
BINTI MDUNGUAJI (43)

SEHEMU YA AROBAINI NA TATU
ILIPOISHIA SEHEMU YA AROBAINI NA MBILI : “ok! ok! nimepata wazo, tume mpeleka shemeji hospital, tena ngoja nimtumie sms kabisa, maana sitaki usumbufu” aliongea Mahaadhi huku akitoa simu mfukoni kwake, nakuanza kuandika ujumbe, Janeth akastuka kidogo, “ha! kwa hiyo Mahadhi unataka kwenda kunitomb..?” aliuliza Janeth, kwa sauti ya mshangao wakilevi, wote wakacheka, “utaenda kujuwa huko huko” alijibu maadhi kwa sauti ya kilevi pia, “haya bwana, lakini atombw.. mtu hapa” ikiwa ni vicheko tu! huku safari inaendelea, endelea ………
Mzee Soud Hassan mda huo alikuwa chumbani kwake, amejilaza kitandani, pembeni yake mke wake, tayari alikuwa anakoroma kapitiwa na usingizi mzito sana, “myo wangu unanituma sana kwenda kuhudhuria hiyo taflija” aliwaza mzee soud, ambae usingizi uligoma kabisa kutawala kichwa chake, na kilicho sababisha ni mawazo yaliyo mjia ghafla, yaliyo mjia na kumshawishi kuhudhulia taflija, iliyoandaliwa na mzee Alex, katika hotel ya Cosovo, “wacha niusikilize moyo wangu, kesho nitaenda na mke wangu kuhudhulia hiyo taflija,” mzee Soud alipitiisha maamuzi hayo, alipanga kesho kwenda kwenye taflija, ambayo ni yawazi itayo udhuliwa na watu zaidi ya mia mbili kwa makadilio ya chini, zaidi ya hapo ni watu mia tatu, ** insp Johnson mida hii alikuwa nyumbani kwake akipokea simu yake mala kwamala kupata report, toka kwa askari wake ambao walikuwepo Cosovo Hotel, kwakifupi akukuwa na lolote la kumsaidia, zaidi insp aliwaambia askari wake waende majumbani kwao, wakapumzike, tayari kwa kazi yakesho ya kuakikisha hotelini pale pana kuwa na usalama wakutosha, nakwamba kama muuwaji atajaribu kufanya tukio lolote, waweze kumazibiti mala moja, insp Johnson naye alilala akiwa na uwakikia kuwa amejipanga vyema kwaajili ya kumdhibiti muuwaji, maana wale askari ishilini aliowaongeza, alichagua askari wenye uwezo mkubwa sana wakupambana kwa kutumia mikono na silaha, ** saa sita na nusu usiku, Mahadhi na Janeth walikuwa njiani, ndani ya gari la Mahadhi aina ya Toyota Ist, wakielekea sehemu ambayo Mahadhi alikuwa anajuwa ni nyumbani kwa mwana dada Janeth, msaidizi wa boss wao, kwaajili ya kwenda kumwingizia dudu mwana dada huyu, ambae alikuwa anamtamani toka sikunyingi sana, maana alishindwa kumweleza toka siku za nyuma, kutokana na mwanamke huyu, kuonekana anamshobokea sana Denis, mda huo walikuwa wamelewa sana , asa Mahadhi ambae siyo mnywaji sana wapombe, kama rafiki yake Denis, leo alikuwa amelewa kiasi kwamba alishindwa kuendesha gari, ilibidi asaidiwe na Janeth, ambae nae alikuwa amelewa kiasi chake, lakini alionekana kujimudu kwa iasi flani, Janeth ambae toka kule bar alikuwa amemshikia bahadhi ya vitu vyake bwana Mahadhi, vikiwemo fedha na simu ukiachilia funguo ya gari ambayo sasa anaitumia kuendeshea gari, wakati safari inaendelea Janeth amala kwa mala alikuwa anapokea na kutuma ujumbe kwakutumia sumu hiyo ya Mahadhi, mawasiliano ambayo Mahadhi akuyafwatilia sana, maana licha ya kuzidiwa na pombe, pia hakuwa na wasi wasi juu ya Janeth, ambae licha ya kuwa mfanya kazi mwenzie, pia alifahamu kuwa alikuwa anaiishi peke yake, “we mwanamke atufiki tu, mwenzio zimeshapanda mpaka nataka kujipiga bao” aliongea Mahadhi kwa sauti iliyo zidiwa na ulevi, wala usi we na wasi wasi leo ukazikamue zote kabisa, yani kesho kazini uwe mwepesiiiiiii” aliongea Janeth, huku anaachia kicheko cha kilevi, ** siku ya pili juma moss, Denis aliamka mapema na kuelekea kazini, huku akikumbuka oombi la mke wake kumpeleka tena pale walipoenda jana usiku, alidai amepapenda sana, Denis ambae mda wowote alitarajiwa kuwa baba, alijisikia raha sana, kwa maisha ya amani anayoishi na mwanamke huyu, alitamani sana awajuwe ndugu zake, kwa kuwaona, ikiwezekana afanye utaratibu wa kuishi na mwanamke huyu kiualali, kama mke wake, “leo mapema sana, nimwaishe pale, maana nasikia mwanawake wakiwa na mimba uwa wanatokea upenda kitu flani, ambacho akikikosa inakuwa shida,” aliwaza Denis huku akiendelea na safari yake, wakati anakatiza mbezi mala simu yake ikaiita, alipo itazama akaona namba za simu ya Mahadhi, akaipokea mala moja, “hooyooooo! niambie kaka vipi kiuno kinakazi?” aliuliza Denis kwa sauti ya kiushabiki, “kaka hee! huu sio wakati wa utani, naomba nisaidie kitu kimoja” ilisikika sauti ya Mahadhi, ambayo aikuwa na chembe ata mmoja ya utani, “mh! kaka kwani tuna bifu?, ok poa lete mchongo unaitaji nikusaidie nini?” aliongea Denis huku anapunguza mwendo, “kaka pitia huku kichungwani uni chukue” aliongea Mahadhi akimaanisha nyumbani kwake, hapo Denis akashangaa kidogo, maana alijuwa kuwa mida hii Rafiki yake pengine angekuwa ndio anamalizia kula kitumbua cha Janeth, round ya asubuhi, maana waenga wanasemaga, mwanamke kabla ajakojoa mkojo wa alfajili, kitumbua kina kuwa na mojo sana, (mimi sifahamu, sababu under 18, kwa hiyo sijuwi ukweli wa maneno hayo, kama nikweli wataalamu wata tujulisha) “vipi gari lako lina tatizo na kuhusu Jan….” hapo Mahadhi akamkatisha kauri Denis, Denis sitaki maswali, naomba uje unichukuwe, kama auwezi niambie ni chukue pikipiki” ilikuwa nisauti iliyo jaa hasira kidogo, “ok! kaka siyo vita nakaribia kimara, sasa hivi naingia hapo kwako” aliongea Denis kisha akakanyaga mafuta kwanguvu, na kufanya gari lake likimbie sana, ** baada ya mume wake kuondoka toka nyumbani, Jackline akaanza kujiandalia kifungua kinywa, na mda fupi baadae baba yake aliingia pale nyumbani kwake, akiwa pamoja na mama yake Jackline, baada ya kuwa karibisha, mama yake Jackline na Jackline mwenyewe wakaelekea jikoni, kuendelea na mapishi, wakimwacha baba yake Jackline, yani mzee Nyati, akiwa pale sebileni akitazama Tv, ambayo ilikuwa inatangaza kuhusu Taflija itakayo fanyika jioni ya leo pale Cosvor Hotel, huku wakimsifu sana mwandaaji wa taflija hiyo, wakmtaja kuwa ni mtanza nia alie amuwa kujtolea kuwasaidia watanzania wenzake, wenye ulemavu, hongera kwa kujiongezea watu wakuja kwenye msiba wako” aliongea Nyati kwa sauti ya chini kidogo, huku akiingiza mikono yake mfukoni na kutoa kikaratasi kilicho kunjwa kunjwa na kutoa mbegu nne ndani yake, mbili zikiwa nyeusi na mbili zikiwa nyeupe, zote zikiwa na ukubwa wa punje ya mahindi, akaanza kuzi menya, zote ndani yake zilikuwa nyeupe, akazisanga zote kwa pamoja, akiumia vidole vya mikono yake, mpaka ulipo tokea unga, kisha akauchanganya unga hule, kwa vipimo vya mkadiio wa kucha yake ya mwisho, iliyo achiwa na kuwa ndefu, tofauti na kucha nyingine za vidole vya mikono yake, mpaka chai inakuwa tayari, na mzee Nyati alikuwa amesha maliza kufanya kazi yake kisha unga ule akauweka kwenye kijifuko, kidogo cha platiki, kisha akauweka mfukoni, wakaendelea kunywa chai huku wana peana mikakati ya jioni ya leo, pale cosovor hotel, ** leo Denis alimshangaa sana Mahadhi kwa tabia aliyo ionyesha, maana toka alipo enda kumchukuwa nyumbani kwake, nakusalimiana na shemeji yake, yani mke wa MAHADHI ambae alikuwa katika hali ya uchangamfu, nakuondoka zao kuelekea kazini, njia nzima Mahadhi alikuwa amenuna, hakuongea kitu chochote na Denis, zaidi ya kusonya mala kwa Mala, na wakati mwingine akitaja jina la kitumbua, (jina harisi la kitumbua) Denis hakutia neno, zaidi alichekea kwapani, na ata walipofika kazini bado Mahadhi alikuwa amenuna, kiasi kwamba alipokutana na Janeth, ambae jana waliondoka pamoja na Mahadhi, kwa lengo la kwenda kupeana uroda, lakini akapita bila kumsalimia, hapo ndio Denis akaanza kupata picha ya chnzo cha hasira za Mahadhi, “niaje Jane, zatoka jana?” alisalimia Denis huku akielekea ofisini kwake, Mahadhi ametangulia mbele, “poa tu, vipi mbona Rfiki yako amenuna?” aiuliza Janeth, hapo Denis akasimama na kugeuka, akamtazama Janeth, “kwanini usmulize mwenyewe, maana atamimi sielwi elewi” aliongea Denis akicheka kwa utani, wakati huo Mahadhi aliingia ofini kwao na kufunga mlango kwa hasira, “kama ukishindwa kumwuliza njia nzima unazani mimi nitamwulizaje, ebu mpatie funguo yake ya gari” aliongea Janeth kisha akachukuwa funguo ya gari mezani na kumrushia Denis, ambae alizidaka na kuingia nazo ofisini kwao, unajuwa Mahadhi siyo poa kabisa, yani umekausha kwa kila mtu, kwanini usifunguke kama kuna kitu kibaya kimetokea?” aliongea Denis, safari hii kwa sauti ya ukali kidogo, huku anampatia funguo za gari lake, “haaa! huyu mwanamke pimbi kweli, yani alicho nifanyia nizaidi ya ushenzi” aliongea kwa masikitiko Mahadhi, nakuanza kumsimulia kilicho tokea, ** kumbe basi, ule usiku wakiwa njiani, Janeth aliendesha gari huku akiwasiliana kwa sms na mke wa Mahadhi, akimweleza kuwa yeye ni mfanya kazi mwenzie na mume wake, na kwamba mme wake amelewa sana, hivyo anaitaji kumleta nyumbani, alicho itaji ni maelekezo ya kufika nyumbani, pasipo kujuwa Janeth anawasiliana na mke wake, wanawake awa waliendelea kuwasiliana, huku mke wandoa wa Mahadhi akimwelekeza njia yakupita mpaka kufika kichungwani, ambapo ilikuwa nafuu kwa Janeth ambae alikuwa anakaa kwa msuguri, kiukweli Mahadhi ambae alijuwa kuwa leo anaenda kufaidi kitumbua cha Janeth alishangaa sana baada ya safari yao kufikia mwisho na kupokelewa na mke wake, ambae alikabidhiwa simu na wallet ya Mahadhi, huku yeye mwenyewe, akishindwa kufanya lolote na kujawa na hasira, asa maneno ya Janeth, wakati anaondoka na gari lake, akidai atalikuta kesho kazini, “enjoy usiku mwema Mahadhi” ** alimaliza kusimulia Mahadhi, wakati huo Denis alikuwa anashikilia mbav zake kwa kicheko, “leo umepatikana kaka” alisema Mahadhi huku anatoka nje ya ofisi, na kumkuta Janeth anaendelea na kazi zake, “janeth saa nnne nakutoa kwenye chai, umeni flahisha sana” offer hiyo ili mfahisha sana Janeth, ** naam mda uli sogea atima saa kimu na mbili join mzee Masinde akiwa anajiandaa kutoka nyumbani kwake, hafla akamsikia mke wake akikaribisha wageni, ambao aliwasikia wakimwulizia yeye, alitamani asikie mke wake akisema kuwa hayupo, maana wange mchelewesha, lakini aikuwezekana, maana tayari akasikia sauti ya mke wake ikiwakaribisha ndani “karibuni tena mnge chelewa kidogo tu, msinge mkuta anataka kwenda hukooo, kwenye taflija” hapo mzee Masinde akaachia tusi la kimya kimya “….. we mwanamke mjinga sana” mala akaona wanaingia vijana wawili waliovalia nguo za kipolisi, “hooo karibuni vijana kuna lolote” aliongea mzee Masinde baada ya viajana wale wawili kukaa, “mimi naitwa pc Busungu, na huyu mwenzangu ni pc Pange, ni askari wa jeshi la polisi kutoka kituo kikuu cha polisi, nazani wewe ndie bwana David Masinde?” aliongea PC Busungu, akimwonyesha kitambulisho mzee Masinde, “yes ndio mimi sijuwi niwasaidie nini?” aliongea mzee Masinde, kwa sauti iliyojaa utulivu na wasi wasi, “tume kuja kwako kwa lengo la kufahamu mawili matatu juu yako na rafik zako, ambao wamepoteza maisha miezi kadhaa iliyopita” aliongea Busungu huku akionyesha walaka maalumu unao waruhusu wao kufany mahojiano na mzee huyo, “ok! ila ninaombi moja, naomba nije kesho kituoni, sababu leo sija jiandaa kabisa, pia nina udhuru, nimeitwa kwenye taflija moja, nazani me isikia, ni hii ya kuwasaidia walemavu” aliongea mzee Masinde kwa sauti ya pole iliyokosa matumaini, pasipo kujuwa kuwa huko anakoomba kwenda siyo sehemu salama kwake, itaendelea….

