BINTI MDUNGUAJI (57)

SEHEMU YA HAMSINI NA SABA

ILIPOISHIA SEHEMU YA HAMSINI NA SITA : wakati insp Johnson akiwa anatembea taratibu katika msururu wa magari akatazama pembeni, yalipo simama magari yanayo subiri kuvuka, ghafla macho yakamtoka insp, ni baada ya kuwaona watu watatu anao wafahamu, vyema kabisa, wakiwa ndani ya Toyota V8, “aijawai kuwa lahisi” insp Johnson alijikuta akiongea peke yake, huku bado akiwatazama mzee Nyati, mke wa mzee Nyati na kijana Side Tall, ambao walikuwa wakiongea na kucheka kwa furaha, “ameponaje huyu mwanga?” alijiuliza Johnson, huku akiwa aamini macho yake, endelea ………
Insp Johnson akujuwaafanya nini mda hule, akajikuta akiendele kulitazama gari la mzee Nyati, lililokuwa linaendeshwa na mke wake yule yule, alieingia nae kwenye nyumba ya udongo waliyo ilipua huku wakiakikisha atoki mtu ata mmoja mle ndani, sekunde chache Johnson alikuwa amesha pita eneo lile, na sasa alikuwa analitazama lile gari kwa nyuma, mpaka aliostuliwa akitaka kutoka nje ya barabara, na wakati huo magari yakaanza kuingia kwenye pantone, hapo taratibu Johnson akaliona gari la mzee Nyati likitembea taratibu kuingia kwenye pantone, Johnson baada ya kufika sehemu ya wazi alikanyaga mafuta kwa speed akielekea mji mwema kwa mzee Soud, njiani kijana huyu alitembea speed kali sana, huku mawazo flani flani yaki mjia kichwani akapingana nayo, “hapana siwezi, nikiwa waambia waka zuwie abiria wa pantone, wata nishangaa wakati kila mtu anajuwa kuwa mzee Nyati amesha uwawa” dakika tano baadae Johnson alikwa amesha simamisha gari nje ya nyumba ya mzee Soud, akashuka akiwa na kibukta chake, na tishert, akauendea mlango wa nyumba ya mzee Soud, “karibu baba mzee Soud yupo ndani” Johnson alistuliwa na sauti ya mke wa mzee Soud , aliekuwa anatokea upande wakushoto wa nyumba, akiongozana na wanamama wenzie, aliekuwa anawasindikiza, baada ya kumaliza maongezi yao, hapo bwana Johnson pasipo kusalimia akafungua mlango wa nyumba ya mzee Soud na kuingia ndani, akimkuta mzee huyu mkongwe, akiwa amestuka sana kwa kufunguliwa mlango bila hodi, “kijana vipi, unakuja kunikamata? au kunilete zwadi zangu?” aliuliza mzee Soud kwa utani baada ya kugundua ni Johnson ndie alieingia ndani, “mzee sijuwi nianzaje, uwezi kuamini kuwa mzee Nyati ni mzima kabisa” aliongea insp kwa sauti iliyo jaa mwakha, huku akikaa kwenye kochi lile lile alilokuwa amekalia mzee Nyati mda mfupi uliopita, na kumfanya insp acheke kidogo, “kwani ukuniamini nilipo kuambia kuwa umepokea zawadi kabla ya kazi” aliongea mzee Soud kwa sauti iliyoambatana na kicheko, usingeweza kuzani kuwa, ndie huyu aliekuwa anatetemeka mda fupi uliopita, alipo kuwa anaongea na bwana Nyati, hapo Johnson alikaa kimya, kiinamisha kichwa chini na kujikuna kichwa chake kwa fujo, “umejuwaje kama yupo hai?” aliuliza mzee Soud, “sija sikia mzee wangu, yani sijuwi nita iweka wapi sura yangu?” alisema insp Johnson, akimalizia kwakushusha pumzi kwanguvu, “kama ujasikia, sasa umejuwaje kama bado yupo hai?” aliuliza mzee Soud, kwa sauti ile ile iliyo ambatana na kicheko, “sija msikia mtu yoyote mzee Soud, nimemwona kwa macho yangu mawili” aliongea Johnson kwa sauti ya kukata tamaha, “ok! kwahiyo umesha juwa kuwa mzee Nyati yupo hai, na sasa hapa kwangu unafwata nini?” aliuliza mzee Soud ambae sasa alikuwa ametuliza sauti yake, na kuwa ni ile ile iliyo jaa busara, “mzee wangu najuwa nilikukosea, lakini sina sehemu ya kukimbilia, nimekuja kuomba msaada wa kitu cha kufanya, ili kumaliza ili tatizo” aliongea insp Johnson kwa sauti ya kusihi na kuomba, “msaada tena, juu ya bwana Nyati?” aliuliza mzee Soud huku akistuka, utazani ameambiwa kitu cha kuogofya, “ndio mzee wangu, sababu kamaita bainika kuwa mzee huyu ni mzima, na endapo ata fanya jambo lolote, basi itakuwa aibu kubwa sana kwangu” aliongea insp Johnson kwa sauti ile ile ambayo sasa hivi ilitia huruma, kitu cha hajabu mzee Soud alicheka kidogo, “nazani wewe ni mbinafsi kama baba yako, yani unafikilia aibu itakayo kupata pasipo kufikilia aibu na kashfa itakayo ikuta selikari, toka kwa wapinzani wao wakisiasa na wananchi” hapo Johnson akakumbushwa swala ambalo akuwai kuliwaza ata kidogo, “kweli mzee wangu, naomba unisaidie tafadhari, mimi n kijana wako atakama nilikukosea” aliongea kwa kusisitiza Johnson, “ok! unazani unaitaji msaada gani kwangu?” aliuliza mzee Soud, ambae ni mzee makini sana, “mzee najuwa wewe unamfahamu vizuri sana mzee Nyati, naomba unipatie mbinu za kumzibiti kabla aja fanya tukio lolote jingine, na kufahamika kuwa bado ni mzima” aliongea Johnson ambae sasa alipata matumaini ya kisaidiwa, mzee Soud alicheka kidogo, kisha akatikisa kichwa kwamasikitiko, “yani licha haya yote bado unania ya kupambana na mzee huyu?” aliuliza mzee Soud, kwa sauti iliyo ashilia mshangao, “sina maana ya kupambana kwa nguvu ya kijeshi, ni maanisha kumaliza hili tatizo” aliongea Johnson akifafanua, “labda nikuulize bwana Johnson, je kuna kitu chochote amekueleza, akikuonya juu ya swala ulilo lifanya au maelekezo yoyote” aliuliza mzee Soud, akimtazama Johnson, ambae alistuka kidogo, “umejuwaje mzee?, nikweli alimtuma yule mschana muuaji” insp Johnson alimsimulia mzee Soud, jinsi alivyo mkuta Jackline nyumbani, kwake akiongea na mke wake, na kumpatia ujumbe, wa maelezo ulio mtaka akawaambie wakina mzee Masinde na Mwijage kuwa waende kwenye vyombo vya habari, wakajitangaze walicho kifanya kwa askari wao Michael Nyati, mwaka 1988 huko congo, “kama uanvyo juwa mzee Suod, najuwa wazee awa wata kubari ata kidogo kufanya hivyo” alimaliza kusimulia insp Johnson, “hakuna namna zaidi ya kufanya kama alivyo kuagiza, zaidi ya hapao bwana insp ni kupambana nae, sababu ato kaa akuamini kwa lolote, na kama ukiamua kupambana nae, basi nakushauri urudi tena depo, na siyo depo la polisi, na ukajifune mbinu za kivita n unjanja wa mapigano, kwamiaka isiyo pungua mitano, bila kupumzika, kisha utafute watu wengine kumi watakao kuwa na uwezo kama utakao upata wewe, kwa miaka hiyo mitano, ndio mka msake ukiwa na silaha nzito, kinyume na hapo utapoteza roho yako na yababa yako” aliongea mzee Soud kamavle anasimulia ndoto flani, na umfanya Johnson amshangae, “inamaana mzee bado umeamua kuto kunisaidia, au mzee Nyati ni mtu wako wa karibu” yalimtoka maneno Johnson, huku wakati huo akiisikia simu yake inaita, akaingiza mkono kwenye mfuko wake wa bukta, kisha akaibuka na simu, akaitazama, ‘Pc Busungu’ akili ikamchemka insp, ambae alipokea siu mala moja na kuiweka sikioni, “niambie Busungu, kunalolote?” aliuliza insp kisha akatulia kusikiliza, anachotaka kuambiwa na Pc Busungu, “afande kuna dharula, imetokea kibamba kwenye poli la kisopwa, tupo na sajent Machiba tunaelekea huko, na wewe ndio umepewa jukumu hili” ilisikika sauti ya Pc Busungu ambae alionekana wazi kuwa ndani ya gari liendalo kasi, “kazi imeanza” alisema insp Johnson huku akisimama na kushindwa kuaga kwa mzee Soud, akatoka nje na kuingia kwenye gari kisha akaondoa gari kwa fujo sana, ** saa moja iliyo pita, Jackline akiwa anaendesha Toyota lav four, kwa mwendo wwa kasi ya hajabu, huku akifukuzwa na piki piki ambazo kila walipo zidi kutembea nazo ziliongezeka idadi, mpaka wanaingia kibamba, na kukata kona kuifwata barabara ya mloganzila, (zamani kiwa bado ya vumbi” zilisha ongezeka piki piki na kufikia idadi kumi natano, huku nyingine zikiwa zime beba mtu, “waache waje tu! wajinga awa” alisema Jackline ambae lizidi kukanyaga mafuta ya gari, akiwakimbia waendesha pikipiki waliouwa wanawafwata, kwafujo huku wakipiga honi na kelele nyingi za midomo, “Jack tunaenda wapi huku? mbona kama porini?” aliuliza Felister, ambae mpaka sasa alisha tokwa na jasho jingi sana la uoga, mpaka sehemu za siri zikawa chapa chapa, “nakujuwa huku kuzuri sana kwa kufungua bucha ecu naomba bastora chini ya kiti ulicho kalia” aliongea Jackline pasipo kuonyesha wasi wasi wowote, Felister akaingiza mkono uvunguni mwaseat aliyo ikalia, akaibuka na bastora, akamkabidhi Jackline ambae aliiweka pale kilipo kuwepo kisu, sasa walikuwa wamesha uacha mji na kuingia porini zaidi, pikipiki piki zilionekana kuwa karibia kabisa, “jishikilieni kwanguvu” alipiga kelel Jackline, na wote mle ndani waka jishikilia, hapo Jackline ka kanyaga bleck za ghafla, na kusababisha gari lisote kwa umbari wa mita kumi, kwenye barabara ya vumbi na kusimama, dhahama ikawa kwa madereva wa pikipiki ambao waliangaika kusimama huku wengine wakisota na kupgana vikumbo, na kujibwaga chini, wale wachache walio fanikisha kusimama wakazilaza pikipiki zao haraka harak huku wakipiga kelele, “uwa hao” “wamezowea washenzi hao” “lete dumu la mafuta” watu hawa waliokuwa na hasira huku wamebeba silaha mbali mbali za kijadi na wengine wakiwa na mafuta ya petrol kwenye dumu la liter tano walianza kulifwata gari la kina Jackline, ambae alizima taa za gari, kisha akashuka akiwa na kisu na bastora yake mkononi, “nyie mbwa karibuni kuzimu” alisema Jackline kwa sauti kavu yakike, iliyo wazidisha hasira wale madereva wa boda boda, ambao walizidi kumfwata Jackline, huku wengine wakijiinua kule waliko dondoka na pikipiki zao na kumfwata Jackline, ambae kiwa amesimama alimwona moja kato ya vijana wale akiinua kipisi cha gongo, na kutaka kupiga kwenye kioo cha nyuma cha gari, hapo vijana waendesha pikipiki kwa msaada wa mwanga wa pikipiki zao, waliweza kuumshuhudia mwanamke akiruka juu, na kisu mkononi, akimfwata yule alie shika gongo, na kabla aja pika kwenye koo cha gari, waka mwona yule dada ambae walikuwa wanamfukuza kwa lengo la kumwangamiza, kwa kosa la kugonga pikipiki, ambayo awakujuwa lilikuwa kosa la nani, akiruka kwa haraka sana na kutua karibu nakijana aie shika gongo, huku anazamisha kisu sehemu ya chini ya sikio, mwishoni mwa taya la kijana huyu, na kukichimoa mala moja, kikiambatana na damu nyingi sana, kitendo kile ambacho kilishuhudiwa na vijana wachache, kiliwashangaza vijana hao, ambao wale ambao walikuwa awaja juwa kina cho endelea, wali msogelea Jackline, na ile kuchimoa kisu kwa yule mshika gongo, Jackline alirudisha mkono wenye kisu nyuma, kwa nguvu zake zote, na kikipitia shingoni kwa kijana moja aliekuwa karibu yake, akitaka kumtwisha ngumi, binti wa wapekee wa mzee Nyati, ambae aliwaona vijana hao wakimfwata kwafujo, na hapo ndipo walipo poteza roho zao, kwa wingi sana, maana Jackline akutumia ufundi mkubwa kupambana na vijana awa ambao awakuwa na ujuzi wowote katika mapigano, sekune chache baadae eneo lote lilikuwa limeza zagaa miili ya wendesha pikipiki, kasolo mmoja tu aliekuwa ana sota kwenye changalawe za bara bara ile, huku akiomba msamaha asi adhibiwe, “samahani dada mimi nilikuwa nakuja kuangalia tu! sikuwa nania mbaya” liongea kijana uyu kwa sauti ya uoga, iliyoambataa na maumivu makali, huku Jackline akimsogelea, na yeye akiendelea kusota baada yakushindwa kusimama, kutokana na miguu yake yote miwili, kuvunjika kwa kipigo, lakini maneno yake ayaku fanya apewe msamaha, Jackline ali mfikia na kumshindilia teke la kifuani, na kumkandamiza ardhini, kisha aka mskanyaga kwanguvu shingoni, na yule kijana akaonekana akitapatapa pale chini, huku akijisikilia shingoni, na kukoroma kwa maumivu makali sana, hapo Jacklie akaliendeea dumu la lita tano, lenye mafuta ya petrol , “Fanya haraka simu yako inaita” alisikika Felister akimwambia Jackline, “nani anapiga?” aliuliza Jackline huku ana mwangia pikipiki mafuta yale, huku akizikusanya sehemu moja, “baba anakupigia” alijibu Felister, ambae mdawote alikuwa ndani yagari, “pokea” alisema Jackline huku akiikoki bastora yake na kuilenge moja ya pikipiki, usawa wa tank la mafuta na kui piga risasi mbili mfululizo, ambazo zilisababisha mlipuko mkubwa sana wamoto, kisha Jackline akaingia kwenye gari, na kuondoka pasipo kuwasha taa, akielekea mbele zadi ya barabara ile, ambayo anaifahamu vizuri, toka siku ile ambayo aliwa nyonga matepeli wakina Sabrina, “tupo hukuuu…… wanapokaa wakina Jack” alisikika Felister akiongea na mzee Nyati, kwa simu ya Jack” ndio nimeona hapa, lakini mpo kwenye ulekeo tofafauti, kuna jambo gani hukuo” alioji mzee Nyati ambae sikuzote utumia pad yake kufwatilia nyedo za mwanae, kuna tatizo lilitokea, lakini tumesha aondoka tuna rudi barabarani” aliongea Feister na mzee Nyatia akasema wao wapo kimara, wanatarajia kuungananao kibamba, kwaajili ya kuanza safari ya Songea, ambapo walipanga wakalale morgoro, wakiwa wamesha tembea umbali wa kilomita moja mbele, pasipo kuwasha taa za gari, wailiweza kuona mwanga wa taa za gari, ukitokea mjini kuifwata barabara ile, Jackline alitabasamu kidogo, huku akiendelea kuendesha gari kwa mwendo wa wastani, huku moto mkubwa hukionekana kilomita moja nyuma yao, ** kumbe polisi walipo fika kwenye eneo ilipotokea hajari pale mbezi kwa yusuphu, na kukuta waandishi wachache wa habari, ambao walikuwa wanawahoji wananchi, juu ya klichotokea, nao wakauliza kilicho tokea, watu wengi walisema kuwa ulikuwa ni uzembe wa mwendesha pikipiki, pia kubwa walichoambiwa ni kwamba, boda boda wengi wame lifukuzia gari lililo gonga boda boda, na kwamba gari hilo aina ya Toyota Lav 4 lilikuwa linaendeshwa na kupakiza wanawake watupu, kwakisikia hivyo plisi wakajuwa kuwa, usalama wa wanawake hao, utakuwa mdogo sana, hivyo wakaona bola na wao wawai kuwaokoa, japo kwamujibu wa mashuhuda, walijuwa kuwa ta kuta tukio limesha kwisha, sasa basi kila waliko pita waliambiwa kuwa wamepita mdamrefu uliopita, ata walipo fikakibaba ccm wakaonyeshwa uelekeo wa kisopwa na wao wakaifwata bara bara hiyo, baada ya kutembea kilomita nne toka barabara kuu wakaona mlipuko mkubwa sana wamoto, wakajuwa kuwa ni gari la wale wanawake, limechomwa moto na wale boda boda, maana kumetokea matukio mengi sana kama hayo, asa kwa dereva wakike, polisi wakaongeza mwendo kuwa eneo la tukio, lakini baada ya kufika eneo lile na ukuona moto mkubwa sana kati kati ya barabara, wakagunduwa kuwa zilizo chomwa ni piki piki, polisi wakashangaa, maana walitegemea kukuta gari liki ungua na watu ndani yake, polisi wakashuka haraka na kujaribu kuuzima moto huo, ambao ulisha teketeza pikipiki kwa kiwango kibwa sana, lakini wakati wana jaribu kuzima moto, ndipo walipo gunduwa uwepo wa miili ya vijana wengi sana walio poteza maisha, wakiwa wamelala chini, na majelaha makubwa shingoni mwao, “mama yangu afande Lukengero, ebu njoo uone” aliongea koplo Hamza, huku akiangalia pembeni, kukwepa kuangalia mwili mmoja wakijana ulio kuwa na jelaha kubwa sana shingoni, hukuu damu zimetapakaa eneo lote, “he! kimetokea nini hapa mbona maajabu” aliuliza sajenti Lukengero ambae alikuwa ndie mkukuwa kuliko askari wote pale, huku ana pulika tochi kuangalia eneo lote lililo mzunguka, akashuhudia miili ya wale vijana ikiwa ime lala kwenye madimbwi ya damu, hapo sajent Luke kengelo, ambae askari wake uwa wanamwita Luke, akachomoa simi yake ya kijeshi (radio call) ana kupiga kituoni, akieleza walicho kikuta wakiomba msaada zaidi, huku wao wakiendea kukagua eneo la tukio, ambapo kati ya vijana zaidi ya kumi na nane walimkuta mmoja tu alekuwa hai, lakini alikuwa katika hali mbaya sana, **saa tatu usiku gari la kwanza la plisi kutoka kituo kikuu liliingia eneo la tukio katika mapori ya kisopwa, ikifwatiwa na gari la pili la insp Johnson, lililo ingia baada ya nusu saa, nakuwakuta wenzie wakienelea na uchunguzi wa eneo hilo, baada yakufika pale insp kaelezwa chanzo cha tukio, kama lilivyo anza pale mbezi kwa Yusuph na vijana waendesha piki pik walivyo lifukuza gari lililo gonga pikipiki, ambalo lilisemekana kuwa lilikuwa lina endeshwa na wanawake, “ni gari la aina gani?” aliuliza insp Johnson, ambae kengere ya tahadhari ilsha anza kugonga kichwani mwake, “ni Toyota lav 4, iliyo kuwa inaendeshwa na wanawake” hapo insp akaona kichwa chake kinapata joto, akachumama, huku anaita mwita Pc Busungu, ambae alimfwata mala moja wakawa wawili, “kazi ime anza upya, mzee Nyati mzima” aliongea Johnson na kumfanya Pc Busungu agande kwa sekunde kadhaa, akihisi kichwa chake kina chemka, na kuvuma kama kuna treni linapita kwenye matuluma yake, “aliponaje huyu mzee mshenzi?” alibwata Busungu huku akijishika kichwani kwamikono yote miwili, kama mtoto alie mwaga sukari, ** ebu turudi miezi tisa iliyo pita, kule Songea kwa mzee Nyati, sikuile jioni, baada ya kugundua ujio wa kikundi kikubwa cha polisi, ndipo mzee huyu akakubariana na mke wake, na mwanae Jackline, kuwa wasi washambulie polisi, zaidi wapoteze ushaidi, kwa kutega bomu kwenye nyumba yao ya udongo, ndipo baada ya kuona maelewano yanazidi kuwa madogo, huku akipokea ujumbe wa polisi kuendelea kusogea eneo la tukio, mzee Nyati akamwambia mke wake, aende akaandae mlipuko maana walikuwa na wageni, mzee Nyati aliongea kwa lugha ya kificho, ambao Jackline aliwadondosha polisi wawili ambao baba yake na mama yake, wali wa vilingishia nguo wazo vaa, huku wao wakizamia kwenye andaki, wakipitia kwenye mlango mdogo uliopo mle ndani ya kibanda, ambapo walitembea ndani kwa ndani kwa umbali wa mita ishilini, mpaka kulikuta andaki, kubwa lenye mfano wa nyumba kubwa nzuri kabisa, ambapo siku yapili wakiwa wanafwatilia vyombo vya habari, waliweza kusikia jinsi polisi walivyo pewa sifa, kwa kufani kiwa kumwanagmiza jambazi na muuwaji mkubwa sana nchini, waliona ila kitu, mpaka insp Johnson alivyo kuwa ana enaendelea kualikuwa na viongozi mbali mbali wanchi, akipewa sifa na zawadi kila alipo tembelea kiongozi kwa mwaliko, siku zilienda huku mzee Nyati akijipanga kumalizia kazi ya kuwafyeka wakina mzee Masinde, huku kifanya uchaguzi juu ya kijana Johnson, adi miezi tisa baadae ndipo alipo amua kuelekea dar es salaam, ambako licha ya kumpeleka mwane kwamume wake na kunza kazi, pia alienda kutoa honyo kwa mzee Soud, na kumpa masharti insp Johnson juu ya watu ambao alidai wamemtuma, kwake, ambao akiwa dar es salaam aligundua kuwa kijana huyu ni mtoto wa mzee Masinde, baada ya kumaliza shuguli zake ndani ya jiji la dar, mzee Nyati akakutana na wakina Jaackline, maeneo ya kibamba njia panda ya shule mida ya saa nne usiku, ambapo Jakline na mwanae wakiwa na mizigo yao wakakodi taxi, na kuelekea nyumbani kwao, wakiamini wana enda kukutana na Denis, huku mzee Nyati akiwa na msafara wa magari mawili akaelekea morogoro, ** nje ya mji wa Dar maeneo ya kisopwa, insp Johnson akiwa amechanganyikiwa, asijuwe la kuongea mbele ya kundi kubwa la askari waliokuwa wanasubiri amri yake, akiwa Pc Busungu askari anae mwamini kuliko wote, wakashauriana kuwa wamjulishe mkuu wakitengo cha upelelezi, juu ya wasi wasi wao juu ya tukio hilo na mtekelezaji wao, lakini walipanga kuficha bahadhi ya mambo, baada ya kupanga kitu cha kuongea, insp akampigia mkuu wa kitengo cha upelelezi, akamweleza kuhusu kutokea kwa tukio la mauwaji ya waendesha piki piki, na akaamua kutumia nafasi hiyo kumweleza mkuu huyo, uwepo wa mschana anae sadikiwa kuwa ni binti wa mzee Nyati, na kuwa ndie mtekelezaji wa tuio hilo, insp alieleza hayo akificha ukweli wakuwa mzee Nyati bado mzima, “ok! sikia Johnson, tawanya askari ulionao kwenye nyumba za wageni maeneo yote ya karibu, huku nawaagiza wakuu wa polisi kanda watawanye polisi jiji zima la dar, *** wakati huo Jackline na mwanae walikuwa wamesimama nusu saa nzima nje ya nyumba yao wakijaribu kupiga hodo pasipo majibu yoyote, licha ya kusikia sauti ya tv na redio, na kuona taa za ndani kikiwa zina waka, lakini bado akuna alie itikia kutoka ndani, wakati huo Fransis alikwa mgongoni kwa mama yake amelala, Jackline aka chungulia dirishani, akamwona mpenzi wake amekaa kwenye kochi huku ame topea kwenye usingizi mzito, huku meza ni yakionekana makopo kadhaa ya bia, jackline akatabasamu, huku anatikisa ichwa kwa masikitiko, aka ufwata mlango na kukamata kitasa kwa lengo la kujijaribu uzito wake kama kinaweza kuvunjika, ile kukiinyoga kitasa, mlango ukafunguka wenyewe, “kumbe akuwa amefunga mlango?” iongea Jackline huku akicheka, akajiona mzembe sana kwamda aloutumia kugonga hodi, dakika kumi baadae Jackline alikuwa amesha maliza kuingiza mizigo yake nani na kumlaza mwanae chumbani kwao, kisha akarudi sebuleni alipo lala mume wake, akamtazama wa sekunde kadhaa, kisha akajaribu kumwamsha, akaona bado ame topea kwnye usingizi, akafungua mkanda wa suluali na kuipekenyua chupi ya mume wake, kisha akaitoa dudu ya denis, na kuanza kuikagua, “nikikuta metumika hii atanitambua” aliwaza Jackline ambae wakati anaendelea kuikagua dudu ya mpenzi wake akaiona ina stuka na kusimama akatabasamu na kuiachia dudu ikiwa bado imesimama, ulijuwaje kama nina hamu?” alinong’ona Jackline au mama Frans, huku ana pandisha gauni lake juu mpaka usawa watumbo, na kuvua nguo yake ya ndani, itaendelea ………

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!