
BINTI MDUNGUAJI (40)

SEHEMU YA AROBAINI
ILIPOISHIA SEHEMU YA SELATHINI NA TISA : mgeni watatu, ambae mda wote alikuwa amesimama ameshikilia brifkess huku tabasamu limetawala usoni mwake, kwa mwonekano ni mschana mrembo wa lika la Jackiline, lakini alimzidi Jackline kidogo kwa umri, tofauti nyingine, Jackline nimzuri wa hasiri, hila huyu mwenzie ni mzuri wa kujiremba, wakakumbatiana na kukumbatiana kwanguvu pasipo Jackline kujali tumbo lake, huku wakishangiliana kwa furaha sana, “karibu dada Felister niliku miss”. endelea ……
Aliongea Jackline wakiwa bado wamekumbatiana, na rafiki yake mkubwa sana Felister, huku tumbo lake kubwa likimgusa Felister nakufanya wakumbatiane kiupande upande, kama ilivyo kuwa kwa wazazi wake, “na mimi nilikumiss sana Jack, yani baba alivyo sema tunakuja kuku tembelea, nilifurahi” aliongea Felister huku bado wamekumbatiana, “ebu tukaribishe ndani bwana, tuongee mala moja, atutaki huyo jamaa yako atukute hapa” aliongea mzee Nyati huku akitangulia kuingia ndani, wote wakafwata ndani, “ok! Jack, habari ya hapa” aliongea mzee Michael Nyati, baada yakuwa wame kaa, “salama tu baba wacha niwaandalie japo Soda kidogo” alisema Jackline lakini baba yake akamdaka juu kwa juu, “hapana Jackline sisi siyo wakaaji, ebu kaa tuongee mala moja” hapo Jackline akatulia kwenye kochi, aka mtazama baba yake kisha mama yake na mwisho akamtaza Felister, wote aliwaona kama wana kitu muhimu wanataka kumweleza, * nazani iakuwa vyema ukimfahamu Felister, na kwanini ali jaribu kumfanya vile, kwa Denis, kwanza kabisa toka Jackline apate ujauzito wazazi wake walijawa na awazo mengi sana juu ya binti wao, na maisha ya huko aliko katika hali yake ya ujauzito, na maisha yake baada ya kujifungua, licha kwamba alipo kuwa anaondoka nyumbani Songea, kuja dar kwakazi maalumu, alipewa fenda ya kutosha mkononi, pamoja na kadi ya benki yenye fedha nyingi sana, lakini swala hili lili wafanya wazazi wake watambue kuwa, mtoto wao anaitaji maisha yake baada ya kujifungua, tena ukizingatia anaweza kumaliza kazi ambayo wame mpangia, lakini pia Jackline anampenzi wake atakama wata mwandalia maisha yake, itakuwaje kuhusu mwenzake anae ishi nae sasa, kuhusu kuishi maisha watakayo itaji wao, hilo halikuwapa shida, sababu walikuwa na fedha nyingi sana, zakuweza kumbadilisha mtu na kuwa mwingine, lakini kilicho wapasua kichwa ni kwamba, je huyo mtu ni waaina gani, itakuwaje endapo atagundua kuwa wazazi wa Jackline ni tofauti na vile alivyo kuwa anajuwa, kuwa ni wazee walipo shamba, tena masikini, pia waliitaji kufahamu mambo mengi sana kuhusu kijana huyu, na kama anaweza akaimili kutunza siri za mke wake, endapo itatokea akajuwa lolote kuhu matukio aliyo yafanya mke wake, yani Jackline, ndipo walipo funga safari kuja Dar, licha ya kumwona mtoto wao ambae ni mjamzito, pia walipanga kuja kumwona Denis, na kuangalia kama anafaha kuwa mkwe wao, katika mipango waliyo panga, iliwalzimu kumchukuwa Felister, ni binti mmoja ambae wanamtumia katika usimamizi wa maduka yao yaliyopo mjini Songea, chanzo cha kukutana na Felister ni Jackline, ambae alikutana na Felister miaka mi tano, iliyo pita, wakiwa wanasoma sekondali, Felister alimtangulia darasa moja Jackline, wakati Jackline akiwa kidato cha tano, Felister alikuwa kidato cha sita, chanzo cha urafiki wao, ilitokea siku moja walikuwa katika tamasha la michezo, ya shule za sekondali la mkoa wa Ruvuma, ikatokea vurugu moja kubwa sana, Jackile aikumpa shida ile vurugu, tatizo lilikuwa kwa Felister, ambae baada ya wanafunzi kutawanyika kwa kukimbia vurugu akajikuta yupo kwenye kichaka amezungukwa na wanafunzi wakiume wapatao saba, toka shule moja ya wavulana ya mwenge masindo , wakiwa na kila dalili ya kutaka kumbaka, akiwa amesha kata tamaha kabisa, akijuwa kuwa kinacho fwata ni kuliwa kuingizia dudu kwa matakwa ya vijana wale watukutu, kufumba na kufuambua tayari walisha mwangusha chini, na kuzilalua nguo zake zote, mpaka zile za ndani, wakimwacha ameifadhiwa na vipande vichache vya nguo, huku wenginge wakimshikilia miguu na mikono wakiitanua, na kukiaxha kitumbua kikiwa wazi, kabisa tayari kuingiziwa dudu, huku wengine wakiwa wame simama na kufungua suluali zao wakizishusha mpaka magotini, wakiyaacha madudu yao yaliyo simama yaonekane jinsi yalivyo kuwa na tamaa ya kitumbua cha mschana yule mrembo, lakini ghafla kilichotokea hakuna ambae aliamini, siyo wale vijana wala Felister, ambae alimwona mwanafunzi wakike, alievalia uniform za shuleni kwao, aliejifunga kitambaa chenye picha ya bob Marley, kuanzia puani mpaka mdomoni, nakuacha macho peke yakionekana, Felister akiwa pale chini alishuhudia yule mwanafunzi wakike akitembeza kichapo cha hatari, ambacho kiliwaacha maututi wale wanafunzi watukutu, mpaka mwisho wa kipigo mwanafunzi alie kuwa na afadhari alikuwa amevunjika mguu, zaidi ya hpo, licha ya kuvunjwa mikono na miguu pia weni wao walikuwa wame poteza fahamu, Felister alichukuliwa na yule mwanafunzi wakike, ambae alitoka kuwa adabisha wale wanafunzi wakiume, wakapta kwenye vichaka mpaka, nyumbani kwa kina Jackline, ambako alipewa nguo nyingine na Jackline, na hapo ndipo alipo mfahamu Jackline kuwa ndie alie msaidia, Felister ambae alikuwa anaish na mama yake katika maisha ya hali ya chini, akuwai kumfahamu baba yake, maana mama yake alipata mimba ya nyumbani na kukimbiwa na mwanamume alie mpatia uja uzito huo, lakini licha ya kuwa na kipato kidogo kilicho patika na kwa kuuza maandazi , Felister alisomeshwa na kufikia hapo alipo, kiukweli tukio la vurugu, katika tamasha la michezo ya shule za sekondali, lilikuwa kubwa sana kiasi kwamba polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia walikuja kwenye eneo la tukio, na kutuliza vurugu hizo ambazo zilidumu kwa mda mrefu kabla wao awajafika, walifanikiwa kutuliza vurugu hizo, wakiwakamata wanafunzi ishilini ambao walioneka kujaribu kupambana na polisi, katika zoezi hilo, siku yapili vyombo ya habari vikareport kupatikana kwa wanafunzi saba wakiume, walio patikana kwenye kichaka, wakiwa hoi bin taabani, ajitambui na wamekosa nguvu, kwa kutokana na kupoteza damu nyingi sana, kati ya watu ambao walisikia taalifa hizo ni wazazi wa Jackline, ambao walijuwa kuwa mtekelezajiw atukio lile ni nani, lakini walitambua kuwa mtoto wao, aliziba sura wakati anatekeleza tukio hilo, lakini mawazo yao yalikuwa tofauti na waliyozania, maana baada ya siku tao mbele, wale wanafunzi watkutu baadhi yao waliweza kuongea, walipoojiwa kuhusu nani alie wapiga wakamtaja Felister kuwa ndie anamjuwa alie wafanya kitu mbaya, sababu wao awakuweza kumtambua alijiziba usoni, mala moja Polisi walienda shule ni kwa kina Felister na kumchukuwa mschana huyo kwa mahojiano, baada ya kuhojiwa na polisi Felister akaeleza hilivyo kuwa, kwamba alinusulika kubakwa na wanafunzi wale saba, Felister licha ya kumfahamu mwanafunzi wakike alie msaidia, lakini mbele ya polisi Felister alieleza kuwa akuweza kumfahamu yule mwanafunzi sababu aljiziba kwa kitambaa usoni, kitendo hicho kili mfurahisha sana mzee Nyati, ambae ambae aliagaiza Felister aletwe malamoja, jumaosi moja Jackline alimleta Felister nyumbani kwao, ndipo mzee Nyati alimwuliza Felister, kwanini akumtaja Jackline kuwa ndie alie waadabisha wale wanafunzi, jibu la Felister ndilo lililo mfanya mzee Nyati ajitolee kumsomesha Felister na kumghalamia kila kitu katika maisha yake, yeye pamoja na mama yake, pia akawa jengea nyumba moja nzuri, “nilijuwa ninge mwingiza kwenye matatizo, sababu aliyo yafanya pale, ata wewe ungeingia kwenye matatizo kwa kumfundisha mwanao kupigana hivi, kiukweli siyo polisi tu! ata mama yangu siwezi kumweleza kama ni Jack ndie alienisaidia,” na toka siku hiyo licha ya Felister kuwa na urafiki wa karibu na Jackline, pia baba yake Jackline yani Mzee Nyati, aliamua kumtumia Felister kama mmoja wa familia yake, mpaka leo hii ambayo aliongozana nae kuja Dar, na kumtuma kumfwatilia Denis wakijaribu mpima Imani yake juu ya maisha yake yandoa, na ilipangwa kuwa endapo Denis angeonekana kuwa na tamaa ya feda na wanawake ange uwawa, na Jackline angeamishwa kabisa sehemu ile, ** “kwanza hongera sana manangu kwa kupata mwanaume mwenye upendo wa dhati kwako,” aliongea mzee Nyati akichukuwa briff kace na kulifungua, akatoa vi paket kadhaa, vya size tofauti tofauti, “nimekuletea risasi nyingine, maana zile umezitumia sana, na kazi bado mbichi” mzee Nyati alitoa vile vipaket na kuviweka mezani, “pia mwanangu jitaidikazi iishe uje uishi nyumbani, nakuhusu mumeo sisi tumesha mkubari” aliongea mama Jackline, na Jackline akatabasamu kidogo, na kumtazama mama yake, ambae nae alikuwa anatabasamu, *** Miezi miwili na siku kadhaa mbele, mambo yalisha sahaulika, siyo insp Johnson wala wakina mzee Masinde, waliokumbuka kuwa wanawindwa, japo waliamini kuwa mda wowote kita nuka upya, baada ya kuona mambo yamepoa, mzee Alex akaona huu ni wakati wa kujitengeezea jina, hili kupata sapot serikalini, kwa ujanja wa kujitoa, kwa lemavu, akiona labda maswala kama haya yatamweka karibu na serikali, na kupata ulinzi mkubwa sana, bwana Alex Mwasaga, aliandaa taflija kubwa ya kugawa misaada kwa vituo vya kulea watoto yatima, nawatu wasio jiweza, akijitaidi kutumia waandishi wa habari, kutangaza taflija ile ambayo ilikuwa imebakiza week moja kufanyika, akuna redio au Tv ambayo inge pitisha siku pasipo kutangaza uwepo wa taflija hiyo, huku magazeti yakiongoza kwa kutangaza taflija hiyo, wakitoa na picha ya mzee Alex Mwasaga, wakimwelezea kama mfanya biashara mkubwa, sana ambae anania ya dhati ya kusaidia wasio jiweza, akiwa amelishika gazeti, mze Nyati akatabasamu kidogo, “miezi tisa kasoro sijuwi kama ataweza” aliwaza mze Nyati,

