maneno ya baba Monaisa, “nikweli shemeji, tabia mbaya zipo nyingi huyu mtoto siyo wakumwmini kabisa” alisistiza mama Erasto, huku safari ikizidi kuendelea, japo awkujuwa kuwa, msafara wa polisi hupo Kilomita nne mbele yao.**
“sijaelewa Kingarame anamaana gani” alisema RPC Ruvuma, kwasauti iliyo jaa masikitiko, juu ya kkamanda wake huyu, ambae siku zote alikuwa anamwamini katika utendaji wakazi, “dah! yani afande ata mimi mpaka sasa siamini kinacho tokea” alisema dereva RPC, huku akikanyaga mafuta, kuyafwata magari mengine yaliyo mtangulia, huku na yeye akiwatiwa na magari mengine, hukuyote yakiwa napolisi walioshika silaha zao vyema kabisa, tayari kwalolote, lakini makamanda waio kuwa ndani ya magari hya, hawakujuwa kuwa nyuma ya magari yao, kuna bahadhi ya askari wanapanga kumsaidia Kingarame, ili wakapate mgao wa mari zilizo ibwa NMC songea, na tayari wengine walisha peana ishara na maagizo ya kumsaidia Kingarame, huku na wao akujuwa kama, wapo wengi, wenye mawazo hayo.**
“mbona awatokei?” aliuliza Kingarame, akiwa ame kaa ubauni mwagari, upande wa kushoto, huku akiwa ameshikilia bunduki yake, vyemea kabisa, akiielekeza barabarani mitakama mia mbili toka walipo kuwepo, “itakuwa wamepunguza mwendo, kutokana na hizi kona” alijibu Hokololo, ambae alikuwa ubavuni mwagari upande wa kulia, ya ni upande wa dereva, “yani wakitokeza pua tu! tuna kiwasha, akuna kusikilizia, na wakati wao wana kosa mwelekeo na kuingia korongoni, sisi tunaondoka kwa speed ile ile” alisema Kingarame huku, wote wawili macho yao yakiwa barabarani, “malipo yazambi zako utayapata tu! ata…” alisema mama Monalisa, na kabla ajamalizia sajent Kingarame aka mtikisa kwanguvu, “wewe funga domo lako, mimi sita kudekeza, nita fumua ubongo wako, endapo utaongea neno jingine” alisema sajent Idd kibabu alie kuwa ame mshika mama Monalisa, wakiwa wame jibanza nyuma yagari, “Kibabu kaa vizuri huko, tukiwasambulia haraka tunaingia kwenye gari, na kuondoka mala moja” alisistiza Kingarame, wakiwa wamesha jitega wanasikilizia muungurumo wa gari, ili walishambulie,***
“sisi tupo kwenye GS hii hapa” alisema Kisonga akionyesha sehemu flani katika kibox cha mistari ndani ya ramani, wenye wanaita grid squre, “na wao wata kuwa hapa, kwenye grid squre hii hapa” alionyesha kibox cha pili, toka kile alichoonyesha mala yakwanza, “ok! ukitazama hapa hakuna uchochoro mwingine zaidi ya huu” alisema Kisona akionyesha sehemu moja kwenye ramani, inayoonyesha kuna njia ndogo, inayo chepuka toka barabara kuu, “na hawa hawajaenda mbali, wapo karibu na barabara wametega ambush” aliendelea kuongea Kisona hukunwotebwatatu wakitazama Ramani, “nyuma yao hakuna vikwazo, ila upande wa kushoto, kuna bonde kubwa, na upande wa kulia kuna kipando kirefu, kwa hiyo basi, kama tuki ibolock hii barabara ya vumbi, lazima wataforce kuingia korongoni na kumwumiza mama Monalisa, hivyo lazima njia hii tuiache wazi” lisema Kisona huku akianza kuikunja ramani, “lakini afande unazungumzia kuhusu pande wanyuma yao, vipi kuhusu upande wa barabara kuu?” aliuliza Katembo, “kuna watu wanakuja wao ndio wata ziba huku mbele na kuwafanya wakimbilie porini, na sisi tuta pata nafasi ya kuwapunguza mmoja baadaya mwigine, kisha tutamchukuwa mama Mona kiulaini kabisa” alisema Kisona huku anaingia kwenye gari, sambamba na baba Edgar, kamata hii, usitumie bila maelekezo” alisema Kisona huku anampatia Monalisabastola,
Katembo nae akaonyesha ishara kwa askari wake, waingie kwenye gari, nao wakaingia mala moja, aikuchukuwa ata dakika wakaondoa gari kusonga mbele, wakati huo huo, kwambali walianza kusikia miungurumo ya magari, ya polisi yakija mbio mbio, ***
Nikweli bwana yalikuwa ni magari sita ya polisi, yaliyo kuwa katika mwendo mkali kweli kweli, yakipambana na kona za lukumbulu, kona ambazo bila ata kuambia madereva wa magari haya wakapunguza mwendo wenyewe, sasa basi, wakati msafala huu wa unakatiza kwenye kipando kimoja cha ghafla, chenye kona kipofu, wakaliona gari la jeshi la ulinzi, likiwa lime simama pembeni ya barabara, kwenye kona, huku wakionekana askari wawili na Edgar, wakiwa wamesimama nje ya gari lile, huku dereva akiwa ndani ya gari na yule binti, ambae alikuwa ametekwa, yani Moonalisa, “huyu mshenzi anafanya nini hapa?” aliuliza RPC Iringa, huku akilitazma lile gari lililo simama pale kwenye kona, mpaka lilipo toweka machoni mwake, yani wo walilipita likiwa lime simama, “itakuwa wame haribikiwa hao” isema dereva wa RPC Iringa,***
Kingarame akiwa pale kwenye uchororo, pamoja na wakina Hokololo na Kibabu alie mshikilia mama Monalissa, walianza kusikia muungurumo wa gari, hkitokea upande Njombe, “kaa tayari haoooo!wanakuja” alisema Kingarme, ambae aliibana bunduki yake vizuru kwenye bega, akiielekeza barabara kuu, akingoja gari litokeze pua, walifanyie malekebisho,
Naam sauti ya engine ya gari ilizidi kusikika ikisogea uande wao, na wao wakazidi kujiweka sawa, yari kushambulia, na azikupita ata sekunde tano, wote watatu, akasikia sauti ya gari ikiwa karibu sana,na walipo kuwepo, nao wakainua silaha zao, vyema huku vidole, vikiwa kwenye vifyetulio, (trigger),
Sasa basi mala ghafla wakaliona gari likikatiza, na wao wakina Kingarame, awakusubiri filimbi ya kuanza mchezo…… itaendelea hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata