
SEHEMU YA SABINI NA TISA(79)
ILIPOISHIA SEHEMU YA SABINI NA NANE (78) Naam sauti ya
engine ya gari ilizidi kusikika ikisogea uande wao, na wao wakazidi kujiweka sawa, yari kushambulia, na azikupita ata sekunde tano, wote watatu, akasikia sauti ya gari ikiwa karibu sana,na walipo kuwepo, nao wakainua silaha zao, vyema huku vidole, vikiwa kwenye vifyetulio, (trigger),
Sasa basi mala ghafla wakaliona gari likikatiza, na wao wakina Kingarame, awakusubiri filimbi ya kuanza mchezo, endelea……..
Kumbe basi mala baada ya kusimamisha gari, mita mia mbili kabla ya kuikuta sehemu waliyo hisi kuwa, Kingarame na watu wake wamejibanza, Kisona na askari wake watatu, yani pamoja na Katembo, walishuka na kuingia porini, upande wa kulia wa barabara, wakiwaacha wakina mzee Mbogo na askari wawili pamoja na Edgar na Monalisa, wakiwa wame kaa mkao wamapigano, yani tayari kwa lolote.
Kisona akiwa wapili toka mbele, macho yake na mtutu wa SMG, aliekeza upande wa kushoto, upande waliopo wakina Kingarame, mbele yake alitangulia askari mmoja, alie elekeza macho na mtutu mbele, nyuma yake alikuwa koplo katembo, ambae kama wenzie, yeye macho na mtutuwake vilielekezwa kulia, huku nyuma kabisa akiwepo askari mmoja alie elekekeza macho na mtutu nyuma, kwa maana hiyo alitembea akiwa ame geukia nyuma, wote waliachiana mita kumi, kila mmojaakichunga upande aliogaiwa, mwendo ulikuwa wa taratibu sana, hatua moja kwa sekunde mbili, katika mtindo wa mstari mmoja, wa kufwatana, yani single file, walionekana kuwa makini sana wakati wakutembea, huku mala kwa mala wakionyeshana ishalaflani flani, ambazo nyingi alikuwa anazitoa Kisona mwenyewe.
Walienda mpaka walipofikajuu ya mwinuko, ambao ilikuwa upande wao wa kushoto, na kutulia juu yake wakichukuwa maficho mazuri kabisa, huku chini ya mwinuko ule, waliweza kuwaona wakina Kingarame, wakiwa kwachini, umbali wa mita kama sabini hivi toka walipo kuwa wao, wakiwa wame elekeza mitutu yao, upande wa barabara kuu, na wakati huo wakayaona magari ya polisi yakija mbio mbio, usawa wa hulk of fire ya Kingarame na Hokololo, yani il sehemu waliyo elekeza mitutu ya silaha zao, “kum.. make, wameingia” alisema Kisona huku anainua SMG yake na kuelekeza kwenye gari, akilenga tairi la nyuma la gari hili, wakati huo huo waka sikia “Pah! pah! pah! pah!” yani wakina Kingaarame walianza kulishambulia gari la polisi wenzao lile la kwanza kabisa, kuingia kwenye sehemu yao ya mapigo, **
Huku nyuma kabisa kilomita mbili toka eneo ambalo milipuko ya risasi ilikuwainasikika, yani eneo ambalo mapigno yalikuwa yanatokea, wakina baba Monalisa, walikuwa wanakuja kwa speed, na baada ya kusogea mbele kidogo, ndipo walipo sikia milindimo ya risasi, “jamani hukuo hakufai kwenda” alisema Erasto kwa sauti iliyo jaa uoga, lakini dereva alizidi kukanyaga mafuta, “jamani bola mnishushe, mi siendi huko” alisema Erasto huku ana mpiga piga dereva begani, “ebu simamisha gari” alisema mzee Anderson kwa sauti kavu, akimwambia dereva wake, ambae haku jiuliza mala mbili, akaweka mguu kati, na kuikanyaga bleak, huku mguu wa kushoto ukikanyaga crutch,kisha aka change down, toka namba tano kuja nammba nne, gari lika punguza mwendo, akasogeza pembeni huku akirudia rudia, kuchange down mpaka alipo simama kabisa, hapo Erasto akafungua mlango na kushuka toka kwenye gari, wakati huo milindimo ya risasi, ilikuwa inaendelea,kusikika, baba Monalisa na dereva wake, walitegemea kusikia mlango wa gari ukifungwa, lakini ulichelewa kidogo, ata baba Monalisa na Dereva wake walipo tazama nyuma, waliwaona mzee Misago na mke wake, nao wakishu katoka kwenye gari, “tukipata usafiri utatukuta Njombe” alisema Misago, bila ata aibu, huku anafunga mlango wagari, nikama dereva ndie alihukia zaidi, maana aliondoa gari kwa hasira, kabla ata baba Monalisa ajajibu kitu, “wpumbavu sana awa wanafiki” alisema Anderson, huku gari likiendelea kushika kasi, “yani uwezi amini kama nirafiki yako mkubwa” alisema dereva huku akiendelea kukanyaga mafuta, na kuchange up, huku gari likipamba moto, “we! waache tu watakiona nitakacho wafanyia” alisema baba Monalisa, kisha kikapita kimya kidogo, wakisikilizia mvumo wa engine na milipuko ya risasi, “tukitoka salama huku, lazima wataowana tu!, watake wasitake” alisema baba Monalisa, na kumshangaza dereva wake, akihisi sasa mzee huyu anaelekea kuchanganyikiwa, akshindwa kutia neno , akabaki ana kanyaga mafuta, akizianza kona za lukumbulu, pasipo kujuwa kuwa wakina Monalisa, wapo kilomita chache mbele yao, na wao wanasikilizia milipuko ya risasi.**
Hakika kilikuwa ni kimbembe, maana RPC Iringa akiwa ndani ya gari la pili, kilitazama gari la OC FFU wa Ruvuma, lililokuwa mbele yake mita kama ishilini hivi, liki miminiwa risasi nyingi mfululizo, nakuonekana kukosa mwelekeo, na kuanza kuyumba, huku askari waliokuwa nyuma ya gari hilo wakianza ruka na kutawanyika wakitafuta mficho iliwaweze kushambulia, wakiwaacha wwili ambaoninaonyesha walisha tandikwa risasi, maana walikuwa wana ning’inia kwenye mabomba ya gari lile, huku gari lile likienda kugonga hukuta kichuguu pembezoni mwa barabara, upande wa kushoto, ikifwatia honi fullulizo.
Wakati huo dereva wa RPC Iringa, akiangaikakukanyaga bleak, lakini kutokana naspeed waliyo kuwa nayo alijikuta akipita sehemu ya mapigano, huku askari walioko nyuma ya gari lao, wakiruka ili kuokoa maisha yao, bahati nzuri kwao ilionyesha kuwa washambuliaji walisha ishiwa risasi, na sasa walikuwa wana badiri mikebe ya risasi kwenye bunduki zao, kilikuwa kitendo cha haraka, kisha wakaanza tena kushambulia, huku magari yote sita, yapolisi, yakiwa yamesha simama pasipo kuwa na askari, wote walisha ruka, huku wengine wkijibamiza kwenye lami na kuvunja bahadhi ya viungo vya miili yao, ikiwa ni miguu na mikono.
Ndani yasekunde kadhaa tayari makamadana askari walisha shuka toka kwenyemagari yao, huku bahadhi wakitumia magari kama kinga yao, katika mapigano, OC FFU wa Ruvuma nae, aliuwa ameshika toka kwenye gari, nasasa alikuwa amejibanza pembeni ya gai lile, huku akimshuhudia dereva wake alie egemea steering (mskanio) na kuikandamiza honi, huku damu nyingi ikivuja toka kichwani na kuchuruzika mpaka kwenye sakafu ya gari lile, tayari alisha poteza maisha.
Pasipo kusubiri maelekezo tayari askari polisi walisha anza kushambulia, wkielekeza silaha zao upande ule uliotokea mashamulizi, maana yake, ni upande wa kulia wa barabra, waliko kuwepo wakina Kingarame, akika mashambulizi yao, yalikuwa makubwa, kihasi cha kuishinda nguvu ya kina Kingarame.**
Kingarame na wenzake walistuka sana, baada ya kuona kuwa wamewashambulia polisi wenzao, hapowaka hisi hatari inayofwata, maana walionajinsi walivyo kuwa wengi, na wao walitegemea ni shambulizi moja tu, kisha wana kimbia zao, ssa aliisha uchokoza moto, na mashambulizi yalisha anza kuwaelemea, nasasa walikuwa wame jibanza mbavuni mwagari, wana taka kuingia ili wakimbie, “afande atuwezi kuondoka na gari” alisema Hokololo, kwa sauti ya juu, nikama walikuwa awezi kusikilizana kutokana na kelele za bunduki, “kwanini tusiweze?” aliuliza Kingarame kwa mshangao wa hasira, “mairi yame tobolewa, hapa inabibidi tushambulie, huku tuna ingia porini” alishauri Hokololo, hapo wakaanza kujibu mashambulizi, “Kibabu, anza kuondoka na huyu mwanamke, ingia porini,” alisema Hokololo, huku wakiendele kushambulia, na sajent Kibabu akaanza kumkokota mama Monalisa kuelekea magharibi, yani ndani ya pori, masiki ni kibabu akujuwa kama kuna watu wapo juu ya mpando wa kulia kwake, wanamtazama, kwa uchu. **
RPC Iringa alianza kusikia wakina Kingarame wakianza kujibu mashambuzi, lakini yalikuwa afifu, wasingeweza kuizidi nguv yao, wakati RPCanajipa moyo huo, mala akasikia kishindo cha kuangukamtu mita hatua chache pembeni yake, akatazama kule alikosikia kishindo, RPC Iringa akaona askari wake mmoja, akiwa ame lala chini, akionyesha wazi kuwa, amechalazwa risasi ya kichwa, ile kutazama vizuri akaona askari wengine, kama wanne hivi, wakiwa wameaguka chini, wamesha chalazwa risasi kama huyu wakwanza, na kilicho mshangaza nikwamba, pale waipo kuwepo wale askari, nika alipo kuwepo yeye, yani nisehemu yenye cover (maficho) ya gari, maana yake walijibanza nyuma ya gari, wame pigwaje risasi, “toka kule mbele?” wakati anajiuliza hivyo RPC, akasikia RP Ruvuma anapiga kelele, “msaada mmoja amepigwa hukuuuu” alimaanisha kuwa, kuwa kule kwake, aliko jibanza, kuna askari amepigwa risasi, ile RPC ana geuza kichwa atazame upande alipokuwepo RPC Ruvuma, hapo ndipo alipo iona dunia kuwa nindogo, itaendelea hapa hapa
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU