
SEHEMU YA 38
ILIPOISHIA SEHEMU YA 37: Ngogo na vijana wake nane walio bakia nje ya kichaka kile cha mti, walikodoa macho kutazama pale walipoingilia wenzao, huku wakibadilisha magazine za risasi, kwenye silaha, lakini ghafla wakasikia kishindo kikubwa ndani ya kichaka, ikifwatia na kilio cha yowe, ambalo alikumalizika, alafu kika pita kimya kifupi, “Toddy!!!” aliita bwana Madevu, lakini akukuwa na jibu, “Beno!!!!!” aliita tena Madevu, ikawa kimya kama mwanzo, lakini safari hii, aka mwona mmoja kati ya wale wawili, akitoka nje yakile kichaka, ENDELEA………
Huku akiwa ame jishika shingoni, na hakuwa na silaha yake, kutokana na mwanga afifu awakuweza kutambua lolote, “vipi tayari wamesha kufa” aliuliza Ngigo, huku yeye pamoja na vijana wake wakimtazama kijana yule, ambae sasa waligundua kuwa alikuwa anayumba yumba kama mlevi, huku akiangaika kuzuwia kitu flani shingoni mwake, pasipo kuongea kitu chochote,
Hapo bahadhi yao waka msogelea bila tahadhari yoyote, lakini kabla awaja mfikia, wakamwona akizidi kuyumba na kuondoa mikono shingoni mwake, sasa waliweza kuona damu zikichuruzika kwa wingi, toka kwenye jeraha kubwa shingoni mwa mwenzao huyo alie jibwaga chini kama furushi la pamba, hapo wote waka duwaha, na kufahamu kilicho wapata wenzao walio ingia ndani ya kichaka hicho, ndipo Ngigo au bwana madevu alipo paza sauti, “shambuli…..” lakini kabla haja maliza kelele zake, ghafla ilisikika milipuko ya risasi toka kichakani, na vijana wake wawili wakadondoka, pale pale, huku mvua ya risasi ikiendelea kushuka.
Hapo akuna alie ambiwa atafute maficho, kila mmoja alikimbilia anako kujuwa, mmoja mwingine akiambulia risasi yaa miguu na mgongoni, na kumrusha juum na kisha kum bwaga chini, huku Ngigo akizama kichakani, pasipo kijari vijana wake wanausalama gani, akaenda na kujibanza sehemu ndani ya kichaka, hapo kika pita kimya, pasipo mlipuko wowote wa risasi,
Wakati huo huo Ngigo akiwa amejibanda kichakani, akaona waona polisi kadhaa pamoja na sajent Kibabu, wakija mbio mbio wakiongozana na vijana wake, alio waacha kule juu, wakiwa na bindiki zao mikono, na yeye aka waonyesha ishara ya kuwa wazunguke eneo lile, la mti mkubwa.
Hakika ungeona jinsi polisi walivyo shirikiana na kikundi cha waarifu hawa, wanao tafutwa na jeshi la polisi, mkoani Ruvuma, unge penda mwenyewe, maana walizunguka kwa tahadhari kubwa sana, huku mitutu yao ikiwa imeelekezwa kwenye lile fukuto la mti, ambao sasa walikuwa wana uona vizuri kabisa, kutokana na mwanga wa jua, kuwa angavu kidogo, “unataka kusema bado yupo mle ndani?” aliuliza Kibabu, ambae alisha fikia sehemu ambayo Ngigo alikuwa amejibanza, “bado ajatoka yupo mle mle kwenye kichaka, siuna ona amechinja dogo Toddy?” alisema Ngigo, ambae ujio wa wakina Kibabu ulimfariji sana, “kwahiyo wana subiri nini, waanza kushambulia basi” alisema Kibabu, huku wakiwatazama askari wao walio jipanga nusu duara, kuuzunguka uli mti mkubwa, ambao matawi yake yalifunika eneo lote kuuzunguka, ambao wao waliamini kuwa, Edgar na mona lisa walikuwepo ndani yake.
Kumbe wakati huo huo, wakina Kingarame na Lusinde, walisha fika pale kwa wakulima, ambapo walikuta magari matatu, yani mawili ya wakina Ngigo na moja la polisi, alilokuwanalo Kibabu, “wapo wapi awenzenu?” aliuliza Kingarame baada ya kushuka toka kwenye gari, na kuwasogelea madereva wa magari yale, ambao sasa walikuwa wame bakia peke yao, baada ya wenzao kwenda kuongeza nguvu, kule mtoni, “wapo huku porini wame ondoka saa hivi, alisema dereva wa gari la polisi, akionyesha upande ambao wakina sajent Idd Kibabu, walikuwa wameelekea, “ok! nyie vijana ebu ondoeni magari yenu haraka, elekeeni huko mbele, mkawasubiri wenzenu, kuna timu ya polisi inakuja, wakiwaona hapa, ita wapa mashaka” alisema Kingarame kisha akaondoka kwa miguu akifwatiwa na vijana wake, pamoja na Lusinde, kuelekea kule aliko elekezwa, huku bunduki zao zikiwa mikononi, tayari kwa kushambulia, wakiwaacha wale madereva wa Ngigo, wakiingia kwenye magari yao na kuyawasha, kisha wakaondoka kuelekea mbele zaidi, yani upande wa mashariki, ambako sasa jua lilisha aza kutengeneza wekundu wakutosha kwenye mawingu, wakiifwata barabara ya vumbi inayoelekea mbuga za serous, wakiyaacha magari ya matatu ya polisi na madereva wake.
Wakina Hokololo waliwasindikiza madereva wale wamacho wakitokomea upande wa mashariki, namuda huo huo wakaanza kusikia ngurumo za gari, zikija kwa fujo, tokea upande wa magharibi,
Kingarame akiwa na askari wake, pamoja na msaidizi wake, koplo Lusinde, walikimbia mbio mbio kuelekea kule mtoni, wakifwata walimo pita wenzao, maana waliona jinsi nyasi zilivyo lala, huku wakiushuudia mto afifu, upande wa kusini mashariki, ikionyesha kuwa, jana usiku kuna moto uliwashwa,
Hatua chache mbele wakina Kingarame, wakawaona akari wao na bahadi ya vijana walio valia kiraia, wakiwa umbali wa mita kama mia moja hivi, toka wapo kuwa wao, wakiwa wame jipanga nusu mwezi, huku wamekaa tayari na bunduki zao mikononi, wakizinyooshea kwenye mti mmoja mkubwa sana, mita kama hamsini mbele yao, kabla ata awaja piga atuwa nyingine mbili, waka shuhudia milindimo ya risasi ikilindima , huku kile kichaka kikipukutika, kwa kushushwa majani na matwawi yake.
Iilitumia dakika mbili nzima, adi wakina Kingarame wanafika pale walipo kuwepo wakina Kibabu, bado walikuwa wanashambulia kichaka kile, huku kila mala wakibadiri magazine na kuweka nyingine, “simamisha mapigoooo!!!!!” alipiga kelele SSP Manase Kingarame, lakini ilikuwa vigumu kumsikia, maana milipuko ya risasi ilikuwa mingi sana, kiasi cha kuzibua masikio ya polisi na majambazi sugu yanayo tafutwa na polisi, lakini walikuwepo walio msikia SSP Kingarame, yani bwana Madevu, alie kuwa jilani na Kibabu, ambao walisidia kupaza sauti, “simamisha mapigooo!!!!!” ilitumia sekunde kama 30, kusimamisha mapigo,
“vipi, ndio mme wafumania hapa awa washenzi?” aliuliza Kingarame, kwa shauku, akimtazama Ngigo, ndio mzee, tena wame niotezea vijana wangu wawili” alijibu Ngogi, kwa usti ya uchangamfu ungezani alikuwa ana zungumzia, mchezo wa mpira wa miguu, “ok! bila kuchelewa tuma vijana waka wachomoe tuchuwe chetu haraka” alisemsa Kingarame, ambae alishuru kwa kuwa kazi ina isha kwa mtindo huo, ya kama kufunua chupi ya mlevi, “Mike ebu wachomoeni humo” japo agizo alipewa ngigo, lakini Kibabu akasema kwa sahahuku kubwa sana, hapo askari kama wanne wapolisi wakaingia kwenye kile kichaka ambacho sasa kilikuwa kime sambala tishwa, huku akionekana mtu mmoja, akiwa amelala juu ya jiwe moja kubwa, lililo lowa damu, huku na wao wakisoge ataratibu, wakiaminikuwa akuna mtu anaweza kuwa hai mahali pale kwa risasi nyingi zilizo nunuliwa kwa kodi za wanachi zilivyo chakaza eneo lite, kihasi cha kumega mega bahadi ya mawe.
“afande awapo” sauti ya Mike ili ustua moyo wa SSP Manase Kingarame, ambea alihisi joto la ghafla, na kajasho chembamba kika mchomoka, “kum.. mae, awapo” ilimchomoka kibabu, ambae hakuamini macho na masikio yake, “watakuwa wana tumia uchawi mkali sana hawa washenzi” alisema Kibabu, huku akikimbilia kwenye yale mawe makubwa, kweli apakuwa na dalili ya mtu, zaidi ya yule alie lala juu ya jiwe ambae licha ya matobo mengi ya risasi, pia alikuwa ana jeraha kubwa shingoni, ikiashilia kilipita kisu kikari sana, pamoja na SMG mbili ambazo azikuwa na magazine, kikapita kimya kidogo, kila mmoja anatafakari, kilicho tokea.
Wakati wanajiuliza hivyo, mala kwambali wakasikia ngurumo za magari, ndipo Kingarame aka mtazama Ngigo, “ondoka haraka na vijana wako, magari yenu yana wasubiri hapo mbele, kuna askari wengi toka mjini wana kuja, akikisheni awa wasogelei awa vijana mpaka nyinyi muwatie mikononi” alisisitiza Kingarame, na hapo hapo Ngigo awageukia majambazi wenzie, tundoke haraka, ulekea ni huko, alisema Ngigo akionyeaha upande wa mbele wa mto, kisha akamtazama Kingarame, “sasa kuhusu awa walio kufa?” aliuliza Ngigo au bwana madevu kama tunavyo mtania, “awa niachie mimi, kuna jambo watanisaidia” alijibu Kingarame, na wakati huo huo ika sikika sauti toka nyuma yao,”msiniache na mimi” ilikuwa sauti iliyo jaa machungu ya maumivu, wote wakageuka, wakamwona mmoja kati ya vijana wa Ngigo, alie kuwa amelala chini ametapakaa damu, “usijari mimi nita msaidia, nyie nendeni” alisema Kingarame huku akitabasamu, hapo Ngigo akaondoa kundi lake, akimwacha mmoja kati ya vijana wenzake, niyule alie tandikwa risasi za mguu na kiuno.
Ngigo na watu wake, ambao sasa walikuwa tisa, na yeye mwenye wa kumi, walitembea haraka pembeni ya mto ule ambao kila walivyo sogea ndivyo ulivyo zidi kutanuka, baada ya kusogea kama mita mia mbili mbele waka sikia mlipuko wa risasi, wote wakasimama, na kutazamana, nikama walihisi kitu, lakini kama vile walishindwa kusibitisha, wakaendelea na safari yao. **
Milipuko ya Risasi iliwafikia watu wengi sana, ukiachia wana nchi wakulima amba awakujuwa sababu wala maana ya kile kinacho tokea, maana wakivuta picha ya wale vijana wawili wanao tafutwa na makundi mawili, yani polisi na wale waio eleweka, ni vijana ambao akuwa ata na dalili ya ualifu, kulik lile kundi lililo choma moto pori ambalo ata wao walipoomba kulima eneo hili, walisisitizwa kuto kuwasha moto katika mapori haya, yaliyo ungana na ifadhi ya taifa.
Pia milindimo hii ya risasi iliwafikia kundi la mbele la polisi, lililo kuwa lina wai kwenda kuwasaidia wenzao, ambao baada ya kufika pale kwa wakulima, na kukuta magari matatu ya polisi wenzao, waka shuka na kukimbilia porini, iliko kuwa inatokea milindimo ya risasi, wakiwapita wanchi walio kuwa wapo katika taharuki, ata ulanzi aukunyweka tena, wengi walipanga kurudi mjini, mpaka haki ya amani itakapo rejea.
Milindimo hiyo pia iliwafikia, polisi waliopo katika kundi la pili, yani kundi ambalo walikuwepo makanda wa kuu wa polisi mikoa, ambao walikuwa wamebakiza kilomita kama moja hivi kuingia eneo la tukio, “lazima tuta kuta jambo la kutia moyo” alisema RPC Ruvuma, akimwambia dereva wake, na hilo ndilo lilikuwa wazo la kila mtu, katika msafari hule,
Tofauti na kundi la tatu, hili siyo la polisi, kama yale mawili, ili ni la mbabe Kisona, ambae likuwa ameshikilia roho yake, akikiona kifo chake kikiwa kime shikwa mkononi mwa dereva mzee Mbogo, ambae alikuwa anatembea na gari kama vile ameiba gari ili lajeshi la ulinzi, ebu fikilia kwanza mdau, licha ya kuachwa kilomita zaidi ya tisa na msafara wa polisi, lakini sasa, walikuwa kilomita mbili tu! nyuma ya msaafara wa mwisho wa polisi, ndani ya gari wote walikuwa kimya, wakisikilizia pah! japo katairi kapate pancha, iliwaone kitakacho watokea, na hii ilichangiwa na mashambulizi ambayo waliyasikia mala kwa mala, yakitokea huko mbele yao.
lakini uwezi amini kilicho kuwa kina tokea chumba namba kumi na sita, ndani ya Serena Hotel, dada mhudumu alikuwa wakwanza kuamka, aka mtazama Erasto alie kuwa amelala chali, huku dudu yake ikiwa imesimama, kweli kweli, akaachana nae na kuingia bafuni, ambako alienda kukojoa, na kisha akarudi, akatazama mezani, akaona kuna pete nzuri kwenye kikasha chake, akatabasamu huku akitikisa kichwa, “huyo binti sijuwi amekosa bwana, mpaka aolewe na na huyu?” aliwaza yule dada huku akipanda kitandani, na kuanza kumtikisa Erasto, ambae aliamka kivivu, “vipi mpenzi utaki cha asubuhi, mimi na taka nikajiandae kwa kazi” alisema yule dada huku akiishika dudu ya Erasto na kuichezea kidogo, Erasto akacheka kivivu, akionyesha kuwa bado alikuwa hoi, “hoo! kumbe umesha amka?” alisema Erasto huku anajaribu kujinyoosha kidogo, “ndio nataka tutomban.. kidogo nikajiandae nakazi” alisema yule mwanamke, huku ana tanua mpaja yake na kujaza mate kwenye kiganja cha mkono wake kisha aka ya pakaza kwenye kitumbua chake, kisha aka jiinua na kuchuchumaa kati kati ya Erasto, alafu aka pakaza tena mate kwenye dudu ya Erasto, kisha akailengesha kwenye kitumbua chake, kisha akaishukia, nayo aikuwa na ubishi, ikateleza kuingia ndani, kisha dada mtu mzima, akaanza kucheza kuchura chura,
Mchezo ule aikuchukuwa dakika mbili, tayari wazungu walisha mwagika, hapo mhudumu akatoka na kuingia bafuni, yakiwa ni, maandalizi ya kutoka mle chumbani, ili akajiandae kuingia kazini.
dakika kumi baadae akiwa amesha oga, na kuvaa nguo zake za kazi, alizo kuwa nazo kwenye begi lake dogo la mkononi, Erato aka mpatia Elfu kumi, yule dada, ikiwa ni zaidi ya mshahara wa kazi anayo ifanya huyu dada wa Elfu saba kwa mwezi, kwa mwaka huo wa 1997. akika ilikuwa fedha ndefu sana kwake.
“nitakuja tena baadae unifanye unavyo taka, we ukiwa na hamu tu! nistue muda wowote” alisema yule dada ambae hakuamini macho yake, kabla ajatoka mle chumbani.***
Tukiacha na bwana harusi mtarajiwa ambae mchumba wake yupo porini katika wakati mgumu, ebu turudi kwa wakulima, kwenye mashamba ya viazi, ambako baada ya kusimamisha magari yao, wanadhimu wakuu wa jeshi la polisi, walishuka na kuulizia kunakotokea mapigano, wakaelekezwa na wale madereva wa magari ya polisi, waliyo yakuta mahali pale, nao wakaanza safari ya kuelekea huko, wakiwa na askari wachache, huku wengine wakiwa na askari wao, lakini kabla awaja ivuka nyumba ya Mwagoda, waka liona gari aina ya land rover mia na kumi, lakijani, lenye namba za jeshi la ulinzi, likiingia mahali pale kwa mwendo ambao ata wao awakuweza kuamini kuwa watu walipo mle ndani wazima au wamezimia,
maana gari lile liliingia pale na kusimama kwa bleck za ghafla, huku likisota mita kadhaa, wakijuwa lina enda kulivaa gari moja wapo la polisi, lakini waka shuhudia likienda kusimama pembeni ya gari hilo kama vile lime pangwa na trafiki mwenye tahaluma kubwa, kisha dani ya sunde moja tayari askari saba, walisha shuka wakiwa na silaha zao mikononi, na bila kuuliza wakaonekana wakilifwata lile kundi kubwa la polisi lililo kuwa lina elekea kule mtoni,”ebu tuwasubiri tujuwe wanataka nini huku?” alishauri RPC Iringa, huku wakiwatazama Kisona na wenzake waliokuwa wanakuja mbio mbio.
“niwewe Kisona, usiniambie jeshi linausika katika mkasa huu?” alisema RPC Ruvuma, ambae anamfahamu vyema Kisona, kwa sauti ya mshangao, lakini Kisona akatabasamu kidogo, “nika jeshi linausika, sababu ni jeshi la ulinzi” alisema Kisona, na mzee Mbogo aka mkamata mkono na kuubinya kidogo, Kisona aka mkonyeza mzee huyu mwenye uchungu na mwanae, kuwa atulie kidogo, “kumbe huyu ndio Kanal Kisona, dah! mbona mdogo sana, ila nazani hakuna kitakacho aribika, endapo utatupatia mbinu chache za kivita” alisema RPC toka Iringa, huku anaonyesha uso wa tabasamu la matumaini, ambae alisha waikusikia habari za kijana huyu (utani wa bibi) alie dai kuwa ni mdogo, lakini nikama kuna kitu akakitilia mashaka, “ila unekujaje huku na sisi hatuna taharifa ya join oparation (jukumu la pamoja) na jeshi la ulinzi?” hapo mzee Mbogo, akaona kuwa ni zamu yake kujibu, maana aliona kuwa akisema ukweli hapa ndio usalama wa mwanae na binti Monalisa, lakini ile ana funua mdomo, kisona aka mkanyaga mguu, “tupo kwenye ukaguzi wa eneo la mazoezi, ya kivita, tunalotarajia kulifanya sikuchache zijazo, mala tuka sikia milindimo ya risasi, ndio tuka aamua kupitia mahali hapa, ilitujuwe kinachoendelea” alisema Kisona ambae, siyo tu kumchangaza mzee Mbogo, pia aliwashanga askari wake wote, pamoja na Koplo Katembo, “ok! nazani umesikia kuwa kuna jambazi huku porini anae sumbua sana, mwenzie alikimbia toka songea na na aliuwawa makambako, ila huyu mwenzie ambae tunahisi anasaidiana na wenzake, amemteka mshana alie kuwa anatokea chuo huko mbeya, na yupo huku porini anarushiana risasi na polisi” alisema RPC Iringa, kabla ya kumwomba Kisona waelekee kwenye eneo la tukio, kuona kilichotokea.
Najuwa mdau unatamani kujuwa, jinsi Edgar na Monalisa, walivyo chomoka kwenye pale chini ya mti, pia unatamani kujuwa kwanini Kisona ana ficha ukweli wa yeye na watu wake kuja huku porini, tuoanane kesho hapa hapa
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU