
SEHEMU YA 24
ILIPOISHIA SEHEMU YA KUMI NA 23: Kingarame aliwaza hayo pasipo kujuwa kuwa Kisona mwenyewe alikuwa chumba namba tatu, kwenye safu ile ile ya tatu katika jengo ili lenye ghorofa tatu, nayeye akipanaga yakwake, maana alikuwa ame itandika ramani yake kitandani, anajaribu kutazama maeneo ya misitu ambayo yana semekana kuwa Edgar na Monalisa wamekimbilia. emdelea ……
Na vitu vikubwa alivyo kuwa anaangalia, ni umbali na ukubwa wa msitu, njia na barabara zilizopo kwenye msitu huo, hali ya mazingira na haridhi na vijiji vya jirani na vilivyopo ndani ya msitu huo, kanali Kisona alionekana akiweka alama flani flani kwenye ile ramani, kwa karamu ya risasi, wengi wanaita penseli, kati ya sehemu alizoweka alama ni pale kwenye njia ya kuingilia msituni, walikopita wakina Kibabu, siyo kwamba alijuwa kuwa njia hiyo ndio inatumika kuwa fwatilia wakina Edgar, pia aliweka alama, kwenye mto wa mdogo upande wa kushoto wa barabara, pia kijiji flani, pande wa Njombe, na kijiji cha utwango, ni kama kijiji chamwisho ukitokea makambako, baada ya hapo akaweka alama kwenye baadhi ya maeneo ya bara bara, na vijinjia flani flani vya porini, “kwa dalili hii inaonyesha wkina Edgar wapo hai, na kama wapo hai mpaka sasa, basi kuna uwezekno mkubwa wa kuwapata” aliwaza bawana kisona huku akiendelea kuikagua ramani yake, **
“Eddy, nasikia usingizi” alisema Monalisa, kwa sauti nyoror iliyo legea, akiwa amejiegemeza begani kwa Edgar, ambae alikuwa anatafakari maongezi yake na binti huyo, yaliyopita muda mfupi uliopita, “kwa hiyo unataka ni kuambie ulale?” aliuliza Edgar kwa sauti nzito ya ghafla ghafla, “hapana, nata ukae vizuri nikulalie kwenye mapaja” sauti na kauri ya Monalisa vili utekenya ubongo wa Edgar, ambae alimtazama Monalisa kwa macho fla flani ya kuuliza, ni kama Monalisa alijuwa na kusikia swali la Edgar, “naogopa kulala pake yangu nitaota kama jana” alisema Monalisa huku ana jiinua toka kwenye bega la Edgar na kuikama mikono ya Edgar, ambayo muda huo alikuwa ameila kwenye mapaja yake, kama kiegemeo, nae hakuwa mbishi, aka iondoa mikono yake, na Monalisa aka jilaza kwenye, mapaja ya Edgar, huku kichwa chake kiki lala kwenye dudu ya kijana huyu, iliyo kuwa ndani ya suluali ya jinsi, kisha kika pita kimya kidogo, nikama kila mtu alikuwa anatafakari jambo.
“kwani we! ulali?” aliuliza Monalisa, aliea jilaza kwenye mapaja ya Edgar, ambae muda wote SMG na bastora yake vilikuwa pembeni yake, “siwezi kulala kwa usalama wako na wangu” alijibu Edgar kwa sauti kavu, huku akiisi kichwa cha Monalisa, kiki kandamiza dudu yake, ambayo ilianza kupata joto flani, lililo mpa raha, iliyo sababisha dudu yake ianze kujitutumua, “mh! mbona hivi” alisema Monalisa, kwa mstuko mdogo, huku anaupenyeza mkono wake wa kulia, chini ya kicha chake, na kupapasa pale alipo egemeza kichwa hicho chenye nywele ndefu alizo zi fungia kisogoni, “mbona hivyo nini?” aliuliza Edgar, ambae alitaka kumshika mkono Monalisa, ili amzuwie, kupapasa kile alicho taka kupapasa, lakini alisha chelewa, maana Monalisa alisha ulaza mkono wake kwenye dudu ya Edgar, na kuipapasa dudu, hap o Monalisa akautoa mkono wake haraka sana, kama vile alikuwa amegusa jongoo au dudu washa, kisha akajiinua toka kwenye mapaja ya Edgar, “we Eddy! kwani hii ndio yenyewe?” aliuliza Monalisa kwa mshangao, huku akikodolea macho pale juu ya suluali ya Edgar, usawa wa zip, na kushuhudia mtuno wa dudu iliyo vimba na kujichora kwenye nguo, “nani amekuambia uiguse?” aliuliza Edgar huku ana weka mkono juu ya sehemu hiyo nyeti, “we! Eddy, si ulinitongozaga wewe?” aliuliza Monalisa huku akiushika mkono wa Edgar, ule alio uwea juu ya dudu yake, “sasa kama nilikutongoza?” aliuliza Edgar huku ana mtazama Monalisa ambae alikwepesha macho yake yasi tazamane na Edgar, akiyaelekeza kwenye mkono wa Edgar ulio zuwia dudu, “sasa kwanini unanizuwia nisione?” alisema Monalisa, kes dauti ya king’ang’anizi, huku anajaribu kuutoa mkono wa Edgar, lakini Edgar alizuwia, “alafu ukishaona?” alisema Edgar, kwa sauti ya utani, “kwani vibaya, niachie basi nione” alisema Monalisa, sasa ilikuwa sauti ya kubembeleza, huku bado anautoa mkono wa Edgar, ata yeye hakujuwa kwanini anafanya vile, Edgar akalegeza mkono na kuachia vyombo,
Monalisa hakuona tena ule mtuno, sababu dudu ilisha legea, laikini bila kujijuwa anafanya vile kwa lengo gani, Monalisa aka upeleka mkono wake juu ya lisani ya Edgar, “lione kwanza lime fanya makusudi” alisema Monalisa huku anapapasa sehemuile, na kuigusa dudu ya Edgar, “ebu fanya tena iwe kavile” alisema Monalisa, huku anaendelea kuipapasa dudu ya Edgar, sasa alikuwa kama anaibinya binya, pasipo kujuwa mazala yake, maana Edgar alisha anza kusikia msisimko flani hivi, “nisimamishe, alafu kiwe nini, kwani wewe nime kushika?” aliuliza Edgar, huku akiukamata mkono wa Monalisa, na kuutoa kwenye sehemu zake nyeti, “kwani mimi nina sehemu ya kushika?, niachie nishike bwana” aliongea Monalisa, kwa sauti flani ya kuonyesha kuwa, alikuwa anatamani kuendelea kushika shika dudu ya rafiki yake wa zamani, “kwani wewe umenishika wapi?, na mimi si nikushike huko?” alisema Edgar ambae alihisi kuwa mchezo huu, mwshiwake unaweza kuwa na matoke mengine kabisa.
hapo Monalisa alistuka kidogo na kumtazama Edgar usini, akini hakuweza, maana alimwona Edgar na yeye anamtazama, akayakwepesha macho yake na kutazama chini, “lakini usinishike kwa ndani, mwenzio sijavaa chupi, nime ifua” alisema Monalisa kwa sauti nyololo, yenye uzani mkubwa wa aibu, huku akitabasamia chini, hapo Edgar akusubiri Monalisa abadiri mawazo yake, maana kati ya vitu alivyo kuwa anatamani toka miaka kumi iliyopita, ni hiki cha kuuchezea mwili wa mwanamke huyu, hivyo aliumshika Monalisa na kumsogeza kwake, kisha aka upeleka mkono wake kati kati ya mapaja ya Monalisa, yani usawa wakitumbua, kilichofichwa ndani ya suluali ya jinsi, lakini Monalisa akabana mapaja yake, akionyesha kuwa akuwa tayari kushikwa sehemu hiyo,”mbona unanizuwia sasa, au unaogopa” aliulliza Edgar, kwa sauti nzito na tulivu, huku akijaribu tena kuukandamiza mkono, kwenye mapaja ya Monalisa, kwanza Monalisa alikataa kwa kichwa kuwa haogopi, “mbona wewe uja ifanya isimame” alisema Monalisa, kwa sauti ile ile ya nyololo ya chini, huku ame tazama chini, “unajuwa ukitaka isimame inabidi nifanyaje?” aliuliza Edgar, kwa sauti nzito yachini, nikama alikuwa ananong’ona karibu na sikio la Monalisa, Monalisa alikataa kwa kutikisa, kuwa hajuwi kinachotakiwa kifanyike, ili dudu isimame, lakini wakati huo, kwa maongezi yao tayari dudu ilikuwa imesha vimba, na Monalisa hakuwa ametazama sehemu hiyo nyeti, ya rafiki yake huyu wa zamani, “inabidi nikushike maziwa” alisema Edgar kwa sauti ile ile ya chini, karibu kabisa na sikio la Monalisa, “haya nishike, lakini juu ya nguo” alisema Monalisa, na hapo hapo Edgar akuzubaha, aka upeleka mkono wake wa kushoto, kwenye ziwa la kulia la Monalisa ambalo lilikuwa ndani ya jacket, na kuanza kulipapasa ziwa ilo lenye ukubwa wa wastani, huku akitafuta chuchu, lakini ilikuwa ngumu kidogo, kutokana na unene wa jacket, alilovaa Monalisa, lakini ilimlazimu Edgar atumie mbinu mbadala, ili kulifaidi ziwa hilo, kaanza kulibinya binya, akika lilikuwa ziwa gumu gumu flani hivi, kama embe dodo, linaloanza kuiva.
Kitu ambacho Monalisa akukitegemea, ni msisimko katika mwili wake, uliotokana na kushikwa maziwa yake, ambayo hayakuwai kushikwa na mwanaume ata kwabahati mbaya, akajikuta ana jiegemza kifuani kwa Edgar, na kumpa nafasi zaidi ya kuchezea ziwa lake, huku akionekana kuanza kupumua kama mtu mwenye tatizo la pumzi, mana alihema pumzi nzito zilizo tokea puani, “Eddy kama unataka nifunguezip ushike vizuri” alisema Monalisa, huku akijigeuza kidogo, ili Edgar aweze kufungua zip ya Jacket, alilo livaa Monalisa, mpak hapo Edgar alihisi kuwa Manalisa alisha nogewa na kamchezo kale, hapo Edgar akaikama taza zip na kuishusha, sasa aliweza kuyaona maziwa ya Monalisa, yakiwa yametuna vyema kwenye tishet la mwmana dada huyu, EDGAR akaupeleka mkono wake kwenye ziwa lile lile la kushoto, na sasa akuangaika na ziwa lote aka shika chuchu, hapo akamwona Monalisa akistuka na kutetemeka kwa msisimko, huku akijilegeza, na kujilaza zaidi kwenye mapaja ya Edgar, akiacha kifua chake kikiwa juu, kichwa chake kiki ikandamiza dudu ya Edgar, iliyo tutumka na kuvimba vyema, ndani ya suluali yake ya jinsi, “unanitekenyaaa” ilikuwa sauti ya kuning’ona ya Monalisa, alie kuwa amefumba macho, kisikilizia mtekenyo huku mkono wake mmoja ukiwa juu ya kiganja cha Edgar, kilicho kuwa kina chezea chuchu zake, “vipi unataka niache?” aliuliza Edgar, kwa sauti tulivu, huku akiendelea kuchezea chuchu y mwanamke huyu na sasa alikuwa akibadiri ziwa, na kuhamia ziwa la kulia, “hapana usiache, nasikia raha” alisema Monalisa huku akiachia tabasamu la aibu.
mchezo huo uliendelea kwa dakika nne nzima, na wote waili walionekana kuanza kuzidiwa, na kuanza kujisikia kuitaji atuwa nyingine zaidi, “Eddy, nasikia wanaume wananyonyaga maziwa” alisema Monalisa kwa sauti iliyo jaribu kuchangamka, lakini ilififia, “kwa hiyo unataka ni nyonye maziwa yako,?” aliuliza Edgar, huku akiendelea kuchezea chuchu za Monalisa, ambae kama angekuwa mke wake, angesema ni mwanamke wa ndoto yake, Monalisa akaitikia kwa kichwa, akionyesha anataka Edgar anyonye maziwa, na kwa msisitizo, yeye mwenyewe Monalisa akalikamata tishet lake kwa chini, na kulivutia kwa juu, nakumfanya Edgar aone miziwa ya Mona ikiwa ndani ya sidiria nyekundu, ambayo ilipekenyuliwa na Monalisa mwenyewe, na hapo mziwa ya Mona yakawa nje kabisa, Edgar akiwa kama ameduwaa flani aka kamata chuchumoja kwa ncha ya vidole vyake viwili, yani cha gumba na cha kati, na kuanza kuipekecha kidogo, “nyonya bwana” alisema Monalisa kwa sauti ambayo sasa ili tokea puani,
Edgar akiwa bado anachezea chuchu ya ziwa la kushoto, aka usogeza mdomo wake kwenye ziwa la kulia la rafiki yake huyu wazamani, na kuidumukiza chuchu iliyo chongka vizuri mdomoni mwake ksiha akaanza kuimungunya ile chuchu, na hapo mambo yakazidi kuwa magumu kwa wote wawili, maana wakati Edgar, alikuwa amesimamisha dudu, na kumfanya Monalisa ahisi kama ameegemea kipande cha mhogo kichwani mwake, yeye mwenye Monalisa alikuwa anahisi msismko ambao ulikuwa uanatokea kifuani kwake kwenye chuchu zilizo kuwa zinachezewa, mpaka kwenue mbavu changa, na kusambaa, kuelekea kichwani na kwenye kiuno chake, zikiweka kituo kwenye kitumbua chake, ambacho kilikuwa kinahisi kitu kama mkojo usio kojoleka, huku misismko mingine ikisafiri mpaka kwenye nyayo ya miguu, na kumfanya aanze kuchezesha vidole na kubana mapaja, kama anazuwia mkojo usio kojoleka, huku akiuachia mdomo wazi, ili kupata msaada wakupumua, mana ilifikia kipindi alihisi koo linakauka, nakuitaji maji au kitu cha kulainisha koo, sijuwi Edgar alijuwaje maana aliondoa mdomo wake kwenye chuchu na kuuamishia kwenye mdomo wa Monalisa, ilio kuwa wazi, na kuanza kulamba modomo hiyo, yani lips, pana za binti huyuambae mwanzo alionyesha kuto kujuwa inamaana gani, lakini mala na yeye akajikuta anaibana midomo ya Edgar, na bila kufundiswa na mtu, Monalisa akajikuta ana anzakubadilishana mate na Edgar, na ndipo alipo kumbuka kitendo iki uwa kinaitwa kupeana denda, kitendo alicho wai kusimuliwa na rafiki yake Stella, wakiwa chuoni, “kumbe tamu hivi” aliwaza Monalisa, akiwa ameking’ang’ania kichwa cha Edgar, na kuunyonya urimi wa rafiki yake huyu wazamani, ambapo walifanya hivyo kwa sekunde kadhaa, huku Edgar, aikiendelea kuchezea chuchu za Monalisa, na wote wawili wakizidi kupata misismko, ya hajabu.
Mala ghafla Monalisa akajitoa kwenye midomo ya Edgar na kujiinua kwenye mapaja yake, akikaa pembeni ya rafiki yake huyu, yani juu ya gogo, “inatosha Eddy, tutafanya tena kesho” alisema Monalisa huku akiyaifadhi vizuri maziwayeke kwenye sidiria, na alipo maliza akalishusha tishet lake, huku Edgar ana mtazama, pasipo kusema kitu, kisha Monalisa, akatulia kidogo, akitazma chini, kanakwamba alikuwa anawaza jambo flani, baada ya sekunde flani, akamtazama Edgar alie kuwa amejiinamia chini, kama vile nayeye alikuwa anawaza jambo flani, “vipi Edgar umechukia?” aliuliza Monalisa huku ana weka mkono wake mgongoni kwa Edgar, na kufanya kama ana mpapasa, Edgar akainua kichwa chake na kumtazama Monalisa, huku ameachia tabasamu pana, “kwanini unauliza hivyo” aliuliza Edgar kwa sauti tulivu, iliyo jaa upendo, Monalisa nae alitabasamu, na kukwepesha macho yake, huku anaegemea kwenye bega la, “nimeona umekaa kimya” alisema Monalisa, huku anacheka cheka kama mtoto, na Edgar nae akacheka kidogo, huku ana mkamata Monalisa, na kumvutia kwake, akimlaza kwenye mapaja yake, “kwani nichukie kucheza na rafiki yangu” alisiema Edgar, huku ana tekenya Monalisa kwenye mbavu, nae alistuka na kujigeuza pale pale kwenye mapaja ya Edgar, “”mimi siyo raifki yako, sema mchumbawakobwan
a, si ulinitongaza mwenyewe” alisema Monalisa, huku na yeye anamtekenya Edgar kwenye mbavu, Edgar akastuka kidogo, na yeye aka mtekenya tena Monalisa, ambae aliachia kicheko, “unaninyegesa bwana” alisema Monalisa neno hilo ambalo utumika na wangoni wengi, pasipo kujuwa limaanisha kuwa unanitia nyege, huku na yeye Monalisa akirudishia kumtekenya Edgar,
Sasa uligeuka kuwa mchezo, ambao ulitawaliwa kwa vicheko na bashasha, wakisahau kabisa kama walikuwa katika uwanja wavita, mpaka pale Monalisa alipoanza kujisikia usingizi kwa mala ya pili, na kuomba aruhusiwe kulala kwenye kitanda cheke, ambacho ni mapaja ya Edgar, **
Saa kumi na moja nanusu, ndio muda ambao kundi lilo andaliwa na bwana Kingarame, kwaajili ya kufwatilia nyendo za kanali Kisona, liliondoka kuelekea Makambako, wakiwa askari watano nyuma yagari koplo moja alie julikana kwa jina la koplo Mtata Lusinde, akiwa na pamoja na dereva wa gari lile, PC Jacob.
Gari lilitililika kwenye lami, kwa mwendo wa kasi sana, inaonyesha Dereva akujali wenzie walio kuwepo nyuma ya gari hilo, kama walikuwa wanaisikiaje baridi, maana ilifikia kipindi ata ushikaji wa bunduki zao ulikuwa mgumu, waliishia kuzikumbatia kama watoto, lengo likiwa ni kuwai kumfwatilia kanal Kisona, ambae walikuwa na uakika kuwa alikuwa Makambako, safari hiyo ilipangwa ikaishie karibu na kituo cha tereni ya tazara, hatua chache kutoka kwenye lango kuu, la kambi la jeshi la ulinzi, la hapa Makambako.
Nusu saa baadae yani baada ya kuondoka wale askari polisi, walio elekea Makambako, tayari kanal kisona na askari wake na mzee Mbogo, walikuwa wamesha maliza kujiandaa, kwa kazi iliyo waleta huku Njombe, waliingia ndani yagari na kuanza kutoka pale hotelini, wakipandisha kimpando kitogo, kuifwata barabara kuu ya kuelekea Iringa na Mbeya, Dereva akiwa yule yule mzee Mbogo, huku askari wote watano, pamoja na kanal Kisona, wakiwa na bunduki zao,
Lakini ile wanafika barabara kuu, wakaliona gari flani, ambalo wakishindwa kulitambua kwa kulionaona mwanga wa taa, likisimama haraka mbele yao, hapo askari wote wa tanio wakiwa wametulia wakamwona kisona akiacha bunduki yake na kuchukuwa bastora ambayo ilikuwa chini ya sehemu ya kukanyaga kwa miguu mle ndani yagari, na kuiweka tayari kushambulia, huku nako wakaona mlango wa dereva wagari lile kifunguliwa, na akashuka kijana mmoja mwenye mwili wa wastani, na kulifwata gari lao akiwa mikono mitupu.
Mala wanamwona yule kijana akistuka sana, baada ya kusogea kwenye gari, na kuwatambua kuwa alio wasimamisha kwa fujo, ni askari wa jeshi la ulinzi, “shikamoo mzee” alisalimia yule dereva wagari jingine, ambae alikuwa amesimama upande wa mlango wa dereva, “kijana sema shida yako unatuchelewesha” alisema Kisona, akishindwa kuitikia salamu ya shikamoo, sababu umri wake ulikuwa mdogo pengine ni sawa na yule msalimiaji, inamaana salamu hii ilikuwa ni ya mzee Mbogo, japo baba Edgar ndie alie kuwa karibu na yule kijana, ila alionekana akitazama mita kadhaa, pembeni ya barabara, kwenye nguzo ya umeme, “samahani mzee nilitaka niwaulizie kama kunahotel nzuri hapa Makambako, sisi niwageni hapa ndio tuna ingia kutoka songea” alisema yule kijana, alieonyesha uoga wa wazi wazi, “fwata njia hii tunayotoka sisi, kwenye gorofha unaloliona mbele yako” alielekeza Kisona, na yule kijana akashukuru na kurudi kwenye gari lake, kisha akaliondoa gari mbele ya gari la kinakisona, alafu akapita pembeni yao na kushuka kile kimtelemko, wakielekea serena hotel,
Lilikuwa ni Nissan patrol la mzee Anderson, ambalo wakina Kisona walilisindikiza kwa macho mpaka walipoliona likiingia hotelini hapo, ndipo Kisona akaifadhi bastora yake, huku akitarajia kumwona mzee Mbogo anaondoa gari, lakini akashangaa kumwona akiwa ametulia, akamtazama na kumwona akiwa ame elekeza macho yake upande wake wa kulia, yani nje ya gari, Kisona nae akatazama kule ambako mzee huyu alikuwa anatazama, mita kama kumi toka pale walipo, kwenye nguzo ya umeme, ilionekana picha ya mtu anae tafutwa na polisi, akitajwa kuwa ni jambazi, hapo Kisona akatazama upande wakushoto, yani kule aliko kaa, akaona tena picha za Edgar zikiwa zime zagaa kwenye nguzo na kuta za nyumba zilizopo pembezoni mwa barabara, “awa jamaa washenzi kabisa, yani ndicho walicho kifanya” alisema Kisona, kwa sauti iliyo jaa ghazab, “lakini nitaakikisha na msafisha mwanangu” alisema baba Edgar, huku ana ingiza gia namba moja, na kuachia crutch na gari likaanza kuondoka taratibu likiifwata njiapanda ya kuingilia barabara kuu, “akika itakuwa fundisho kwa watu wanao fanya ujinga kwa kimvuri cha madaraka waliyo nayo” aliongeza kanal Kisona, kika pita kimya kidogo, huku gari likikamata barabara kuu na kukatakona kuelekea upande wa kulia, yani Makambako, na wakati huo huo wakapishana na Toyota land cruzer, pic up, mali ya jeshi la polisi, likiwa na askari watano nyuma yake, wakiwa na bunduki mikononi mwao, gari hilo lilio kata kona kuelekea kule walio tokea wao, “kituo cha kwanza Makambako kituo cha pili kwa dada mmoja anaitwa Rehema, baada ya hapo, tutakuwa tumesha juwa pakuanzia” alisema kisona, kisha akawageuia wale askari walio kaa seat za nyuma yake, mnatakiwa kujuwa kuwa, tupo vitani toka tulipotoka Songea, maana nimeona tuliposimamishwa hakuna ata mmoja alie shtuka, kumbukeni hakuna kumwamini mtu yoyote, ila mshuku kila mtu” alimaliza Kisona, na wale askari wakaitikia, “ndiyo afande” ilionyesha wameelewa,
Nikweli, lile gari la polisi walilopisha na nalo wakina Kisona, lilikuwa linaenda Serena hotel, kumchukuwa SSP Manase Kingarame, mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoa wa Ruvuma, liloenda na kusimama kwenye maegesho ya magari ya serena hotel, pembeni ya garii mmoja aina ya Nissan patrol, lililo onekana kuwa ndio limeingia muda ule ule, maana licha ya kuonekana watu kadhaa wakike na wakiume, wakiwa wamelizunguka lile gari, pia lilikuwa bado lina unguruma, akashuka Dereva Hokololo, akiliacha gari lina unguruma, akaingia ndani ya hotel, kisha aka elekea mapokezi, kwa lengo la kuomba simu z ndani ya hoter apige simu kwa boss wake, maana kila chumba kilikuwa na simu ya kuongea na mapokezi, akiwa anategemea kupata usumbufu wa kumwamsha mhudumu wa pale mapokezi, lakini aikuwa hivyo, maana aliwakuta wazee wawili wakiwa wanaongea na mhudumu, “mtakaa kwa siku ngapi?” aliuliza dada mhudumu, alie onekana ametoka kuamka, muda mfupi uliopita, “wazee hawa walitazama kabla ya kujibu, kisha mmoja wao aka jibu, “andika kwanza siku mbili, kama bado tuta kuwepo, tutaongeza” yule dada akaandika, kisha akaanza geuka na kutaka kuchukuwa funguo za vyumba, “ebu sikia dada, achana na hizo funguo kwanza, piga simu namba saba ghorofa ya tatu” alisema Hokololo, kwasauti ya kuamrisha, yule dada mhudumu, akiwa mejawa na uoga wa ghafla, akaacha kuchukuwa funguo, akaichukuwa simu, na kuisogeza mbele ya Hokololo, kisha bila kuongea neno aka aanza kubonyeza namba, alipomaliza akamkabidhi mkonga wasimu kijana Hokololo, aie weka simu sikioni, na kusikia ikiita pasipo kupookelewa.
“mzee Anderson, mmefwata nini huku” wote walistuka na kutazama kwenye ngazi za kuendea ghorofani, ndiko sauti ilikotokea, alikuwa ni kamanda Kingarame, alie kuwa amevalia mavazi yake ya kaki, yaliyo ashilia kuwa ni mavazi ya jeshi la polisi, itaendelea ……. hapa hapa
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU