
BIKIRA YA BIBI HARUSI (80)

SEHEMU YA SEMANINI (80)
ILIPOISHIA SEHEMU YA SABINI NA TISA(79)
“wame pigwaje risasi, toka kule mbele?”
wakati anajiuliza hivyo RPC, akasikia RP Ruvuma anapiga kelele, “msaada mmoja amepigwa hukuuuu” alimaanisha kuwa, kuwa kule kwake, aliko jibanza, kuna askari amepigwa risasi, ile RPC ana geuza kichwa atazame upande alipokuwepo RPC Ruvuma, hapo ndipo alipo iona dunia kuwa nindogo, ENDELEA……
Maana aliwaona askari wawili wakiwa wanaanguka chini, huku askari mmoja, akichomoka toka mafichoni, na kukimbia upande ambao yupo yeye, yani RPC Iringa, lakini akufika mbali, maana alionekana akifytuliwa miguuyake na kutupwa juu, na kuangukia karibu yake, “afande tunashambuliwa na wen…” akuweza kumalizia alicho taka kuongea yule askari, maana alipitiwa na rissi kama tatu za mgongo, RPC kuona hiyo, akujali kitambi alich nacho, na wala sijuwi aliwezaje kuingia uvunguni mwa gai lile, ile anaingia kule chini ya gari, aka wakuta askari akama wawili hivi, wakiwa wamejibanza kule uvunguni mwagari, pamojawapo akiwa ni dereva wake, na askari kutoka songea, huku wamekumbatia bunduki zao, wote wakatulia wakisikilizia milipuko ya risasi na kelele za wezao waliokuwa wana lalamikia maumivu, ya risasi. ilionyesha wakina Kingarame, awakuwa peke yao, na mbaya zaidi wanao wasaidia wakina Kingarame, ni miongoni mwao, hivyo awakuweza kuwang’amua, hapo akukuwa na namna zaidi ya kukubari kipigo tu.
Wakati huo Kisona akiwa juu ya ule mwinuko, amesha toboa mairi ya gari la kina Kingarame, ambao walishindwa kukimbia nagari lao, sasa akiwa na askari wake wanne, wakamwona Kibabu anaondoka eneo la mashambulizi, huku anamkokota mama Monalisa, “Katembo bakia hapa, mimi nika mchukue yule mama” alisema Kisona, huku anainuka, “lakini afande ebu ona kinacho fanyika kule” alisema Katembo, akonyesha upande waliopo polisi wengu, hapo ndipo walipoona polisi wale wakishambuliana, “mungu wangu, kuna askari wanao muunga mkono huyu mshenzi, hapo kisona aka chukuwa darubini yake na kutazama upande anao kimbilia Kibabu, kishanaka toa darubini machoni mwake, akamtazama Katembo, “sikia nenda kawa rudishe huku, pita upande wa chini kisha piga risasi za hewani lazima ata pitia huku kwetu, au juu zaidi, alafu atakacho kutana nacho atajuta kuzaliwa” alisema Kisona huku anapiga goti moja na kuiweka sawa silaha yake, akiielekeza kule walikokuwa polisi wengi, “afande nisije kusababisha yule mshenzi amuue mama wawatu?” aliongea Katembo akionyesha wasi wasi, “fanya kama nilivyo kuambia, akisikia milio ya binduki ata geuza uelekeo, ila akikisha arudi alikotoka, ila anapandisha huku juu” alisema Kisona na Katembo akaelewa, ***
Kingarame na Hokololo wakiwa wanaendelea na mapambano, wakasangaa kuona askari wanao washambulia, wakianguka wengi sana, ikionyesha walikuwa wanashambuliwa, inamaana kuwatu walikuwa wanaw2asaidia, na walipo angalia vizuri wakagundua kuwa, wale askari wenzao walio kuwanao usiku, kwenyemsako, nandio waliowai kushilikiana nao kwenye mtukio mbali mbali, siku za nyuma, walilikuwa wana wachalaza risasi wenzao, waliokuja nao, hivyo wakagairi kumfwata Kibabu, yani kukimbilia porini, bada yake wakaendelea kurusharisasi wakijilinda, huku wakiendelea kushuhudia wenzao walivyo washambulia kwa polisi watihifu, mashambulizi yasiri, pasipo ata wao wenyewe kujuwa.***
Redio ya taifa iliyo tangaza moja kwa moja, kupitia kanda ya nyanda zajuu kusini, ilitangaza habari zilizo tokea hivi punde, ikielezea kuwa msako uliokuwa unaendelea huko Njombe, watuwengi karibu nchi nzima, walizunguka redio zao wakisikiliza, habari juu ya jambazi Edgar Mbogo, alie hisiwa kuwa wameshiriki ujambazi wa NMC Songea, na kumteka binti mwanafunzi wa chuoncha biashara, Monalisa Anderson, pamoja na kuuwa askari polisi wengi na araia wasio na hatia, jambazi huyu alie fahamika kwa jina la Edgar, imebainika kuwa wanamsingizia, ila wausika waujambazi huo wamebaika kuwa ni bahadhi ya polisi waliokosa uadilifu, akiwepo na mkuu wa kitengo cha upelelezi wa makosa ya jinai, bwana SSP Kingarame, ndie alie ongoza kikundi hicho cha majambazi, redio hile ilielza kila kitu, huku bahadhi ya watu wakiendelea kuhojiwa mawili machache, kati yao wakiwa ni wakina mzee Mohamed na familia yake, ambao walikuwa mstari wa mbele kueleza walicho shuhudia, huku waki simulia jinsi wanavyo mfahamu Edgar, na vile walivyo mpa lifti kutoka Mbeya, mpaka makambako,
Tahalifa hii toka kwenye redio ya taifa, iliwafikia wengi sana, ata mama Edgar kule nyumbani kwao songea Seed farm, alisikia taharifa yakwamba Edgar amesha onekanana sasa yupo na katka operation ya kuwasaka polisi wenye tuhuma za ujambazi, akiwa pamoja na askari wa jeshi la ulinzi, ambao wana uwatilia msafara wa polisi, unao wasaka polisiwenzao waliokosa nidhamu na uaminifu, mama Edgar ajikuta anatabasamu peke yake, huku mwili ukimsisimka, kwafuraha na majivuno juu ya mwanae, ambae alielezewa kama shujaa, alie weza kuwa shinda, na kuwaumbua, majambazi hayo yaliyo jificha kwenye jeshi tegemewa la polisi. **
Huku nako mapambao yalikuwa yana endelea, bahadhi yapolisi waliendelea kutandikwa risasi, wengi wao wakijeluhiwa, paasipo kujuwa nani ana wafanyia hivyo, huku wengine wakiwa wamejibanza kwenye vungu za gari, RPC Iringa akiwa uvunguni mwagari, pamoja na dereva wake na askari mwingine mmoja, alishuhudia, askari wake wakitandikwa risasi, huku wakiomba msaada pasipo mafanikio, na walio jaribu kuingia kwenye magari na kukimbia, wali waiwa kwa kutobolewa risasi matairi, hapo hali ilikuwa ngumu kwa upande wao, “afande ebu na kule, kumbe askari wenzetu, wengine ni majambazi” alisema yule askari toka songea, kwa sauti ya kuniong’oana, iliyop jaa uoga, huku anaonyesha upande nyuma ya gari, RPC nae akageuka japo kwa shida, kutokana na unene wake.
Hapo RPC akaona kitu mbacho hakutarajia kukiona kwawakati hule, akika hakuamini macho yake, maana aliwaona Kingarame na dereva wake, wakisogea kwenye magari yao, huku wakisaidia na askari wengine waliokuja nao, kwenye magari yao, toka Njombe, na sasa walikuwa wana kuja upande wao, huku wakijapiga risasi kwenye gari, hili la RPC, ambalo wao wapo uvunguni, “tuchukuwe gari moja, tuondoke nalo” alisema Kingarame akimwambia Hokololo, pamoja ana wale askari walio wasaidia, “vipi kuhusu Kiba” aliuliza Hokololo, na kabla Kingaramemajajibu, malawa kasikia, “pah! pah! pah!” ilikuwa ni milio ya risasi, iliyotokea porini, kule alikoelekea sajent kibabu, “achana nae ata tuchelewesha” alisema Kingarame, wakati huo, milindimo ya risasi ilikuwa ime koma, ilionyesha kuwa askari polisi watihifu, walikuwa wamejificha,
RPC kiwa chini yana gari na wale askari wawili, wali mwona askari mmoja akikurupuka toka kwenye ubavu wa gari lao na kukimbia, hapo askari mmoja alie kuwa na wakina kingarame akainua silaha yake ili amtandike risasi, lakini waka ‘pah!’ na yule askari msaliti aka piga kelele, “mamaaaa” huku anadondosha bunduki chini, akifwatia yeye mwenyewe huku anshikilia mguu, uliokuwa unavuja damu kwa wingi, na wenza ke wakatawanyika, kutafuta maficho, hapo zikaanza kusikika ‘pah!’ huku makamanda na askari watihifu wakiona jinsi askari wa Kingarame waki tandikwa risasi za miguu.
“mshenzi gani huyu?” aliuliza Kingarame alie jificha nyuma yagari la RPC, pasipo kujuwa mwenywe yupo uunguni, itaendelea hapa hapa

