BIKIRA YA BIBI HARUSI (25)

SEHEMU YA 25
 .
ILIPOISHIA SEHEMU YA KUMI NA 24: “mzee Anderson, mmefwata nini huku” wote walistuka na kutazama kwenye ngazi za kuendea ghorofani, ndiko sauti ilikotokea, alikuwa ni kamanda Kingarame, alie kuwa amevalia mavazi yake ya kaki, yaliyo ashilia kuwa ni mavazi ya jeshi la polisi, endelea ………
Tena akiwa ameonyesha wazi kuwa, ameshangazwa na uwepo wa wazee hawa mahali hapa, “hooo! bwana Kingarame, kumbe hupo huku, afadhari unaweza kutusaidia” aliongea Anderson, huku yeye na bwana Misago yani baba Erasto wakimsogelea bwana Kingarame, alie kuwa anashuka ngazi, “nimeona nijekusimamia mwenye ili zoezi la kumtafuta binti yako,” alisema Kingarame akiwa amesha maliza ngazi, na kukutana na wazee hawa marafiki, “sisi ndio tunaingia, tumeona tuje huku, maana Songea akukaliki wala hakulaliki” alisema bwana Misago.
Baada ya maongezi mawili matatu, ambayo yalikuwa ni mzee Kingarame akiwasisitiza wawili hawa kutulia pale Hotelini, na kama kuna taharifa wataipata juu ya binti yao basi wawaeleze mala moja, tena aliwapa ushauri wa kutoa namba yasimu ya pale hotelini kwa watu walio waacha majumbani kwao, SSP Kingarame akawaaga na kuondoka zake, akiongozana na Hokololo, japo kule nje alikutana na wakina mama Mona, Lakini aliwasalimia na kuingia kwenye gari, kisha safari ya ikaanza, kuelekea porini, huku wakiwaacha wakina mzee Anderson wanaonyeshwa vyumba vyao, ambavyo vilikuwa katika mpango huu,
wakati mzee Anderson na mke wake walipewaa chumba na mba sita cha ghorofa ya tatu, mzee Misago na mke wake walipewa chumba namba tano, cha ghorofa hiyo hiyo, wakati huo, Dereva wao alipewa chumba na kumi na nne, kilco tazamana na na chumba namba mbili, Erasto alipewa chumba namba kumi na sita, jirani ya chumba namba kumi na tano, **
Baridi huku porini lilikuwa kali sana, ungesema ni zaidi ya kule mjini, maana licha ya baridi hii iliyo nyunyiza taratibu kama kiyoyozi au friji, pia kuna vitu kama vji manyunyu vilikuwa vina mwagika toka angani, wenyewe wanaita nyahenge,
Saa kumi na mbili hii, Sajent Kibabu na kundi lake la askari, walisimamisha gari pembeni ya gari la wakina koplo Mapombeka, hapa kwenye vibanda vya wakulima, ambapo walionekana polisi wawili wakizunguka zunguka eneo hili, ikionyesha walikuwa wanatazama usalama wa wenzao, waliokuwa wame pumzika ndani ya vibanda hivyo, “waamshe bwana kumekucha” aling’aka sajent Kibabu.
Dakika kumi mbele, tayari askari walioongozwa na koplo Mapombeka, walikuwa wamesha simama mbele ya sanjeti Kibabu, huku wakiwa tayari kwa jukumu lililopo mbele yao, ambalo tayari walisha liona kuwa ni jukumu zito, tofauti na walivyo zania mwanzo, “Mapombeka chagua askari wawili wenye uwezo mzuri wa kutumia MMG (medium machine gun) na RPG, wata ungana na Chaz (Charles) na Dinno, (askari wake kutoka songea) kunakazi inabidi wakaifanye, alafu tuta gawanyika makaundi mawili, kama jana, wengine wataelekea uapnde wa kaskazini, jana kuna mlipuko wa risasi ulisikika, wengine tuta bakia tuna linda barabara, maana lizima watakatiza huku, awawezi kwenda Makambako, wameshaona picha ya kutafutwa kwao” alisema Kibabu na hapo kazi ya kupanga makundi ikaanza, kumbuka tayari askari watatu walio tokea songea waisha uwawa,
Muda mfupi baadae sajent Kibabu aliondoa gari lake akiwa na askari nane, yani wale watano, ambao aliwapa maelekezo ya kutega ambushi, kulivizia gari la jeshi ambalo alidanganya kuwa ni la majambazi wenzie na Edgar walio jifanya wanajeshi, “wanakuja kumsaidia mwenzao kumbukeni wakiweza kuvuka, watatuangamiza vibaya sana, kinachotakiwa ni kulishambulia na kuliteketeza mala moja” aliongea hayo wakati anawa panga.
koplo mapombeka yeye, alimwaachia kikundi PC Khassim nay ye akaondoka na gari akiwa na dereva wake na askari wawili, kwenda kufwata chakula na kupeleka riport ya asubuhi, huku PC Khassim akiingiza kikundi chake porini, kufwata kule ambako inasemekana ilisikika asuti ya mlipuko wa risasi, kundi lake lilikuwa na kijana mmoja, wa sajent Kibabu, kati ya watatu waliobakia, nae alikuwa ni Mike, ambae alisha pewa maelekezo kuwa “hakuna kuacha ushahidi” **
Hali ya hewa ilikuwa ni baridi kari, ukungu ulitanda eneo lote la barabara na msituni, kwa maeneo ya mjini pia, hali ilikuwa ni hivyo hivyo, ila kwa Makambako ni kama upepo ulikuwa mwingi, ulio puliza na kuliamsha vumbi, saa kumi nambili na nusu, land rover mia na kumi, lilionekana liiingia mjini hapa na kunyoosha moja kwa moja, mpaka njiapanda ya mbeya, na kuifata ile iendayo Iringa na Dar es salaam, kiipita station ya tazara na kukata kulia kulifwata lango la kuingilia ndani ya kambi yajeshi, ambapo wali kuta walinzi wa jeshi ili kama linavyo itwa, walio wasimamisha, nao wakasimama, ata kama lakini wasingeweza kupita, sababu geti lilikuwa limefungwa, “jitambulisheni” aliongea mmoja kati ya walinzi wawili, walio kuwepo kwenye vizimba viwili vya pale getini, “kanal mmoja, koplo mmoja, askari wanne na mstaafu mmoja, toka kikosi elfu moja na nne, Songea” alisema Kanal Kisona, huku mala kwa mala akionekana kuto kutuliza shingo yake akigeuka kutazama mita kama mia moja hivi, yani karibu na tazara, “mnafwata nini?” aliuliza yule askari alie shikilia vyema bunduki yake, “tunakuja kumwona mkuu wakambi hiili” alisema Kisona, ambae alitulia kidogo na kutazama tena kule nyuma, alikotazama mwanzo, “samahani afande naomba mpite pale, kwa mkuu wa ulinzi, kwa utambuzi zaidi” alisema yule askari na mzee Mbogo akaondoa gari kuelekea kwenye jengo moja lilipo hatua kama ishilini, toka pale getini, huo ndio utaratibu wao wanajeshi hawa, atakama unaonekana umevaa mavazi ya kijeshi lakini lazima utambuliwe, na kuakikiwa kama ni mwanajeshi mwenzao.
Pale kwenye jengo tayari walisha mkuta mkuu wa ulinzi akiwa amesha simama nje anawasubiri, inaonyesha alisha sikia ujio wao, Kanal Kisona alishuka toka kwenye gari, akiwa kamili kabisa, ungejuwa tu kuwa alikuwa na jukumu mbele yake, maana ukiachilia kifuko cha bastora kiunoni mwake, pia alikuwa na kibuyu cha maji, na bunduki yake mkononi, huku yule mkuu wa ulinzi wa getini, mwenye cheo cha koplo, akipiga salut kama salamu kwa mkubwa huyu, ambae aliitikia mala moja, “naitwa kanal Kisona, natokea songea” alijitambulisha Kisona, “hoo! kumbe ndio wewe afande, nilikuwa nakusikia tu!” alisema yule askari kwa uchangamfu, ni kweli sifa za kamanda huyu zilijulikana karibu nchi nzima, lakini wengi walikuwa hawaja mwona kwa macho yao, zaidi ya kusikia kitajwa katika nishani na upandaji wa vyeo, vilivyosababishwa na utendaji mzuri wa ufanisi, “haya bwana koplo, nazani umesha niona, naitaji kuonana na afisa wa zamu, nazani ameachiwa maagizo yangu” alisema kanal kisona, huku akiahia kicheko kidogo, “yupo njiani anakuja, kutoka rest house, nilisha mpigia simu wakati unahojiwa pale getini” aliongea yule Koplo, ambae alimfanya Kisona atabasamu kidogo, maana alionekana kuwa shap.
kisona alitulia kidogo, na kugeuka nyuma, akatazama kule tazama, ambapo kwa hapakuonekana vizuri kama palivyoonekana akiwa getini, “koplo hivi wale polisi uwa wana simamaga pale karibu na station kila siku?” aliuliza Kisona, hukubado anatazama tazama upande ule, na kwambali akiliona gari aina ya Toyota land cruzer, la blue, lenye maandishi makubwa ubavuni POLICE, ambalo alilitilia mashaka mala tu walipo lipita wakati wanaingia mahali pale, “sijuwi ata kama kuna poisi hapo nje” alisema yule koplo, huku anatazama tazama upande ule, “alafu sijawai kuliona gari kama lile, la polisi kwa hapa makambako, labda kama lime tokea Njombe” alisema yule koplo, akiwa anaendelea kulitazama lile gari lililo zungukwa na askari watan wa polisi, wenye bunduki zao mikononi.
“Jambo afande,” ilisikika sauti nyuma yao, nao wakageuka wakamwona askari mmoja alie valia suit ya kijani ya kijeshi huku mabegani kwake akiwa na nyota mbili kila upane, akiwa amepiga salut, Kisona akajibu kwa salut, “karibu afande, maagizo yako yote ninayo mafuta, biff na biscuit zipo tayari, afanade CO, amesema mtakutana wakati mwingine, maana kwa sasa anaweza kukuchelewesha” alisema yule askari mwenye cheo cha lutein, ambae sikuile alikuwa afisa wazamu, “ok! nenda na hilo gari mkapakize, mwambie koplo Katembo aniachie askari wawili” alisema akisona huku akitazama upande ule walioko wale polisi na gari lao. **
Tukiwa atuja wasahau wakina Edgar na Monalisa, elekee porini kwenye vibanda vinne vya wawindani haramu, anga ilisha kuwa nyeupe, japo ukungu ulikuwa umetanda, ilisha timia saa moja kasoro, ndio muda ambao Monalisa alikuwa anakurupuka mapajani kwa Edgar, akikutana na jito la moto ulio kuwa unaendelea kuwaka mbele yao, akamtazama Edgar usoni, akamwona ana mtazama, kwa macho yake mekundu sana ya usingizi, huku ameachia tabasamu laini midomoni mwake, “umeamka sasa” Monalisa alijihisi aibu nyingi ssana, kwa ajili ya mchozo walio ucheza jana usiku, ukizingatia walikuwa wamefikia hatua ya kunyonyana maziwa, Monalisa alikwepesha macho na kuyaficha kwenye mapaja ya Edgar, kwa kukilaza kichwa chake sehemu hiyo, lakini alijikuta akistuka nakuinua uso wakem maana alikutana na dudu ya kijana huyu, ikiwa imesimama vyema na kutunda kwenye sehemu ya mbele ya suluali yake, “he! bado imesimama, si unaumia sana” aliuliza Monalisa kwa mshangao, huku akiweka mkono wake na kuigusa dudu ya Edgar iliyo jitutumua nusu ichane suluali ya jinsi, “hapana, ni mkojo tu!, umenibana” alisema Edgar huku anamwndoa Monalisa, mapajani mwake na kuiweka vizuri bunduki yake akiiegeemza kwenye gogo, kisha akainuka, nakulekea pembeni kidogo ya vibanda, Monalisa akiona jinsi dudu ilivy vimba pale mbele, mpaka alipo mwaona amepotelea nyuma ya vibanda, hapo Monalisa kama alie kuwa ana jiuliza itu flani, na kujipisha kwenye mkono wake, alijitabasamia peke yake, “lakini raha, kunyonywa maziwa” aliwaza Monalisa.
Mala Monalisa akatulia kidogo, nikama alie kumbuka kitu flani, aka geuza shingo na kutazama mbele yake, akaliona jamaa moja likiwa lime fungwa kamba, limelala chini, lina mtazama huku lina tabasamu, “kumbe lilikuwa linanitazama” aliwaza Monalisa, kisha akatazama pale walipokuwepo wale wengine waliofungwa kwa pamoja, nao walikuwa wana mtazama kwa macho ya kukodoa, huku wakitabasamu, “inamaana hapaja wauma hen?” aliuliza Monalisa akiinua bunduki aliyo iacha Edgat, na kuwaelekezea, lakini kutkana na ushikaji wake, wale jamaa wakacheka kicheko cha kejeli, hapo Monalisa akainuka kwa hasira na kuiweka ile bunduki pembeni, wakati huo Edgar alikuwa anarudi toka kule nyuma, “ngoja na mimi nika kojoe, alisema Monalisa, huku anaelekea kule alikoogea jana.
Baada ya kumaliza kukojoa aka nyoosha mkono wake juu ya kibanda na kuibuka na chupi yake, ambayo ilikuwa mbichi kutokana na umande na ukungu, aka ibeaba mkono na kwenda pale kwenye gogo ambapo alimkuta Edgar ana kata kibande cha nyama ambacho bado kilikuwa kwenye kichanja cha moto pamoja na nyama nyini sana, Monalisa akataka kuanza kuikausha chupi yake, “iweke kwenye begi itakauka mbele ya safari, maana tunatakiwa tuondoke mala moja” alisema Edgar ambae baada ya kukata lile pande akaanza kulikata vipande vidogo vinne, ambavyo alivifunga kwenye jani la mgomba, kumbuka nyingine alisha iweka kkwenye begi jana usiku, “kwanini tusisubiri kwanza juwa liwake” Monalisa alionekana kutokuafiki kuondoka mapema ile, “nikuambie kitu Mona, siunakumbuka wale jamaa uwa wanatufwata kila tunapoenda, lazima wata kuwa njiani kutufwata hapa” kauri hiyo ya Edgar ilimfanya Monalisa aweke nguo yake kwenye begi haraka sana, kiisha akalivaa mgongoni, “tuondoke haraka” alisistiza Monalisa kwa sauti ya uoga, Edgar alimaliza kufunga zile nyama, kisha aka beba begi lake nakuakikisha kama bastola yake ilikuwa kiunoni, kisha akainua silaha yake SMG na kuikagua kama ilikuwa na risasi, alafu aka kiweka kile kisu cha watu kiunoni,
Kisha akamtazama yule kiongozi wao aliekuwa melala chini kafungwa kamba miguuni na mikononi, “hii njia inatokea wapi?” aliuliza Edgar akionyesha njia iliyo kuwa inaonekana mbele yao, (siyo ile waliyo kujanayo jana) “inaelekea inaenda kidende mpaka utwango,” alijibu yule jamaa, hapo Edgar bila kusema neno, akaanza kuondoka, akifwatiwa na Monalisa, alie mkimbilia na kuudaka mkono wa kijana huyu “sasa we! jamaa unatuachaje hivi bwana?” aliuliza mmoja kati ya wale wawindaji haramu waliokuwa bado wamefungwa kamba, Edgar alisimama na kuwa tazama wale jamaa, nikama aliwaza jambo flani kwa sende kadhaa, kisha aka msogelea yule ambae alijifanya kuwa ndio kiongozi wake, yani alie pania kula kitumbua cha Monalisa, kisha aka chuchumaa na kuchomoa kisu toka kiunoni, yule jamaa kwa uoga akajuwa kuwa anachinjwa, Edgar aka mfungua kamba za mkononi, “asante sana kwa ukarimu wenu” alisema Edgar, kisha akatakam kusimama iliaondoke, lakini sijuwi Monalisa alitokea wapi, “mshenzi alitaka kunibaka” ile Edgar kutahamaki, tayari kipisi cha kuni kilitua kichwani kwa ule jamaa, akazimia pale pale, Edgar akaduwaa, na kumtazama Monalisa kwa sekunde kadhaa, akamwona akirushia ile kuni kwenye moto, “nanyie nichekeni tena” alisema Monalisa huku akiwatazama wale wengine,
Edgar aliinuka na kukiweka kisu kiunoni, kisha akaanza kuondoka kufwata njia aliyoonyeshwa na yule jamaa, huku kama mwanzo Monalisa akiwai kumshika mkono, na kutembea pamoja, “mbona sisi utufungulii?” aliongea mmoja kati ya wale waliofungwa pamoja, “atawafungulia mwenzenu akiamka” alijibu Edgar, huku anaendelea kuongoza kwenyekile kijinjia chembamba chenye umande mwingi sana, “Eddy kwani wewe ujalala ata kidogo?” aliuliza Monalisa ambae alikuwa nyuma ya Edgar huku ameushika mkono wake, “ata kusinzia sija sinzia” alijibu Edgar, huku safari inaendelea, “kwahiyo tukikaa week huku, na wewe utakaa week bila kulala?” aliuliza Monalisa kwa sauti iliyo changamka, tukika week tutakuwa tumesha kufa, maana lazima watatupata” alijibu Edgar, huku akiwaza kuwa njia ile itawasaida kuwapeleka mjini, na kituo kiwe dukani kwa Rehema, wakapte msaada wamasiliano kwa wazazi wao, wajuwe la kufanya, “kwanini unasema hivyo?” aliuliza Monalisa kwasauti flani ya uchangamfu, kanakwamba, alicoongea Edgar ajakiamini wala kukitilia mashaka, “kuku wa anazowea banda lake kwa siku nne tu!” alisema Edgar na Monalisa akacheka kidogo, “sasa ndio nini?” aliuliza Monalisa, “sababu ndani ya siku mbili zijazo, askari watakuwa wamesha uelewa msitu wote, na kujuwa tabia zetu akati wa kuwa kimbia, hivyo lazima watakuwa wamesha pata mbinu ya kutukamata” jibu hilo lilimwingia Monalisa ambae alitulia kidogo, akitembea nyuma ya Edgar, bado ameung’ang’ania mkono wa rafiki yake huyu wazamani, “lakini wala siogopi, nikiwa na wewe” alisema Monalisa, na kumfanya Edgar acheke kidogo.
Kisha kikafwata kimya kirefu, kila mmoja akitafakari jambo lake, wakati Edgar alikuwa anavuta picha ya tukio la jana usiku, alippewa nafasi na Monalisa ya kunyonya chuchu zake, huku Monalisa alikuwa anawaza juu ya tukio hilo hilo, ambalo licha ya kumfanya jisikie rah asana, lakini nikwamba lilimfanya ajisikie aibu kumtazama Edgar, kiasi cha kutamani muda wote kuwe na giza, ****
Mdau ebu turudi nyuma kidogo, toka hapa walipo kuwepo wakina Monalisa, na Edgar, ni mita mia sita, inamaana ni dakika ishirini tu, toka wakina Edgar na Monalisa watoke pale kwa wawindaji haramu, na kuwaacha wale wawindaji wakiwa wamefungwa, huku mapande ya nyama yakiwa jikoni, na mwenzao ndio alikuwa anazinguka, huku akijiskia maumivu makali kichwani, akatazama huku nahuku pengine angewaona wale wakina Edgar lakini hakuwaona, “tongue kamba bwana, unashangaa nini” alisema mmoja kati ya wale wenzie walio fungwa kamba, “wameondoka hwa washenzi, yani vijana wale wadogo alafu wanajeshisijuwi” alisema yule jamaa huku anaenda kuwa fungua wenzie walio kuwa na majeraha ya risasi za miguuni, wasije kuwa ni polisi wanenda kuwaambia wenzao waje kutukamata” alisema mmoja wao, “kwani yeye alishindwa?, mbona alisha tufunga kamba, na ametfungua”
Lakini ile anamaliza kuwafungulia tu wakasikia “mpo chini ya ulinzi tulien hapo hapo” ilisikika sauti kali ya kipolisi, wale jamaa wakageuka kwa mstuko na kutazama ilikotokea sauti, wakitegemea kuwaona watu wakitokea upande huo, ambao jana usiku walitokea wakina Edgar, lakinin aikuwa hivyo peke yake, waliona polisi wakitokea kwenye chochoro za pande zote, wakiwa na bunduki zao mikononi, tayari kwa kushambulia, “tumekwisha” alisema mmoja wao na mwingine akadakia, “nilisema yule ameenda kuwaeleza wenzake” ilimladi kilammoja aliongea la kwake.
hapo kilicho fwata nishuruba za sekunde chache, “lala chini pumbavu, majambazi wakubwa nyie” kauri hiyo iliambatana na mateke ya mbavu na makofi ya mgongoni, kwa jamaa hawa, huku wakikanyagwa kwenye najelaha ya vidonda vya risasi, awakuwa na budi kulala chini bila kushurutishwa, “ebu tajeni yule jambazi mwenzenu yupo wapi” alisema Mike, huku akiwaonyesha wale askari wengine waingie kwenye vibanda kukagua, wakati huo bahadhi ya polisi walikuwa wamesha anza kujinyofolea nyama, iliyo tandazwa kwenye kichanja juu yamoto, “jambazi yupi afande sisi siyo majambazi” alisema yule ambae nikama kiongozi wa hawa jamaa, wawindaji haramu, “inamana, hakuna mtu alie pita hapa jana usiku?” alisema, aliuliza Mike, na PC Khassim akadakia, “tena usikute wamelala hapa hapa” hapo wale jama walipata picha flani, “wale jamaa, kwani nimajambazi wale, mbona jamaa anaonekana mtu mwema sana, kama ni jambazi ange tuuwa sisi, kwa mabo tuliyotaka kumfanyia yule demu wak….” apo yule kiongozi wa maharamia, akala kitako cha bunduki kifuani, “pumbavu haya kuhusu hayo, ebu sema wameelekea wapi” alisema Mike, kawa sauti kali sana, lakini nikama kuna kitu kilimshangaza bwana Khassim, ambae aliamua achokoze kidogo, “Demu wake, we ujaona kuwa amemteka yule dada?” aliuliza Khassm, na kumfanya Mike amkate jicho la tahadhari, “mzee kwa jinsi tulivyoona sisi, nikama wapenzi tu, maana kwa jinsi walivyo kaa hapa toka jana usiku, mpaka walivyoondoka muda mfpi ulipita, hakuna tofauti na mtu na mpenzi wake” alisema mwingine, na siyo yule kiongozi wao, kwa sauti ya kukata tamaha, akiofia anaweza kupigwa kama mwenzie alivyo pigwa, Khassim akamtazama Mike, ambae alikkwepesha macho na kuwatazama wale jamaa, “wameelekea wapi?” aliuliza Mike kwa sauti ya jazba, wote wanne wakaonyesha kwa mkono, kule walikoelekea wakina Monalisa na Edgar, “tena sasa hivi” alisisitiza yule mkubwa wao, wakizani kuwa kufanya hivyo, kunge waondoa watu hawa mala moja.
lakini aikuwa hivy, ndio kwanza wawindaji hawa haramu, wakiwa bado pale chini, waliweza kuwaona askari polisi hawa, wakiwa wanashanbulia nyama ya kubanikwa iliyo tandazwa juu ya kichanja pale kwenye moto, huku wengine wakikata vipande na kuaidi wange peleka nyumbani kwao, kwa matumizi yao ya nyumbani, “afande hakuna haja ya kuwaacha awa jamaa,ni waharifu” alisema Mike akimshauri Khassim, ambae alikuwa ndie mkuu wao pale kwenye kiundi kile, “dah! Mike, unajuwa ni kazi ngumu sana kuwabeba awa jamaa, na hivi wame umia miguuni” alisema Khassim, ambae hakuona kama kunaulzima wa kuwashikiria wale wawindaji, “lakini iwapo itabainika tume wakuta hapa na tumewaacha, lazima tutachukuliwa atua za kinidhamu, ya kuawaachia waharifu na hiyo niaina ya kushiriki uarifu” alisistiza Mike, hapo Khassim akawaza kidogo, kisha akainua kichwa na kumtazama Mike, “lakini uoni kama wata tupunguzia kasi na uwezo wa kumkabiri jambazi Edgar?” alisema Khassim, huku muda wote walikuwa wanaongea kwa sauti ya chini, “aina haja ya kuwabeba, tufanye nao walishirikiana na jambazi, wamekufa katika mapigano na polisi” alisema Mike, “ok! nakuachie wewe umalize, alisema Khassim, na hapo Mike akawageukia askari, “wewe wewe na wewe, bakini na mimi, wengine njia hii hapa tangulieni na afande Khassim, aikuchukuwa muda askari walianza kuondoka, wakimfwata Khassim, huku wale askari watatu walio chaguliwa wakibakia na Mike, maskini wawindaji haramu hawakujuwa kinacho fwatia, walibakia pale chini walipo lala, wakiwa wame wakodolea macho askari hawa, walio kuwa wana weka vizuri silaha zao, na kuzikagua kama vipo vyema. itaendelea ………. hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!