MAPENZI NDANI YA GEREZA (16) ❤❤

MAPENZI NDANI YA GEREZA (16) ❤❤
Umri………………..18+ 

Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…..

ENDELEA……
“Mnajifanya wajanja!, huyu mmoja wenu ataenda kutuambia ukweli” Afande aliongea na kumnyenyua mfungwa mmoja wetu aliyekuwa amekaa karibu naye na kuanza kumvuta.
“Afande mimi unanionea tu sihusikii!”
“Najua ila utaenda kutuambia kila kitu!” Afande alizungumza na kumtoa mpaka nje.

Hatukujua kilichoendelea huko ila baada ya mda walifika maafande zaidi ya watatu na kuondoka na Tabu.
Nilimtazama Asha aliyekuwa akiwaangalia asikari waliokuwa wakiondoka na Tabu, Asha alitamani awazuie ila ndiyo hivyo hakuwa na uwezo huo.

Tangu siku hiyo hatukuwahi kumuona tena Tabu na wala hatukuwa na taarifa zake kama alihamishwa gereza au la! mawazo ya Asha yalianza upya kabisa baada ya Tabu kuondoka na lawama zote alizipeleka kwa wafungwa wenzetu waliosababisha mpaka siri ikagundulika.

Maisha ya gerezani yaliendelea na mda ulivyokuwa ukizidi kwenda wafungwa baadhi walikuwa wakiachiwa huku wangine wakiletwa gerezani, na sio wafungwa tu hata baadhi ya asikari pia ilikuwa hivyo hivyo, baadhi yao hatukuwaona tena na kuna wengine wapya walioletwa.
Mimi, Asha, Monica pamoja na wafungwa wengine kama Naomi bado tulikuwa tukiendelea kutumikia vifungo vyetu.

Kuna Afande kijana wa kiume aliyeletwa na wafungwa tulimpatia jina la Afande Cheusi.

Hakuna mfungwa aliyekuwa hamjui na sio kwenye selo yetu tu hata kwenye selo za wafungwa wengine wote walikuwa wakimjua Afande Cheusi, ni mtu aliyekuwa akipenda ngono na kama ikitokea akakutamani mfungwa basi ni ngumu kumchenga usifanye naye mapenzi.

Nakumbuka kipindi hicho kilikuwa ni kipindi cha kilimo.
Karibu wafungwa wote kutoka kila selo tulichukuliwa na kupelekwa kwenye mashamba tofauti kwa ajili ya kwenda kulima.
Tulianza kulima huku tukisimamiwa na baadhi ya asikari akiwemo Afande Cheusi.
“Afande!” Asha aliongea kwa sauti.
“Nini wewe!”
“Nahitaji kwenda kijisaidia!”
Asha aliongea na ndipo Afande Cheusi alipomsogelea na kumwambia aweke jembe lake chini.

Asha alifanya kama alivyoambiwa, Asha alikuwa kafungwa minyororo kwenye miguu yake kama tulivyokuwa tumefungwa wafungwa wengine hasa wale tuliohukumiwa miaka mingi gerezani, lakini kwa baadhi ya wafungwa wachache waliokuwa na mda mfupi wa kukaa gerezani wao kuna mda walikuwa hawafungwi minyororo kwenye miguu yao.

Basi Asha alichukuliwa na Afande Cheusi na kupelekwa kwenye kichaka kilichokuwa pembeni, Alitumia mda mrefu kidogo akiwa huko pamoja na Afande wakati huo sisi tukiendelea na kazi ya kulima.

Baada ya mda alirudi akiwa na Afande Cheusi na angalia ya Asha ilinifanye nitambue kuwa ametoka kuliwa na kweli kwani alipofika karibu yangu Asha aliongea kuwa ametoka kufanya mapenzi na Afande Cheusi.
“Mmmh Asha na wewe umekubali kufanya naye mapenzi!?”
“Ongea taratibu Dora!, ningefanyeje sasa ikiwa wanaume wenyewe kuwapata ni mbinde!? hata hivyo anamtalimbo mkubwa Dora!?” Asha aliongea na alijisahau na kushika jembe pasipo kuendelea kulima.

Tulishangaa Afande wa kike akija haraka upande wetu akiwa na kilungu chake na baada ya kutufikia alimpiga Asha kilungu cha kwenye bega na kuongea.
“Pumbavu, wenzako wanalima nyie mnapiga story hapa!”
Asha alishika jembe haraka lakini sauti ya Afande Cheusi ilisikika.
“Afande mbona unampiga huyo mfungwa!?”
“Anapiga story na mwenzake badala ya kufanya kazi!” Afande wa kike alimjibu na kusogea pembeni.

Afande Cheusi alimtazama Asha na moja kwa moja nilijua kama ni mahaba basi Asha kampa utampa kama wote Afande Cheusi, mpaka tunamaliza kulima kila mtu alikuwa hoi na hata wakati wa kuoga karibu kila mfungwa hakuwa na hamu ya kutiana vidole na mwenzake au kusagana, siku hiyo tulikomeshwa, kazi tuliyofanya ilikuwa nzito na nyege zote zilikata kwa mda.

Siku iliyofata ilikuwa ni siku ya mapumziko hivyo ilikuwa ni siku ya wafungwa wote kwenda kufua nguo zetu na kujifanyia usafi. Nikiwa na Asha mwenzangu aliijiwa na Afande wa kike na kuondoka naye, Nilibaki mwenyewe nikiendelea kufua na baada ya mda niliijiwa na Afande wa kike aliyemuijia Asha mda mfupi uliopita.
Nilipelekwa nisipopajua na kufikishwa kwenye store inayotumika kutunzia vyakula vya gereza.
Nilimkuta Asha akiwa kasimama na maafande wawili wa kiume akiwemo Afande Cheusi.
“Asante sana Afande unaweza kwenda tu!”
“Nataka nijionee jinsi mnavyotia Afande, nyie fanyeni tu” Afande wa kike aliongea na kwenda kukaa pembeni.

Upande wangu nilikuwa bado sielewi japo nilihisi ni mizagamuo ndiyo iliyonifanya nikawa pale, nilimtazama Asha aliyekuwa ameshaanza kushikana na Afande Cheusi, nilimtazama Afande mwingine wa kiume aliyekuwa akiushika mtalimbo wake uliokuwa bado ndani ya suruali huku akinitazama kwa uchu na matamanio ya hali ya juu.
Asha baada ya kuniona nimezubaa alinisogelea na kuninong’oneza.
“Changamka Dora nimekutengenezea mpango kwa Afande ugongwe na wewe mpaka nyege zote ziishe!”
Baada ya kuninong’oneza alisogea alipo Afande Cheusi na kuanza kunyonyana naye……ITAENDELEA.

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata