
SEHEMU YA 32
.
ILIPOISHIA SEHEMU YA 31: walipomaliza kuweka silaha kwenye gari wakaingia na kuondoka zao kuelekea upande wa barabara kuu ya lami, huku macho yao yakivuja machozi, ya uchungu, unajuwa ulie mlipuko ulitokea je? endelea……
Ilikuwa hivi, kumbe basi, Edgar na Monalisa, wakiwa wana jihisi baridi kari miilini mwao, kwa tope lililo watapakaa , awakuwa na wasi wasi juu ya usalama wao, sababu barabara ilikuwa kimya sana, hivyo walijitokeza barabarani na kutazama kuushoto na kulia, huku wakijuwa kuwa, adui zao wamewaacha walikotokea,
Lakini aikuwa hivyo, maana ile kutazama upande wa kushoto, Edgar na rafiki yake wa zamani, walipo waona polisi saba, wakisaidiana kuandaa silaha, zinazo takiwa kuwashambulia, akika aikuitaji mkalimani, au mrusi alie zitegeneza, ilikuzitambua kuwa ni silaha kubwa, na za hatari, hapo Edgar akajuwa akizubaa wame kwisha, hapo haraka sana msukuma Monalisa alie kuwa pembeni yake, nae Monalisa akaangukia kichakani, yani pembeni ya barabara na kuangukia kwenye msingi (mtalo uliopo pembezoni mwa barabara hivyo, kisha yeye Edgar aka inua SMG yake ambayo muda wote anaakikisha risasi ipo chemba, kama umeme aka iweka vyema kwenye bega lake la kulia, na kuweka macho yake kwenye vilengeo, akivionganisha na kombola la RPG, ambalo sasa lilikuwa lina chomekwa kwenye muhanzi wake, yani silaha ya RPG, “mtanisamehe kwa hili, maana bila kufanya hivi maisha yangu yapo hatarini” alisema Edgar kimoyo moyo, huku akibana pumzi, bado macho na vilengeo, kwenye RPG, iliyokuwa imeshikwa na polisi mmoja alie kuwa anaiweka begani, huku wenzake wakianza koki mmg zao, tayari kuwa nyofoa roho zao,
Bila kufumba macho wala kupepesa, Edgar aka kibinya kidole chake kwenye trigger, na kuachia risasi tatu mfurulizo, akililenga kombola la RPG, nandipo risasi moja ilipo ligonga kombla la rpg, kwenye kichwa, na kuizumbua ditonator, iliyo coma baruti na kulipua lile kombola, ambalo utulia vitani, kufanya ualibifu ma vifaru, APC, madaraja, vikundi vya watu, majengo makubwa, ana ata magari ya kawaida, ikiaminika kuwa mripuko wake unasababisha moto mkali sana wagas, wenye uwezo wa kuunguza chuma, chenye milimta nane.
Mlipuko ulio ya washa ata mabomu yao ya akiba, na lile jingine lililo kuwa lina wekwa kwenye RPG nyingine, na kusabisha mlipuko mkubwa sana, kiasi cha kutetemesha ardhi,
Bila kusubiri matokeo Edgar akaingia kichakani akimzoa zoa Monalisa, aie kuwa bado amelala chini, huku ameziba masikio, nazani ni baada ya kusikika mripuko, hapo Monalisa akuuliza wanakoelekea, wakaanza kukimbia kuelekea porini zaidi, wakiliona gari la polisi, likieleka pale kwenye mlipuko, nao awakulijari wakazidi kukimbia, wakiamini kuwa waliopo kwenye gari awawezi kuwaona, sababu wao walikuwa kichani zaidi, na saa walikuwa wanakimbia kuelekea, upande wa mashariki, upande ambao barabara ilikuwa inaelekea, lakini wao awakujuwa wanakoelekea ni wapi, sasa hawakusikia tena baridi miilini mwao.***
Wakati huo huo, upande wa Hotelini, mama Monalisa alisha tulia, baada ya kulia kwa muda mrefu, akibembelezwa na mume wake na wakina baba Erasto na mke wake, huku Dereva wao akiwa pembeni, wakaanza kunywa pombe, safari hii walimshauri mama Monalisa nae anywe pombe, “tena bahati nzuri, yule afande amefikia hapa hapa, ata tueleza walipofikia katika kumtafuta” alisema mama Erasto huku wakiendelea kunywa pombe.
“hivi jamani Erasto yupo wapi?” aliuliza baba Monalisa, huku akigeuza macho, kuwazama wenzake, wote kawaka tazama huku na huku, “asikae peke yake, ata zidi kuwa mnyonge, maana atakuwa ana mawazo mengi sana juu ya mwenzake” alisisitiza mama Monalisa, na wote waka unga mkono, wakipanga kumfwata chumbani, “mwacheni apumzike, labda amechoka na safari” alisihauri baba Erasto yani mzee Misago, ambae alihisi jambo, maana muda mfupi uliopita, wakati wana mnyamazisha mama Monalisa, baba Erasto alimwona mwanae, akiwa ana peana ishara na dada mmoja hivi, ambae nikama mzee Misago alimwona asubuhi, akiwaletea chai chumbani, na sekunde chache Rasto akachomoka, na mpaka sasa hajarudi,
Nikweli Erasto alipoinuka toka kwenye kiti chake, akaongoza moja kwa moja chumbani kwake, chumba namba kumi nasita, jirani kabisa na chumba namba kumi nne cha dereva na namba kumi na saba, akaingia ndani na kupunguza bahadhi ta nguo mwilini mwake, kama vile jaket, suluali na kubakia na boxer na tishet.
Kabla ajapanda kitandani akasikia mlango ukigongwa, hapo mapigo ya myo yaka lipuka kwa huchu, “karibu” akaitikia Erasto, na mlango ukafunguliwa akaingia yule mwanadada ambae kimtazamo ni mtu mzima flani, japo alikuwa anaamasisha kwenye kupeana dudu, “nilijuwa autanielewa nilivyo kukonyeza” alisema yule mdada, wenye mwili mkubwa kifuani na makalioni, huku anageuka kufunga mlango, akimpa nafasi Erasto ya kuutazama msambwanda wake, “nsikuelewe tena wakati nilikuwa na kusubiri kwa hamu kubwa” alisema Erasto huku akimsogelea yule mdada, alie kuwa bado anafunga malango kwa funguo, na kumkumbatia kwanyuma, akiizungusha mikono yake kwenye kiuno kipana cha mhudumu huyu, “usufunge kwanza ukalete vinywaji” alisema Erasto na yule dada akaachia funguo, kisha akaishika mikono ya Erasto, na kuikandamiza kiunoni kwake, “mpenzi unnaonaje tumalize kwanza, alafu ukaungane na ndugu zako, uendelee kunywa pombe” alishauri yule dada, “aina kumaliza kwanza, leo nataka niwe na wewe mpaka asubuhi” alisema Erasto akiwa bado ame mng’ang’ania mdada wa watu, ambae ni kama alistushwa kidogo na jibu la Erasto, “usiku kucha utaweza lakini?” aliuliza yule dada ambae bado jiuna lake atukuwa tuna lifahamu, “kwanini nishindwe?” aliuliza Erasto huku akianza kumkokota yule mwanamke katikati ya chumba, “utawezaje na hivi, naona mpo kwenye majonzi makubwa, kwani huyo alie tekwa najambazi ni nani wako?” aliuliza yule dada ambae, alijuwa kuwa jibu la Erasto lita toka kwa uzuni kubwa, “huyu mshenzi ame mteka mchumba wangu” alijibu Erasto huku akiipandisha mikono yake, kifuani kwa mdada huyu alie valia sweta, na kuanza kuyabinya binya maziwa makubwa yaliyo jaa vyema, “jamani pole sana mpenzi”alisema yule mdada huku anaipandisha mikono yake kifuani kwake na kulaza miganya vyake kwenye mikono ya Erasto, iliyo kuwa ina binya binya maziwa take, “haaaa! achana na habari hizo” alisema Erasto, huku akiendelea kuyabinya binya maziwa ya mhudumu huyu, ambae sasa aliiondoa mikono yake, na kuipelekea chini kabisa kwenye dudu ya Erasto, iliyo kuwa imesha simama, na kumgusa gusa kwenye makalio yake, dada mhudumu akaanza kuichezea taratibu, huku na yeye akikilaza kichwa cheke kwenye bega la kushoto la Erasto, kana kwamba amesisimuliwa na ubinywaji wa machuchu yake.
kana kwamba aitoshi, dada mhudumu akaingiza mkono kwenye boxer ya Erasto na kuikamata dudu, kisha akaanza kuichezea, huku wakigeukiana na kuazakupeana mate, japo mikono yao aikuacha kuchezea, viungo vyao, kila mmoja alimchezea mwezia sehemu aliyo iona inaweza kumsisimua mwenzie, huku wakipunguziana nguo moja moja toka miilini mwao.
Mchezo ulidumu kwa dakika kama tano hivi, wote wawili wakioneka kualegea, kwa kuitaji atuwa nyingine zaidi, “tufanye faster, alafu tukapate vinywaji, mpaka usiku mida ya kulala” alishauri Erasto, huku msukumia dada mhudumu kitanddani,wakiwa watupu kabisa, huku wamesahau kuwa mlango awakumaliza kuufungunga, na funguo, “sasa miutani tambulishaje pale kwa ndugu zako?”aliuliza dada mhudumu, wakati huo Erasto nae alikuwa anapanda kitandani, huku yule dada kimpokea kwa mikono yote miwili, na kumvutia kifuani kwake, “utakaa pembeni alafu utakunywa kwa bili yangu” alisema Erasto, huku anaikamata dudu yake, na kuilengesha kwenye kitumbua cha mdada huyu, kabla yule dada ajaipokonya kwenye mkono wa Erasto, na kuichomeka yeye mwenyewe, hapo wote wawili waliisikilizia dudu ikiingia kwenye kitumbua, na kazi ikaanza, ni kutwanga na kupepeta na kuchekecha.***
kamanda SSP Manase Kingarame akiwa na askari wake, watano kwkenye gari lake aina ya toyota land cruzer, wakiwa wameshika kasi kurudi polini, huku wakijiuliza kuwa majeruhi wame pelekwa wapi, maana kwa ukanda ule, hospoital kubwa ni kibena peke yake, dispensal ya polisi makambako, nindogo sana tena ufaa kwa clinic peke yake, hakuna hospital ya serikali, ambayo inge weza kuwa hudumia wagonjwa walio lipuliwa na bomu.
Wakati wana kata kona kuingia porini, mala waka mwona askari mmoja akitokea kichakani, na kuwa simamisha, “vipi festo nilisha sahau kama mpo hapa” alisema Kingarame, huku akimwona koplo Lusinde ana tokea kea kichakani, “afande mme potezwa, gari la awa awa washenzi lime tokea Makambako” alisema Lusinde, huku ana mtazama bosi wake,
kumbe basi mida ile Kamanda SSP Kingarame, alipo toka na wakina Lusinde, wakiwa na gari lao, akifika nao mbali, aka waacha sehemu ili wachunguze kitakacho jili, na wao wakaegesha gari kichakani mita chache toka barabara kuu, ata wakina mzee Mbogo walipo pita wakitokea makambako, wao waliwaona, na ata waliporudi na kuelekea upande wa makambako, pia waliwaona.
“kweli huyu mshenzi ana akiri nyingi sana, kumbe ndicho alicho fanya” alisema Kingarame kwa mstuko mkubwa, “geuza gari haraka twende Makambako” Kingarame alimweleza dereva wake, ambae aligeuza gari haraka sana, kuelekea makambako, kwenye hospital ya ndogo Polisi, ambayo utumika ata na raia, kwa lengo la kwenda kuwaona wakina Mapombeka na wenzake, ikiwezekana kuakikisha wana poteza maisha mala moja, wakiwaacha wakina Lusinde pale pale, wakipanga kuwapitia wakati wa kurudi.
Ulikuwa ni mwendo wa dakika kumi tu, baada ya kufika pale hospital ya Makambako, akaambiwa kuwa askari hao awakuletwa mahali pale, ila afisa wa zamu wa kikosi cha jeshi la ulinzi Makambako, ametoka muda mchache mahali hapo kuwapa taharifa ya kuwapo kwa majeruhi, na marehemu katika hospital yao, akika Kingarame alipatwa na mastuko mkubwa sana, “kwanini hawa wanajeshi wanaingilia mambo yasiyo wahusu?” akika akukuwa na mwenye jibu kati yaaskari na mkuu wa hospital wa pale makambako, “ebu twendeni huko huko” alisema Kingarame, huku anaongoz kwenye gari, na sekunde chache likaondoka kwa mwendo wa hatari, ambapo lilitumia kama dakika tano kufika kwenye rango kuu la kuingilia, kikosi cha jeshi cha Makambako, na kusimama nje ya gti hili kubwa la chuma lenye askari wawili wenye bunduki zao mikononi, “ambao hawakuonyesha dariri ya kufungua geti, mpaka alipo shuka askari polisi mmoja na kuwa sogelea, “mbona amfungui mlango, iligari ni la SSP Kingarame, RCO Songea” alisema yule polisi ambae ni mmoja wapolisi waliotokea Songea jana usiku, “kunautaratibu wakuingia hapa, inabidi msimamishe gari, pale nyuma, kisha mje, mtueleze shida yenu” alijibu askari mmoja kati wa wale wawili wa jeshi la ulinzi, pasipo kupepesa macho wala kuonyesha meno, yani alikunja uso kama ame nuna, yule askari polisi akageuka na kutazama kule alikotoka, akaona kuna vibao vinavyo elekeza utaratibu wa maegesho, wakati huo Kingarame aka shuka toka kwenye gari, na kusogea pele kwa walinzi, huku amenuna, “inamaana kunamjadala tena?” aliuliza King, kwasauti iliyo jaa jazba, wale askari awakujibu lolote zaidi wali onyeshana ishara, na wote wakafunga miguu, yani wakaa mguu sawa na kupiga saruti ya bunduki, kama wanavyo wafanyia wakubwa wao, waliopewa kamisheni ya rais, lakini Kingaarame hakuitikia, zaidi aka mtazama yule askari wake, “eti, Kingumwile, inamaana ujawaamibia kuwa tuna itaji kuingia humu ndani?” aliuliza Kingarame kwa sauti ile ile ya jazba, “afande wanasema inabidi tu egeshe gari pale kwenye maegesho” alijibu PC Kingumwile, huku akionyesha pale alipoona vibao vya maegesho, “inamana nyie private soja, amuitammbui kamisen na madaraka niliyo nayo?” aliuliza kwa sauti kari yenye jazba iliyopanda mala dufu, na mshangao mkubwa, lakini wale askari awakujibu lolote zaidi walisimma miguu sawa huku mikono yao ikiwa kwenye silaha zao, ikionyesha kuwa bado wapo kwenye salamu ya silaha.
Kumbe bas, wakati huo huo, koplo ambae ni mkuu wa ulizi pale langoni, alikuwa ameshaona kinacho endelea pale mlangoni, hivyo aka sogea haraka sana, na kupiga salut, “jambo afande” nisalamu ambayo kila mwenye kamisheni ya rais, anastaili, “eti koplo mna wafundiisha kiburi awa askari, kwa nini wana shindwa kuni heshimu mimi kama kamishen afisa?” aliuliza Kingarame pasipo kuitikia ile salamu yapili, “afande askari hawa wame kutambua kuwa wewe ni kamishen afisa, ila wewe ndio uja onyesha kuwa ni kamishen afisa” alijibu yule koplo wa jeshi la ulinzi, kwa sauti ya kujiamini, huku akimkazia macho Kingarame, “inamaana Kisona ndiyo ame watuma mtutukane kihasi hicho?” alisema Kingarame, huku akigeuka kumtazama yule askari wake, ambae alikuwa amesimama pembeni, ana shangaa, “hapana ndugu, tena nautilia mashaka huo upolisi ulionao, tunaweza kuona vitambulisho vyenu kabla atuja endelea na mahojiano?” alisema koplo, nakuzidi kumshangaza Kingarame na askari wake, ambao walitazama kwa mshangao, “hizi dharau azivumiliki, koplo una ongea hivyo na SSP?” aliuliza Kingarame kwa mshangao mkubwa uliochanganyika na hasira, “uwezi kuwa SSP ikiwa ujuwi kujibu salat toka kwa askari uanao waongoza, alafu unataka amri zako zisikilizwe, iliiweje, naomba mjitambulishe, kabla atujaingia kati atuwa ya pili” alisema koplo kwa sauti iliyo ashiria akuwa na utani katika swala hili, hapo Kingarame akamtazama tena askari wake, wakati huo yule Koplo akageuka na kuwa tazama askari wake, “miguu pande” aliwapa amri wale askari, nao wakafungua miguu yao, na kuwa mguu pande, wakiondoa mikono yao kwenye sehemu ya kutolea heshima.
“nimechanganyikiwa kidogo bwana koplo, siunajuwa tumepoteza askari wengi sana leo” alisema Kingarame huku akilengeza uso wake, nakulazisha tabasamu, “ok! naomba nikusaidie” alisema koplo kwa mkato, huku akiwa amemkazia macho Kingarame, “tumekuja kuwaona wagonjwa, wale majeruhi wa polisi” alisema Kingarame huku akitoa kitambulisho chake, lakini koplo akukitazama, “nazani baada ya kitambulisho, unge tupatia kibari cha kuja kuwaona wagonjwa, maana tumeambiwa hakuna mtu yoyote kuingia humu ndani kwa lengo la kuja kuwaona wagonjwa wale polisi, ata familia zao haziluhusiwi, ila kwa kibari maalumu” hapo Kingarame aka hema kwa nguvu, kisha akamtazama yule askari wake, “ok! twende zetu, nitaonana na mkuu wa kambi hili” alisema Kingarame na wote waka elekea kwenye gari, wakimwacha koplo anatabasamu.
Safari yao iliishia kituo kikuu cha makambako, ambapo aliacha maagizo ya kuwa litafutwe gari lika livute lile lililo pigwa na bomu, kisha omba tena simu na kumpigia Bosso, ambae alimweliza kuwa tayari vijana kumi na tano wapo njiani na magari mawili, wana kuja Njombe, hapo Kingarame akaingia kwenye gari na kuelekea porini, huku moypo wake ukianza kutakatika, maana aliamini kuwa, katika mkasa huu, kikwazo kikubwa ni Kisona, Edgar na Monalisa, endapo ata wauwa watu awa, na kuupata mkanda wa video ulio rekodoea na marehemu Lukas, baasi tatizo litakuwa limekwiisha, “atakama nilivaa lile koti jeusi na kofia pana, lazima wata nitambua tu” aliwaza Kingarame, huku gari likichochora kuelekea porini, ambako akujuwa kuwa mambo yaliisha aribika zaidi. **
Saa kumi na mbili kasolo, wanajeshi watano, pamoja na mzee Mbogo, walikuwa wana timua mbio, wakikatiza kwenye nyasi ndefu, huku wakitelemka jibonde flani kilicho ashilia kuwa mbele kuna binde au mto, huku wakipita kwenye, sehemu zilizo onyesha kuna watu walipita muda siyo mrefu, maana nyasi zilikuwa zime lala.
Nikweli mita chache kabla awajatokea mtoni, waka ona miili ya watu walio kufa na wengine wawili waliokuwa wame jeruhiwa, “afadhari jamani mtu saidie” alisema mmoja alie onyesha kuwa na afadhari, “wenzenu wako wapi?” aliuliza Kisona, “huko mlikotokea ndiko waliko kimbilia, “na wale vijana wawili wapo wapi?” safari hii aliuliza baba Edgar alie oinyesha ofu kubwa sana, “wame elekea huko” alisema yule askari huku akionyesha kidole mbele, “wamesema tusi wafwate watatuuwa” alisema yule askari ale kuwa kwenye maumivu makari, “na mlipuko ulitokea hapa?” aliuliza Kisona, na yule jamaa akajibu, “hapana ni hapo mbele tu!” Kisona aka mtazama baba Edgar, akamwona anainama na kuchukuwa SMG moja, akaona aikuwa na magazine, Kisona akacheka kidogo, “nyie magazine zipo wapi?” aliuliza baba Edgar kwa sauti ya ukari, “Edgar amechukuwa, akika huyu ni jeshi la mtu mmoja, ananguvu ya marine watatu (kijeshi wanaita team)” alijibu Kisona, kisha aka chomoa magazine yake mfukoni na kumrishia mzee Mbogo, “ok tuwai sehemu ya tukio kisha tuta warudia awa jamaa, maana gari lipo kule” alisema Kisona kisha wakaanza kukimbia kuelekea kule waliko elekea wakina Edgar.
Atawakati wanavuka mtoni waliona kuna tope jingi sana lime vurugwa na kuna jacket, ambalo mzee Mbogo alilitambua mala moja, ata hivyo awakulijari wakazidi kutimua mbio kusonga mbele.
Mpaka walipo jikuta wana tokeaza barabarabi, wote wakaduwaa, maana mita kama mia moja mbele yao upande wa mashariki, kwa macho yao walishuhudia kitu ambacho, kwa mtu kama mzee Mbogo, mala ya mwisho aliona miaka ya sabini na tisa mwanzoni, huko mtukula, wakati wana ivamia nyakaselo, nchini uganda, na zani kwa koplo Katembo na askari wawili, awakuwai kushuhudia tukio kama hili, ila kwa kisona, yeye, alisha ona nchini sierralion, na kwenye makasa wa Kifo mkononi utani wa bibi.
“Akika kilichotokea hapa, ni zaidi ya kimbari” alisema Kisona, huku wakipunguza mwendo na kuanza kutembea taratibu kusogelea eneo la tukio, ambapo ata ule moshi bado ulikuwa unafuka taratibu, huku eneo zimma likiwa limetapakaa vipande vya miili ya binadamu, unge zani bucha, kilicho wa julisha kuwa walio uwawa sio wakina Edgar, ni bahadhi ya vi[pande vya sale za polisi, na viatu vyao, sijuwi kwanini uwa buti za jeshi aziunguagi kkwenye tukio kama hili.
“Watakuwa wameenda wapi wakina Eddy” aliuliza baba Edgar, huku anapepesa macho, kutazama pande zote za barabara, “awezi kuwa mjiga kubakia hapa, lazima amesha kumbilia upande mwingine?” alisema Kisona huku ana kagua lile eneo la tukio, ambalo licha ya kumwagika damu za kutosha, pia kuna bahadhi ya risasi za mmg, zilitapakaa eneo hili,
“afande unazani huyu dogo atakuwa na RPG?” aliuliza mmoja wa askari, alie kuwa karibu na kanal Kisona, “hahahaha!” alicheka kidogo kana huyu kijana sana, kiisha aka tulia kwa sekunde kadhaa, kabla ya kujibu, “ili RPG lime pigwa na risasi, nakuwalipua hawa jamaa, kama unakumbuka hatuja sikia back baster” alisema Kisona, akieleza kwanini hili bomu alikulipuliwa na mtu, sababu silaha hii inakuwaga na milipuko miwili yani ule wa hawali na uli wa kombora pale linapoenda kupiga, “nikweli, dah! inaonyesha dogo anashabaha sana” alisifia yule askari,
Waliendelea kukagua eneo kwa dakika kadhaa, kisha wakaanza kushauliana, “jamani sasa ni saa kumi nambili, nashauli tukawasaidie wale polisi, alafu tuka pumzike” alisema kisona, wote waka unga mkono, huku baba Edgar akichangia hoja, “sina wasi wasi na Edgar kama amesha pata silaha, ila wasiwasi wangu ni kwamba ata sababisha vifo vingi sana” neno hili la bab Edgar lili kubaliwa na kila mmoja wao, lakini jibu alilolitoa Kisona, lilimshangaza mzee Mbogo, japo liliungwa mkono na na wale wanajeshi wengine, “haaaa! lakini wameyataka wenyewe, chamsingi, ni kuangalia usalama wa Edgar” aliyasema hayo kisona, huku wanarudi polini kuwa saidia wale polisi, ***
Baada ya kuvurugwa hakiri na koplo wa jeshi la ulinzi, na kwenda kutoa maagizo ya gari kubwa la kulivuta lile lililo lipuliwa, huku akipata taharifa toka kwa Bosso kuwa vijana kumi natano wakazi walikuwa njiani, waka toka zao Makambako mjini, na kuelekea porini huku kichwa cha Manase Kingarame, kikiwaka moto, kwa mambo yanayo mtokea, hakujuwa kuwa huko anakoelekea kuna makubwa zaidi.
Akiwa amesha sahau uwepo wa wakina Lusinde pale kichakani, PC Hokololo alikata kona akiwa katika speed sabini, lakini hapa na hapa akashangaa kumwona askari polisi mwenzao akitokea kichakani, na kuwasimamisha, “pumbavu walikuwa wana jisaidia vichakani nini?, mbona tulisha wasahau kama wapo hapa” alisema Kingarame huku ana cheka, sijuwi kile kicheko nikiiteje, maana kilikuwa cha kinyonge sana, hapo Hokololo akasimamisha gari kwa bleack za ghafla nusu amgonge askari mwenzake, “safari hii, wakaliona gari likitokea kicihakani likiwa ana askari wote, huku Lusinde akija kwa mguu, inaonyesha alikuwa karibu na huyu askari alie simamisha gari, “afande sizani kama kunausalama huko mbele” alisema Lusinde akionyesha wasi wasi mwingi sana, “usalama kivipi?, unataka kusema kuna kiongozi amepita hapa?” aliuliza Kingarame, kwa mstuko, akiofia kuwa pengine kuna kiongozi mkubwa zaidi yake, ame kuja kuona maendeleao ya oparation, “afande kuna mlipuko umetokea huko mbele, sijuwi kama ulikuwa na usalama, maana aukuwa na back baster, (mlipuko wa hawali)” hapo Kingarame aka shusha pumzi, kisha aka tabasamu, “dah! nilizani RPC iringa amekuja bwana, ebu ingieni kwenye gari twendeni tuka chek” alisema Kingarame kwa sauti ambayo, akika unge isikia ungesema hapakuwa na hatari yoyote.**
Baba Erasto nae, baada ya kuona mwanae anachelewa kurudi akaona ni bola aende aka mtazame mwenye chumbani kwake, maana asije akaenda mtu mwingine, alafu ikawa aibu kwao, hivyo akanyayua grass ya pombe na kuiweka mdomoni, kisha aka igugumia, alafu akanyanyuka, “jamani ngoja ni punguze maji kidogo” alisema mzee huyu kwa sauti ya kilevi, maana kilevi kilisha mkolea, “angalia na wewe usije kutekwa” yalikuwa ni maneno ya mzee Anderson, alie kuwa anajaribu kupoteza uzuni aliyo kuwa nayo, wote wakacheka, kasolo mama Monalisa, “ngoja ni msindikizea asije kutekwa” alisema mama Erasto, akiwa na lengo la kwenda kupata haja ndogo kikweli kweli, safari wakacheka tena, ata mke wa mzee Anderson yani mama Monalisa, nae alicheka, kisha akatulia kidogo, wakati huo mzee Misago na mke wake, walikuwa wamesha ondoka, kuelekea ndani, “ila mume wangu naona wewe kama hauna wasi wasi juu ya mtoto, kama ninavyo umia mimi” alisema mama Monalisa, huku akimtazama mume wake, wakati huo dereva wao alikuwa anawasikiliza tu!, “kunakitu kina nipa matumaini, kuwa mtoto wetu atakuwa salama,” alisema mzee Anderson kwa sauti ya kilevi, hapo mke wake akastuka kidogo, kama vile anatarajia habari njema, “kitu gani baba Mona?” aliuliza mama Mona, huku akiwa amemkazia macho mume wake, ambae aliinua kwanza grass ya pombe yake na kuipiga funda moja, alafu akaiweka mezani huku anafanya “mmmbwaaa” (aiandikiki, ni vile anavyo fanya mtu ale shiba) huku anajishika tumbo kama anapapasa kuakikisha kama kitambi bado kipo, “unajuwa lazima niwe mkweli, siku zote Edgar amekuwa rafiki mzuri na mwema kwa Monalisa, naimani ata kama wanaugomvi wata umaliza tu! na Mona ata rudi salama” alisema mzee Anderson, huku dereva ana wasikiliza, akitikisa kichwa kuunga mkono maneno ya boss wake, tofauti ya mke wake yani mama Mona, “atamimi na fahamu kuwa Edgar na Mona, ni marafiki ambao awata weza kusahaulia, ila ilo ndilo tatizo lenyewe” alisema mama Mona, huku akimtazama mume wake, “tatizo gani, wakati una kubari kuwa ni marafiki?” aliuliza baba Monalisa kwa mshangao, huku akimtazama mke wake ambae aliinua grass ya pombe na kuigugumia, kisha aka iweka mezani, “yani nikikumbuka uwa na tamani kulia tu!” alisema mama Monalisa, kwa sauti iliyo jawa majonzi, huku akijimiminia pombe kwenye grass, “unajuwa we mwanamke siku elewi, tena usikute wenzako wana ongea na kucheka kwa furaha, wewe unajiliza liza” alisema baba Mona, kwa sauti ya kilevi, “hiyo ndio inayo niumiza kichwa” alisema mama Mona, huku akicheka kilevi, kicheko, kilicho ambatana na kuvuta kamasi, kama mtu anae maliza kulia, “eti unamwelewa huyu mama?” aliuliza baba Mona akimtazama dereva wake, “kwakweli ata mimi simwelewi mzee” alijibu dereva hapo wakasikia kilio cha kwikwi!, “bikira ile, jamani kama naona wanavyo fanya uaribifu, kweli bibi arsi ata rudi na bikira yake?” aliuliza mama Monalisa huku akizidi kulia kwa kwikwi, akijiegemza kifuani kwa mume wake,….. hahahaha! ata mimi nime cheka kidogo, kwa hakiri za mama Mona,….
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU