
SEHEMU YA HAMSINI NA SABA (57)
ILIPOISHIA SEHEMU YA HAMSINI NA SITA (56): “si ulisema Mona ataolewa na mtu unae mfahamu?” alisema Anderson, kamavile ana mkejeli mke wake, “hakuna cha uchumba wala ndoa hapa, ndio maana monalisa anamkataa huyu mshenzi” alisema mama Monalisa, huku ana toka haraka kuzifwata ngazi, za kushukia chini,…. endelea….
“we unaenda wapi ebu subiri kwanza uta hariobu kila kitu” alisema baba Monalisa huku ana mdaka mkono mkewake,, akimzuwia asiende kule chini, “kwanini unanizuwia, bwana na taka nika wafumanie kabla hawajaanza upuuzi wao” alisema mama Monalisa kwa sauti iliyo jaa jazba ya hali ya juu, lakini mume wake akawai kumziba mdomo, “tutaonekana watu wa hajabu, ndio maana sikutaka nikuonyeshe yanayoendelea, ebu subiri tuone mchezo unavyo endelea,” alisema baba Mona kwasauti ya kumsihi mke wake, ambae aliamua kumsikiliza mume wake, “lakini chochote kitakacho tokea, hakuna pete wala ndoa” alisistiza mama Monalisa, kisha wakatulia na kutazama kule chini, sasa waliwaona baba Erasto na mke wake, wakitokeza kwenye korido, wakitokea upande wa chooni, “ebu yaone kwanza, yana jiopn wajanja kutufanya sisi wajinga” alisema mama Mona, kwa sauti ya chini, huku yeye na mume wake wakiwashuhudia wakina misago, wanapeana ishara ya kuwa kimya, huku wana nyemelea kwenye mlango wa chumba cha kijana wao, kitendo kilicho zidi kumjaza mama Mona hasira kali, “sijuwi wana sikiliza nini awa washetani, yani wanasikia raha mtoto wao anavyo tomb..” aliongea mama Mona huku ana uma meno, kwa uchungu, “we tulia kwanza, tuta juwa la kuafanya” alisema baba Mona huku wakiendelea kuwatazama wazazi awa, walio kosa busara na hekima, “hakuna cha kufanya zaidi ya kuvunja uchumba” alisema mama Monalisa, ambae sasa alitambua kwa nini mume wake alikuwa amebadirika, juu ya uchumba wa binti yao na Erasto, hapo mzee Anderson alichekea kwapani.
Wazazi wa Monaliosa waliendelea kuwatazama wakwe wenzao, wakiendelea kutega sikio kwenye mlango wa chumba namba kumi na sita, hukuwakionekana kufurahia kile mkilicho sikika toka chumbani humo, lakini wakina Misago na mke wake awakudumu sana pale mlangoni wakatoka na kuelekea nje ya jengo la hotel, huku wakionekana cheka kwa furaha, na kugongeana mikono.
Bababa na mama Monalisa, wali wasindikiza kwamacho rafiki zao ambao kijana wao anataka kumchumbia binti yao, mpaka walipo tokomea nje ya jengo hili la ghorofa mbili, “haya twende sasa” alisema mama Monalisa, huku akimvuta mume wake, “sikia mama Mona, lakini usifanye lolote zaidi ya kusikiliza tu!, alafu tutajadiliana cha kufanya” alishauri baba Mona na mke wake aka kubariana na mume wake.
Basi waka shuka mpaka kwenye flow ya kwanza na kwenda mpaka kwenyemlango wa chumba namba kumi na sita, ila wanaukaribia tu! waka pokelewa na miguno na kelele za kimahaba, zilizo kuwa zina mtoka dada mhudumu, “nitomb.. unakataka mpenzi, nakupenda peke yako, haa! haa! tamuuu tamuu” akika wanandoa awa awakuweza kuendelea kusikiliza, “mungu wangu huyu mtoto, kumbe mshnzi hivi” alisema mama Monalisa huku wakielekea nje ya jengo la hotel, “kuwa mpole, jifanye kama hakuna kilicho tokea” alisema baba Monalisa, wakati wna karibia meza yao ambayo wakina Misago walikuwa wame kaa, huku wana endelea na vinywaji, na yuso zao zikionekana kutawaliwa na furaha, “vipi bwana Anderson tumbo lime kaa sawa?” aliuliza bwana Misago, mala tu baada ya baba na mama Mona kukaa kwenye viti vyao, “ilikuwa ni mchauko mdogo watumbo” hivyo ndivyo alivyo jibu mzee Aderson, hapo wakaendelea na vinywaji, safari hii, mama Mona aliwashangaza wote, baada ya kubadirisha kinywaji na kunywa pombe kali, tena mfurulizo. **
kule porini tuliishia Monalisa alipo waona askari wawili kati yao wakiugulia maumivu, na mmoja alikuwa anarusha miguu amesha jiunga na wakina Isaya, sasa basiniole polisi wanaa jipanga kushambulia, tayari awakuona mtu, maana yake Edgar alisha potea, hapo nika apolisi waliingiwana butwaha, au bumbuwazi, maana walibaki wana kodoa macho wakiwa kwenye maficho yao, kabla awaja sikia wakimiminiwa risasi kutoka upande wa kaskazini maghalibi, safari hii ata Monalisa alichukia, maana Edgar akuwapiga askari moja kwa moja, ila alipiga risasi za kuwa sumbua, hapo walikimbia ovyo wakielekea upande wa mashariki, wengine wakitupa silaha zao, ikionyesha waliziona kuwa ni mizigo.
Dakika mbili baadae Monalisa akamwona Edgar akaitokea nyuma yake, “twende zetu” aliongea Edgar kwa sauti kavu, kisha akaanza kutembea kuelekea kule waliko kuwa wana elekea, yani upande wa Kusini mashariki, huku monalisa akimkimbilia na kumdaka mkono, maana kila alipo mshikla mkono kijana huyu, alijihisi kuwa yupo sehemu salama.
Safari ikiaendelea kimya kimya, wakielekea sehemu ambayo awakuwa wanaifahamu, japo kuna watu wawili walishahisi lazima kuna sehemu wataenda.**
MZEE Mbogo alisimamisha gari, kwenye viunga vya kiwanda cha kukaushia majani ya chai, wakikuta dio kwanza wafanya kazi wanatoka kwenye jengu kubwa, lilalo fuka moshi, na kuelekea kwenye vijumba vidogo vidogo, vya kupumzika, na kabla awajashuka toka kwenye gari tayari kijana mmoja akawasogelea haraka sana, “shikamoni maafande” alisalimia yule kijana, ambae kimwonekano wa lile gobole lake, alilo lipacha begani na kulilaza mgongoni, alijulikana wazi kuwa ni mlinzi wa kiwanda,huku akimtazama Kisona, sijuwi kwaajili ya minyota yake iliyoonekana mabegani kwa kanali huyu, ambae alishindwa kuitikia, na kumtazama baba Edgar, “malahaba kijana hongera kwa kazi,” aliitikia baba Edgar, “hongera tena mzee wakati ni tabu tupu?” aliuliza kwa mshangao yule mlinzi, na kuwafanya wakina kisona na wenzake kuangua kicheko, “yani umeaminiwa, na kupewadhamana kubwa yaulinzi alafu una kataa hongera?” aliuliza Kisona huku wakiendela kucheka,”hapo mmesema kweli” alikubari yule mlinzi, na hapo yakaanza maswali mepesi, kamavile, “hapa mpo walinzi wangapi?” aliuliza Kisona, “tupo wawili uwa tuna peana zamu ya siku mbili mbili” alijibu yule mlinzi, “vipi wafanyakazi, wapo wengi na wana lala hapa?” lilikuwa swalitoka kwa Kisona, ambae sasa alikuwa ameshuka toka kwenye Gari, “wapo wengi, kama 30mhivi, na wana lala hapa” alisema yule mlinzi, ambae hakuishia hapo, “ila kuna wachache ambao wana enda mjini kupeleka mzigo, wanaongozana na manager” hapo Kisonaalitulia kidogo, akiyatafakari maneno ya huyu mlinzi, baada ya kutafakari kidogo, akainua uso wake na kumtazama mlinzi, wanatumia gari gani?” aliuliza Kisona, na yule mlinzi aka geuka nakutazama pembezoni mwa lango la ghara kuu, ambapo lilionekana gari kubwa la mizigo, likipakiza marobota ya majani ya chai, “lile pale na gari dogo la manager” alisema yule mlinzi, hapo kisona akabadiri mada, “eti kuna vijana wawili umewaona hapa? yani wakike na wakiume” swali la Kisona lilimstua sana yule mlinzi, ambae alijitaidi kuto kuonekana ame stuka, “ukienda tofauti na maagizo yangu utajuta” mlinzi aliyakumbuka maneno yaKingarame, unawazungumzia wale vijana wakike na wakiume, waliobeba vibegi, wame elekea hivi” alisema yule mlinzi, akionyesha upande wa barabara waliyotokea wao, “saa ngapi?” aliuliza kisona kwa mshangao, huku haraka sana akifungua mlango wa gari na kuingia ndani, maana wao walipita njia hiyo hiyo, pasipo kuwaona wakina Edgar, “mhhhhhh! kama mida ya ya saa saba hivi” alisema mlinzi akionekana kutafutiza jibu, nikama kisona aliusoma huo mchezo, maana nikama alipundua mumkari, (waakha/amasa) “unamaanisha ni yule kijana alie vaa nguo kama za kijeshi?” aliuliza Kisona huku masee mbogo akiingiza gia namba moja, tayari kuondoka, “huyo huyo tena yupo na mwana mke” alijibu haraka sana yule mlinzi, hapo kisona akatabasamu huku ana mzuwia mzee Mbogo asiondoe gari,
Ukweli nikwamba Kisona alisha gunduwa kuwa, huyu mlinzi ana ficha jambo, “ebu subiri kwanza, eti kamanda kuna polisi walikuja hapa sindio?” aliuliza kisona akimkazia macho yule mlinzi, ambae alionekana akai tazama huku na huku kama kuna mtu ana mtazama, au yupo karibu na pale, pengine ana wasikia, “hapana….. ha… ha…hapana, ajafika mtu hapa, nyie ndio wakwanza” alijibu mlinzi , lakini kisona alisha soma kitu kwenye hakiri ya mlinzi, na kumfanya Kisona acheke kidogo, kisha aka mtazama mzee mbogo, “na huyu ni mmoja wao ato kaa alione juwa la kesho,” je una juwa Kisona ali maanisha nini, ebu tuone kesho itakuwaje, hapa hapa
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU