BIKIRA YA BIBI HARUSI (85)

SEHEMU YA THEMANINI NA TANO (85)


ILIPOISHIA SEHEMU YA THEMANINI NA NNE (83) akasimama na kugeuka nyuma, kutazama kama kuna mtu ana mfwata, akaona kuwa hakukuwa na dalili ya kufwatwa na mtu yoyote, hapo aka shika magoti na kuhema kwanguvu, akivuta nguvu ya kuendelea kukimbia, lakini ghafla akaona kitu kamakimvuri kikiwa mbele yake, ile anainua uso, yani kabla ajaona kilicho simama mbele yake, aka stuka ngumi nzito ikituwa usoni mwake, na kumfanya sikie maumivu makali, sambamba na giza zito lenye vyota za njano,ENDELEA……….
Akayumba kidogo akirudi hatua tatu nyuma, kisha aka jimudu na kusimama sawa sawa, huku nuru ikiwa ina rudi kwenye macho yake, katazama alie mshambulia, akamwona Kisona akiwa amesha msogelea, Kingarame akutaka kuzubaha, aka vyetua teke moja la kati, akitumia nguvu zake zote, nikama Kisona alijuakuwa Kinrame atajitetea, maana alikwepa pembeni kidogo, na kumfanya Kingarame apitilize, nusu ya kujibamiza kwenye mti wa pembeni yao, ile akanijiweka sawa, akatuka kitandikwa ngumi nzito ya tumboni, akainama kujishika tumbo, kwa maumivu makali aliyo yasikia, nikama alikosea kufanya vile, maana alipigwa kifuti cha usoni, kilicho mwinua na kumbwaga chini, akifikia chali, lakini kama aitoshi akamwona Kisona ana mfwata pale alipo lala, Kingarame akajipapa, kiunoni pengine age kuwa na silaha, yoyote, lakini hakuwa na kitu, “subiri! subiri! subiri! alisema haraka haraka SSP Kingarame, huku akinyoosha mkono mmoja, kumzuwia Kisona asi endelee kumwadhibu, “nime kubari Kisona, tuna weza kuonge jambo” alisema Kingarame ambe uso wake ulioanza kutapakaliwa damu.
Lakini ni kama alikuwa ame mchokoza Kisona, ambae ali msogelea na kumzibua teke la usoni, “kama kukubari, ungekubari siku nilipo kuja ofisini kwako kule songea” alisema Kisona kwa sauti iliyo jaa ghazab, Kingarame alihisi maumivu makali usoni, “kijana kuna mali nyingi sana, ata peke yangu nisinge weza kuimaliza, unaonajekamanikikupatia nusu” alisema Kingarame, akiwa bado yupo chini, huku damu zikimtoka puani, “nani alikuambia nina shida ya mari za wananchi” alisema Kisona huku anaushusha mguu wake kwanguvu, kifuani kwa kingarame, ambae aling’uta, huku akiachia ushuzi, kisha akatulia akihema kwa nguvu, na baada ya sekunde kadhaa, Kisona aka shangaa kumwona Kingarame akianza kucheka, kwanguvu, atayeye alishangaa, akamtazama kwa tahadhari, pengine alitaka kumchezea game, “sijawai kuona mtu mjinga kama wewe” alisema Kingarame akiwa anaupleka mkono wake puani na kujipapasa kidogo, kisha akatazama mkono wake, ulikuwa umelowa damu, “kijana mdogo, una chezea bahati yako, unazani ata ukinikamata, mwisho wake utakuwa nini, zaidi ya kupigiwa makofi yapongezi?” aliuliza Kingarame kisha akacheka tena, kicheko kilicho changanyika na maumivu, “una maanisha nachezea bahati kwa kukataa mari, zilizo sababisha umwagikaji wa damu za watu wasio na hatia?” aliuliza Kisona kwa sauti ambayo kwa haraka, ungesema ni sauti tulivu, huku aki mtazama Kingarame ambae alikuwa ana jiinua na kuwa kama amekaa kitako, “wangapi wame kufa katika utumishi na ujezi wa taifa, na familia zao azijaambulia kitu?, sembuse wakina Lukas walio jifanya wambea kwenye insu za watu?” kauri ya Kingarame ili uchonyota moyo wa Kisona, na kama na kumchukiza, kama vile Kingarame alikuwa ame shika kalio la mke wake, “hahahahaha! inamaana unamaana kuwa Lukas kilicho mponza ni umbea” alisema Kisona huku anacheka, kicheko ambacho Kingarame alikitambua kuwa kulikuwa cha hasira, “zaidi ya hapo ningesemeje, ebu ikilia Kisona, endapo utakataa, kuchukuwa nusu ya mzigo nilio nao, na baada ya siku chache baadae unasikia nipo uraiani, serikali ime kosa ushaidi, maana mai azijaonekana, na wote waio shiriki ujambazi walikua kwenye mapambano, uta jisikiaje labda?” aliuliza Kingarame kwa sauti flani ambayo ilizidi kumchukiza Kisona, “nita jisikia furaha zaidi, sababu nitafurahi sana nikikuona una tembelae kiti cha matari (wheel chair), baada ya kupoteza miguu, wakati unakimbia kukatwa” alisema Kisona huku anatabasamu, apo Kingarame nikama alipigwa na butwaha, akamtazaa Kingarame kwa mshangao, ambae sasa alimwona ana inua silaha, na kuielekeza kwenye miguu yake, “hapana hapana taadhari kijana, naomba unisamehe” alilalamika Kisona, huku akinyooshamikono kwa kisona, kuonyeshakuwa aliitaji msamaha, “niliahidi kulifanya hili, kwa mtu alie sababisha Lukas apoteze maisha” alisem Kisona pasipo kuonyesha dalili ya mzaha***
ok! upande wa wakina mzee Anderson, wakiwa wanayoyoma kuutafuta mji wa njombe, malawaka stuka kuona msafara mkubwa, wa magari ya Jeshi la ulinzi na kijeshi la polisi, ukitokea mjini na kuja sawa wao, akuna alie tia shaka kuwa yanaenda kule kwenyetukio, yani lukumbulu, yote yakiwa yame tanda barabarani huku yamewasha taa full, “simama pembeni haraka, alisema mmoja wa askari, kati ya wale waliokuwepo ndani ya gari, na dereva wa mzee Anderson, akafanya hivyo, kwa haraka sana, na hapo hapo askari wote wawiliwakashuka toka kwenyegari, nakusimama pembeni yabarabara, huku dereva wa garilambelewa msafarahuu akichezesha taa, ikiwa ni ishara kuwa, kuna wakubwa katika ule msafara, na wakati mmoja wa wale askari anajiandaa kupiga salut, wakaona ule msafara, unapunguza mwendo na kish kusimama.
Nikweli waliweza kumwona mkuu wa kambi la Makambako akiwa seat ya mbele, ambae alishuka toka kwenye gari, sambamba na milango ya magari mengine ya nyuma kufunguliwa, huku askari wa Jeshi la ulinzi, na polisi wakirukatoka kwenye magari, na kugeukia pande zote za barabara wakiwa katika uangalizi wa usalama,wale askariwawili walishangaa kidogo maanaawakuwa na taharifa ya ujio wa askari zaidi, lakini bada ya kutazama vizuri, waliokuwa wanashuka toka kwenye mgari hayo,wakagundua kuwa, ukiachia huyu kanal, ambae ni mkuu wa kambi la makambako, pia kuliongezeka makanal wawili, wa ambao waliwatambua kilahisi kabisa, nikutoka songea, pia walimwna brigedia wao yani Fransis Haule, nazaidi yahpo waka mwona IGP, yani inspector general of polisi, kabla awaja juwa wafanyje, mala waka mwona mkuu wa mafunzo na utendaji kivita jeshini, ambe ni luten general, kamaaitoshi waka mwona mkuu wa upelelezi jeshini ambae anacheo kama mwenzie, wakati huo huo waka mwona mwenye CDF, yani mkuu wa majeshi, ni adimu sana kukutana na mkuu huyu,
Baada ya kusalimiana ndipo mahojiano yaka aanza na wale askari, waka elezea jinsi walivyo acha mambo yanaendelea kule mstari wa mbele, walieleza kila kitu, na mpango wa kisona pamoja na RPC Iringa, “tukiwa hapo nyuma kisogo, tumesikia milio ya risasi, inaonyesha tiyari mtego umekubari” akika CDF mwenye, alijikuta anatabasamu kidogo, kwa mchongo wa kazi alio simuliwa, “ok! tuingie kwenye magari tuwai haraka, alisema kuu wa majashi na watu wakarudi kwenye magari, na kuondoka zao, wakiwaacha wale askari na wakina mzee Andeson wanasubiri msafara upite, kisha wao waendelee na safari, Njiani CDF aliongea maneno mengi sana ya kumsifu Kisona, kwa kazi aliyo ifanya,
dakika kumi na tano baadae walikuwa wamesha ingia LUKUMBULU, sehemu ilewaliyo kuwepo wakina Kisona, walikuta tayari polisi walisha fika na sasa walikuwa wana saidia na askari wa jeshi la ulinzi kuwapakiza watuhumiwa kwenye magari ya polisi, na baada ya kusalimia kwa salamu za kijeshi, CDF akauliza, “na awa raia ni wakina nani?” inamaana aliuliza kuhusu mzee Mbogo, Edgar na Monalisa, …… leo imekuwa fupi kidogo, kutokana na kukosa muda wa maandalizi.itae
ndelea hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata