
SEHEMU YA HAMSINI NA MOJA(5I)
ILIPOISHIA SEHEMU YA HAMSINI (50): Lakini kabla ata ajalifikia lile gari, ghafla zika sikika ngurumo za magari, zikija kwa ujo tokea nyuma yao, ile anageuka, tayari magari mawili yapolisi, haya hapa nyuma yake, mita kama mia moja hivi, tena yana askari nyuma yake wenye bunduki, ambazo kwa gari la mbele tayari ilikuwa imesha mwelekea, endelea………
Huku watu walio kuwepo pale garini wakiyatazama magari hayo ya polisi, yaliyo kuwa yana kuja kwa kasi ya hajabu, Haraka sana Edgar akajipapasa kiunoni, na kuikamata bastora yake, lakini kwa mahesabu ya haraka akajuwa kuwa, asinge weza ku fanya lolote, “mwanangu hatua ya kwanza ya kumkwepa adui, ni kutafuta maficho” Edgar alikumbuka maneno ya baba yake, wakati ana mfundisha kuwinda, hapo kitendo bila kuchelewa Edgar aka jirusha kichakani, mithiri ya golikipa wa timu ya mpira wa miguu, na wakati huo huo ilifwatia milipuko mfurulizo ya risasi za SMG, toka kwenye mitutu ya Sub Machine Gun za polisi, na kudondokea kwenye mtaro wapembeni ya barabara, ulio funikwa na nyasi nyingi sana, huku anasikilizia kelele za wale jamaa walio kuwepo kwenye gari, ikionyesha bahadhi yao wame tandikwa risasi, huku milipuko ya risasi ikiendelea kulindima, akiwa pale kichakani sasa EDGAR akaichomoa bastora yake, na kuielekeza barabarani, kule ambako magari ya polisi yalipo kuwepo, lakini alisha chelewa, maana sasa risasi ziliznza kuja upande wake, aka bonyea chini na kuchukuwa over head cover, na kusikia risasi ziki chimba karibu yake, na nyingine zikipita juu yake, “tyuuuuu tyuuuuu”
Edgar aka mkumbuka Monalisa kule alikokuwepo, akiwaza kama risasi azikuwa zina mfikia, aka tazama upande aliokuwepo Monalisa, japo hakumwona, lakini aliweza kuona karibu na pele risasi zilikuwa zina gonga na kutibua vumbi, Edgar akaona akizumbaa itakula kwake, hivyo aka tambaa chini kwa chini akifwata ule mtaro, kuelekea upande wa mahashariki yani waliko tokea, huku mashambulizi ya risasi yakiendela kuchimba ile sehemu aliyotoka.
baada ya kuakikisha amesha iacha harck of fire ya wale mapolisi, aka inuka na kuiweka vizuri bastora yake, akimlenga mmoja wa polisi waliokuwa wana shambulia, kisha akakamua trigger na kuruhusu hammer kugonga firing pin iliyo sogea kwanguvu na kubonyeza primer iliyopo kwenye kitako cha risasi, iliyo sababisha mkandamizo wa baruti, kwenye ganda la risasi, mkandamizo ulio sababisha joto kali ndani ya ganda la risasi hilo, na kuilipua baruti, na kufanya kichwa cha risasi kichomoke, kawa sspeed kali kuelekea kwenye kichwa cha askari alie lengwa, ikiingiaa karibu na panda la uso ikivuruga ubogo na kutokea upande wapili ikiambatana na ubngo ulio ambatana na chembe chembe za damu, ikitawanyika na kuwa rukia akari wengine walio kuwa pembeni ya yule askari, ambao walistuka na kumtazama mwenzao kwa mshangao, kwa macho ya mshangao wakimshuudia akiangukia mle kweny gari, ile kufumba na kumbua wawili wengine walisha kuwa kama mwenzao, hapo ukatokea mtafaruku, na kuanza kuruka toka kwenye gari, pasipo utaratibu, huku wenzao wa gari lapilli wakiacha kushambulia na kuwa tazama wenzap waliokuwepo kwenye gari la Kingarame, jinsi walivyo kuwa wana angaika.
Edgar akatumia nafasi hiyo kuchomoa pale alipo kuwepo, na kukimbilia pale alipouwepo Monalisa, akamkuta amejikunyatachini akiogopa risasi, ambazo zilikuwa zina tuwa mita chache pembeni yake, “hapo Edgar akaichakuwa Smg yake kwa mkono wa kulia na kulala mbele ya Monalisa, akiuelekeza mtutu kule kwa polisi, yani barabarani, na kuwatazama wale polisi, akawaona wanaangaika kuwa weka vizuri wale marehemu.
Edgar akainuka na kumshika mkono Monalisa, akimnyanyua na kuanza kuondoka, wakielkea waliko toka, pasipo kujuwa kuwa kuna askari wengine walikuwa mita chache wana kuja kuliko tokea milipuko, ***
huku Njombe nako, pasipo kujuwa kama kuna mtu alikuwa ana mfwatilia toka maeneo ya Tazara, mke wa Mapombeka, aliingia chumbani kwake na kubadiri nguo kwaajili ya kwenda kuoga, akiwa ana furaha ya kuona mume wake anapata unafuu, akatoka nje ya chumba chake na kuingia sebuleni kwake, ili aingie bafunni, lakini ghafla akamwona mtu anafungua mlango wake wakuingilia ndani na kuzama ndani, hapo mke wa mapombeka alimtambua mala moja yule mtu, kuwa ndio kati ya wale watu walio mvamia sikuile akasaidiwa na Isaya, ambae aligundua kuwa nae alikuwa ni mmoja wa vijana hawa, “kabla sija tumbua hilo tumbo lako niambaie yule mshenzi alie kusaidia jana yupo wapi?” alisema yule kibaka wajana, huku akimsogelea kwa kasi mke wa mapombeka na kumkamata na kumsukumia huku tani, akimbana shingo, hapo mke wa mapombeka akahisi pumzi zinakata, “nasema niambie yule kijana alie kusaidia jana, yupo wapi?” aliuliza tena yule jamaa, akizidi kumkandamiza ukutani, kiasi cha mama huyukuona tumbo likipatwa na uchungu wa hajabu, huku akishindwa ata kutamka neno moja, lakini ghafla wote wawili wakasikia, “sasa atakujibuje wakati ume mkaba?” Elisha aka stuka na kumwachia mke wa Mapombeka, ambae alipata uafueni na kupitisha hewa kwenye koo lake, huku Elisha anageuka nakumtazama alie mwuliza swali, lakini alicho kutananacho ni zaidi ya baraha***
Huku nako Edgar na Monalisa waliendelea kukimbia kuelekea upande wa walio tokea, yani mashariki, lakini baada ya mita chache waka tahamaki kundi la Ogwambo likiwa mbele yao mita miambili, likija kwao kwaspeed ya juma ikangaa, duh! wadau hii ni story ya miaka ya 1997, nitajiataidi nikuletee kama ilivyo kuwa………. itaendelea……….. hapa hapa
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU