
KIBOKO YANGU 1
kuna vitu ukivisikia unaweza ukahisi kama haviwez kutokea kabisa kwenye haya maisha ya kawaida ambayo tunaishi…
naitwa Peace ni bint ambae nilizaliwa kwenye maisha ya kawaida sana, ila niliamua kutafuta sana pesa ili niwatese wanaume tu, kwa maana niliwaona kama wanyama tena wanyama hatar sana kuwah kutokea kwenye hii dunia..
kwa kuwa nilikuwa nimeshashika pesa basi maisha yangu yalikuwa ni kuwanyanyasa wanaume tu, kwa maana nilikuwa tayar kumlipa mwanaume aje anioshe miguu au anifutie vioo nyumban kwangu, nilikuwa najisikia vzr kumuona mwanaume anateseka, na kwakuwa nilikuwa nawalipa pesa nzuri, nilikuwa naweza kumfokea mwanaume yoyote Yule ninae mtaka, na hata kumuweka vibao, na kuna baadhi yab wanaume walikuwa wananiona kama mtaji hivyo hata niwafanye nini walikuwa wanatulia tu, cha msingi mwisho wa siku niwalipe waondoke zao…
sikutaka kabisa kusikia neon mahusiano kwenye maisha yangu wala ndoa, niliona kama mahusiano na ndoa ni upuuzi ambao unaweza ukaharibu maisha yangu kwa mara nyingine tena , ndio ni kwa mara nyingine tena kwa maana mahusiano na mapenzi ndio ambayo yamenifikisha hapa nilipo leo, na ndio yamenifanya nikawa mtu ambae sijawah kufikiria kama naweza nikawa hivi hata sikyu moja katika maisha yangu…
siku hio ilikuwa ni siku ya jumapili, siku hii huwa ni siku yangu ya mapumziko, hivyo huwa nawatafutaga wanaume wawili ambao, mmoja atanifanyia shughuli zangu zote za ndani na mwingine atanifanyia shughuli zangu zote za kitandani…
nilipata mwanaume mmoja shababi, kiukweli muonekano wake ukawa unanivuta kwaajili ya ngono, kwa maana alikuwa na kifua cha mazoezi na alikuwa na rangi ya mtume, sauti sasa ilikuwa ni mashallah, yaan akianza kuongea hutaman amalize kuongea, alikuja nyumban kwangu na nilimuambia kabisa kuwa mimi nakununua unihudumie, kwa maana anipe shoo inayoeleweka, na Yule mwanaume hata hakubisha, kwa maana tulivyofika tu alinibeba juu juu kisha akanipek a bafuni na kuniogesha, aliniogesha kwa ustadi mkubwa sana na baada ya hapo akanitoa na kuja kunilaza kwenye massage coach ambayo ilikuwa chumban kwangu…
baada ya kunilaza akaanza kunifanyia massage ya kiungo kimoja kimohja kwenye mwili wangu, na kuanzia nimeanza kumiliki mwanaume hata siku moja sijawah kupewa raha kama ambazo alinipa huyu kijana, nilikuwa napiga kelele za utamu kwa kila kiungo ambacho alikuwa akinishika, nilihisi kuchanganyikiwa kwa huduma yake, na kuna muda nikawa hata nataman kumpa ushirikiano na sio kawaida yangu kabisa, kwa maana nikiwa na mwanaume kama hivyo kitandani, ni jukumu lake kuhakikisha kwamba naridhika bila mimi kufanya jambo lolote lile, yaan anatakiwa kushughulika yeye kwenye kila kitu, ila hapa ni kama alijua kunipagawisha, maana mpaka nikawa najikuta naamka na kuanza kumpapasa sehemu mbali mbali za mwili wake, tukajikuta tunapeana ushirikiano ila mjinga Yule alinizidi ujuzi, mpaka nikawa nimetyulia tu na kumuachia uwanja, basi siku hio shoo haikuwa ya kawaida, kwa maana sikuwa nataman amalize kunipa burudan kwa raha ambazo nilikuwa nazipata kutoka kwake…
sikuwa hata namjua jina kwa maana huwa siulizag majina ya wanaume ambao nalalaga nao kwa maana ni wengi sana, na kuuliza majina nilikuwa naona ni kama kupoteza muda tu,basi kulipopambazuka nikamlipa chake kisha kwa mara ya kwanza kuanzia nianze huo ubalazuli nilimuuloiza mwanaume jina, akanambia kuwa anaitwa meshack…
“ ohooo unajiana zuri, na sio siri nimeipenda sana huduma yako, kwani unaishi wapi? Nikamuuliza…’
“ nakaa mbezi akajibu na nikajiandaa wakat huo huo kwa maana nilijikuta nataman kujua hata anapoishi, kweli nilimpeleka mpaka anapoishi na nilipomfikisha nikamwambia “ utakapokuwa na shida ya pesa usisahau kuja pale nyumban maana unajua mimi nipo kwaajili yako, kisha nikatoa kibunda kingine cha pesa na kumpatia…
Kiukweli ni kama hakuamin macho yake maana mara ya kwanza nilimpa kama laki na nusu na baada ya hapo nikamipa pesa nyingine, na kiukweli sio kawaida yangu kabisa kufanya hivyo, basi Yule meshack akanikumbatia pale kisha akanishukuru sana, sasa akiwa anaondoka akatokea kijana mwingine ambae kiukweli sikuwa namfahamu akaanza kunambia “ owww shemu doh kumbe unamiliki mwanamke mrembo hivi alafu unamficha, aseee bro wewe ni msiri sana, akawa anasema Yule mwanaume, ila ni kama meshack alikuwa anaona haya, na kutaka kuondoka na rafiki yake, ila Yule kijana ni kama alikuwa analazimisha kuongea na mm, hata mimi sikutaka kabisa kuzungumza nae chochote kile kwa maana niliona kama ananipotezea muda tu….
“kumbe shemu wewe ni pisi kali kiasi hiki, alafu unamiliki mpaka gari, naomba unisogeze sogeze basi, akawa anasema Yule kijana na mwenzake ni kama alikuwa anataka kuondoka nae ila akasisitiza sana kuwa anataka nimsogeze sogeze, nilikuwa najisikia vibaya sana, kwa maana sipendagi kabisa wanaume wenye shobo, ila hata hakusubiri ruhusa yangu, na badala yake alikuja upande wapili wa gari na kufungua mlango kisha akasema kuwa anataka nimsogeze sogeze….
“ alikuwa ni mwanaume mzuri ila alikuwa anaongea sana, kitu ambachpo kilikuwa kinanikera sana, yaan njia nzima alikuwa anaongea yeye tu, mwisho nikamuambia kuwa nasikia harufu ya mtu ananuka mdomo na kwakuwa kwenye gari tulikuwa wawili, alijua lazima lile dongo lilikuwa lake…
“ shemu unamanisha kwamba sijaswaki, aahhh shemu kama ni lift uliyonipa inasababisha unitukane basi naomba nishuke, akasema Yule kijana, na wakat huo huo nikasimamisha gari kisha nikamuambia kuwa “ unaweza kufungua mlango na kuanza safar…
Aliniangalia kisha akacheka kwa dharau na baada ya hapo akashuka, nikachukua airfresheer nikapulizia gari langu huku nikiwa nasema “ ngoja nitoe harufu za ajabu ajabu kwenye gari langu, na baada ya hapo nikatoa pesa kwenye pochi kisha nikamrushia, nikama hakuamin kabisa kitu nilichofanya a baada ya hapo nikawasha gari na kuanza kumtimulia vumbi na kuondoka zangu, nikamuacha analiangalia gari tu, mimi huyo…
Kikawaida huwa sipendagi kabisa wanaume wenye shobo na nilikuwa namuona kama anaongea ongea sana kwa sababu ana njaa na ananishobokea ili tu nimpe pesa zangu…
Basi siku hio usiku kulikuwa na party ya rafiki yangu mmoja, nilijuana nae kwenye madanguro huko, kwa maana hata utajiri wangu niliupata kupitia mwili wangu, kwa maana kuna kipindi kwenye maisha yangu niliamini , huenda nilikuwa naumizwa sana kwenye mapenzi kwa sababu sina pesa, na kwakuwa sikuwa kabisa na elimu nikaamua kuutumia mwili wangu ili nipate pesa, ndio nikakutanaga na huyo bint alikuwa anaitwa grace, ilikuwa ni birthday yake ilikuwa inafanyika pale mlimani city, mubaba wake ndio alikuwa anamfanyia, sasa nikiwa pale mara akaja mwanaume akakaa pemben yangu, alikuwa amevaa nguo zote nyeusi mpaka miwani, na alikuwa ananukia mno, kiukweli sikumzingatia kwa maana sinaga kawaida ya kuwa na shobo na mwanaume hata siku moja, kwa maana nilikuwa najiona kama ninapesa hivyo wanaume wanatakiwa kunishobokea mimi na sio mimi kuwashobokea wao….
Sasa kwenye ile party ukafika muda wa kulishana cake, mc akasema kuwa ataanza kusimamisha couple kwanza kisha ndio watafata mtu mmoja mmoja, nikasikia mr and mrs Robert naomba mtufungulie zoezi letu la kulishwa keki, nikashangaa nashikwa mkono, kugeuza macho nilishtuka kukutana na sura ya Yule kijana niliemtimulia vumbi akiwa ameachia tabasamu murua, kisha akaninong’oneza na kusema “ nimehakikisha sinuki mdomo, kwa maana nimepiga mswaki kwa lisaa lizima, na nimetafuta pafyume nzuri ambayo haitakuboa, kama hutojal naomba twende mbele tukale cake …
NAKUJA…….
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU