: BIKIRA YA BIBI HARUSI (55)

SEHEMU YA HAMSINI NA TANO (55)

ILIPOISHIA SEHEMU YA HAMSINI NA NNE (54): “ebu nikupeleke chumbani” alisema mke wa Anderson na kuanza kumkokota mume wake kuelekea ndani ya jengo kubwa la hotel, huku mke wake akiingiwa na wasi wasi mkubwa juu ya afya ya mumewake, Lakini hali ilibadilika baada ya kufika ghorofa ya pili, akashangaa kumwona mume wake, akijitoa kwenye mikono yake, huku anatabasamu, mke wake akashangaa, ENDELEA……….
“ndio nini sasa, mbona umekuwa navituko sana we mweanaume?” aliuliza mke wa Anderson kwa sauti iliyonjaha hasira, lakini baba Monalisa alicheka kidogo, huku akigeuka nyuma na kuchungulia ghorofa ya chini, “we tulia kwanza uone mchezo uanvyo kwenda” alisema baba Monalisa, huku mke wake nae akigeuka na kuchungukia kule chini, “mchezo gani mbona sioni kitu?” aliuliza mama Mona, ni kweli akuona kitu, “tulia kwanza usiwe na haraka” alijibu baba Mona na wote waka tulia.
Baada ya kutulia kama dakika tano hivi pasipo kuona kitu chochote, mama Monaaka mgeukia mume wake, “unajuwa baba Mona pombe zimeshaanza kukushinda, ebu twende turudi kwa wenzetu” alisema mama Mona, ambae akujuwa wapo hapa kwaajilli gani, “we! subiri kidogo bwana, mbona una haraka sana” alisema baba Mona aliekuwa anaendelea kutazama kule chini, “bwana hee! minashuka kule chini, ikiwa tayari utaniambia” alisema mama Mona, huku anaondoka kushuka chini, baba Mona aka mdaka mkono, “subiri kwanza utaharabu ebu tazama kule” alisema baba Mona, kwa sauti ya chini, kama ya kunong’ona, hapo mama Mona nae akatulia na kutazama chini, akamwona Erasto ana tembea taratibu kuelekea upande wqa chumba chake kilipo, “nini sasa mbona sioni kitu?” aliuliza mama kwa sauti kama ya mume wake, yani ya kunong’ona, “we mwangalie tu huyo mkweo” alijibu baba Mona, huku wakiendelea kumtazama Erasto alie kuwa anaelekea chumbani kwake, mpaka alipofika kwenye mlango wa chumba namba kumi nasita, kisha akasimama na kutoa unguo, wakti hu9o huo mlango wa chumba namba kumi na nane, ukafunguliwa akatoka binti mmoja mrembo kweli kweli mwupe wakichotara, alie jitnda nguozake mpaka kicwani akiachia usowake wa duara ukionekana, hapo Erasto akaacha kufungua mlango wake na kumtazama yule binti,
Bababa na mama Mona walitulia wakimtazama, japo awa kusikia maongezi ya mkwe wao na yule binti wa kichotara, lakini waliona kama vile Erasto anamsemesha yule binti, ambae nikama hakumjari, akaendelea nasafari yake, Erasto akimsindikiza kwa macho, yule binti alie elekea nje ya jengo la hotel, huku akipishana na dada muhudumu ambae sasa alivalia nguo za kawaida nasiyo sale za kazi, akamfwata Erasto pale mlangoni, ambae alijifanya kuwa busy akifungua mlango baada ya kumwona muhudumu huyu ana kuja, mpaka hap mama Mona akastuka, akionyesha kubadirika uso wake, kwa mshangao, maana yake alianza kuhisi kinacho endelea, na alizidi kuduwaha na kuhamaki baada ya kushuhudia Erasto na yule mwanamke ambae toka wamefika hapa serena, uwa abanduki, hapa hotelini, ata pale muda wake wakazi unapoisha, tofauti na wenzake, wakiingia ndani ya chumba namba kumi na sita, chu,mba ambacho kilichukuliwa kwaajili ya Erasto,
Mmama yake Monalisa aka mtazama baba Monalisa kwa mshangao, “yani…. yani …. baba Mona unayajuwa haya mambo?” aliuliza mama Monalisa kwa sauti ya mashangao wa fumanizi, siyo mimi tu… ebu subiri kidogo” alisma baba Mona huku wote wakigeuka kuwatazama watu wawili waliokuwa wana funga mlango wa chumbachao pale ghorofa la pilichumba namba 28, kisha waka wapiti pale walipokuwa wamesimama wkiwasalimia na kuelekea kwenye ngazi kisha wakashuka zao, walikuwa ni mke na mume wnye hasiri ya uarabu ulio anza kufifia, waliovalia kistaharabu, mke akivaa kama yule binti alie tokea chumba namba kumi na nane, “unataka kuniambia huu mchezo ume umeanza toka jana?” aliuliza mama Monalisa, kwa sauti ile ile ya mshangao “siyo jana bwana toka siku tuliyo fika” alisema baba Mona huku wana geuka kutazama kule chini, “hakooo kanatoka” alisema baba Monalisa, baada ya kumwona yule dada mhudumu anatoka mle chumbani na kuelekea upande wanje ya hotel, “mh!kumbe una msingizia, mbona ametoka?” alisema mama Monalisa, akionyesha kupata uafadhari, “we! subiri, ujionee, mbon hilo ni cha mtoto” alisema baba Monalisa na mke ake akatulia, akionyesh kupata shahuku ya kujuwa kinacho endelea, **
“itakuwa ni pale pale alipo uwawa Isaya” alisema mkuu wa polisi mkoa wa Ruvuma, hukuwote wakiwa katika butwaha, “ebu tuwai huko pengine ni raia tu alie uwawa” alisema RPC Iringa na hapo wakaingia kwenye magari yao na kuondoka mbio mbio, kuwai sehemu waliyo elekezwa, huku Kisona akiwafwata nyuma kabisa, “inawezekanaje mauwaji yatokee, mfurulizo namna hii, wakati mpaka sasa tuna pambana na mtu mmoja tu?” aliwaza RPC Ruvuma, wakati akiwa njiani ndani ya gari lake, jibu lake lilijibiwa na RPC Iringa alie kuwa anawaza ndani ya gari lake lililo kuwa la pili katika msafara, nyuma ya gari la RCO Iringa, “kama msipo mpata mhusika harisi, m6taendelea kushuhudia vifo vingi vya askari wenu” RPC Iringa aliyakumbuka maneno ya Kisona, “yule siyo chizi, ana hakiri zake timamu na anajuwa kinacho endelea” aliwaza RPC Iringa,
Kisona akiwa nyuma kabisa ya msafara huu, alishuhudia ukisimama pale pale walipo utupa mwili wa kijana Elisha, alie jaribu kumshambulia mke wa Mapombeka, kule Mkambako mjini, ambapo sasa waliweza kuwa ona vijana kadhaa wa liovalia nguo chakavu za kiraia wakiwa wamezunguka sehemu moja, “sasa wata funguka hakiri” alisema kisona, akiwaambia wenzake mle ndani yagari, ambalo sasa liliisha punguza mwendo wakitafuta sehemu ya kuliegesha, mzee Mbogo aliposimamisha gari, Kisona na mzee Mbogo mwenye wakashuka nakuelekea kule kwenye mwili wa Elisha, ambako makamanda nao walielekea, wakiwaacha wakina Katembo na askari wengine wakijipanga na kuzunguka eneo lile wakifanya kama namna flani ya ulinzi, tofauti napolisi wenzao waliokuwa wamebakia kwenye magari hukuwengine wakishuka na kuwafwata wakubwa wao.
“jamani huyu kijana ame kutwa na nini tena?” alipayuka OC FFU, kwa sauti iliyo jaa mshangao na uchungu mkubwa sana, huku akijishika kichwa kwa mikono yote miwili, kihasi cha kuwa shangaza makamanda toka mkoa wa Iringa, “kwani nahuyu nae ni askari?” aliuliza RPC Iringa, kwa mshangao, huku akimtazama OC FFU, “ndiyo huyu ni asakri wetu toka Songea, na ni mmoja wa askari anae shiriki peration hii” alisema RPC Ruvuma, kwa sauti iliyo jaa huzuni kubwa, “poleni sana makamanda” alisema Kisona, baada ya kusogelea pale walipo kuwepo makamanda awawa polisi, ambao wali mgeukia nakumtazama pasipo kutoa jibu, kisha waka tazamana wenyewe, ni kwamba waliona kama Kisona anawasanifu, maana ni muda mchache ametoka kusema kuwa wataendelea kupokea taharifa za vifo vya askari wengine.
“Jamani mbona sielewi jinsi haya mambo yanavyo enda?” aliuliza RPC, Iringa kwa sauti ya juu iliyo jaa ghazab, hapo wenzake wakatuli kimya, ni kama awakuelewa kamanda huyu alikuwa anaongelea nini, “unakuwaje askari alie kuwa kwenye opration ana kutwa amekufa kama hivi, tena amevaa nguo chakavu za kiraia, tuseme na huyu alikuwa anaenda kutafuta wanawake mchana kama huu?” aliuliza RPC Iringa, ambae sauti yake ilionyesha wazi kuwa amechoshwa na matukio ya kushangaza yanayo endelea.
Wakati huo huo barabara kuu mita mia mbili toka pale walipo kuwepo wao, likaonekana gari la polisi, aina ya Toyota Land cruzer likikatizakwa fujo, likitokea upande wa Njombe na kuelekea Makambako, likiwa na asakari watano nyuma, wenye silaha zao, lakini lili onkana kusimama kwa break za ghala na lkupiga Uturn likirudi liliko toka na kukata kona kushoto, kuingia kwenye njia ile ya vumbi, na kusimama pale walipo kuwepo makamanda, Kisha akashuka SSP Kingarame na kuwasogelea wenzake, “ebuona asubuhi tume mkuta Isaya na sasa huyu simjuwi ata jina, hivi kuna nini kinaendelea?” alisema RPC Iringa kwa sauti ya ukari, hapo Kingarame akajuwa kuna tukio ambalo lina fanana na lile la asubuhi limetokea, hapo mapigo yake ya moyo yakaenda kama mbio za farasi, akizingatia kuwa kuna mtu alikuwa anaenda kumfwata Makambako, alie mpa kazi ya kumfwatilia Isaya, kabla ajajuwa kuwa tayari meuwawa, “huyu anaitwa Elisha, ni PC Elisha polisi CID, kama yule alie uwawa asubuhi” alifafanua OC FFU, na kukifanya kichwa cha SSP Kingarame kichemke kama vile kuna wadudu ndani ya ubongo, mchemko ambao ulisababusha tumbo la Kingarame liungurume na ku8ujaza hewa, ambayo aikuwa na sehemu ya kutokea, zaidi ya kwenye makalio ya mtu mzima huyu, ambae valve zake zilishindwa kuzuwia na kuachia hewa hii itoke kwa mkupuo mmoja , ‘puuuh!’ maana hali ilikuwa tete upande wake.
“Ona sasa, tunashindwa kuwana awa ma ASP, iliwawe makini askari wao” aling’aka RPC Iringa, na hapo Kingarame akaona afadhari, maana mzigo wanasukumiwa wale maafisa wadogo, maana endapo ingebainika kuwa Elisa ni mmoja wa askari ambao alikuwa nao yeye, angaetiliwa mashaka mala moja, na maswali yange kuwa mengi, na pengine kubainika mchezo wake mchafu anao ucheza, “niuzembe mkubwa, yani nimtu wapili huyu tuna mpoteza kwa mtindo huu” alisema Kingarame kwasauti iliyoonyesha uchungu wa hali yajuu sana.
Lakini wakati huo huo kisona aka jikohoza kidogo, kuomba anttaition ya wale makamanda, ambao walimtazama, huku Kingarame akiwaza la kwake, “pumbavu, kumbe huyu mzimu kumbe yupo hapa?” nikama macho yao yalikutana, na kisona akatabasamu, “ndio bwana kisona unalolote la kuongea?” aliuliza RPC Iringa, huku akimkazia macho Kisona, “yha! lipo ila kama mlishinwa kujuwa mala ya mwisho yule marehemu wa asubuhi alikuwa na nani, basi ata huyu mtashindwa kujuwa imekuwaje yupo hapa n alikuwa wanafanya nini mpaka kifo kikamkuta, maanainaonyesha marehemu amekufa na siri nzito” hapo makamanda wakatazama tena, huku Kingarame akizidi kujawa na mashaka moyoni mwake, “itajullikana vipiwaktiaskari wanatawanyika ovyo cvyo, kuwqsakamawa majambazi?” alijibu Kingarame. jibu ambalo kwa haraka haraka ungezania kuwa ni kweli lilikuwa sahihi, “lakini akuna askari asie na kikundi, na hakuna kikundi ambacho akina mkuu wake, mfano kwa huyu RPC, anagari lake na askari wake, hivyo je atakama RPC asipo wakalili askari wake, itashindikana askari kutambuana kuwa nipo na falani na falani?” jibu hili lakisona lili wafanya wale makamanda waitikie kwa vichwa vyao kulikubari, huku Kingarame akionekana kupepesa macho, kama vile amefumaniwa anafanya kitendo cha ushirikina, “tena ata kwa wale wapolini, lazima watakuwa wanajuwana tu!,” alisema RPC Iringa, kisha aka mtazama OC FFU wa Iringa, “ebu OC FFU fanya hiyo kazi leo, mpaka usiku nataka kujuwa, awa askari wawili walikuwa kundi lipi, na kiongozi wao alikuwa nani” alimaliza RPC Iringa, na baadae yakatolewa maelekezo kuwa, mwili wa yule askari upelekwe Njombe.
Wakwanza kuondoka eneo lile alikuwa ni Kisona na askari wake, akifwatiwa na OC CID Ruvuma alie beba mwili wa PC Elisha, yani sisi ni wazembe kweli kweli, ona askari wetu walivyo lundikana kwenye magarri, muda wote, wenzao wa tano tu wame zunguka eneo lote hili, wanafanya ulinzi” alisema kwa hasira RPC Iringa huku wanaingia kwenye magari yao na kuelekea kule kwa akulima, akiwepo Kingarame ambae, sasa alisha ghairi kuelekea Makambako, sababu tayari alie taka kumfwata amesha mwona, “lazima nifanye jambo kubwa sana, ili niwaondoe awa jamaa huku porini, kabla mambo yaja haribika” aliwaza Kingarame, kishaakatulia kwa sekunde kadhaa, alafu akamtazama Hokololo, “jioni naitaji unitafutie ile sumu, kama tuliyo mpatia Isaya, ili tufanye jambo ambalo serikali ita amrisha watu wote watajao salimika, warudishwe mjini na kuachana na hii operation” duh! kwa wazo hili la Kingaarame, ata Hokololo alistuka kidogo, “hapo King utakuwa umefanya jambo la maana, alafu tunaimalizia opretion kiulaini kabisa” alisema Hokololo, akadakia Kingarame, alafu tuna enda Songea, kugwana mzigo” alisema Kingarame kabla alija mjia wazo jingine, “ila inabidi tuwe namakini na OC FFU, akabla aja gundua kama tulikuwa na awa wakina Isaya” ***
Ndani ya pori nene lenye mabonde miinuko na miti mikubwa sana, iliyo ambatana na nyaji z wastani, Edgar na Monalisa, walikuwa wanatembe taratibu, kutokana na uchovu waliokuwa nao, wakielekea upande wa kusini mashari, kibaada ya kutembea kwa masaa zaidi ya tano, Edgar alie kuwa sambamba na Monalisa, alimtazama mwanamke huyu, usoni, kamwona akiwa busy ana tembea, akatabasamu kidogo, ikionyesha kuwa kunakitu alikuwa anawaza kijana huyu, ambae ali shusha macho yake mpaka kwenye kifua cha Monalisa na kuyatazama ziwa mazuri ya mwanamke huyu mrembo, yaliyoonekana vyema yakiwa yame simama, ndani tishet, iliyo valiwa kwa siku tano, “mbona unanitazama hivyo?” aliulizaa Monalisa, huku anatabasamu,lakini Edgar akujibu kitu, zaidi alinyoosha mkono, wake kwenye kifua cha Monalisa, na kuligusa ziwalililo simama la binti huyu mchumba wamtu, “ziwa langu zuri hen!?” aliuliza Monalisa huku anautoa mkono wa Edgar kifuani kwake, pasipo kujuwa kuwa, mita chache nyuma yao, kuna kundi la polisi linakuja na mbwa waliokuwa wanafwatilia nyayo zao,
“zuri sana, mchumba wako ata faidi sana” ilimtoka Edgar kwa utani, lakini ilikuwa tofauti kwa Monalisa, “kwani unajuwa kuwa nina mchumba?” aliuliza Monalisa kwa mshangao, swali ambalo lili mstua Edgar, kuliko Monalisa alivyo fikilia, “kwani una mchummba” aliuliza Edgar kwa mshangao, akiwa anasimama macho yake yame mkodolea Monalisa, ambae nae alisimama na kumtazama Edgar, akionyesha kuwa amjuwa kosa alilo lifanya, “ndio samahani lakini sija kuambia” alisema Monalisa akikwepessha macho yake yasi tazamane na macho ya Edgar, alie onekana kuduwaa kwa tahalifa zile, walisimama kwa sekunde kadhaa, kisha Edgar akaanza kutembea kusonga mbele, akifwatiwa na Monalisa, ambae nikama aliingiwa na simanzi, akijuwa swala lile lita muumiza sana Edgar, alie jitoa kwa kihasi kikubwa, kuokoa maisha yake, na yeye mwenye kuingia kwenye matatizo ya kuitwa jambazi,
Waliembea hatua kadhaa, wakiwa kimya kimya, kila mmoja akiwaza la kwake, wakati Edgar akiwaza hivi “sijuwi ninani huyu alie niwai kwa demu mkali kama huyu?” Mona nae alikwaza lakwake, “sijuwi kwanini nime mwambia,” wakati Mona ana awaza hayo, alimwona Edgar akimtazama usoni, huku anatabsamu, lakini ni wazi tabasamu hili lilikuwa ni lakulazimisha, “mchumba wako mwenyewe ni nani?” aliuliza Edgar, na hapo Monalisa nae akatabasamu, lakini lakulazimisha kama mwenzie,**
Lakini wakati wakina Edgar wanaendelea na maongezi yao, nyuma yao mita kama mia nne, mbwa walioshikiliwa na polisi, walikuwa wanazidi kuongeza kasi ya kutembea na kufanya vurugu wakitaka waachiwe toka kwenye kamba zilizo wafunga shingoni mwao, “watakuwa karibu yetu, ebu waachieni hao mbwa,” alisema kiongozi wa kundi la mbwa awa, ASP Kapwapwa, na wale polisi wakawaachia mbwa wote wanne, ambao walianza kutimua mbio kuelekea kusini mashiriki, na polisi wenye bunduki zao wakiwafwata nyuma yao mbio mbio, japo kila hatua walizidi kuwaacha, na mbwa wali zidikutokomea mbele, huku wana bweka kwa fujo, ***
wakiwa awana habari ya mbwa Edgar alisubiri jiibu toka kwa Monalisa, “au ni siri yako jina la mchumba wako” aliuliza Edgar huku akiendelea kutembea taratibu, “hapana, siyo siri, ata wewe mwenye una mjuwa, ni Erasto Misago, hapo Edgar akapatwa na mstuku ulio mpunguza nguvu, na kuhisi magoti yake yana nyong’onyea, wakati huo huo akasikia mibweko ya mbwa, iki sikika kwa ukaribu kabisa, ……..itaendelea….. hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!