
BIKIRA YA BIBI HARUSI (33)

SEHEMU YA 33
ILIPOISHIA SEHEMU YA 32:”kwakweli ata mimi simwelewi mzee” alijibu dereva hapo wakasikia kilio cha kwikwi!, “bikira ile, jamani kama naona wanavyo fanya uaribifu, kweli bibi arsi ata rudi na bikira yake?” aliuliza mama Monalisa huku akizidi kulia kwa kwikwi, akijiegemza kifuani kwa mume wake, (asanteni wote mlio nitakia heri ya maka mpya, nasema na kwenu pia) endelea………
Hapo mzee Anderson na dereva wake wakatazama usoni, kwa mshangao, huku mioyoni mwao wakikubari kuwa bikira ya bibi harusi hipo hatarini, ***
Wakiwa wameusikia mlipuko mkubwa wa bomu toka magharibi, wale askari wanne wa kutoka Makambako, waliokuwa wanalinda gari, lililolupuliwa na watu ambao wale askari walisha anza kuwatilia mashaka, kuwa ni wenzao wakutoka songea, bado walikuwa wamesimama pale walipoachwa na wenzao, wakiendelea kulinda lile gari, huku wana endelea kujadiliana juu ya maswali waliyo ulizwa na Kisona, na majibu waliyo yatoa, “kwakweli inabidi tuongee na OCD, vinginevyo, tuna wezakuisha wote, au tukaingia kwenye matatizo ya kufamya kazi kinyume na sheria” alisema mmoja, na wenzake wakazidi kuunga mkono, inaonyesha walisha pata ufafanuzi wa majibu waliyo kuwa wanamjibu Kisona, nazani ata huo mlipuko, lazima kuna tukio jingine, sababu yule jambazi uwezi kumshambulia kwa RPG, naukizingatia yupo na mateka” alisema mwingine akitilia mahska, ule mlipuko.
Wakati huo huo, waka aanza kusikia mvumo wa gari likitokea mjini, ata walipotazama waka ona vumbi linatimka kutokea upande ma mangalibi, yai upande iliko barabara kuu, mala wakayaona magari mawili ya polisi aina ya toyota land cruzer, yakija kwa speed ya hatari, nao wakayatambua kuwa ni yale yaliyoondoka na SSP Manase Kingarame, ambayo yalikuja na kusimama karibu yao.
Lakini kabla awajashuka wakina Kingarame, wakaliona land rover mia na kumi, likija speed kutokea mashariki, lakini alikuonyesha dalili ya uwepo wa watu nyuma yake, nalo likaja na kusimama karibu na yaliposimama magari mengine, Kingarame akagundua kitu toka usoni kwa Kibabu, na dereva wake, hivyo akutaka aongee chochote, “sishuke ebu geuzeni gari mtu fwate, alisema Kingarame, na kumwambia Hokololo, aondoe gari, na yale mengine yaka fwata, wakiwaacha wale askari wanne wa makambako wanashangaa, “sinilisema huko kuna ishu imetokea tena, siyo wakina Khassim kweli?” alisema mmoja wao kwa sauti ya mashaka, huku wakiyasindikiza magari yale matatu kwa macho, mpaka yalipo tokomea mbele.
Wakina Kingarame awakwenda mbali sana, walisimama kilo mita moja toka walipowaacha wale askari wa makambako, “ebu niambie ime kuwaje tena, na askari wapo wapi?” aliuliza Kingarame kwa shahuku ya kutaka kujuwa, ni mala tu baada ya wote watatu kushuka toka kwenye magari yao, ya ni Kingarame mwenye, sajenti Kibabu, na Koplo Lusinde, wakiwaacha askari kwenye magari, Kibabu akuwa na jibu zaidi alionyesha kidole upande wa mashariki, yani kule walikotokea yeye na askari wake, “umaana gani Kiba, mbona sikuelewi?” aliuliza King, kwa sauti ya mashaka iliyo jaa mshangao, “afande ebu ona kwenye gari” alisema Koplo Lusinde akionyesha nyuma ya land rover, mia na kumi, Kingarame aka tazama nyuma ya gari hilo, “na hizi mme ziokota wapi?” aliuliza kingarame, huku akizitazama zile silaha, yani MMG mbili na RPG mbili, ambazo zilionekana kama vyuma chakavu, kibabu alie onekama mwenye uso wenye simanzi, akujibu kitu, zaidi ya kutazama chini, ila Lusinde ndie alie jibu, “silaha zetu hizi afande, umezi sahau?” lakini ilikuwa nisauti ya mshangao, iliyo mfanya ata Kingarame nae ashtuke sana, aka ganda na kuzitazama zile salaha ambazo usinge amini kuwa masaa machache yaliyopita zilikuwa vizuri.
Kingarame alizi kodolea macho kwa dakika kadhaa, huku amejishika kiunoni kwa maikono yote miliwili, kisha aka mtazama Kibabu, kwa macho yale yale ya mshangao, “usiniambia kwamba askari wame jilipua wenyewe” alisema Kingarame kwa sauti iliyo karibia kuzimia, “afande kilicho tokea, ata mimi kime nishangaza, nawasi wasi yule kijana ni askari, au an mfunzo ya juu ya kivita” alisema Kibabu, kwa sauti ya upole na majonzi, kiisha akasimulia jinsi tukio lilivyo kuwa, mwanzo mpaka mwisho, “yani kilicho nishangaza, ni ule uujasiri wa kusoimama na kulenga watu wenye silaha nzito kama hizi, na alitumia risasi tatu tu! kuwa lipua na bomu” alimaliza Kibabu na hapo wote waka tulia, kama walukuwa wana tafakari story ya Kibabu.
Baada ya kimya cha dakika nzima, Kingarame akatoa tamko, “ok! twendeni tuka chukue mabaki ya miili yao tukaikabidhi, Njombe, kisha tutangaze kuhusu hili, nazani wananchi watazidi kumchukia huyu jambazi, na sisi tuta pata nafasi ya kumwangamiza, basipo kutiliwa shaka na mtu yoyote, na kupoteza ushaidi mbaya wa video tape ya NMC” walikubaliana makamanda awa wapolisi, kiisha wakaingia kwenye magari, na kuelekea mashariki, kule uliko tokea mlipuko***
Mama Erasto akiwa nyuma ya mume wake alie mwacha kwa atua kama tatu hivi, wakiwa kwenye korido refu la hotel hii ya SERENA, alishangaa mume wake kuona anaiacha njia ya kwenda upande wa vyoo, anaongoza vyumbani, “we baba Erasto, kwani huko ndio chooni?” aliuliza mama Erasto kwa mashangao wa kilevi levi, “we siume amua kuni fwata we ni fwate kimya kimya” alisema mzee Misago kwa sauti ya kilevi pia, huku akienda na kusimama kwenye mlango wa chumba namba kumi na sita, kisha akainua mkono wake na kutaka kuugonga, lakini ghafla, mkono wa mzee Misago, ukaishia ewa, kiisha akatega sikio, kana kwamba, baba Erasto, kuna sauti aliisikia kutoka ndani ya chumba, lakini aikuwa hivyo kwa mama Erasto, ambae akusikia chochote, “si chumba cha mwanao hiki” alisema mama Erasto kwa sauti ya kilevi huku ana sukuma mlango, ambao auku jaribu ata kugoma, ukafunguka na mama huyu mlevi akazama ndani, “haaaaa!” alitoa sauti ya mshangao mama huyu, ni baada ya kuona alicho kiona mle mdani.
Milikuwa hivi, mama Erasto alishuhudia kwa macho yake mawili, zinga la dada likikurupuka toka juu ya mwanae wakiwa uchi kabisa, yani kama walivyo zaliwa, na kuivuta shuka ili ajiifadhi sehemu nyeti, “samahani jamani kumbe kuna mgeni humu?” alisema mama Erasto kisha akatoka nje na kurudisha mlango, alafu aka mtazama mume wake alie kuwa amebakia nje, kama vile alihisi kinacho endelea mle ndani, “mwano yupo na mkwe” alisema mama Erasto kwa sauti ya kunong’ona huku ana chekea chini, hapo wote waka ondoka nje ya mlango huo wa chumba namba kumi na sita, na kwenda kuchekea mbali.
“kwa hiyo ume wakuna wana fanya kabisa” aliuliza baba Erasto, wakiwa wana elekea vyooni, “usiulize majibu, zinga la dada jeusi, walikuwa kwenye ule mtindo unao upendaga” waongea huku wakicheka wazee hawa wawili walio kuja Njombe kumsaidia rafiki yao kumtafuta binti yake, ambae ni mkwe wao mtarajiwa, “style gani hiyo?” aliuliza baba Erasto, kwashauku, ile ya kuikalia mbo..” alijibu mama Erasto, maongezi yao mududa wote walikuwa ya sauti ta chini na yaliambatana na vicheko vya furaha.
Huku ndani ya chumba namba kumi nasita sasa, “apana mpenzi tutaendelea baadae, ndugu zako wame tufumania” alisema yule dada mhudumu, huku akishika chupi yake na kutaka kuivaa, Erasto aka mdaka mkono, na kunyang’anya ile chupi, huku dudu yake imesimama kweli kweli, “yule ni mama yangu, wala usiwe na wasi wasi” aliisema Erasto huku akiirushia chupi mezani na kumsogeza yule mdada karibu na kitanda, “mh! kwahiyo awata kusema wala kuja tena huku?” aliuliza yule dada, alie onyesha kustushwa na kitendo cha kufumaniwa na mama Erasto, “tena huko waliko ana furahi” alijibu Erasto huku ana mgeuza yule dada na kumbedisha (kumwinamisha) kidogo, “basi mama yako kiboko” alisema yule dada huku ana inama na kushikilia kingo ya kitanda, akiachia msambwana uki binuka kwa nyuma, kisha aka tanua miguu, na kukiacha kitumbua kionekane vizuri, Erasto akusubiri kuambiwa afanyeje, akaikamata dudu yake na kuchomeka kwenye kitumbua cha mdada huyu, na kazi ikaanza mambo yakawa nje ndani.
Nje kabisa ya Serena Hotel, hotel pekee yenye hadhi kubwa hapa njombe, sehemu ya bar, bado mama Monalisa alikuwa ameegemea kifuani kwa baba Mona, alie kuwa ana mbembeleza, huku Dreva wao akiwatazama, “usiwe na wasi wasi, mi na uakika Edgar awezi kumzuru Monalisa, wala kubaka” alisema mzee Anderson, akimtuliza na kumwondolea wasi wasi mke wake, “tatizo baba Mona we hujuwi tu!, unazani mimi na waza kwamba ata mbaka?, mimi nawaza Monalisa atakubari kwa hiyari yake, si unakumbuka walivyo kuwa marafiki zamani” alisema mama Mona, huku akijiinua kifua ni kwa mume wake, “akika nita mfunga yule kijana mpaka ukoo wake wote uni chukie” alisema Anderson kwa hasira, ****
Mdau kama ulizani ili swala ni dogo, basi ulikosea, taharifa ya mauwaji na mapigano haya ilisambaa taratibu, ikitoka mkoa wa ruvuma na kuamia Iringa, kwa RPC, ambae alihoji vizuri kkwa mwenzie wasongea, alie eleza kama anavyo juwa, na baada ya hapo RPC Iringa aka tuma report Makao makuu ya jeshi hili huko jijini dar es salaam, kuwa kuna mtukio ya mauwaji yanaendelea mkoani kwake, ndani ya misitu, kati kati ya Njombe na Makambako, na kwamba mpaka sasa amesha poteza polisi kumi na tano,
Hapo mkuu wa jeshi la polisi, akatoa maagizo ya kwamba polisi wengi waongezwe, katika operation hiyo, na akatoa siku mbili, majambazi wakamtwe, na mapigano yawe yameisha,
RPC Iringa akawasiliana na mwenzie wa songea, nao wakaja diriana kwa mapana, waki fikia mwafaka wa kukutana Njombe, eneo la operatin, na wakiwa na askari na vifaa vya kutosha, tena walipanga maandalizi ya safari ya kuelekea Njombe, yaanze usiku huo,***
Kisona na askari wake na mzee Mbogo, yani baba Edgar, mida ya saa moja na nusu usiku, walitoka Makmbako Hosptal waliko waacha wale majeruhi na marehemu wanne kisha, ikiwa na kukabidhi silaha zao, wakiacha maagizo kuwa tarifa ipelekwe kwa mkuu wa kambi, la Makambako, ili nae apeleke kwa ushauri wa mgambo, na wafahamishwe polisi mkoa, uwepo wa askari wengine, pale hospital ya jeshi la ulinzi, ambao walikuwa wanaendelea vizuri baada ya kupewa matibabu ya mwanzo, huduma ya kwkanza, na wakina Kisona, tokea kule porini, vitu ambavyo wanajeshi na pilisi uwa wanajifunza, ilikusaidiana wakiwa vitani au kwenye majukumu.
Sasa walipanga kurudi Njombe ili waka pumzike tayari, kurudi porini kesho yake, wakiamini kuwa watawapata wakina Edgar na Monalisa, na wakiwa njiani waka liona lile gari lililo lipuliwa kule porini, likuwa lina kokotwa na layland daff la polisi liki pelekwa Makambako, huku wale askari wakiwa nyuma ya gari hili kubwa la mizigo, awakuwa na maongezi nao wao waka timua mbio kuelekea Njombe, ***
Saa Mbili usiku, ndio muda ambao, SSP Kingarame, alikuwa ana ingia kwenye ofisi za polisi wilaya, ya njombe, alikitokea hospital, alikopeleka mabaki ya miili ya askari wake, na kukuta askari wengi sana, wa polisi wakiwa na silaha zao, huku wakifunga funga mabegi yao vizuri, na wengine wakipakia risasi kwenye mikebe yao ya risasi, yani magazine, ikonyesha walikuwa katika maandalizi ya safari flani ya kimapigano, mwili uka msisimka Kingarame, ambaeakuwa na taharifa ya kuongezwa kwa nguvu ya msako wa wakina Edgar, “afdhari ume kuja afande,” alisema OCD wa Njombe, huku akipiga salut, kwa Kingarame, ambae hakuitikia, kuna nini mbona askari ni wengi sana?” aliuliza kwa mshangao Kingarame, huku akiwatazama wale askari waliokuwa katika maandalizi, “afande jioni hii bada ya kupata taharifa ya vifo vya askari watatu na wengine kujeruhiwa, nika ongea na staf oficer, ambae alipelekea taharifa kwa RPC” kauri hiyo ilimstua sana Kingarame, “kwa hiyo hiyo nikazi yako au mimi mkubwa wako?” aliuliza Kingarame kwa hasira, “afande hili tukio limetokea wilayani kwangu, na awa ni askari wangu, na pia mkoa wa Iringa unauongozi” alisema OCD, Njombe, kwa sauti iliyo komaa kidogo, “kwa hiyo ndio umeambiwa uandae askari?” aliuliza Kingarame kwa sauti ile ile, “ndiyo afande, pia nimeambiwa kuwa kuna askari wanakuja kutoka songea na iringa” nikama alikuwa ajasikia vizuri SSP Kingarame, maana alistuka na kumtazzama usoni OCD, inamaana askari wote hao kwaajili ya awa wapuuzi wawili?” nikama alilopoka, bwana Kingarame, “mh! lakini afande ulisema kuwa kuna majambazi wengine wana msaidia yule jambazi wa kwanza” alisema OCD, na hapo Kingarame akagundua kosa lake ni panic, na wakati anafikilia ajibu nini, OCD akaongezea neno ambalo lili uvuruga ubongo wa SSP, “tena RPC ruvuma na wa Iringa, wapo njiani, wana ongozana na askari hao” nikama ganzi iliingia mwilini mwa kingarame, maana aliganda, kama vile sanamu, huku akimtolea macho OCD, shingoni mwake kama alinaswa na kipande cha mfupa au tonge la ugari, na kushindwa kuongea kitu.
Ghafla, SSP alitoka na kuingia kwenye gari, akimwacha OCD, akimshangaa afande wake huyu, akijiunga na wenzake waliokuwa wamesalia kwenye magari, kisha akamweleza hokololo, aondoe gari kuelekea barabara kuu, upande wa kusini, yani uelekeo wa songea.
Msafara wa magari matatu uliekea Moja kwa moja mpaka katikati ya mji wa Njombe na kukata kona kushoto, wakitelemkia SERENA Hotel, wakasimamisha magari kwenye maegesho ya hotel hii, kisha wakashuka wale watatu, yani Kingarame Kibabu na Lusinde, “sikia Lusinde nenda wewe na askari wako nendeni njia panda ya kwenye kule polini, wewe Kiba chukuwa askari waliokuwa kwenye gari langu, nendeni upnde wa kuelekea songea, mkawasubiri vijana wakazi, wanakaribia kufika, kisha ukawaelekeze watakapo kuwepo wakina Lusinde, alafu uje unijulishe, mimi nitakuwepo hapa Hotelini, na oga kidogo” hayo yalikuwa ni maagizo, ambayo yalikuwa yana itaji utekelezaji wa haraka, **
Haya sasa huku polini mambo yalikuwa tofauti kidogo, baridi ilikuwa kari sana, giza lilikuwa la kutisha, akukuwa na sauti nyingine zaidi ya miguu na vishindo vya Edgar na Monalisa ambao, walikuwa wanatembea kwenye barabara ya vumbi, huku Edgar akiwa ame mshika mkono Monalisa, baada ya kuwa sambalatisha wale polisi, na kukimbia mpaka mashariki ya mbali kabisa, akika walikuwa wanatetemeka kwa baridi, ukiachilia baridi iliyopo mkoa huu, pia nguo zao zilikuwa zime lowa kwa tope, “Eddy nasikia baridi sana” alilalamika Monalisa huku wakizidi kutembea, “vmilia kidogo Mona, tutafute sehemu tuone tutafanyaje” alisema LIBRA STAR SEVEN ambae alijikaza kidogo, asionekane kuwa amechoka, maana yeye alibeba bunduki ambayo kikawaida ikiwa na mke mmoja wa risasi unakuwa na uzito wa kilo sita, sasa jumlisha na mikebe mitano ya risasi aliyo kuwa nayo. itaendelea hapa hapa

