
BINTI MDUNGUAJI (30)

SEHEMU YA SELASINI
ILIPOISHIA SEHEMU YA ISHILINI NA TISA : akikaza misuri ya mapaja na makalio yake mazuri, maana utamu ulizidi kukolea, ingiza baba… ingiza baba..tayari mme wangu ing…”, mala ghafla walisitisha zoezi lao, baada simu ya Jackline kuita, achilia kumstua pia simu ile ilimchukiza sana Jackline, maana utamu aliokuwa akiupata ulikuwa siyo mchezo, kivivu na kwa hasira akachukuwa simu yake, “he! baba!” alinong’ona jackline, endelea …….
Na kuipokea simu, “shikamoo baba” hapo Jackline alikutana na maswali magumu, ambayo aliyajibu kitaharamu, akificha kuwa ni mjamzito, pasipo Denis kuelewa chochote, mwisho Michael akamsisitiza mwanae kuwa makini, pia akaomba kumsalimia Denis, ambae alisalimiana na mkwe wake, pia mama Jackline naye akamsalimia Denis ambae alikuwa akijuwa kuwa wazazi wa Jackline ni masikini sana huko kijijini, baada ya kukata simu, Jackline akuchelewa akaishika dudu Denis, ambayo bado ilikuwa imesimama bado, na kuidumbukiza mdomoni, akaanza kuinyonya taratibu, nakumfanya Denis aanze kutoaa mguno flani wa kula muwa, baada ya sekunde chache Denis akajilaza kwenye kochi, huku Jackline akijilaza juu yake lakini waki pishana Jackline akielekea miguuni kwa Denis nakufanya mdomowake ukae usawa wa dudu ya Denis na kitumbua chake kikae usawa wa mdomo wa Denis, hapo wakaanza kunyonyana sehemu za siri kabla ya kukaa sawa nakuingiziana dudu, ** “baada ya kurudi toka congo baba yako alipata likizo, tukaenda nyumbani musoma, huko tulikaa wiki mbili tu! tukarudi dar es salaam, tena baba yako alikuwa na fedha nyingi sana, hapo tulinunua hii nyumba na baadae likizo ilipo isha akaacha kazi, si kuwa na wasiwasi kwa kuwa alikuwa na fedha nyingi sana, baadae akanunua meli, ile ambayo unaiona mpaka leo inafanya kazi, ila baada ya mda mfupi, baba yako alianza kubadilika tabia, akawa anapenda sana wanawake, pia vikao visivyoisha na wenzake, wakiwemo wale walio uliwa na huyu aliekamtwa leo, ila kwa siku za hivi karibuni, baada ya kurudi toka musoma, ni memsikia akizungumzia sana kuhusu mtu mmoja anayeitwa Michael Nyati, sijuwi kwanini lakini jina hilo aliwai kuni tajia miaka mingi sana iliyopita, akiwa ni mmoja kati ya askari wenzake, alio endanao congo, walipo rudi sikuwai kufwatilia sana, mpaka siku za hivi karibuni nilpo sikia akiongea kwenye simu akimtaja Michael Nyati, kwamba wa kizubaa atawamaliza, akisisitiza kuwa, vijana wamsake mtu wao” insp Johnson alikuwa akimsikiliza mama yake kwa umakini sana, moyoni alikili kuwa, kweli kulikuwa na utofauti wa maelewano, kati ya baba na mama yeke, na mkolofi ni baba yake, ilo alilifahamu fika, toka miaka mingisana iliyopita ni baada tu alipo pat ufahamu, baada ya kupata mawili machache toka kwa mama yake akaona bola aondoke zake, ila akamwambia mama yake, asije akamwambia baba yake, kuwa amemsimulia hayo aliyo msimulia, ** wakati huo mzee masinde na wakina Alex, walikuwa kwenye bar moja mitaa ya kibamba ccm pamoja na vijana wao, waliobakia waki jadiliana kuhusu mambo yaliyotokea mchana waleo, ikiwa ni kuuwawa kwa vijana wawili na kukamatwa kwa Mathayo, na mpango wao ukiwa ni kumtoa mahabusu mwenzao, bwana Mathayo, kabla haja hojiwa napolisi na kutoa siri zao zote, juu ya kisa kinacho wakabili, ukizingatiwa walishatiliwa shaka kuwa, wama huusiano na matukio ya mauwaji yanatoendelea, ikiwezekana waipoteze ile kesi ya mauwaji, yavijana wawili, na ilo jukumu akakabidhiwa mzee Masinde, kuakikisha kesho mwenzao anatoka jela, pia waliteua vijana watatu, wakuwa karibu na mzee Masinde, kumpa ulinzi, maana muuwaji amesha juwa kuwa anafwatiliwa, hivyo lazima atakuwa anaitaji kuwamaliza na wao pia, wakiamoni kwa kitendo cha vijanawao kumvamia, watakuwa wamemchokoza, ** wakati wao wakipanga yao, huku Michael Nyati alikuwa akipanga yake, aliwaza mambo mengi sana akajumlisha na kuzidisha, kisha atoa na kugawanya, akaona endapo mzee Mathayo akihojiwa vizuri, lazima ataongea kila kitu, hivyo italeta matatizo kwake, na kwa mwanae Jackline, hivyo ni vyema bwana Mathayo, akiviziwa mapema sana, na kuuwawa, kabla ya kufunguwa mdomo wake mbele ya polisi, pia hiyo ndiyo nafasi pekee ya kutimiza adhma yake, ya kumpoteza Mathayo, akiwa ni mmoja wa maadui zake, hapo sasa akachukuwa pad yake na kuifungua sehemu ya ramani, ijulikanayo kama inter map, na kulifungua jiji la Dra es salaam, akaikuza (zoom) sehemu ya kaliakoo, kilipo kituo kikuu cha police, akaanza kutazama eneo lile la kuzunguka kituo kikuu kwa umakini sana, dakika chache baadae alijikuta akitabasamu, akajuwa kesho lazima afanikiwe kumpunguza Mathayo kwenye idadi ya wabaya wake, ** jumapili illikuwa ni siku fupi sana kwa wote, wakati insp Johnson akiwa kituo kikuu cha polisi akiitaji kumuhoji, mzee Mathayo rafiki mkubwa wa baba yake, lakini anaambiwa kuwa ameachiwa, na ameambiwa alipoti kesho asubuhi kituoni hapo, hapo alichoka kiakili, kumbe baba yake mzee Masinde, alishaongea na mkuu wa kitengo cha upelelezi wa makosa ya jinai, huku akitanguliza fungu nono la fedha, na kumfanya mkuu huyo akubali kuwa saidia, huku akiwapa ujanja wa kufanya ili kukwepa tuhuma hizo, lakini aliwasisitiza kuja kesho asubuhi kituoni, “husijari mimi mwenyewe nitamsindikiza, wacha sasa tuka fanye kama ulivyo tuagiza” aliongea mzee Masinde, lakini mkuu wa upelelezi ambae anajulikana kwa jina la Kishiko, akamlekebisha bwana Masinde, kuhusu report ya uibiwa kwa gari na kutumika kwenye tukio la ualifu, nikwamba ata atashughulikia yeye mwenyewe, kwamba wao kesho wataikuta hiyo report, itakayo onyesha kuwa gari liliibiwa siku chache kabla ya tukio, * huku nymbani kwa kina Denis, yeye na Jackline walikuwa wanakunywa pombe nyingi sana, huku wakifurahi, sauti kubwa ya music ilisikika ndani ya nyumba yao, kelele na vicheko vilitawala, lakini aikutimia saa saba mchana, kabla awaja pitiwa na usingizi pale pale sebuleni kwenye makochi, ** wakati wao wana sherehekea, wakati huo Sablina mwanamke tapeli, alikuwa pamoja na mwanaume wake wakipanga jinsi ya kumwingiza mjini Denis, kama ambavyo walisha wai kufanya kwa watu wengi sana, walipanga mpango wao uanzie asubuhi, na kukamilika jioni, na ksawishi kikubwa kikiwa ni pombe, ** kwa mzee Nyati na mke wake nako mambo yalikuwa moto, mda wote walikuwa wana tengeneza mchoro wa tukio utakavyo kuwa, na kupanga vizuri kavbisa kwa kutumia akili nyingi sana, ili Jackline aweze kufanya tukio na kuondoka eneo hilo bila kuonekana, au kukamatwa, saa tatu usiku ndo mda ambao alikuwa wame maliza kupanga mipango yao, na kumpigia simu Jackline, ** wakwanza kuisikia simu hiyo alikuwa Jackline mwenyewe, pombe ilikuwa imesha anza kupungua kichwani mwake, akaipokea simu na kumsikiliza baba yake, ambae alimweleza mpango wakesho, baada ya kumaliza maongezi na baba yake, Jackline alimtazama Denis akamwona bado amelala, akaelekea kwenye kibanda cha kulazia gari, akalichukia begi lake jeusi kwenye makolokolo yaliyo lundikwa mle ndani ya kibanda, akalifumgua na kutoa vifaa nya silaha yake kubwa ya udunguaji, mugnum sniper rifle, na kuanza kuvikagua, alipo lidhika akakagua risasi, alipo maliza akaamia kwenye bastora na kisu, ** asubuhi na mapema siku iliyo fuata Denis alikuwa wakwanza kuamka na kuelekea kazini, akimwacha mpenzi wake mama kijacho akiwa bado amelala, sasa kumi na mbili na robo ilimkuta mbezi mwisho, ndipo alipo simamishwa na mwanamke ambae alimpalifti juzi akitokea kibamba, Denis alisimaisha gari, yule mwanamke ambae leo alivalia gauni jepesi la kubana, na kusabisha makalio yake ayaonekane kwa jinsi yalivyo tuna, aliingia kwenye gari wakaondoka “naona ulisahau kama nilikuambia kuwa nita kusubiri hapa” aliongea yule mwanamke, huku akijichekesha na kujitingisasha kidogo, na kusabisha kifua chake ambacho kilijaliwa maziwa makubwa na kuonekana kama makalio, yatikisike kwa fujo, “kweli nilisha sahau, mambo vipi lakini” alisalimia Denis, “poa tu anasemaje wifi” aliitikia Sablina, “yupo, nime mwacha amelala” alijibu Denis huku safari ikiendelea, “ongra yenu nyie wenye wake, yani mimi sina hamu na anaume, walicho nifanyia” aliongea mwanamke tapeli Sablina kwa sauti nyembamba akiigiza uzuni flani, ambayo ilimteka Denis, “pole sana kwani walikufanyia nini?” aliuliza Denis akionyesha kuguswa na maongezi ya yule dada, “yani we kaka ya ngua acha tu, kama utakuwa na nafasi mchana, mimi nikaombe luksa, tuka kae sehemu nikusimulie, huku tuna pata bia baridiiiii” alisema yule mwanamke, akimtazama Denis usoni, huku akiwa ameliachia tabasamu mwanana, hapo Denis aliwaza kwa dakika chache, kisha aka mwambia ule dada, “aina shida nazani mda wa chakula itapendeza,” hapo likaonekana tabasamu usoni kwa yule dada tapeli Sablina, “basi utachukuwa namba yangu, alafu utanipigia saa sita, tujuwe tukutane wapi” aliongea yule dada huku akimsisitiza sana Denis kuja peke yake, iliaweze kumsimulia kisa kamili, wakati huo yule dada alikuwa anachezea simu yake kama natuma ujumbe kwa mtu, “bwege amesha nasa, anza kusogea mida ya saa tano” ** sms hiyo ilimkuta mwanaume wa Sablina akiwa njiani anarudi kwenye nyumba waliyo panga, maana asubuhi ya leo alimsindikiza mwanamke wake kwenye kituo cha daladala mbezi mwisho, kwa lengo la kushuhudia kama Sablina ana fanikiwa kupanda gari la Denis, ambae wana muwinda, ili kumpola fedha zake nyingi ikiwezekana ata gari, na yeye akajibu, ‘hakikisha achomoki’ * nyumbani nako Jackline baada ya kumwona Denis ameondoka, akaamka na kuanza mazoezi, akijiandaa kwa safri ya kwenda kutoa roho ya Mathayo, bada ya kufanya mazoezi ya nguvu sana, aliingia bafuni na kuoga, kisha aka mpigia simu baba yake, na kupokea maelezo yakina, ambayo yalimtosheleza kufanya kazi yake vizuri, baada yahapo Jackline akaanza kujiandaa tayari kwa safari, leo akibadilisha mwonekano wake, ili asifahamike kwa ulahisi, ** saa moja na nusu ilimkuta Denis ameshafika kazini,leo alionekana akiwa mwenye furaha sana, kwa kitendo cha Jackline kushika ujauzito wake, na kukubali wazae, aliwasimulia wakina Mahadhi na boss wake, nao walimpa hongera sana, japo walimlahumu kwa kushindwa kuwakaribisha kwenda kumwona shemeji yao, kwa upande wa Jane taharifa hiyo ilimuumiza roho, kwani alishaangaika sana kumnasa Denis lakini akamkosa, ** saa tatu na robo, mzee Masinde na mzee Mathayo, walikuwa wameshafika kwenye kituo kikuu cha polisi, na kupokelewa na askari wa kitengo cha upelelezi, mzee Masinde akabaki nje ya ofisi za kituo hicho, huku mzee Mathayo akichukuliwa na askari na kupelekwa kwenye chumba cha mahojiano ambako alimkuta insp Johnson, tayari kwa kumchukuwa maelezo, lakini wakati insp Johnson akiwa katika chumba cha mahojiano, anajiandaa kuchukuwa maelezo ya nzee Mathayo, mala mlango wa chumba hicho uka funguliwa, akaingia police mwengine, alieonekana kuwa na cheo kikubwa kidogo kuliko Insp Johnson, ambae alimwita insp na kumweleza kuwa anaitwa kwenye ofisi ya mkuu wa kitengo cha upelelezi wa makosa ya jinai, hapo Insp Johnson akamwacha mzee Mathayo, nakuelekea kwenye ofisi ya afande kishiko,* mita mia moja toka kituo kikuu cha police, walionekana vijana watatu ambao alikuwa wamesimama nje ya gari aina ya rand lover 110, lakini siyo lile lililo tumika kubebea marehemu, kule mbezi Matumaini Despensal, macho yao yakielekea kituo kikuu, waki mtazama mzee Masinde, aliekuwa amesimama nje ya gari lake, kwenye maegesho ya magari ya kituo kikuu cha police, akisuburi jibu la mchezo wake alioucheza kwa mkuu wakitengo cha upelelezi, wakati huo huo Jackline nae ndiyo alikuwa ameshuka toka kwenye daladala, la mbezi kaliakoo, na kuelekea usawa wa kituo kikuu, safari yake ni kuelekea kwenye jengo moja refu sana, linalo fahamika kama MH Production, mita mia mbili toka kituo kikuu, alitembea Jackline akiwa amevalia suruali ya kaki na tishert nyeusi, pia kofia ya cap, na beg jeusi mgongoni mwake, chini akivalia viatu virefu vya mchuchumio, alikatiza mbele ya wale vijana watatu, pasipo kujuwa kuwa ni kati ya watu wanao msaka, akiwa amejichanganya na makundi ya watu wengi walio zagaa pale kaliakoo akazidi kusonga mbele kulifwata jengo lile lefu la golofa saba, kijana mmoja kati ya wale watatu alimwona Jackline, akajaribu kuvuta kumbu kumbu ya kuwa amemwona wapi huyu mwanamke mrembo, lakini kijana huyu, kwa kuwa alikuwa kazini, akapotezea akijiambia kuwa ule aukuwa mda wakutamani wanawake, japo aliendelea kumtazama mpaka alipo ingia kwenye jengo la MH Production, itaendelea ……….

