: BIKIRA YA BIBI HARUSI (56)

SEHEMU YA HAMSINI NA SITA (56)
 .
ILIPOISHIA SEHEMU YA HAMSINI NA TANO (55): wakiwa awana habari ya mbwa Edgar alisubiri jiibu toka kwa Monalisa, “au ni siri yako jina la mchumba wako” aliuliza Edgar huku akiendelea kutembea taratibu, “hapana, siyo siri, ata wewe mwenye una mjuwa, ni Erasto Misago, hapo Edgar akapatwa na mstuku ulio mpunguza nguvu, na kuhisi magoti yake yana nyong’onyea, wakati huo huo akasikia mibweko ya mbwa, iki sikika kwa ukaribu kabisa, ENDELEA….
Sambamba na kelele zxa askari wakiwaimiza mbwa kukamata kitu walicho kuwa wana klikimbiza, hapo Monalisa ali kimbilia nyuma ya Edgar, “Edgar mambwa hayooo” alipigakele Monalisa, hukuakiwatazama mbwa walio kuwa wana kuja kwa speed, wakiongozana kwa mstari, wwote wanne huku nyuma yao walionekana polisi kwa mbali, nao wakija kwa fujo, lakini Edgar nikama alikuwa ame ganda, kama alie shikwa nabumbuwazi, baada ya kugundua kuwa Monalisa ni mchumba wa Erasto, ambae sikuchache ni juzi tu ameambiwa kuwa ndie alie mchongelea kwa mama yake Monalisa, kuhusu barua yake, duh! itakuwaje sasa maana mbwa nao walizidi kuwasohelea kwa speed, nasasa walisha bakiza mita kama sitini tu! kuwafikia, ebu tuamie upande mwingine, nako ni.***
Serena hotel ambako tunaanzia kwenye ukumbi wa vinywaji na vyakula, familia ya bwana Mohamed, ilikuwa imetulia kwenye meza moja, kando kando ya ukumbi ule mkubwa ulio anza kufulika watu kama kawaida yake kwamida ya jioni, sasa walishaagiza chakula na vinywaji vyao baridi, (siyo vinywaji vya kwenye friji, hapana ni vinywaji visivyo na kilevi) “nimepapenda sana hapa, japo kuna walevi wengi” alisema mke wa Mohamed yani mama Salma, “nikweli pazuri sana mahali hapa, inafaha kupatembelea tena tukipata nafasi, lakini Salma tutamwacha” alisema mzee Mohamed, na wote wakacheka, kwapa moja, “na mimi nitakuja nikipata kazi yangu” alisema Salma, katika hali ya furaha,
Akika sehemu hii ilichangamka sana, kwa ujazo wawatuwengi, kwenye meza ya kina mzee Misago, walikuwa wamebakia Misago, mke wake na dereva wa bwana Anderson, ambae alikuwa akiwatazama wanandoa hawwa waliokuwa wana nong’oneza na kucheka kwa furaha yakilevi, huku wakigongeana mikono, lakini pia walikuwa wana tazama sana sehemu ya kuuzia vinywaji, ambako alionekana yule mhudumu wa kike anae tembea na Erasto, akichukuwa vinywaji vingi sana kwenye trey, na kuingia navyo kwenye jengo kubwa la Hotel, hapo dereva wa Anderson akawaona baba na mama Erasto wakitazamana na kuinuka bila ata kumuaga dereva, ambae alijuwa kinachoendelea, “shaulizenu, mimi kaazi yangu ni kuwaleta na kuwarudisha, kama mtarudi gari mmoja” alijis3emea dereva, huku akiwatazama wanandoa wale ambao toka juzi alikuwa anawaona tu! kila kijana wao alipo ingia chumbani na mwanamke na wao walifata nyuma.
Ndivyo ilivyo kuwa, mzee Misago na Mke wake wali mfwata nyuma nyuma yule mhudumu, ambae alitembea koridoni, taratibu, ila alipo karibia mlango wa chumba namba kumi nasita, dada mhudumu akageuka nyuma na macho yao yaka gongana, akaonekana kustuka kidogo, ni baada ya kuwana baba na mama Erasto, akaona bola azuge kidogo, kama vile akuwa anenda kwa Erasto, akapunguza mwendo kabisa kama vile kuna mtu anamsubiri, ata wazazi wa Erasto waka mkuta, lakini akashangaa kuona wazazi wale wana simama pamoja nae, “ujambo mama?” alisalimia mama Erasto kwa sauti ya uchanga mfyu wa kilevi, “sijambo, shikamoo mama” alisalimia dada mhudumu huku moyo wake ukiondokewa wasi wasi, baada ya kuona wazazi awa awakuwa na mwonekano wa kumfikilia vibaya, “vipi ndio unaenda kuburudika namwenzio?” aliuliza mama Erasto, na hapo dada mhudumu akuweza kutoa jibu zaidi alicheka kicheko cha aibu, “mwache awai bwana, mwenzie anamsubiri” alisema baba Erasto yani mzee Misago, wote wakacheka na kukokotana kuelekea chooni, wakimwacha dada mhudumu, anaingia kwenye chumba namba kumi na sita, ambacho ni jilani kabisa na chumba namba kumi na saba, ***
Muda ulikuwa umesogea sana, mzee Mogo aliendesha gari kwa speed kali sana kwenya barabara moja ya vumbi, ambayo inaonek unatumiwa mala kwa mala, lakini barabara hii ya vumbi, aikuya kutembea speed tisini, mpaka mia kilo mita kwa saa, kama alivyokuwa anaendesha baba Edgar, kihasi cha wote kushikilia mioyo yao, na kutulia kimya kabisa, wakisikilizia jinsi gari lilivyo kuwa lina chanja mbuga.
Nikweli ililazimika wote waukubari mwendo huu, sababu ndio mwendo ulio takiwa kuwawaisha wanakotaka kwenda, ili warudi nakwenda Makambako, waka waone wagonjwa na mke wa Mapombeka, kisha wakaakikishe kama Ngigo yupo mahabusu, kishawaka pumzike, na kama watakuwwa wamewapatawakina Edgar mengine yataendelea, **
Wakati huo kilomita kama tisa ndani ya pori, Monalisa aliduwaa, baada ya kumwona Edgar, akiwa ametulia ana watazama wale mbwa kama vile walikuwa ni wakwao, wanakuja kuwawaoh! hapo Monalisa aka juwa Edgar amechanganyikiwa na habari za kuwa yeye ni mcumba wa Erasto, na msaada umeishia hapo, sasa kilicho bakia ni kila mmoja ajitete kivyake, hivyo Monlisa akaanza kukimbia, akielekea kule waliko kuwa wanaelekea, akimwacha Edgar akiwa amesimama kamavile mzimu.
Monalisa akiwa analalambele, mala akasikia pah!, akageuka nyuma na kushuhudia mbwwa mmoja wapolisi, akirushwa juu na kutupwa chini, mita kazaa nyuma, huku mbwa watatu waliobakia wakigawana mawindo wali wakimfwata Edgar na mmoja akifwata Monalisa, ikasika yapili wakati yule mmbwa wa mbele aki mpta Edgar ana kumwai Monalisa, ambae nae nikama miguu ili mwishia nguvu, na kujikuta ana anguka chini, huku Risai ya tatu ikisikika, na hapo Monalisa aka mwona yule mbwa mmoja ana mjia kwa fujo, akajuwa leo Edgar anamwacha aliwe na mbwa, lakini ile mbwa huyu ana rukia pale alipo angukia monalisa, Monalisa mwenyewe alishuhudia yule mbwa aki rushwa ghafla, huku damu zikiruka tumboni kwake, nikama alitobolewa na kitu chenye ncha kali, ikifwatia na mlio wa Risasi, ile anainua kichwa kumtazama Edgar alie msaidia, akamwona ana mjia mbio mbio, na alipo mfikia aki mshika mkono na kumnyanyu haraka sana, kisha wakaanza kukimbia, kuelekea mbele, yani kule waliko kuwa wanaelekea, mala wakasikia milindimo ya risasi, ikilindima nyuma yao, “endelea kukimbia” alisema Edga akimwachia mkono Monalisa, kisha akageuka na kuiweka sana silaha yake, akiitazamisha kule wanakotokea polisi, huku ana jibanza nyuma ya mti mmoja mkubwa, kisha akaanzaiweka silaha yake kwenye nyama ya bega, na pasipo kuchungulia vilengeo vya silaha yake, kisha akaachia risasi saba mfululizo, ambazo zili waingia polisi wawili, hapo akawaona polisi wengine waki tawanyika na kujificha, lakini safari hii awakupotezamuda, na kumpa Edgar nafasi ile kujificha tiu wakaenelea kushambulia, hapo Edgar akashindwa kuwa shambulia, maana ange poteza lisasi zake bule, hivyo aka tuiikidogo akipiga mahebu ya kuwa shinda adui zake, ambao walikuwa wanapiga rissasi pasipo kuona mbele kutokana na maficho ya uoga waliyo jificha, Edgar akalala chini na kuanza kutambaa kuondoka eneo lile, kueekea upande wa kushoto.
Lakini akuelekea upande alio elekea Monalisa, ambae akuwa amekimbia mbali alikimbia kidogo na kujibanza kwenye mti mmoja mkubwa, kisha aka chungulia kule alikokuwepo Edgar, akumwona tena Edgar, lakini mashambulizi yaliendelea kusikika kwa fujo, nikama polisi walikuwa wana shambulia pa hewa, lakini baada ya dakika kachache baadae, Mnalisa akiwa bado ana jiuliza Edgar atakuwa ameenda wapi, mala akawaona polisi wana simamisha mapigo na kujitoa kwenye maficho, nikama na wao walikuwa wana jiuliza Edgar yupo wapi.
Na wakati huo huo ndipo ghafla, iliposikika milipuko mfululizo ya risasi toka upande wao wa kushoto, mpaka polisi wale wana chukuwa maficho tayari watatu walisha dondoka, huku wawili kati yao wakiugulia maumivu, na mmoja alikuwa anarusha miguu amesha jiunga na wakina Isaya, ile wanaa jipanga kushambulia, tayari awakuona mtu,maana yake Edgar alisha potea, ***
Tukio lile la wazazi wa Erasto kuongea na dada mhudumu wa hotel, lilishuhudiwa moja kwa moja na mama na baba Monalisa, walio kuwa ghorofa ya piri wakichungulia chini, “kumbe ata awa washenzi wanafahamu mchezo wa mtoto wao?” aliuliza mama Monalisa kwa sauti iliyo jaa mshanagao wa mwaka, lakini mume wake akacheka kidogo, si ulisema Mona ataolewa na mtu unae mfahamu?” alisema Anderson, kamavile ana mkejeli mke wake, “hakuna cha uchumba wala ndoa hapa, ndio maana monalisa anamkataa huyu mshenzi” alisema mama Monalisa, huku ana toka haraka kuzifwata ngazi, za kushukia chini,…. Itaendelea hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!