SEASON3: BINTI MDUNGUAJI (42)

SEHEMU YA AROBAINI NA MBILI

ILIPOISHIA SEHEMU YA AROBAINI NA MOJA : kule chumbani Denis alitumia mda mfupi, akatoka akiwa anatikisa kichwa kwa masikitiko, huku amejishika mikono kiunoni, ikionyesha ni ishara ya kuchoshwa na jambo flani, akawatazama usoni wakina Mahadhi na Janeth, ambao walishindwa kumwelewa mwenzao, kuwa ametabasamu au anataka kulia. endelea………..
“dah! huyu mwanamke sijuwi nimfanyaje, kwa mambo aliyo nifanyia?” hapo Denis akaangua kicheko kikubwa sana, kilicho wafanya wakina Mahadhi waanze kumshangaa, lakini aikuchukuwa dakika kabla nawao awajaanza kucheka, baada ya kumwona Jackline akiwaamevalia gauni lake kubwa na zuri, huku amejipodoa sana, yani licha ya ujauzito wake, alizidi kupendeza na kuwa wamoto, ilionyesha kuwa kunasehemu alikuwa anaitaji kutoka na mume wake Denis, maana licha ya kupendeza vile, pia alikuwa anakimkoba chake kidogo kwapani kwake, “he! kumbe umekuja na wageni?, karibuni jamani” aliongea Jackline katika hali flani ya kuona aibu, hapo wakina Mahadhi wakasitisha kucheka na kuitikia karibu ya Jackline, “asante shemeji, naona umesha poa sasa” aliongea Mahadhi, nakuendelea kucheka, akiungwa mkono nawaote mle ndani, kasolo Jackline mwenyewe, ambae alitabasamu tu! na kumsogelea mume wake Denis, “sasa Deny, si tunaenda hen!?” aliongea Jackline kwa sauti ya kubembeleza, kumbe Denis kule chumbani, alimkuta mpenzi wake Jackline akiwa anamalizia kujiandaa, huku usoni mwake akionekana kutawaliwa na tabasamu languvu, akashangaa kumkuta vile, maana alitegema kumkuta akiwa katika hali mbaya, “afadhali umewai maana nilikumiss sana,” aliongea Jackline huku anasimama na kumkumbatia Denis, kwakuzungusha mikono yake kwenye mabega ya mume wake, ambae bado alikuwa ameshangaa, kwa kuchoka akili, “alfu Deny, naomba uni toe out, mwenzio kuna sehemu nimeiona kwenye Tv, nzuriiii, nataka uni peleke” aliongea Jackline kwa sauti ya chini ya kubembeleza, hapo Denis pasipo kujibu kitu, akajitoa mikononi mwa Jackline na kurudi sebuleni, alikowaaacha wageni wake, ** “sasa Deny, si tunaenda hen!?”ilikuwa sauti ya jakline yenye sifa zote za kubembeleza, “sijawai kukukatalia ata siku moja mke wangu, na leo nimekukubalia kuwa tunaenda, umesema panaitwaje” aliongea Denis huku akimshika kidevu mke wake na kufanya kama anakichezea kidogo, huku wakina Denis waliosimama pembeni yao wakiwatazama, na kuwasikiliza, “panaitwaaaaa!…. Cosovor….. Hotel,” alijibu Jackiline akijifanya kulitafutiza jina, “hoooo! napajuwa hapo, hipo mwenge kama unaenda morocco, nipazuri sana, wacha tuwape campany” aliunga mkono Mahadhi, kisha akamtazama Janeth, “si tuta kuwanao, au unasemaje?” Mahadhi alimwuliza, Janeth ambae bado alikuwa akiendelea kushangaa, na sasa alikuwa anamshangaa Jackline, ambae licha ya kuwa natumbo kubwa kiasi, lililo ficha ukubwa alisi ya miezi yake, kutokana na dada huyu kuwa na mazoezi, lakini uzuri wa mwanamke huyu ulikuwa ni wakuotea mbali, “sawa lakini billy kwako” alijibu Janeth, kwa haraa sana, “wala usiwe na hofu, ata ukitaka nikulipie sehemu ya kulala, mi nitalipa” aliongea Mahadhi kwa utani, dakika chache walikuwa ndani ya gari, wakielekea mjini, wakipitia barabara ya mbezi goba, lugaro ndani, mpaka mwenge, wakati anaikamata bara bara ya mandera, ndipo waliposikia simu ya Janeth ikiita, akaitoa kaichukuwa toka kwenye kipchi chake na kuitazama, “boss huyooooo! anapiga” wote wakatazamana, hukuwakipanga lakuongea, mala Janeth, akaipokea pasipo kusubiri ushauri wa wenzake, “ndio boss…. ndio … tupo mbezi kwa Dr Stellah… ndio amesha mchevk, … nimtoto alikuwa anageuka …. haya boss tuta kujulisha” mpaka hapo Janeth akakata simu, akiwa amesha muweka sawa boss wao, “ndio maana nakupenda sana we mwanamke yani unaakili nyingi sana” alisifia Mahadhi, na kugonga mikono na Janeth, “ninyime offer sasa uone” aliongea kwa utani Janeth, wote wakacheka, wakati huo walikuwa wana kata kona kuingia kwenye jengo moja kubwa sana la gholofa sita, lenye bango kubwa sana, lililo andikwa Cosovor Hotel, ** upande mwingine insp alikuwa ameshamaliza kazi ya kupanga walinzi, kwenye eneo la tukio, yani kwenye Taflija inayo tarajia kufanyika kesho yake, kuanzia saa moja jioni, nakuanzia leo jioni hii askari waio kuwa wamevalia nguo za kiraia walikuwepo kwenye eneo hilo, wakiendelea na uchungizi wa kiulizi, kuakikisha wana ng’amua mbinu yoyote chafu itakayo fanyika, sasa insp Johnson, alikuwa ame waita askari wake wawili anao waamini sana, kiutendaji na kinidhamu, ni pc Busungu, na pc Pange Ezekiel, ilikuwapa mkakati wa kumzuwa mzee Masinde, asiweze kuudhulia kwenye taflija ya kutoa misaada kwa walemavu iliyo andaliwa na mzee Alex Mwasaga, walikaa wakijadiliana kwa mda mrefu sana, mpaka giza lina ingia awakuwa wamepata jibu, maana waazo kubwa lilikuwa ni, kuzuwia barabara ya kutoka kwa mzee huyu, kwakutengeneza hajari, lakini wakakumbuka kuwa alikuwa na uwezo wakutembea kwamguu mpaka kwenye kituo cha magari, na kukodi taxi, wakati mpango wao ukielekea kuwamgumu mala Johnson akapata wazo, “sikieni, mtapewa hati ya kufanya mahojiano na mzee huyu, alafu katika mahojiano hayo yatakayo husu kifo cha rafiki yake Mathayo alieuwawa mbele ya kituo cha polisi, yachuwe mda mrefu sana, huku mki mwuliza maswali mengi yaovyo hovyo, mpaka nitakapo waambia muondoke zenu” mpango huo uli kubarika moja kwa moja ** saa tatu za usiku, pale Cosovor Hotel, wakina Denis, Jackline Mahadhi na Janeth, walikuwa wame kaa upande wa bar pamoja na watu wengine wengi sana, ambao walikuwa wanapata vinywaji mbali mbali, wapo walio kuwa wanakunywa pombe, wapo waliokuwa wanakunywa soda, pasipokusahau vyakula mbali mbali vinavyo patikana maali pale Jackline ambae mda wote aikuwa akinywa juice ya embe, tofauti na wenzie waliokunywa pombe, alionekana mala kwa mala, akituma na kupokea ujumbe, ‘sawa ngoja niagize, nitakujulisha’ aliandika Jackline, kisha akaituma ile sms, “eti Deny, naomba niagizie maji madogo, waniwekee kwenye mfuko wa Rambo nyeusi, aliongea Jackline, alafu kama mfanyanyakazi wa Malkia, Denis akamwita muudumu haraka sana, na kumpatia maagizo kama alivyoomba Jackline, nabaada ya dakika chache, chupa ya maji ililetwa, ikiwa ndani ya kimfuko kidogo cha Rambo, “Denis nataka kwenda chooni,” aliongea kwa sauti ya kudeka Jackline, huku akituma ujumbe aliouandika hivi, ‘tayari nakuja weka chini ya meza,’ “mh! utaweza mwenyewe kweli, wacha nikusindikize” aliongea Denis huku akiinuka na kumsaidia mke wake uinuka, “mbona una inuka na hayo maji” aliuliza Denis baada ya kumwona Jacline ameinuka na kile kimfiko chenye chupa ya maji, “maji ya bar nasikia siyo mazuri kunawa” aliongea Jackline huku wakitembea taratibu kufwata upande wa vyoo, “nataka vyoo vya juu, namimi nikaonje lift, sijawai kupanda” aliongea Jackline na kumfanya Denis acheke kilevi levi, “kumbeeee! kwahiyo unashukuru kuolewa na mimi?” aliongea Denis kiutani, lakini kitu cha kushangaza, Denis wakati huo, akatuka akijikwaa kwenye mguu wa Jackline na kuyumba kidogo, kituambacho hakutegemea akaisukuma meza moja iliyo kuwa jilani yao, ikimilikiwa na mzee moja mtu mzima, alievalia kufia kubwa mduara, iiziba alimia falani ya uso wake, na mama mmoja mtumzima mwenye kupendeza na kuamashisha, kwawale wanao penda wanawake walio wazidi umri, na kusababisha vitu vilivyo kuwa juu ya meza hivyo, kuanguka chini, “jamani pole sana, bahati mbaya, aliongea Jackline huku akichuchumaa kwa shida na kuanza kusaidia kuokota vile vitu vilivyo anguka chini, bahati nzuri akukuwa na simu wala vitu vya kuvunjika, zaidi ya bia za kopo, Denis akiwa ame simama akiduwaa kwakile alicho kifanya, kwa bahati mbaya, akijuwa kuwa ule ulikuwa ni mchezo wa mkewake, na baba yake mzee Nyati, “usijari binti, kuna bahati mbaya” aljibu mzee Nyati, ambae alimtazama mwanae, na kumwona wakati anabadirisha mfuko wa mdogo mweusi, na kuchukuwa mwingine, ambao ulikuwa na kitu kigumu ndani yake, wakati huo huo mhudumu mmoja alisogea haraka na kusaidia kuokota vilivyo anguka, Jackline akasimama na mfuko wa Rambo mkononi, na Mahadhi nae aliekuwa ameona tukio la Denis kujikwaa akasogelea meza ile “samahani naomba agizeni vinywaji vingine tutalipia,” aliongea Jackline kwa sauti ya kuomba msamaha, huku akiwa amemkadhia mcho mzee Nyati, usingeweza kudhani kama watu awa wanafahamiana, “usijali binti , ni bahati mbaya, uwa ainaga mwenyewe, nyie nendeni tu!” hapo walishukuru na kutawanyika wakati Mahadhi akirudi kwenye meza yao, Denis na Jackline walielekea kwenye kolido la lifti, wakiwaacha wale wazee wanaagizia vinywaji vingine kwa muhudumu, “kwa tumbo lile, tuombee afanikiwe salama” aliongea mama Jackline, baada ya muhudumu kuondoka kwenda kuwa chukulia vinywaji vingine, “mbona naona kama bado dogo sana” aliongea mzee Nyati huku akiwatazama Jacakline na Denis, ambao walikuwa wanaingia kwenye lift, “mh! dogo, yani jiandae kuitwa babu mda wowote” aliongea mama Jaackline kisha wote wakacheka, *** Jackline na Denis wali toka kwenye lift wakiibukia ghorofa ya pili kisha waka elekea upande wa vyoo, huku wakishuhudia maandalizi makubwa sana ya taflija ambayo itafanyika kesho yake jioni, Jackline akiwa makini sana alitazama kolido linalo tokea ukimbini na kuelekea upande wa vyumbani, akafanya makadirio ya kutoka choo cha wanawake kwenda choo cha wanaume, ambavyo vipo kwenye kolido moja vikitenga nishwa na ukuta mmoja wa ndani ya kolido, kila upande una mlango mkubwa wakuingilia ndani ya ukumbi wa choo, hapo Denis akaeleka choo cha wanaume, kwa ujanja jackline akajifanya kukosea na kumfwata Denis, huku ndani unakuta mpangilio wa vyoo vya haja ndogo vikiwa vime jipanga, huku pembezoni milango ya kuingilia kwenye mabafu na vyoo vya hajakubwa, “we Jack huku ni kwa wanaume bwana ebu nenda upande wahuko” aliongea Deis akimtoa Jackline nje kwa haraka, maana mle ndani kulikuwa na njemba kadhaa ziki kojoa, “shule muhimu waungwana, sasa unge kuwa peke yako unazani ninge kuacha?” alionga nje mba moja wapo kati ya zile zilizo kuwa chooni, awakujawajali, Jackline akaingia kwenye choo cha wanawake, ambacho kilifanana kidogo na kile cha iume, kaolo sehemu za haja ndogo, hapo Jackline akaelekea moja kwa moja kwenye choo cha haja kubwa, alipo ingia ndani akafunua kifuniko cha tank la maji ya kuflashia choo, kisha aka toa kitu kwenye ule mfuko wa mweusi, kilicho kuwepo ndani ya mfuko mwingine mweupe, wa plastiki, aka toa gundi ya karatasi na kubandika kile kitu ndani ya mfuko, kwa ndani ya kile kiduniko, alipo akikisha amesha fanikiwa, aka funika tena kile kifuniko kama alivyo kikuta mwanzo, kisha akaflashi maji na kutoka mle chooni, akanawa mikono kwenye sinki, na kutoka nje ya choo akipisha na watu wanao ingia na kutoka mle chooni, nje alimkuta Denis anamsubiri, “jack mimi naona tuondoke, yani matukio yanayo nikuta hapa naona kama ni mkosi tu” aliongea Denis kwa kulalamika, wakati wana shuka toka kwenye lift, na kuelekea walipo kuwa wame kaa mwanzo na wakina Mahadhi, “mbona hapa pazuri tu!’ aliongea Jackline kwa sauti ya kudeka, huku anamtazama mzee Nyati na kuonyesha ishara kuwa kazi imekamilika, “ok! twende nyumbani, kesho ni juma mosi, nitakuleta mapema sana” aliongea Denis na kukunbariana na Jaackline, wazo lile likafikishwa kwa Mahadhi, nae akaunga mkono, “haa jamani yani mambo ndio yalikuwa yanaanza kunoga” alilalamika Janeth, huku anainuka, “wala usijari twende wakatuaje pale ofisini tuchukuwe gari letu, tuka tafute sehemunzuri kabisa tumalizie usiku” aliongea Mahadhi kwa sauti ya ulevi, na Janeth ambae alisha kolea ombe akajibu, “ilo nalo neno, hakuna wakuni uliza nime chelwa wapi” Denis akacheka kidogo, wakati huo walikuwa wameshaingia kwenye gari na kuanza kuondoka, “ila Mahadhi usisahau kunijulisha mapema shemeji akipiga nimwambiaje” hapo Mahadhi kama aliwaza jambo flani hivi akitumia sekundekadhaa, “ok! ok! nimepata wazo, tume mpeleka shemeji hospital, tena ngoja nimtumie sms kabisa, maana sitaki usumbufu” aliongea Mahaadhi huku akitoa simu mfukoni kwake, nakuanza kuandika ujumbe, Janeth akastuka kidogo, “ha! kwa hiyo Mahadhi unataka kwenda kunitomb..?” aliuliza Janeth, kwa sauti ya mshangao wakilevi, wote wakacheka, “utaenda kujuwa huko huko” alijibu maadhi kwa sauti ya kilevi pia, “haya bwana, lakini atombw.. mtu hapa” ikiwa ni vicheko tu! huku safari inaendelea, ITAENDELEA …….

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata