BIKIRA YA BIBI HARUSI (40)

SEHEMU YA 40

 .
ILIPOISHIA SEHEMU YA 39: lakini ile ana taka kuishusha ile zipi, mala waka sikia michakato ya vurugu za nyasi na kitu kama kina kimbia kuja upande wao, Edgar aka acha kile alicho kuwa ana kifanya na kuinua bunduki yeke huku anasimama haraka, bunduki tayari hipo usawa wabega, kwa kushambulia chochote kitacho jitokeza, endelea………
Huku kidole chake chapili kikiwa kwenye trigger, wakati huo Monalisa akiangaika jiinua pale alipo lala, Edgar aka mzuwia kwa mguu, akimkanyaga kifuani na kumrudisha tena chini, huku vile viishindo vyepesi na michakato ya nyasi, vikiendelea kuja kwa fujo, na sasa vilikuwa karibu yao kabisa.
Ghafla wote wawili, wakamwona swala kiipita karibu yao, kwa mwendo wake wa kuruka ruka, hapo Edgar akapatwa na hakiri ya haraka, akatazama kule alikotokea swala, maana baba yake aliwai kumweleza kuwa, hakuna kitu kinachokimbia bilka sababu.
Nikweli mita kama hamsini mbele, Edgar akamwona simba jike, akija na speed kama zote, na kila alipozidi kuwasogelea, nikama simba tule alisha waona, na kuzidi kuongeza speed huku akimtazama Edgar.
Hapo Edgar akajuwa kuwa simba amesha badili mawindo, na kuamua kukamata windo alilo liona kuwa jepesi kwake na hilo siyo jingine, ni yeye Edgar, kitendo bila kuchelewa, Edgar aka kaza kidole chake chake chapili, na kuikandamiza trigger, ***
pah!!!! mvumo wa risasi ulisambaaa sehemu kubwa msituni, ukisikilizwa na watu wengi sana, waliopo ndani ya msitu ule, ukiachilia majambazi, yani kundi la bwana Ngigo, ambalo sasa lilikuwa limesonga mbele baada ya kukuta na madereva wao, na kupanda magari yao,
pia mlipuko huo wa risasi uliyavikia makundi yote manne ya polisi, yaliyo tawanyika kusini kaskazini magharibi, na hili ambalo lilikuwa mashariki, karibu na ulipotokea mlio wa risasi, ndilo kundi alilokuwepo sajent Idd kibabu, “mme sikia hiyo?, watakuwa karibu na hapa,” alisema ASP Ogwambo, alie kuwa kiongozi wa kundi hili la mashariki, lenye askari kumi na nne, akisaidiwa na sajent Kibabu, “inawezekana, ebu tuwai upande huu” alisema Kibabu, huku akionyesha upande wakusini mashariki, hapo askari wote pamoja na wao kama viongozi, waka anza kusonga mbele kuelekea huko, huku matumbo yao kama yalikuwa yame meza vitu vya moto, wakiamini kuwa wanawasogelea watu hatari sana, Ulikuwa ni mwendo wa taratibu, yani mwendo wa tahadhari kubwa, pasipo kujuwa kuwa wenzao walitumia masaa zaidi ya mawili kufika pale wanapoenda wao.
na kitu kizuri zaidi kwao nikwamba yale makundi mengine matatu yaliamua kubadiri uelekea na kwenda kuwasaidia wenzao, wakiamini kuwa ulie mlio wa risasi, ume tokea kkwenye shambulio jepesi,
Kumbuka kitu kimoja mdau, kuwa wakati hawa polisi walio ongezeka katika operation hii, wakiwaza kuyazibiti majambazi haya, na kuakikisha jambazi anae itwa Edgar anapatikana akiwa mzima, lakini wale waliokuja na sajenti Kibabu, ambao kwa sasa walikuwa wame bakia wanne tu! toka idadi ya ya saba, pamoja na mwenyewe Kibabu, ongeza wale kumi waliokuja na Kingarame mwenyewe, walikuwa wana waza, kumwangamiza Edgar na Monalisa na kuchukuwa tape ya video, ili mchezo uishe salama.
wengine ni makamanda wa jeshi la polisi, ambao muda huu, walikuwa wame tulia ndani ya mahema yaliyo jengwa kama sehemu za kupumzikia waku huu hao, na sasa walikuwa wanapata chai yamoto, kupunguza baridi, huku wanajadiliana ma m bo machache, na kusibiri taharifa ya msako, “kazi imeanza tena” alisema mmoja wa makamanda hao, baada ya kusikika ile risasi, lakini akukuwa na mwendelezo wowote wa risasi, baada ya ile mmoja.
Wakiwa na endelea na majadiliano mala wakaona magari mawili ya jeshi la ulizini, moja likiwa ni nissan patrol, na jingine ni deffender, yakiingia mahari pale, huku askari sita wenye smg wakiwa nyuma ya deffender, ambalo seat ya mbele ukiachilia dereva alikuwepo Koplo Kingumwile, yule ambae juzi jana alikuwa mkuu wa ulinzi mlango mkuu.
Makamanda na wa wanadhimu wa kuu wa wajeshi la polisi mikoa hii miwili, waka tazama kwenye nissan wagon, kuona atashuka nani, wakamwona ana shuka kamanda mmoja mtu mzima, mwmenye cheo cha ukanal mabegani mwake, akawasogelea makamnda hawa, ambao walikuwa wana kodoleana macho, kwa mshangao. “poleni kwa majukumu” akisema yule kamanda wa kikosi cha makambako, “tunashukuru bwana kanal, pole na wewe na majukumu” alisema RPC, sijuwi kwa nini hawakupigiana salut, japo kikawaida ni tendo la lazima, “nime ona nije niwai kuwa juliisha kuwa, kuna askari wetu huku polini, wana endelea na uchunguzi wa eneo la zoezi kubwa la kijeshi, tunalo tarajia kulifanya” alisema yule kanal ambae kifuani kwake, juu ya mfuko wa kulia, kuliandikwa Prosper FM, “ok! ni yule bwana Kisona, amesha tujulisha” alisema RPC Ruvuma, kisha wakaongea mawili matatu yausuyo, msako ule, na baada ya hapo Kanal FM, kama walivyo penda kumwita askari wake, ikiwa ni kifupi cha majina yake, akaaga na kuondoka zake, akirudi mjini, ikiwa baada ya kutimiza ombi la Kisona, kutoa taharifa hii, ili asitiliwe mashaka kwa kuingilia mission ya jeshi la polisi.
“umesikia hiyo,” alisema Baba Edgar, huku akanyaga breack za gari na kusimama, ni baada ya kusikia mlio wa risasi ile ile iliyo pigwa na Edgar, sasa watu awa walikuwa wame sogea mbele kidogo upande wa mashariki, maana yake ni kule waliko elekea wakina Ngigo, “nazani kuna mmoja imemponyoka kwa bahati mbaya” alisema Kisona, baada ya kuona, hakuna mripuko mwingine”
“hvi Kisona unazani, ni akiri gani ume itumia, kuwaficha ukweli wale jamaa, unzani polisi wote wana usika na upumbavu wawatu wachache?” aliuliza baba Edgar huku akiondoa gari, na kuzidi kuchochora mbele, huku Kisona ana fungua ramani na kulaza kwenye mapaja yake, “ona mzee Mbogo, mimi na wewe atujuwi Edgar ameingiaje kwenye huu mkasa, lakini tunaamua kumsaidia kwa kuwa ni mtu wetu wa karibu, itashindikana kwa wao kuamua kusaidiana kupoteza ushaidi, kwa kumlinda mwenzao na kutunza heshima ya jeshi lla polisi?” aluliza Kisona huku akiikodolea macho ramani yake, na mzee Mbogo akaonekana kulidhika na jibu la Kisona, huku safari ikiendelea.
Lakini baada ya kwenda kama kilomita moja mbele, Kisona aka mwambia mzee Mbogo asimamishe gari, nae aka simamisha gari, kisiha wote wakashuka na kuilaza ramani juu ya bonet ya gari lile, na compas juu yake, “kuna jia kubwa kidogo maeneo haya,” alisema Kisona, huku akionyesha kiji mstari afifu chekundu juu yaramani, kilicho katiza ndani ya mistu, kikielekea kusini, “lakini huku ni mbali sana, tena ndani ya ifadhi, inawezekana waka wamefika huku?” aliuliza koplo katembo, “ndio maana nime ona tutaafute njia nyepesi ya kuingilia ndani ya msitu, kuliko kusonga mbele zaidi” alisema Kisona, huku anazidi kuitazama ramani, “na kama wame elekea huku basi tuta wakuta hapa, maana huu mto ume ungana na mto huu, na hapa ni pakubwa sana, bila wao kujuwa watajikuta wame kwa ma hapa” alisema tena Kisona, huku ikunja ramani, na kuiweka kwenye kifuko chake, kisha wakarudi kwenye gari, “mzee tafuta njia upande huo huo wa kulia” alisema Kisona, huku mzee Mbogo anaondoa gari taratibu.
Mita kama mia moja mbele wakaona kuna barabara moja afifu inaelekea upande wa kusini, “nazani ndio hii, siunaona hapa, kilomita nne toka darajani” alisema Kisona, na hapo hapo mzee Mbogo aka kata kona kulia, na kuifwata ile njia, iliyo tawaliwa na nyasi zilizotengeneza tuta kati kati, “inaonyesha kuna magari uwa yana pita, kwa msimu” alisema Katembo, baada ya kuitafakari ile barabara, “siyo kwamsimu, ila inaonyesha kuna gari limepita muda siyo mrefu” alisema mzee Mbogo, kama dereva mzoefu, wote waka tazama ile barabara kwa umakini, wakaona alama za maiari ya gari, tena mapya kabisa, “kila mmoja awetayari na silaha yake” alisema Kisona huku ana ikamata SMG yake na kuikoki, huku askari wake wote watano, nao wakifanya hivyo hivyo, kasolo mzee Mbogo alie kuwa ana endesha gari taratibu, “mzee nakuamini, endesha gari kadri unavyoweza, tupo sehemu mbaya” alisema Kisona na hapo mzee Mbogo aka kanyaga mafuta, kwanguvu, kisha aachia na kukanyaga clutch, alafu akaitupia namba tatu, gari likazidi kushika kasi, kisha akafanya tena hivyo hvyo, kwa namba nne na tano, nasasa gari lilikuwa lina kimbia, kwa mwendo wa speed themanini kwa saa,
Lakini wakiwa katika mwendo ule awakufika mbali, mala ghafla mble yao, waka yaona magari mawili aina ya land rover, ya Kiraia, mbele yao,**
Serena hotel, dada mhudumu akiwa mwenye furaha ya kulipata buzi la maana ambalo kwa usiku mmoja lime mpatia elefu kumi na tano, alifanya kazi zake akisaidiana na mwenzake mmoja, kazi aikuwa kubwa sana, maana asubuhi kunakuwa wateja wachache, ambao wata itaji kufungua kinywa kinachotolewa bule na Hotel hii, kwa kila mteja anae lala hapa hotel, sasa wengi wao uondoka mapema, kuwaisafari au shughuri zao, mida hii dada mhudumu alisha maliza kusambaza chai, na sasa alikuwa ana elekea kwenye chumba cha mpenzi wake, mpya mwenye fedha nyingi, kijana Erasto, akiwa na trey lenye bakuri la supu ya kuku na ndizi za kuchemsha, peni limao na pilipili, “huyu kaka angakuwa wa hapa hapa Njombe, ninge mwamishia nyumbani kwangu kabisa” alisema yule dada huku ana tembea taratibu kkwenye korido refu, kuelekea kwenye chumba namba kumi na sita, cha Erasto, “yani natamani ata huyo mchumba wake wasi mpate, na mimi nimpe kum…, mpaka achanganyikiwe” aliwaza dada huyu huku ana zidi kukisogelea chumba namba kumi na sita, alikifikia na kugonga hodi kidogo, akusikia jibu, akaamua kujaribu kuusukuma, nao ukafunguka, mhudumu akazama ndani na tray la mazaga zaga, aka mwona Erasto ndio kwanza anafumbua macho, “vipi mpenzi ndio unaamka?” aliuliza mhudummu, huku ana ifunua shuka ya Erasto na kumchungulia sehemu za siri, dada mhudumu akatabasamu kwa jinsi alivyo ikuta dudu, “we mwanaume utaniua kwa kunitomb.., yani imesha simama tena?” alisema dada huyu, alie pania kumkoleza Erasto, huku ana upenyeza mkono wake kwenye shuka hilo na kuishika dudu, ya Erasto iliyo simama bara bara, na kuibinya inya taratibu, “unavutia sana” alisema Erasto huku ana jinyanyua toka kitandani” ***
Kingarame alie aga anaenda kupiga mswaki mjini Njombe, aliondoka na gari lke akiwa na na vijana wake wachache, pamoja na dereva wake Hokololo, lakini mtu huyu kwenda alikosema, maana alipo fika njia panda, akamwambia dereva wake akate kuelekea upande wa kulia, yani Makambako, na robo saa baadae alikuwa amesha ingia mjini makambako, waka simamisha gari kati kati ya mji, “Issa, nataka nikupe kazi mmoja muhimu sana” alisema Kingarame akimweliza mmoja wa askari wake alie itwa Isaya, “nipo tayari afande” alijibu yule askari, “ok! chukuwa hii fedha nenda kanunue suit mzuri na viatu vizuri, kisha utatukuta pale mbele kuna hotel tuta kuwa tuna kunywa chai” alisema Kingarame, na wayule askari isaya aka ondoka kuelekea madukani, na Kingarame na askariwake wakaelekea kwenye hotel moja mbele yao kwenda kupata chai, huku SSP Manase Kingarame akiwa mwenye mawazo mengi sana, akiwaza itakuwaje endapo ukweli utabainika, na ile tape ikipatikana, maana yale maneno ya Kisona, kuwa, “wale majeruhi watajuwa, walishambuliwa nani” akika Kingarame aliona kuna humuimu mkubwa sana wakuwamaliza majeruhi wote waliopo hospital, maana endapo wata fanikiwa kutoka hospital wakiwa salama, itakuwa ni hatari kwake, na vijana wake.
Nusu saa mbele tayari Issa alikuja akiwa amevalia suti nyeusi, na viatu vyeusi, akika unge mwona kwa haraka ungezania ni jamaa mmoja muhimu sana toka kwenye kitengo nyeti sana serikalini, “safi sana kijana, sasa kaa upate chai yamoto, kisha uingie kazini” alisema SSP Manase Kingarame, alie kuwa amekaa pamoja na vijana wake, sehemu moja nzui sana waliyo tengewa na mmiliki wa hotel, huku akiwa ameachia tabasamu pana sana, Issa aliletewa chai na kuanza kuinywa huku anapokea maagizo, kwanza nenda umtafute mke au ndugu wa Mapombeka, ambae atakusaidia kuingia ndani ya hospital, tumia hakiei ya hari ya juu kumshawishi huyo mwana mke, akutambulishe kuwa wewe ni ndugu yake, alafu hapo utatumia nafasi utakayoipata, kuwawekea dawa hii hapa kwenywe dreep” alisema kingarame, huku ana mpatia PC Isaya kimfuko flani cha kaki, ***
Tukirudi Serena Hotel, baba Monalisa alikuwa wakwanza kuamka kati ya wote wenzie, aliokuja nao, alikuwa ameamka nusu saa iliyo pita, alisha ingia bafuni na kuoga, tena maji ya baridi kabi ili kupunguza lock ya pombe ya jana usiku, lakini akaona bado hali ni tete, hivyo akamwacha mke wake kitandani ana koroma, na kutoka nje, kwa lengo la kwenda kupata supu, maana lock aikuwa ya kawaida, ata chai ya mhudumu aikufua dafu, lakini aliitaji kampani, na kamapani aliyo iona ni ya haraka, ni ya dereva wake, hivyo aka ona bora apitie kwa dereva wake, alie kuwa chumba namba kumi na tano, Anderson aka endelea kutembea taratibu akiwa ana ya kodolea mcho makalio ya mhudumu huyu, aliekuwambele yake hatua kadhaa,
Burudani hii ilikatika baaada ya kumwona akiingia kwenye chumba namba kumi na sita, jilani ya chumba namba kumi na saba kulia, na kumi na tano cha dereva wake kushoto, baba Monalisa akakitambua chumba hicho, kuwa ni cha mkwe wake mtarajiwa, yani mtoto wa rafiki yake bwana misago, kijana Erasto anae tarajia kumvesha pete mwanae wa pekee Monalisa, ambae sasa anashikiliwa na kijana mkorofi Edgar Mbogo.
Bwana Anderson alipofika kwenye mlango wa chumba namba kumi na tano, aka stushwa kidogo na sauti iliyo tokea chumba namba kumi nasita, kwanza akajuwa amekosea chumba, labda siyo vile walivyo kodi siku tatu zilizopita, aka acha kugonga na kutazama kwenye namba, akaona kile chumba alicho simama ni namba kumi natano, na chajirani ni kumi nasita, wakati huo huo akasikia tena, “we mwanaume utaniua kwa kunitomb.., yani imesha simama tena?” ikuwa ni sauti ya kike maana yake ni ile ya mhudumu, “unavutia sana” hiyo ilikuwa ni sauti ya Erasto, yani mkwe wke mtarajiwa, baba mona aka pigwa na butwaha, “basi ngoja unifanye cha haraka haraka, ili uchangamshe mwili, unywe supu vizuri” ilikuwa sauti ya kike iliyo jilegeza kidogo, kiambatana na kicheko kidogo, “hapo ume ongea jambo la maana” ilisikika sauti ya Erasto, ambae nikama alikuwa ana ipandisha sket ya ya yule mhudumu, maana ikasikia sauti ya mhudumu akishauri, “ukiipandisha itachanika, ngoja niivue kabisa” hapo mzee Anderson alishusha pumzi kwanguvu, nikama alikuwa ame choka kwa mbio ndefu, ……. huuuuuuwwwww!!. mdau naona mambo yanazidi kuwa mazito, ebu tusubiri kesho tuone itakuwaje, ni hapa hapa 

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata