
SEHEMU YA 02
Mwanzo hata sikuwa nataka kuona mie video zake ila nilitaka tu kutoa habari za uhakika ninapo simulia wamama wa mtaani kwetu ..
Sijui ndio ule msemo wanasema safari moja huanzisha ingine🙄 ndio hii sasaa , nikaanza kutamani kuona hayo nayosoma kwenye Comments ili niwe na ushahidi kabisaaa kuwa niliona ..
Nikatamani kuona sasa nitapata wapi nizione nikawa nawaza mwenyewe nikaona embu ngoja nikoment hapa kama atatokea msamalia mwema wa kunitumia sawa nitaona asipo tokea basiii
Nikaandika hivi “Jamani naombeni na mimi hiyo dhambi nionee😔😔”
Nikaweka na vi emoji vya kutilisha huruma 😅😅😅
Nikasikilizia majibu , Watu wakawa wanajibu hapo kwenye Comment yangu
Lete Buku tu nakutumia zote mianne , mwingine sijui nipe bundle oyaa zipo kibao , wengine unataka kuona nini wewe
Nilikasirika roho ikaniumaa nikaona kama wananidhihaki hawa nikaifufa ile Comment yangu fasta halafu nikazima data nikalala zangu huku najuta kwanini niliandika vilee ..
Usingizi nao hata hauji nikageuka geuka karibu li saa zimaa, usingizi hauji nikachukua simu yangu nikawasha data tena ile nawasha tu messenger zikaingia msg mfululizo kama nne hivi zimetoka kwa mtu mmoja lakini simjui na hakuna rafiki yangu…
Nikafungua nakuta video nne zimetumwa nikafungua video ya kwanza 🙈🙈🙈Si ndio naona watu wananyanduana aloo🙈🙈 mara ikaganda ndo ime pray sijui sec kumi zilee ki bundle kimeisha
Roho iliniumaaaa😔😔😔mara sms ikaingia pale pale messenger umepata ?? 🙄🙄 nikajibu Asante mwaya japo hazijafunguka kwahiyo sijaona kitu akanambia mmh kwanini sasaaa nikasema aah bundle limekatia akanambia mbona bado upo online nikasema aah nitakuwa zimebaki Ndogo ndo mana hazifungui video akanambia nipe namba nikuwezeshe usilale roho juu buree…akaniwekea na Emoj za kuzomea😜
Nikaandika namba chap 😅😅😅😅akhaa mwenzangu nikiremba wakati hapo nimeweka bundle kuweka tena sijui mwaka gani
Sekunde hiyo hiyo ikaingia msg ya kawaida M_pesa imethibitishwa umepokea 10000 kutoka kwa mussa ,Alooo🙄 nikasema huyu nani tena amekosea namba
Mara messenger ikaingia Hope umepata mrembo eeh🙄 nikamuuliza ndio umetuma elfu kumi?? Akasema ooh kumbe imekuja 10000 nilitaka kutuma 1000 itakuwa wanakupenda sana hawa voda Any way Tumia yotee🤗🤗🤗🤗🤗
Jaman nikamtumia emoji za kuchekaa na zile za kumshukuru zile mikono miwili imekutana 😂😂😂
Nikajiunga bundle la jero kama kawaida yangu hapo nikasema afadhali nimepata ya kuanzia asubuhi hapa mana embu nikae kimyaaaa😷😷😷
Nikafungua video zangu hapo ndio ulikuwa na mwisho wa kuchati nimefungua zile video zilikuwa nne nikaangalia vyema kabisaa😂😂😂
Halafu mimi ni single bwana sasa kuangalia ma video kama yale, nikajikuta hata nawatamani ma demu wa mianne plus naona wanafaidiiii😜😜 halafu nilibaba lizuriii aisee nikabaki najisemea li handsome limejariwa kote juu na chini 🤗🤗🤗🙈🙈
Lina sura nzuri mwili mzuri yaa vooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 li zuriiiiiii kote kotee, nikajikuta nimeona visivyoonwaa mie , usiku ukawa wa mazinguziii nikalala kwa shida miee🤗🤗😜😜😜😜
Nimeamka zangu asubuhi siku enyewe nilikuwa wa kwanza hela za mihogo si ninazo bwana nikaamka zangu pweee kwenye mihogo
Nikakuta foleni sio ya hapa kila mtu amewahi mihongo , Nikatazama pale nanu nammudu mana nina ubuyu kama wote wa Mianne plus nataka niutoee kila mtu asikie sasa nitaanzisha vipi??
Nikamcheck mdada mmoja alikuwa yupo nae kwenye foleni nikaenda kukaa oembeni yake , nikaanza kujisemesha “ila wanaume jamani huyu baba wanawake mianne au alikuwa anatumia madawa?”
Hapo hata hajaniuliza basi tu nawashwa kuongea
“Yaan unajua mie nasikia sikia tu juu juu hivi ni kwelii??”
Hilo lilikuwa kosa lake kubwa sanaaaa🤣🤣nilianza kuongea kama nimemeza flash ya mr mianne plus
Wamama wote wa mihogo nakwambia walinigeukia kila mtu ananiuliza swali lake
“Sasa mke wake maskini mama wa watu uuh sijui amejisikiajee??” Mama muuza mihogo alikuwa anasikitika utafikiri huyo ni mdogo wake
“Unaambiwa amezimia hapo tangu jana mpaka leo hajaamka mumewe amekamatwa na police na hapo wampima ni muathirika yaani huyo mke wake unaambiwa ametishia kujiua atari”
🤣🤣Mimi hata habari za mke wake sijui sema nikapita na upepo huko huko kwanza hawana hata ma tambo wataonea wapiii??
Nilipiga udaku nikahadithia kila aliekuja 😔😔mie ndio nilikuwa wa mwanzo mwanzo kufika pale lakini mpaka mihogo inakaribia kuisha mama Muuza ananiambia we Dina wewe huchukui mihogo nikamwambie niwekee ya elfu mbili akaniwekea , Ndio nikaondoka kwenda nyumbani
“Enhee leo ukaamkia wapi we mwenda wazimu??” Mama yangu akanidakia huko ndio nachomoza tu nyumbani nilimuacha bado amelalaaa
“Mama nilifata mihongo ilikuwa na foleni”
“Nani amekuagiza”
“Ya kwetu nimechukua na sukari” niliongea huku nampa mama vile vitu
“Hela umetoa wapii??”
“Sa mamaa si upokee kwanza jamani aah”
“Eh.ehee nipokee ili iweje hela umetoa wapii,Huna kazi huna badhi kazi yako …….
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU