: BIKIRA YA BIBI HARUSI (50)

SEHEMU YA HAMSINI (50)

ILIPOISHIA SEHEMU YA 49: “haaa! hivi wewe unajifanya ume sahahu kashehe ya awa polisi?” aliuliza Edgar huku ana geuka nyuma kumtazama Monalisa, ambae alimwona kama analeta utani, lakini ghafla Edgar alistuka, na kutumbua macho, “ho! kumbe ulikuwa unataka hivyo” alisema Edgar baada ya kumwona Monalisa akiwa anafungua kishikizo cha suluali ya jinsi, na kukifungua,ENDE
LEA……………..
“geuka bwana nikojoe, mwenzio naona aibu” Monalisa huku anageuka nyuma, kuficha mambo yake, Edgar nae akuwa mbishi, akageuka na kutazama mbele, “unaona aibu ya nini” aliuliza Edgar na Monalisa hakujibu kitu, zaidi ika sikika ‘mwaaaaah!’ inamaana Monalisa alikuwa ana mwaga mkojo, na baada ya sekunde kadhaa, Monalisa alisha maliza kujisaidia na kujiweka tayari, kisha safari ikaanza wakiisogelea barabara , ambayo ilikuwa mita chache toka walipo kuwa wame pumzika usiku kucha,
“kwa hiyo leo tunanda mjini?” aliuliza Monalisa, wakiwa wana vizia kuvuka barabara, “kama tutaweza, tutaenda mjini, na kupata usafiri wa wa kwenda songea” alisema Edgar, huku ana tazama pande zote za barabara, akaona kuwa ni salama, wakavuka na kuamia upande wa pili, kisha wakazama kichani na kutokomea ndani ya kichaka, kisha wakaanza kutembea wakifwata uelekeo wa barabara, akini wakiwa ndani ya kichaka mita kama mia moja toka barabarani. **
Mchongo ulikuwa hivi, Wakina kisona walipo kuwa wwameingia Makambako, na kukaribia kuingia kambini, mala waka mwona kijana mmoja ame jibanza pembeni ya kibanda flani chakavu, waa dharau, lakini mbele kidogo wakamwona mwanamke mmoja akiwa amesimama anasubiri usafiri, “yule ni mke wa polisi mmoja kati ya wale waliolazwa hospital” alisema Kisona, na hapo mzee Mbogo alie juwa kuwa kuna ulazima wa kumsalimia mwana mke yule akapunguza mwendo, ili asimame wamsalimie, “usisimame twende zetu” alisema Kisona haraka haraka, na mzee Mbogo akanyanga mafuta na kuelekea kwenye lango kuu, lakuingilia kambini, na kusimama ili wajitambulishe na kuingia kambini, “inamaana nyie amjaona kinachoendelea pale?” aliuliza Kisona, hapo wakina Katembeo awakuwa najibu, kabla waja jitambulisha, Kisona aka shuka toka kwenye gari, na wale askari wa pale mlangoni, waka mpigia salut, Kisona alijibu kwa kupiga salut, huku ana zunguka nyuma ya gari, akiwaeleza wenzie wasishuke toka kwenye gari, Kisona alitembea kama atua kumi na tano hivi, na kutazama kule waliko tokea, kisona akasimama pembeni ya barabara akikigeukia kichaka na kuanza jifanya kama ana kojoa, huku macho yake ameyaelekeza kule alikosimama mke wa Mapombeka, kweli aka mwona mwanamke yule mjamzito, akiwa ame simama pale barabarani, akiendelea kusubiri usafari, mala likapita gari mmoja, ila mwanamke huyu alishindwa kupanda gari hili, sababu lilikuwa limejaa sana, ikawa hivyo kwa gari lililo fwata, ambalo ni kama yaliongozana na lile la mwanzo, hapo Kisona akamwona yule mwanamke anaanza kutembea taratibu kuelekea upande wa mjini, lakini ile alipo kivuka kile kibanda tu! akamwona yule kijana alie jibanza kwenye kibanda chakavu akijichomoa na kuanza kumfwatilia kwa nyuma mke wa Mapombeka.
Kisona akarudi kwenye gari, haraka sana, “Katembo, acha silaha toka kwa uangalifu mkubwa sana, mfwatilie yule dada mjamzito, na ukae ukifahamu kuna kijana mmoja anamfwatilia, nandie ambae unataiwa umfwatilie, kama kuna dharura tumia hii” alisema Kisona huku ana mpatia bastora, “sisi tukitoka hapa tuta kufwata, umakini wa hali ya juu uaitajika” alisistiza Kisona, na Katembo ambae alilazimika kutumia mavazi yake ya kijeshi, baada ya kukosa mavazi ya kiraia, akaondoka malamoja, kuelekea kule alikoelekezwa, akiwaacha wakina Kisona, wakiingia kambini, na kufanya utaratibu wa kuwaona wagonjwa ambao waliwakuta wanazidi kupata uangalau, pia waka elekea store kuchukuwa mafuta na chakula chao cha mchana, kisha waka jipanga kuelekea mjini kumfwata Katembo. ***
“inamaana huyu mmshnzi aliingia ndani ya kambi hili, na kuiba magazine za risasi?” aliuliza Kingarame, kwa mstuko mkubwa mkubwa sana, nikama aikuwa na uakika kuwa alie kuja ni mtu mmoja, “unasema alikuja, hapa tuna pambana na majambazi au jambazi” aliuliza RPC Ruvuma, kwa mshangao, hapo Kingarame akajuwa kosa alilofanya, maana yeye alikuwa anajuwa fika kuwa, jambazi anae tafutwa hapa ni Edgar peke yake, hakuna jambzi mwingine yeyote, anae tafutwa, labda ni Monalisa ambae anatakiwa auwawe, kwa kuficha siri, “ni Kiswahili tu! namaanisha wao” alisema Kingarame, huku akijaribu kujichekesha kama mjinga, mbele ya makamanda wenzake, waliokuwa wana jadiri tukio la jana usiku, la kuingiliwa na majambazi.
“Haya jamani tusipoteze muda, wakati tuna wasubiri mbwa toka Iringa, nazani huu ni wakati wa kuondoa vikundi vielekee porini, kabla awa washenzi awajafika mbali” alisema RPC Iringa, kisha hapo ikafwata ugawayaji wa vikundi, vitakavyoelekea porini, kuwasaka wakina Edgar, lakini leo aikuwa kama jana, leo walipanga vikundi viwili, kimoja kiliongozwa na ASP Ogwambo, akisaidiwa na sajent Idd Kibabu, wakati kundi la pili, liliongozwa na ASP Msengi, akisaidiwa na koplo Lusinde, kila kundi likiwa na askari ishirini ongeza hao viongozi wawili, kila kundi.
saa moja na nusu, ndio muda ambao vikundi hivi viwili viliondoka kuelekea porini, wote wakianzia ile sehemu ambayo walikuta vyombo vya chakula, hapo waliteuliwa askari wawili wenye uwezo wa kufwatilia alama za miguu, toka kwenye kundi la Ogwambo, ambalo lili anza kufwatilia nyayo zilizo vuka barabara ile ya vumbi na kuanza kuelekea magharibi, yani pembeni mita mia toka barabarani, “nyie wawili ebu nedeni kambini mka toe taharifa kuwa watu awa wanaelekea barabara kuu,” alisema Ogwambo, na hapo askari mmoja mwenye mbio aka kimbilia kambini kwenda kutoa taharifa hile lengo likiwa ni kuwawai majambazi hao, wasiweze kutoroka, Wakati huo kundi la pili la ASP Msengi, lilikuwa lina elekea kusini zaidi, ndani ya msitu,**
Naam taharifa za kuwepo kwa msako wa majambazi, ndani ya misitu ya Njombe na Makambako, ziisha samba sana, vyombo vya habari ziliandika na kutangazana sana habari hizi, jina lililo tajwa sana ni LIBRA STAR SEVEN , walimu na wanafunzi wenzie wali srushwa sana na taharifa hile, na kuona ni mapicha picha, na kilicho washangaza zaidi, ni taharifa ya kutekwa kwa Monalisa, na jambazi huyo, sasa yalikuwa ni maongezi mijini, wote wakitegeneza makundi, ya mjadala, wengine wakidai inawezekana kuwa nikweli Edgar jambazi, lakini wengine walisema kuna mchezo mchafu unachezwa juu ya kijana huyu,***
Ndani ya mji wa Makambako, Katembo alkuwa bado ana mfwatilia kijana mmoja alie valia nguo zakiuni uni, alie kuwa ana mfwata mke wa Mapombeka, alimwona kijana huyu akiendela kumfwatilia dada huyu mjamzito, alie kuwa anatembea kwa mguu, wakikatiza mitaa na chochoro, za mtaa huu wa Kiswahili, mpaka yule dada mjamzito, alipo ishia kwenye nyumba moja kubwa kihasi na kufungua malango kisha aka ingingia ndani, Katembo aliweza kumwona yule kijana akienda kujibanza kwenye ubavu wa nyumba ile, akionekana kutafuta njia ya kuingia mle ndani,
Wakati huo huo Katembo alie jibanza kwenye chochoro ya nyumba moja wapo, umbaliwa mita kama hamsini, toka kwenye nyumba hile aliyoingingia mke wa mapombeka, ghafla aka stuka kumwona Kisona akija kutokea nyuma yake, “nazani umepata habari kamili” alisema Kisona, na hapo Katembo aka msimulia Kisona kinachoendelea, huku akimwonyesha yule jamaa alie jibanza upenuni mwa nyumba ya Mapombeka, na sasa alichomoka haraka na kuingia ndani ya nyumba ile, akifungua mlango kwa tahadhari kubwa sana, ni kwamba akutaka mtu yoyote asikie kama alikuwa anafungua mlango,****
Huku porini kwenye kambi ya polisi, baada ya kupata taharifa ya kuwa, majambazi wanaelekea upande wa barabara kuu, SSP Kingarame alichukuwa jukumu la kwenda kupambana, na makamanda wenzake awakumzuwia, waka ruhusu aondoke pamoja na askari kumi kwenye magari mawili, awakujuwa kama lengo la kamanda huyu, nikuiwai tape na kufuta ushaidi , kwa kuwaangamiza wakina Edgar, maana kuwepo kwao hai ni sawa na kujipalia makaa, nay ye kuishia jela, “tuna kutakia kazi njema, ila tunaomba utupatie taharifa kwa kila hatua” alisisitiza RPC toka mkoa wa Iringa. dakika chache baadae, Kingarame na msafara wake, ukaondoka kuelekea pande wa barabara kuu, huku askari wakiwa na bunduki zao, walionekana wakining’inia nyuma ya magari hayo, yaliyo tembea kwa mwendo wa hajabu, knuna kitu unatakiwa kujuwa, Kingarame alichagua watu wake tu, yani askari ambao uwa anashirikiana nao kwenye ishu zake za uarifu, **
Njombe mjini, saa mbili asubuhi, ndani ya Serena Hotel, mambo yalikuwa mchanganyiko, baba na mama Monalisa walikuwa chumbani mwao kwenye gorofa ya tatu, walisha fumbua macho ya, japo walibakia kitandani, “sijuwi mwanangu atapatikana lini?” aliuliza mama Monalisa kwa sauti ya kinyonge, “mke wangu wale maafande wamesema leo hii watampata” alisema baba Mnalisa, na wakat huo wakasikia mlango unagongwa, akaamka baba Monalisa, na kwenda kufungua mlango, akiwa amejifunga tauro.
Macho yake yaka kutana uso kwa uso na dada mhudumu, akiwa na tray la kifungua kinywa, ni yule alie mwona akiingia chumbani kwa Erasto, jana asubuhi, baba Monalisa akapokea, na yule mhudumu akaondoka zake, huku mzee Anderson akimsindikiza kwa macho, makali ya hasira na chuki, kihasi cha mke wake kumshangaa, “we mwanamume, mbona umeonyesha kumchukia hivyo dada wawatu?” aliuliza mke wa Anderson, mala tu baada ya mhudumu kuondoka, na mzee huyu kufunga mlango, “kuna kitu ukijuwi endapo ungejuwa sijuwi ungefanya nini” alisema mzee Anderson, huku ana weka mezani trey ya vifungua kinywa, “kitu gani tena baba Mona, unajuwa sikuelewi, naona tu sikuhizi umebarika” alisema mama Monalisa, huku ana jinyanyua toka kitandani, na kuelekea bafuni, akiwa kama alivyo zaliwa, na kumfanya mume wake tauro lidondoke, “we ngoja tu! si tupo hapa, utajionea mwenyewe kinacho endelea” alisema baba Mona huku ana mfwata mke wake bafuni, kisha aka mkumbatia kwa nyuma, dudu yeke iki yagusa makalio ya mke wake, ambae nikama alisisimka kidogo na kujichekesha kivivu, “ngoja kwanza nikojoe bwana” alisema mama Mona huku ana jipapatua taratibu kwenye mikono ya mume wake, kisha aka chuchumaa kwenye sinki la choo na kuanza kushusha mkojo,
Huko bafuni atukujuwa kilicho tokea, lakini nusaa baadae walikuwa wanashuka ngazi, kuelekea chini kutafuta supu, ni baada ya kushindwa kunywa chai, wawili hawa, walitembea taratibu mpaka kwenye ukumbi wa chakula, walishangaa kumkuta dereva wao akiwa ame kaa mahali pale, nao wakajiunga nae, “vipi na wewe ume amka mapema?” aliuliza mzee Anderson, bada ya kukaa, “boss yani kama jana, kwakweli chumbani amkaliki kabisa” alisema dereva, akishindwa kufafanua, mbele ya mama Monalisa, ambae akuwa anajuwa lolote, “hahahahaha! naleo tena?” alicheka Anderson, akiambatananisha na kicheko, “siyo leo tena, tikea usiku” alisema tena Dereva, “hapa akuna kitu, ngoja tuwasaidie vipofu na wenyewe waone” alisema baba Monalisa wakati wanasubiri supu zao walizoagiza muda mfupi uliopita, “ebu kwanza nikapige simu nyumbani, kuulizia kama Mona amepiga simu kule” alisema mama Monalisa, ambae aliona kama mazungumzo ya mafumbo, kati ya mumewe na dereva, haya kumhusu, “lakini si tumesha wapa namba ya hapa, kama kuna lolote wata tujulisha” alikumbusha baba Mionalisa. **
huku nako pasipo kujuwa wana fwatiliwa, Edgar na Monalisa walitembea kwa muda wa lisaa limoja, wakitembea kilomita tatu, mala kwambali wakaliona gari kubwa la mizigo, likiwa lime simama barabarani, hapo wakajuwa ni nafasi ya wao kupata usafiri wa kwenda mjini, “twende tuwai tuka pate lift, alisema Edgar, huku wakibadiri uelekeo na kuelekea upande wa barabara, kulifwata lile gari ambalo sasa walianza kuona watu kadhaa wakiwa wamezunguka lile gari, na mmoja wao akifungua tairi moja, ikionyesha kuwa walikuwa wanabadiri tairi lililo toboka, “ebu nisubiri hapa nikaongee nao kwanza” alisema Edgar akimweleza Monalisa, kuwa atulie kichani yeye akaongee na wale wenye gari, huku akiacha smg pale kichakani kwa Monalisa, alafu aka elekea kule liliposimama gari.
Lakini kabla ata ajalifikia lile gari, ghafla zika sikika ngurumo za magari, zikija kwa ujo tokea nyuma yao, ile anageuka, tayari magari mawili yapolisi, haya hapa nyuma yake, mita kama mia moja hivi, tena yana askari nyuma yake wenye bunduki, ambazo kwa gari la mbele tayari ilikuwa imesha mwelezezea, itaendelea……… hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!