
BIKIRA YA BIBI HARUSI (87)

SEHEMU YA THEMANINI NA SABA (87)
ILIPOISHIA SEHEMU YA THEMANINI NA SITA (86) mimi namakamanda wangu tuna enda huko kilipo andaliwa chakula cha mchana, unaweza kuungana sisi kama auto jali, kisha baada tuna rudi zetu dar, kuhusu awa raia wema walio shiriki kufichua uovu wa polisi wachache wasio na uzalendo, sina mengi ya kuongea, zaidi, nitajuwa baada ya kupeleka taarifa ikulu” alisema IGP na kufunga kikao kile, huku zikipigwa picha za kumbukumbu, kisha ukatoka wa msfara wa magari kumi kuelekea serena hotel, kwaajili ya chakula cha mchana, awakujuwa kuwa wanampeleka Monalisa akavalishwe pete.ENDELEA…..
Huko Serena Hotel mambo yalikuwaje?, mambo yalikuwa kama hivi, ukianzia nje ya jengo la hoteli, yani sehemu ambayo watu ukaa na kupata vinywaji na chakula, palianza kuchangamka, maana magari ya vyombo binafsi vya habari, yalianza kumiminika na kushusha wanahabari walio ambatana na kamera zao za picha kawaida na zile za video ambazo zilikuwa chache, kwa upand wa andishi wa magazeti walilkuwa wengi sana.
kwenye meza moja iliyo jitenga kidogo alionekana mzee Mohamed akiwa na familia yake, wakishuhudia jinsi meza za vyakula zilivyo kuwa zinaandaliwa, ikionyesha wazi kuna washimiwa wanauja kula, huku waandishi wa habari wakiendelea kuandaa vifaha vyao vyakazi. Wakina mama Monalisa nao, wakiwa wame kaa kwenye meza yao, wamesha maliza kula, na sasa wakiendelea na vinywaji vyao ambapo sasa ilikuwa ni furaha, na siyo kupoteza mawazo kama siku zilizopita, waliwaona wale waandishi wa habari wakijiandaa kwa tukio ambalo wao awakuwa wanalijuwa, “au wanakuja wale wakuu wa majeshi?” aliuliza dereva wa mzee Anderson.
Wakati wote akuna alie uliza juu ya Erasto, sababu hakuna mmoja kati yao ambae akujuwa Erasto yupo wapi, na anafanya nini, ila kwa upumbavu wa wazazi wa Erasto walihisi kuwa wakina mama Monalisa awakuwa wanajuwa lolote juu ya hili.
Kumbe Kijana huyu bado alikuwa chumba namba kumi na sita, tena bafuni akiwa nyuma ya dada mhudumu, lie inama akishikilia ukuta, na kuuacha msabwanda kw nyuma, akiubinua kidogo, kumfanya Erasto aweze kufaidi kitumbua chak, ambache alikuwa amesha kiingizia dudu, na sasa alikuwa ana piga ile nje ndani na kusababisha kale kamlio ka “pwa! pwa! pwa! pwa!!!” sambamba na miguno ya kimahaba toka kwa dada huyu, mzoefu wa mambo haya, dakika mbili baadae, Erasto akashusha mzigo kisha waka malizia kuoga, na kutoka bafuni, “sikia kuanzia sasa naomba ukae mbali na mimi, siunajuwa kuwa Monalisa ameshapatikana?” alisema Erasto kwa sauti kavu ambayo ilionysha wazi kuwa akuitaji mazowea na dada huyu, ambae aliduwaha kidogo, “lakini unakumbuka uliniambia kuwa ata akirudi tuta endelea?” aliuliza dada mhudumu, wakati huo walikuwa wanavaa, “achana na mambo hayo, kama ni ela nimesha kupa sana, tena vaa haraka uondokea bwana” alisema Erasto akibarika sura na kukunja ndita, akionyesha kuwa akuwa na mzaha, “kwa hiyo leo unipi ela?” aliuliza yule dada mhudumu kwa sauti ya upole iliyotia huruma, “zote nilizo kupa azitoshi?” aliuliza Erasto, mpaka hapo dada mhudumu akajuwa kuwa akuwa na chake, “sawa lakini, yani kunifanya kote huko alafu unipi ela?” alisema dada mhudumu alie kuwa amesha maliza kuvaa nguo zake, huku anatoka nje ya chumba hiki kiunyonge, Erasto akumjari kabisa, zaidi liendelea kuvaa taratibu, alipo maliza akafungua begi lake na kuchomoa mfuko wa kaki, akaingiza mkono na kutoa burungutu la fedha, akalitazama kwa sekunde kadhaa na kulirudisha kwenye pengi lake na kufunga zip, kisha akafungua zip yapembeni, na kutoa kopo la pafume, aka jipulizia, na kuirudisha kwenye begi, lakini ile anamalizia kufunga zip, akasikia miungurumo ya magari huko nje, akajuwa moja kwa moja ni wakina Monalisa wanarudi, haraka Erasto akachungulia dirishani, akayaona magari mengi ya kijeshi yanaingia pale hotelini, pamoja na gari moja la mkwe wake.
Kamavile kachanganyikiwa, kijana Erasto, au bwana harusi mtarajiwa, alichukuwa kimkebe chake cha pete inayo ng’ara, ikionyesha ni ya dhahabu, huku anachomeka viatu miguuni mwake, alafu aka kimbia kuufata mlango, ambao aliufungua na kutoka nje mbio mbio, akikimbilia upande wamapokezi, kule uliko mlango wa kutokea nje ya jengo la hotel, pasipo kumwona mama Edgar alie kuwa anashuka ngazi, kwa mwendo wa haraka, ni baada ya kuyaona magari mengi ya jeshi na polisi, yakiingia pale hotelini.
Mama Edgar ambae alikuwa amesha yaona magari yale, nakujipa uhakika wakuwa lazima manae na mume wake watakuwa ndani ya moja kati ya yale magari, alishuka ngazi haraka haraka, lakini wakati anakaribia ngazi za mwisho, akamwona Erasto ana tokea kwenye chumba kimoja wapo kati ya vyumba ambavyo alisikia miguno ya kimapenzi ina sikika, huku nyuma kidogo ya kile chumba alicho toka Erasto akionekana mdada mmoja alie valia sale ambazo amesha waona nazo wahudumu wa hapa, akiwa amesimama anamtazama Erasto, na baada ya sekunde chache akamwona yule mwanamke anaingia kwenye chumba alichotoka Erasto, akionekana mwenye tahadhari kubwa sana, lakini mama Edgar akujari aka endelea nasafari yake ya kuelekea nje, sasa nikama alikuwa nyuma ya Erasto alikuwa amesha ufikia mlango wa kutokea nje kabisa.
Nikweli mama Edgar aliweza kuwaona makamanda wajeshi wale aliokutana nao mida ile aliyo tokea songea, wakiongozana Monalisa alie mshika mkono Edgar, tena yule ambae ndie mkuu wa majeshi alikuwa karibu kabisa na wawili awa, huku mume wake akiwa nyumakabisa na bwana Kisona, mama Edgar alikumbuka mbali sana, alijikuta akitoka nje ya jango la hotel, na kusimama hatua chache tokakwenyakibaraza cha mbele ya jengo lile, na kuwatazama watoto awa wawili, akivuta picha ya kipindi wakiwa wadogo kabisa, mala nyingi alikuwa ana penda kuwabebea vitumbua au pipi, hivyo walipo kuwa wakimwona tu! walimkimbilia na kumkumbatia, japo siku hizi Edgar akuwa na tabia hiyo ni baada ya kujiona amekuwa mkubwa,
Kitendo kile kilionwa na watu wote, kwenye meza ya kina mzee Anderson, ambao walisimama mala tu baada ya waheshimiwa kuingia, nikama walitaka kuwa fwata, kwa mama Monalisa alitulia akitazama jinsi mwane alivyo ung’ang’ania mkono wa Edgar rafiki yake wa utotoni, huku mume wake akiachia tabasamu la fuaha, kumwona tena mwanae, ilakwa upande wa wazaziwa Erasto, awakuonyeshakupendezwa na kitendo kile, maana walikunja sura zao kwachuki, na ndipo walipo mwona Erasto akitoka mbio kufwata Monalisa.
Mama Edgar alimwona Erasto akiwa mbele yake, anakimbia moja kwamoja kumfwata, Monalisa alie ongoza na waheshimiwa, huku akiwa ameung’ang’ania mkono wa Edgar, wanaelekea kule waliko andaliwa meza za vyakula, wakiongea nakucheka, pamoja na makamanda wa jeshi na polisi, lakini akuika mbali akazuiriwa na askari wa jeshi la ulinzi waliokuwana silaha, hapo hapo wazazi wa Erasto na wakina mama Monalisa ambo walisha inuka kwenye viti vyao, wakaanza kusogelea kule alikokuwa Erasto, ambae alikuwa na kikasha cha pete mkononi, Monalisa akuonyesha kumjali, zidi alionekana kuwa busy na maongezi yao, na Edgar, huku wanaelekea kule kwenye meza za waheshimiwa.
Wakwanza kumwona mama Edgar, alikuwa ni mzee Mbogo, ambae alimwita Edgar na kumwonyesha kwenye kibaraza cha Hotel, wakati wakina mama Erasto wana elekea kule alikozuiliwa Erasto, hapo Edgar na Monalisa wote waka tazama kule kwenye kibaraza, na kumwona mama Edgar, akiwa anawatazama kwa tabasamu, lililo ambatana na machozi ya furaha, hapo wote walimwona Monalisa akichomoka mbio kukimbilia kule aliko kuwepo mama Edgar akimwacha Edgar, anatabasamu kwafuraha ya kumwona mama yake, hapondipo wazazi wa Erasto na wa wazazi wa Monalisa walipo tazama kule anakokimbilia Monalisa, wakamwona mama Edgar akiwa ametanua mikono yake huku tabasamu lime tawala usoni mwake, tayari kumkumbatia Monalisa, binti ambae alimpendaga kama mwanae, ata wazaziwa binti huyu walikuwa wanalijuwa hilo.
Watu wote walishuhudia Monalisa akimkumbatia mama Edgar, ata CDF alijikuta anatabasamu, kwa tukiolile, maana wawili awa walionekana kujawana furaha kubwa sana, ukizingatia walisha dokezwa kifupi juu ya historia yamausiano yaEdgar na Monalisa, “inapendeza sana, nakumbuka mwaka sabini na tisa tulipokuwa tunatoka mtukula, (katika vita vya idd amini) tulipokelewa vizuri sana, wakati huo nilikuwa kijana kama Edgar” alisema CDF, na wotewakacheka huku wana watazama mama Edgar na Monalisa ambao walikuwa bado wamekumbatiana.
Lakini wakati watu wakiwa kwenye furaha ya kuonana tena, mala akachomoka Erasto na kukimbilia pale alipo kuwepo mama Edgar na Monalisa, ambao sasa walikuwa wameachiana, na kuanza kuja pale walipo kuwa wakina Edgar, lakini wale askari walio chaguliwa kuwalinda wakina Edgar, nao wakachomoka kumfwata Erasto, ambae alisha mfikia Monalisa na kumshika mkono, huku anapiga goti moja, na kikashahake cha pete mkononi, Monalisa akaduwaha, na kuitazama ilepete kwa mashangao, Edgar alikuwa ana tazama kwa maho ya mshangao sambamba, na wakina Kisona na makamanda wote pale, maana awakuelewa kinacho endelea.
Mala askari awa hapa, waka mshika Erasto, tayari kutumianguvu kumstopisha alicho kuwa anataka kufanya, “jamani msimzuwie huyo ni mchumba wake”alipazasauti mama Erasto alie kuwa anakija mbio, “huyu ni mchumba wake, ilibidi mvishepete kabla ajatekwa” aliongeza mama Erasto akiwa amesha wafikia, Erasto na Monalisa, nusu amkumbe mama Edgar alie simama pembeni ya Monalisa anashangaa,
Walewalinzi waka geuza shingo zao kumtazama Edgar, na CDF, pengine kuna amri inaweza kutoka, ndio kwanza wakamwona Edgar anatazama na CDF, pasipo kuongea neno lolote, wotewaka rudisha macho kwa Monalisa, ambae ndie mwenye jibu la mwisho, ambae alikuwa ameshikwa mkono wa kushoto na Erasto alie piga goti moja, huku mkono wake wakushoto umeshikilia kikasha cha pete, Moalisa akainua usowake kumtazama Edgar, akamwona ana mtazama, Monalisa akarudisha macho yake kwenye pete, huku anaachia tabasamu la furaha……. “uuuuuwwwwwi

