
KIBOKO YANGU 14
Mara nashangaa Robert anajipiga kibao kisha akasema “ unaona sasa unanitoa kwenye malengo, nikawa namng’anga’ania kwa maana nilikuwa namtaman kinyama, nikashangaa ananituliza kisha akanambia tutafanya kila kitu mamaa, naomba tumalize kwanza kulipiza kisasi kwa wote ambao wamekuumiza….
Haya nambie baada ya huyo akafata nani? Akasema Robert, sikuwa nataka kumuelewa, nilikuwa nataman tumalizie mchezo ila Robert alizidi kunikwepa mwisho nikawa nim ekjubaliana nae, na kama alijua, nikaanza kusimulia mambo yanayoniumiza ni lazima hisa zangu zote zitayeyuka…….
“ baada ya hapo nikawa kama kachangu doa, nikawa natembea na wanaume hovyo, nilikuwa sina mahusiano serious, niliamua kuanza kutafuta pesa, kwa maana niliamin kuwa pesa ndion kila kitu kwenye maisha yangu, nikaanza kujiuza kwa vigogo, nikaanza kutembea na watu wenye hela zao, na kwakuwa nilikuwa na yale mapenzi ya Kiswahili nilikuwa napendwa na wanaume wengi, nilikuwa naweza kuingiza mpaka million tatu kwa siku, maisha yangu yakabadilika, nikawa ni mdangaji wa pesa nyingi, nilienda kuwajengea wazaz wangu, na baada ya hapo nikaanza kufungua biashara zangu, na namshukuru sana mungu kwa sababu mambo yangu yalikuwa yaaenda vzr kuliko nilivyokuwa nafikiria, mired yangu ikaenda kama ninavyotaka, nikawa tajiri kwan muda mfupi, nilikuwa naweza kuwa na hata million mia beni a sijui zinakazi gani, na baada ya hapo nikaacha kabisa kudanga….
Nikataka kumtafuta mwanaume wa maisha yangu, nilitaka sasa kutulia, ila haikuwa rahisi, kwa maana kila mwanaume ambae nilikuwa nampata alikuwa anakuja kunichuna, mpaka nikaamua kutulia sasa, maana sikuwah kupewa hata hela ya vocha na wanaume ambao nimeshawah kuwa nao, na badala yake wakawa wanataka nikawajengee wazaz wao, wakawa wanataka niwafaidishe, nikaamua kuachana nao,nikawa nasema…
‘ nitajie majina yao nianze kuwashughulikia, akasema Robert…..
“ tuachane nao maana hao hawakuniumiza sana kama mpuuzi mmoja alijitambulisha kwangu kuwa anaitwa zolpa, huyu nilitaman hata apate ajali afe, maana alinisababishia maumivu ambayo sijawah kuyapata kuanzia nimeanza kuwa kwenye mahusiano, nikasema….
“ eheee nambie alifanya je? Akauliza Robert
“ siku moja nilikuwa nimetoka kwenye hizi malls kununua baadhi ya vitu ambavyo nilikuwa navitaka, mara gari moja la kifahar likasimama mbele yangu, kisha kioo kikashshwa nikamuona kijana mmoja mtanashati mno, akashuka kwenye gari kisha akaja kunisalimia akasema “ mambio mrembo….
“ poa nikamjibu
Akatabasamu kisha akasema “ sikutegemea kama ungeitikia salamu yangu, akatioa pesa sikuwa najua ni shilling ngapi, na ndani yake kulikuwa na laki tano, kisha akanipa na bussness card yake, ilikuwa na namba yake ya simu na jina lake, alikuwa anaitwa frank, sikutegemea, na nikama aliniroga kwa maana nilijikuta namfikiria kila wakat kuanzia muda ule, sikulala kwa aman mpaka niliposikia sauti yake, na alikuwa anaonekana kana kwamba alikuwa anaisubir kwa hamu simu yangu, basi mahusiano yetu yakaanza hapo, akawa ananihudumia kwa kila kitu, na hakuwa anaenda kazin kabisa, kwa maana alikuwa anaishi kwangu, siku moja akanambia kuwa anaenda asrusha kikazi, anabiashara zake za madini anaenda kufanya…
Kweli nikamsaidsi kujiandaa pale, kesho yake akaanza safar na usikju alifika arusha na bado tukawa tunawasiliana vzr sana , alikaa huko arusha kwa kama siku nne, siku moja akanipigua simu akiwa mnyonge sana, akanambia kuwa amepelea laki tano anaomba nimsaidie, kweli nikamtumia kwa maana kwanza pesa ambazo alikuwa ananipa ni zaidi ya hio million tano, alinishkuru sana na kesho yake akarudi, akanipa lakin nane, kwa maana ya laki tano yangu nanpesa ya usumbufu, niliona kweli hapa nimepata kumbe nimepatikana…
Basi ikawa ndio kawaida yake, anaenda arusha na baada anadai anaenda kwenye shughuli zake na mwisho wa siku anarudi, na akirudi anakuja na pesa nyingi sana , nilikuwa nampendea hapo kwa maana alikuwa ni mtoaji sana, siku moja alienda arusha kwenye biashara zake kama kawaida, na baada ya kwenda huko, hakuwa anapatikana kwa takriban siku tatu, nilikuwa na wasiwasi sana, baada ya hizo siku tatu nikapigiwa simu na namba ngeni na kunambia mwanaume wangu amelazwa kwa maana alikuwa amepata ajali….
Nilishtuka sana na kwenda hospital, alikuwa amelazwa muhimbili, nilienda nkiwa na hofu sana, nikaambiwa aliletwa na ndg zake akiwa hajitambui kabisa, alikuwa amepata ajali mbaya sana, mpaka nafika pale hakuwa amepata fahamu, ndipo kaka yake akasema anataka akamuangalie, na atampeleka nyumban kwake, nilikuwa nataka kumuhudumian mimi, ila hawakutaka, sikutaka kubisha, ila kuanzia anaenda kwa kaka yake sikuwah kuwa na mawasiliano nao, akaja akapona akanitafuta mwenyewe, akanambia anataka niende alipopanga kwa maana muda wote alikuwa anaishi kwangu….
Alipangisha nyumba kubwa na ilikuwa inaonekana ina thaman sana, ukijumlisha na gari alilokuwa anatembelea, ni ngumu kujua kuwa alikuwa abnafake kila kitu….
Basi kuanzia alipopata ajali alikuwa mnyonge sana, nikawa namuuliza shida nn, akanambia kuwa hawez tena kuwa na pesa, kwa maana amepata hasara kubwa sana, na ili arejee kwenye biashara zake anatakiwa awe na million mia moja, nilimuonea huruma na kwenda kumkopea , maana mm nilikuwa na kama million 60 kwenye account yangu na zilizobaki nilikuwa nakopa kutoka kwa mbest zangu, kweli baada ya siku chache nikamkabidhi, alikuwa haonekani kama nitapeli, akataka kuondoka na gari langu nalo nikampa, kwa maana nilikuwa na uhakika kuwa akirudi nitakuwan na pesa marab mbili ya nilizonmpa, ila kuanzia anaondoka hajawah kurudin tena, nilipoenda kuuliza kwenye ile apartment nikaambiwa kuwa alipanga mwezi mmoja tu, na lile gari sio lake ambalo alinionesha, nilihisi kuishiwa nguvu, nikajaribu kupiga ile namba ya kaka yake, la haikuwah kupatikana, nilihisi kuchanganyikiwa na pesa za watu, nilikuwa kama kichaa, nilikuwa namuaombea dua mbaya kila ninapolala ila sikuwah kumuona tena, nikawa namlani kila siku, na sijui hata yuko wapi Yule mpuuzi, nikasema….
Robert akatoa picha tatu kisha akaniuliza ni yupi kati ya wale, nikamuonesha mmoja wapo, akaangalia chini kwa huzuni kisha akanambia “ mamaaa huyu ni binamu yangu na alikuwa ananichukia kuanzia mdogo, na sijui ni kwanini amejiingiza kwenye vita yangu na wakat ni mgonjwa mgonjwa, hapa alipo anasubiri dakika yoyoteb ile apumzike kwa amani maana alipata kansa mbaya sana, jiandae nikupeleke alipo, akasema Robert kisha nikajiandaa , nikashangaa tunaenda hpospital…
Nilipomuona nilitaman kulia kwa namna alivyokuwa ameisha, aliponiona akaanza kulia kisha akasema : nisamehe peace huenda laana yako ndio imenifikisha hapa nilipo, nisamehe sana peace, alikuwa anaongea kwa tabu sana, nikatoka nje nikaanza kulia, maana ni kweli kabla hujafa haujaumbika, na sikutaka kulia mbele yake maana nilihisi kama nitamuumiza, na kila nikifikirian namna ambavyo alikuwa handsome nilihisi kuchoka , ila wakat narudi ndani nikakuta tayar ameshakufa, yaan ni kama alikuwa anasubiri kuniomba msamaha tu ili akapumzike zake kwa amani….
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU