
: BIKIRA YA BIBI HARUSI (47)

SEHEMU YA 47
ILIPOISHIA SEHEMU YA 46: Monalisa na Edgar walikuwa wamesha maliza kula chakula, walichoiba kwenye kambi ya polisi, wakisukumia na chai yamoto, ndicho kipindi walicho sikia kelele za filimbi zikipigwa kwa fujo, kwenye kambi la polisi, wote wakatazama upande kambi lilipo, wakawaona polisi wana jikusanya na kuanza kutawanyika na tochi zao mikononi, wakizagaa kwenye machaka yaliyo zunguka kambi lile, inaonyesha waligundua jambo, endelea………
“Mona ebu tuondoke hapa” alisema Edgar huku anainuka na kuchukuwa kila kitu chake, ikiwepo begi dogo la mgongoni na bunduki yake, ilikuwa hivyo kwa Monalisa pia alie chukuwa begi lake dogo la mgongoni, begi ambalo lilikuwa muhimu sana kwao, sababu lilikuwa na ile tape ya video waliyo kabidhiwa na Lukas, ambayo ata wao hawakujuwa ilikuwa na nini ndani yake.
kwambali waliweza kuona, jinsi pilika pilika zilivyo kuwa zina endelea kwenye kambi la polisi, wakisaka kwenye vichaka na kusambaa ovyo ovyo, lakini wao wali tembea taratibu kuelekea upande wa magharibi, wakiikamata barabara ya vumbi, “tuna elekea wapi Eddy?” aliuliza Monalisa, wakiwa wanatembea, “tunaelekea barabara ya rami, nazani usiku huu, awawezi kutuona, tuta fika salama Njombe na kupata gari la kwenda songea” alisema Edgar, ambae aliona hii ndiyo njia sahii ya kujitoa kwenye mapigano yale, ambayo kwake hayakuwa na faida yoyote, “eddy bwana mbona mi nimechoka, tupumzike kwanza, alafu tujihimu kuondoka” alishauri Monalisa ambae alionyesha kweli amechoka, “ok! poa basi, ngoja tutafute sehemu upumzike, ilikesho tuelekee upande huu, nazani tuta tokea Njombe, na hapo tuelekee songea, nazani tutakuwa salama” alisema Eddy akionyesha upande wa kusini, usawa mapori, “kwa nini tusipite barabarani” aliuliza Monalisa, ambae alikuwa ameushika mkono wa Edgar, “atuta fika mbali, tuta kamtwa mala moja, maana polisi wana itumia sana njia hii” alisema Edgar kabla aja uona mti mmoja mkubwa mita kama ishirini, pembeni ya barabara, wakachepuka na kuufwata ule mti, ambao kwa haraka haraka, walipaona panafaa kuupitisha usiku huu. ***
Pale Serena Hotel, Baada ya nusu saa wale wakubwa wapolisi wakaanza kutoka vyumbani mwao na kukaa, sehemu wakijitenga, na watu wengine, nikama walikuwa wame tengewa sehemu mahalumu, kwaajili yao, kati ya makamanda hao, mmoja aliwao ambae ni OC FFU, alipiia mapokezi na kuomba simu, kisha akapiga kwa RTO, na kumweleza kama alivyo agizwa, kuwa afwatilie mmiliki wa magari mawili, aina ya land rovr, mia na kumi, huku akimtajia rangi za magari na namba zake, ambazo kipindi hicho zilikuwa ni TZB10…, RTO nae aka ahidi kuwa hiyo kazi inaanza mala moja usiku huu,
Baada ya kumaliza kuwasiliana na RTO Ruvuma, OC FFU, akaend kujiunga na wenzake, wakaendelea na vinywaji pamoja na chakula, na ndicho kipindi ambacho mzee Anderson na mke wake, walipo inuka na kwenda kuwasalimu makamanda wale, wakimlenga RPC Ruvuma, “mzee Anderson, ume kuja huku?” aliuliza RPC kwa mshangao, baada ya kumwona mzee huyu, mmoja wa matajiri pale mkoani Ruvuma, “nitawezaje kukaa songea wakati mwanangu mpaka leo hajapatikana?” alijibu Anderon kwa sauti ya kilevi, huku wahudumu wakiwasogezea viti, ili wakae na.
Nawalipo kaa tayari, na kusalimiana, RPC Ruvuma aka watambulisha wakina baba na mama Mona kwa makamanda wenzake, asa wale kutoka Iringa, “hooo! pole sana mzee, sasa mbona umelewa sana?” alisema RPC Iringa baada ya kutambulishwa, bwana Anderson, ambae alionekana wazi kuwa amelewa sana, japo mke wake alijitaidi kuji kakamua, lakini alionekana wazi kuwa amelewa, “utawezaje kuwa macho makavu wakati unajuwa mwanao ameshikiliwa na majambazi?” aliuliza OC FFU, toka Iringa, akiunga mkono, kitendo cha wakina baba Monalisa kulewa vile, baada ya hapo yaka fwata maongezi mawili matatu, na kwa kihasi kikuwa ya likuwa yana wapa Moyo wazazi wa Monalisa, kuwa binti yao yupo salama, na juhudi za kumpata zina endelea, “nazani siku mbili hizi azipiti kabla atuja mpata” alisistiza RPC Iringa.
wakati maongezi haya yana endelea, huku nako, mama na baba Erasto ambao awakusogea kule kwa makamanda, kwa kusudi la kujaiiaina, maneno ya Anderson, waliendelea na mjadara wao, “lakini anaonyesha kuwa, ajuwi lolote” alisema baba Erasto, na mama Erasto aka shauri, “lakini inabidi Erato awe makini sana” maongezi hayo yalimfikia vyema kabisa dereva wa bwana Anderson, ambae wao walizania kuwa awaelewi wanacho zungumzia, “umesikia Erasro, uwe makini napofanya mambo yako, wasijuwe wakwe zako” alisema mzee Misago, huku akimtazama mwane wakiume, “awawezi kujuwa, nipo makini sana” alisema Erasto jkwa majisifu, ***
Kituo cha kwanza baada ya kufika Makambako, nikituo kikubwa cha polisi, pale makambako, ambapo SSP Kingarame alishuka kwenye gari na kuingia kituoni hapo, alipo mkuta askari wazamu akiwa mapokezi, huku mwenzie amejipumzisha, baada ya kualimiana kijeshi, Kingaame aliomba kuitumia simu ya pale kituoni, ambapo safari hii, alipiga mala moja tu! na kumpata kijana Basso, ambae alimpa maelekezo, ya kwenda kuichomoa roho ya bwana Kanjubhai, haraka iwezekanavyo, tena usiku huu huu,
Baada ya kumaliza kutoa maelekezo hayo yaliyo tolewa ndani ya ofisi ya mkuu wa kituo, pasipo mtu yoyote kusikia, Kingarame alitoka pele kituoni na kuelekea Tazara, sehemu ambayo walikubariana kukutana na Isaya, baada ya kumaliza kazi, ambapo awa kutumia muda mrefu sana, wakawa wamesha fika sehemmu ya makutano, lakini awa kukuta mtu yoyote, walikaa sana sehemu ile lakini ikawa patupu, ndipo Kingarame akatoa amri ya kuondoka na kuelekea Njombe wakapumzike, “huyo tuta mrudia kesho, pengine bado ana angaika kukamilisha kazi” alisema Kingarame na safari ya Njombe ikaanza, pasipo kujuwa kuwa Isaya wanampita njiani, pale njia panda, tayari amesha poteza maisha.***
Serena Hotel, pilika zikiwa zina endelea, huku tayari wazazi wa Monalisa wakiwa wamesha rudi kwenye meza yao, na kujiunga na rafiki zao, akaonekana Kisona na watu wake wakiingia Hotelini pale na kuelekea ndani kabisa, ambako nao walitumia kama nusu saa hivi, wakatoka wakiwa wamevalia mavazi ya kiraia, na kukaa kwenye meza mbili za pamoja zilizo sogeleana, huku wakina Kisona na baba Edgar wakipitia mapokezi kwaajili ya kufanya mawasiliano na familia zao, kisha kujiunga na wenzao, na kuanza kupata chakula na vinywaji, na ndio wakati alipoonekana SSP Kingarame akiingia mahali pale, nae akapitilliza chumbani kwake, lakini tofauti na wenzake akutoka tena,**
Baada ya kuwasiliana na OC FFU, alie mpatia maelekezo toka kwa RPC Ruvuma, RTO akuona haja ya kulala, mala moja akavaa nguo zake za kiraia na kuingia kwenye gari lake binafsi, kisha akaelekea ofisini, ambako aliwakuta watendaji na waifadhi wa nyaraka, waliokuwa zamu ya usiku siku ile, ambao alianza kushirikiana nao kufanya upekuzi wa ma jarida mambali mbali ya namba za magari na wamiliki wake, tofauti na sasa ambapo utumia computer kusaka majina, lisaa lizima lilitumika kupata majina ya mmiliki wa magari hayo, yani bwana Kanjibhai, mfanya biashara, mwenye hasiri ya watu toka huko asia, “inamaana huyu mshenzi anausika na hili, ata tuambia kila kitu” alisema RTO, ambae mala moja alipiga simu kituo cha polisi Njombe, na kutoa majibu aliyo yapata, juu ya mmiliki wa magari hayo, hapo akapewa namba za serena Hotel akielekezwa kuwa awaulizie makamanda wa polisi waliopo hapo,
Haikutumia muda mrefu sana, RTO alifanikiwa kuongea na OC FFU, na kumpatia matokea, huku nawao wakijadiriana kwa pamoja, na kutoa maagizo kuwa Kanjibahi akamatwe mala moja.
RTO, aka peleka maagizo kwa OCD wa songea, atoe askari sita wenye silaha, walipti kwake haraka, na ilikuwa hivyo, ndani ya dakika kumi, tayari askari sita walisha report nje ya jengo la polisi mkoa, RTO akaungana nao, kualekea kti kati ya nji, nyumbani kwa Kanjibhai, ambako awa kutumia muda mrefu sana, walifika mahali pale na kukuta mlango wa nyumba hii ukiwa wazi, na walipo sogea zaidi, waligundua kuwa mwili wa Kanjibhai ulikuwa umelala pembeni ya mlango kwa nje, juu ya dimbwi la damu, mbichi kabisa, ikionyesha ameuwawa muda mfupi uliopita, “pumbavu, inamaana kuna mtu ambae alijuwa kuwa, tuna kuja kumkamata huyu mshenzi” aling’aka RTO, huku akijaribu kumkagua Kanjibhai, amba alitulia tuliii juu ya dimbwi la damu, “huyu najuwa anaga familia hapa Songea, inamaana alikuwa anakaa peke yake?” aliuliza RTO, na kukuwa na askari mwenye jibu sahii, hivyo waka ingia ndani na kuanza kuikagua nyumba, huko ndani ilikuwa baraha, maana kila baada ya hatua kadhaa, walikuta mtu akiwa amelala kwenye dimbi la damu, ilionyesha kuwa ni wafanyakazi wa muhindi huyu, mpaka wana maliza kuikagua nyumba hii, walisha waona wafanyakazi wanne wa Kanjibhai, wakiwa wame uwawa, mmoja akiwa wakike, na watatu wakiume, na walipo amia nje ya jengo hili la mhindi, wakakuta mlinzi mmoja, pia akiwa ame uwawa, wote walionekana kuwa na tundu la risasi kichwani, “dah! kunamchezo mchafu sana umechezwa hapa, ebu pakizeni miili kwenye gari” alisema RTO huku ana ingia kwenye nyumba hile, ku tafuta simu ya mezani kwaajili ya kumpigia, RPC Ruvuma kumweleza kilicho tokea, **
Porini nako mita chache tu toka barabarani, chini ya mti mkubwa, kama kawaida Monalisa alikuwa amejilaza kwenye kifua cha Egar alie kuwa ameegemea kwenye mti, “Edgar asante sana” alisma Monalisa ambae licha ya kudai wapumzike, kuwa amechoka, lakini akuonyesha dalili ya kulala, “asante ya nini Mona” aliuliza Edgar ambae kiukweli macho yake, yalikuwa yana shindana na usingizi wasiku tatu, Monalisa akujibu kitu zaidi ya kujichekesha huku anazungusha mikono yake kwa Edgar, akiikutanisha mgongoni, mala gafla Monalisa aka tulia, na kuwa kama ameingiwa na uzuni flani, yani alikosa amani, “Eddy nikuulize kitu?” aliuliza Mona huku akiinua uso wake na kumtazama Edgar usoni, “niulizetu sijawai kuacha kukujibu” alisema Edgar, ambae kiukweli, alisha zidiwa na usingizi, “utajisikiaje ukisikia ninavalishwa pete ya uchumba?” aliuliza Monalisa kwa sauti iliyo yongea, Edgar alicheka kidogo, akizuwia mstuko alio upata moyoni mwake, “muhimu nikuone una ishi kwa furaha, na amani, yani utoke huku porini ukiwa salama” alisema Edgar kwa sauti tulivu, iliyo shindana na usingizi, hapo Monalisa alikuwa ametulia kidogo, kama anatafakari jibu la Edgar, kisha aka ibana zaidi mikono yake kama ana mkumbatia vizuri Edgar, “Edgar tukifika songea, atuta enedelea kuwa marafiki?” aliuliza Monalisa kwa sauti ile ile ya kinyonge, “kwani we unaonaje?” aliuliza Edgar, huku akikigeuza kichwa cha Monalisa na kujitazamaisha usoni kwake, “kwani mimi nikitaka ndio itakuwa?” aliuliza Monalisa, kwa sauti ambayo ilianza kuchangamka, hapo Edgar aka tulia kidogo, akiutazama uso wa Monalisa, kwa sekunde kadhaa, “sikia Mona, mimi ni rafiki yako sija wai kuacha kuwaza juu ya urafiki wetu, na sito acha kuwaza juu ya urafiki wetu” alisema Edgar akimaliza kwa kuisogeza midomo yake karibu na midomo ya Monalisa kwa lengo la kumpiga busu, lakini ika watofauti kidogo, maana ile kuigusa tu, Monalisa alie hisi kuwa kinacho fata ni kubadirishana mate, aka idaka midomo ya Edgar na kuanza kuuvuta urimi wa mwenzie, kisha wakaanza kubadirishana mate, huku Edgar akichezea sehmu za masikio za Monalisa, alie onekana kupendezwa na kamchezo aka, huku akiisikilizia dudu ya mwnzie iliyo kuwa ina mgusa maeneo ya tumboni, kwa jinsi iliyo tutumka ndani ya suruali ya Edgar, ambae alimisha mkono wake mmoja na kulikamata nyonyo la Monalisa, lilikuwa ndani ya tishet, kisha akaanza kulipapasa na kukamata chuchu, kisha kuanza kuzichezea kwa kuzi binya binya, na umtekenya Monalisa ambae alishindwa kuvumilia na kujitoa kwa Edgar, “mwenzie na jisilia vibaya” alisema Monalisa kwa sauti yachini, iliyo jinyorolisha, ungesema ya mtoto mdogo, Edgar akacheka kidogo, “unajisikiaje?” aliuliza kwa sauti ya masihara, pengine alisha juwa Monalisa anamaanisha nini, “mwili unachoka, alafu mpaka huku kunatekenya” alisema monalisa huku akionyesha kwenye kitumbua chake, akimalizia kwa kicheko cha aibu, “kwani kutekenya ndio kujisikia vibaya?” aliuliza Edgar kimtego, “ndio, mpaka najisikia kufanya” alisema Monalisa kwa sauti iliyo jawa na aibu, “kufanya nini?” alitania Edgar, uku akiaachia kicheko kizito, huku usingizi ukiwa umesha hama kabisa, “mh! kwani we ujuwi?, mbona ata wewe umesimamisha, atuwezi kufanya huku porini” naam kauri ya Monalisa, ilikuwa kama ndimu kwenye ulimi wa moyo wa Edgar, mana mwili ulisisimk vibaya sana, na kutamani kesho ifike atafute nja ya mjini, “haya lala basi kesho tujaribu kuelekea mjini tukatafute usafiri wa kwenda Songea” alisema Edgar akizania kuwa ni kazi lahisi kuelekea mjini, “Eddy tukifika mjini unataka nikufanyie nini?” aliuliza Monalisa, kwa sauti kama ya kujaribu hivi, maana alimalizia kwa kicheko, Edgar alicheka kidogo tu! na kufanya kama ame guna, sababu alijuwa kuwa jibu alisha litoa mwenyewe Monalisa, “ulichopanga kunifanyia” hilo lilikuwa jibu la Edgar, lililo mfanya Monalisa aachie kicheko cha kitoto, kwa sauti nyembamba, “umejuwaje wakati mwenzio nilipanga toka sikuile ulipo niletea zawadi ya chupi” alisema Monalisa, huku akicheka tena, ikionyeshakuwa binti huyu ambae ni bibi harusi mtarajiwa, alisha sahau kuwa nimcmba wa mtu, “bado unaikumbuka tu!” aliuliza Edgar uku akilishika shavu la Mona na kulibiya kidogo, siyo kwa kumfinya, “ninayo mpaka leo, lakini sija wai kuivaa, mapa imenibana, nitakuonyesha tukifika mjini” alisema Monalisa kwa sauti nyororo yenye uakika, iliyo ambatana na kale kaakicheko kake, wawili hawa waliongea ili nalile, mpaka Monalisa alipopitiwa na usingizi, akimwacha Edgar akiwa macho, anapambana na hali yake, **
Taharifa ya kifo cha Kanjibhai na wafanyakazi wake, ili wastua sana makamnda awa, ambao walishindwa kuelewa nini kimetokea, mpaka jambo hili lime tokea haraka namna hii, “hapana jamani kuna mtu kati yetu yupo nyuma yahili, na nina mtilia mashaka yule kanal Kisona” alisema RPC Ruvuma, na OC FFU wa Iringa akatoa wazo lake, “lakini kama ni yeye, kwanini aliwauwa wale majambazi, baada ya kuwasaidia kutoroka?” ilo lilikuwa ni swali la kupinga, wazo la RPC Ruvuma, “ebu kumbukeni kuwa alileta silaha kumi na moja, na tume waona marehemu kumi peke yake, je mmoja yupo wapi?” aliuliza RCO Iringa akionyesha wasi wasi wake, “inawezekana majambazi, walikuwa na silaha ya akiba” alisema RPC Iringa, “lakini kwa jinsi navyo mjuwa Kisona, nivigumu sana kushiriki ujinga huu” alisema OC FFU wa Ruvuma, hapo walijadiliana mpaka walipo mkumbuka, RCO Ruvuma, “jamani hivi Kingarame yupo wapi?” aliuliza RPC Iringa, wote wakatazamana, itaendelea………hapa hapa

