: BIKIRA YA BIBI HARUSI (63)

SEHEMU YA SITINI NA TATU (63)

ILIPOISHIA SEHEMU YA SITINI NA MBILI (62) tayari kisona alisha mshika Yule askari mwenye sifa, na kumftua miguu, akipola silaha kabla ya kufika chini, kabisa aka msimisha na kuwa amesha mpiga namba saba, yani kabari, (roba) kwenye shingo ya Yule askari alie onekana kuwa na kimbele mbele, “hgrrr! Nai .. nitwa……..naitwa Mike” alijibu yule askari huku akiangaka kujipapatua toka kwa Kisona,…. Endelea……
“bwana Kisona, unashindwa kumtambua kuwa huyu ni askari polisi?” aliuliza RCO Iringa, huku anashuka toka kwenye gari, “SSP uoni kwamba huyu askari amekosa nizamu, ameshindwa kutambua uwepo wangu hapa?” aliuliza Kisona huku akimwachia yule askari anaejiita Mike, ni mmoja wa askari walio shiriki toka mwanzo wa operation hii ya Kifo mkononi, hapo RCO Iringa aka shindwa la kusema, akamtazama yule askari, “uwe makini wakati mwingine” alisema RCO, na wakati huo magari ya wakina Kingarame namakamanda wengine wakuu, yalikuwa yana tokea pale walipo, Kisona aka mrudishia silaha yake Mike, “vipi jamani kuna lolote mme ligundua?” aliuliza RPC Ruvuma, mala baada ya yeye na makamanda wenzake kushuka toka kwenye magari yao, “mke wangu ame pigiwa simu na mfanya kazi wa nyumbani kwetu songe, anasema kuwa Mona ame piga simu kule nyumbani, kuwa yupo hapa Njombe” alieleza baba Mona, hapo makamanda wakatazamana, huku Kingarame kihisi mambo karibu yana haribika
“vipi, huyu binti yenu anasema amesha achiwa na watekaji, au ameeleza watekaji wanataka nini?” aliuliza RPC Iringa kwa shahuku, “hapana amesema tu ameambiwa na Mona kuwa yupo hapa Njombe” safari hii alisema mama Mona, “ok! wote shukeni kwenye magari na kusambaa kwenye mitaa yote ya hapa mjini, akikisheni kabla ya jua alija chomoza, tuwe tumesha mpata Monalisa, na kuwakamata majambazi wote” alito amri RPC Iringa, kisha makamanda wenzake na askari wakatawanyika, huku mahali ple akibakia RPC Iring na RPC Ruvuma, na bahadhi ya askari polisi, pia alibakia Kisona na askari wake, na wakina mzee Anderson na Misago pamoja na dereva wao, na wake zao, yani mama Monalisa na mama Erasto, huku magari kadhaa ya polisi na madereva wake, yalioekana mahari pale, yakisubiri majukumu.
Katika mgawanyiko huu, Kingarame liondoka na askari kadhaa, safari hii akiwa na Mike, ambae litoka kupatwa na misuko suko muda mchache uliopita, pia Kingarame alikuwa na askari wengine wengi wao wakiwa ni wale liokuja nao yeye mwenyewe, “lazima niakikishe huyu mshenzi na mpata usiku huu, kabla hja patikana na mtu mwingine” alisema Kingarame huku akiendelea kuingia kwenye choro za mitaa ya mji huu wa Njombe, samba mba na askari wake ambao walikuwa wana mkagua kila mtu walie kutana nae, mala nyingine walikuwa wana wanyanyasa watu hao, kwa kuwa piga na kuwa dhalilisha, sababu kubwa ikiwa ni kutembea usiku, na usikuwenyewe ni hii saa tatu iliyo kuwa inaenda saa nne kasoro.
Wakati huo huo, hapa barabarani walipo bakia wana RPC, mambo yalikuwa kama hivi, RPC aliwashauri wakina baba Monalisa waende kupumzika, wakitoa ahadi ya kuwa wao, watakikisha kuwa wana mpata Monalisa, nawao awakuwa wabishi waliondoka kuelekea haotelini, wakiwa na matumaini ya kumwona Monalisa hivi karibuni.
“kila gari waingie askari wawili wawili, kisha tawanyikeni kuwasaka awa washenzi, lakini magari mawili yabaki hapa” alisema RPC Iringa, na ikafanyoka hivyo, huku magari mawili yakibakia, “kisona naimani usiku unaitaji kupuumzika” alisema RPC Iringa wakati uo anaingia kwenye gari, Kisona akujibu kitu, zaidi alimtazama mkuu huyu wapolisi Iringa na mwenzie wa Ruvuma, kila mmoja akiondoka na gari lake lenye askari wawili nyuma wenye smg zao mikononi, “unajuwa awa jamaa wakimwona wanaweza kuwa maliza wakina Edgar, ili kuficha ushaidi” alisema Koplo Katembohuku wkiyya sindikiza magari haya ya makamanda wa polisi yakitokomea mitaani, “sizani kama hilo linaweza kutokea, kwanza tujuwe jinsi wawili awa wanaonekanaje usiku huu, ebu tutafute sehemu ya kupigia simu haraka” alisema kisona, hapo awkurudia gari lao, wakaondoka pale barabarani na kuelekea kwenye maduka ambayo mida hii mengi yao yalikuwa yana fungwa.
Moja kw moja waka lilenga duka moja ambalo kuna bango linalo ashilia kuwa wana ptoa huduma ya simu, walielekea sehemu hii, ambayo walimwona mdada mmoja akiwa anafunga mlango wa sehemu ile, Kisona aka msalimia yule mdada, kisha baada ya salamu, Kisona akaomba kuongea na huyu dada, “eti kuna watu wawili wametupigia simu muda mchache uliopita, vipi walipiga hapa?” aliuliz Kisona, na yule mdada ambae alionekana kuwa ni msataharabu, akasema kuwa akumbuki kuwaona watu hao, “ila kuna sehemu nyingine, hapo mbele karibu na stand, jaribuni kuwai kabla hajafunga” alisema yule dada na hapo wakina Kisona wakatoka mbio kuwai sehemu ile waliyo elekezwa.
Dakika chache baadae, walifika mbele ya sehemu hiyo, iliyoonekana wazi kuwa nisehemu ya kupigia simu, bahati ilikuwa upande wao, maana walimkuta muusika wa sehemu ile japo na yeye alikuwa ndio amesha maliza kufunga ofisi yake na tayari kuondoka, “kuna vijana wawili. wakike na wakiume wametupigia simu, muda sio mrefu sana, vipi walikuwepo hapa” aliuliza kisona, mala tu baada ya kumsalimia mtu huyu, ambae nae alikuwa ni wakike, ambae alitulia kidogo, akionekana kama anavuta kumbukumbu flani, kisiha akawatazam wakina Kisona mmoja baada ya mwingine, kwa macho ya kujiuliza kuwa awawatu wana watafuta wale vijana kwa ajili ya nini, alafu yule dada akatabasamu kidogo, “walio kuja wawili kila mmoja alipiga simu yakwake, lakini walikuja pamoja, na kuondoka pamoja” alisema yule dada mhudumu, n hapo kisona aka mtazama baba Edgar, wakatazamana na kuitikia kwa vichwa vyao, kwamba wanaweza kupata mwanga, “ok! unaweza kutueleza jinsi walivyo?” aliuliza Kisona, na yule mwanamke akaweleza jinsi walivyo, na mwisho kisona akamweleza yule mwana dada kuwa, “kunawatu wanaweza kuja kukuuliza, juu ya watu awa, kataa kuwa ujawaona kabisa, maana endapo uta waeleza basi ujuwe awata kuacha salama, na wale ijana wakija tena hapa, waambie kuwa ndugu zao wapo hapa na wanawatafuta” alisema Kisona, na wao wakaondoka zao,
“Mbogo sikia, kwa maelekezo ya huyu dada, wakina Edgar tumepishana nao, inabidi tuelekee upende wakule chini tuka wasake” alisema Kisona, na hapo baba Edgar akakumbuka wae vijana wawili alioneulika kuwagonga, pindi anaegesha gari pembeni ya barabara, ***
Mhudumu wa hotel ya Serena, pale mapokezi, lishangaa kumwona binti mrembo akiitaji chumba pale Hotelini, “upo peke yako?” aliuliza mhudumu, wa mapokezi, “tupo wawili, nipo na mchumba wangu” alijibu Monalisa, akilazimika kusema vile, sababu kama singesema kuwa ni mchumba wake, ingetakiwa afiche kuwa wapo wawili, na kwa kawaida isingewezekana kuwa chumba kimoja na mwanaume ambae siyo mchumba wake, “haya dada andika kwenye kitabu hiki, chumba chako ni namba 17” lisema yule mhudumu wa vyumba na Monalisa akaandika kwenye kitabu, majina yake harisi kabisa, nazani akujuw hatari ya kitendo hicho, “chumba chakeo kipo usawa wakorido hili hgapa, we tazama upande wa kushto kwako” alisema yule dada wakati monalisa ana anachukuwa funguo na kutoka nje, kumfwata Edgar, ambae alikuwa amejibanza nje ya jengo lile la Hotel, “tayari twende, tumepewa chumba namba kumi na saba” alisema monalisa kisha wakaongozana kuingia ndani huku Edgar akiwa ame jifunika kofia ya sueta lake jipya, kipindi hicho walikuwa wanaita OPP.
Wawili awa walitembea taratibu kwenye korido refu la hotel, huku macho yao yakiwa kwenye namba za milango ya upande wao wakushoto, “kumi na nne,… kumi na tanooo… kumi na sit…” hapo Monalisa alisita kidogo, na kutega sikio, “huuu, ingiza yote mpenzi, huuu…. haaaa… tamuuuu” ilikuwa ni sauti za malalamiko ya mapenzi toka ndani ya chumba namba kumi na sita, Mnaisa akamtazama Edgar, kwa macho yaliyo kosa ujasiri, kwa aibu kubwa na mfadhaiko uliomkumba, akatazama chini, “unanitomb.. vizuri, yani naomba msiondoke haraka, nita kumissi mpenzi” ilikuwa sauti ya kulalama ya mwanamke alieonekana kuwa anaingiziwa dudu humo ndani, “ata mimi naombea asipatikane mapema, niendelee kufaidi” sauti hii ya kiume ilitak kumwafanya wawili awa wacheke, maana ilisikika kibwege bwege sana, Monalisa alipiga atua moja, na kuibukia chumba namba kumi na saba, ambacho mlango wake ulikuwa wazi, wakaingia ndani na kuufunga, huku kwa mbali wkiendelea kusikia miguno ya mapenzi toka chumba namba kumi nasita, ***
Mtaani mambo yalizidi kupamba moto, Kingaramealiendelea kuzunguka na askari wake, kila kona ya mji wa Njombe, pasipo mafanikio, ndipo walipo anza kuzungiuka kila guest pale mjini, wakikagua kilachumba kuakikisha wanawapata wakina Edgar.
Upande wapili, Kisona na timu yake, walisuka mpaka upande wa pili wa barabara, yani kule iliko Serena Hotel, na kuanza kuzunguka mitaani kuwasaka wakina Edgar, huku mala kwa mala, wakipishana na polisi wlio kuwa wana wasakawakina Edgar, lakini nawao pia awakuweza kumpata kijana huyu, wala kuona dalili ya uwepo wa vijana awa, “mzee Mbogo, nazani itakuwa vyema tukawai chakula kwanza, blawajaunga, pengine pale hotelini, pia tukiwa karibu na wazazi wa Monalisa, tunaweza kupata habari yoyote, itakayo tuwezsha kuwapata wakina Edgar” alishauri Kisona.
M RPC awa wawili nao, waligawana njia na mmoja akiingili kaskazini na mwingine kusini, wakipatrol kwa kufwata barabara, mpakawalipo wakuta askari walio weka road block, katika barabara ya kueleka Makambako, na ile ya kuelekea songea, nakuwakuta wakiendelea kuyakagua magari yote yaliyo kuwa yanatoka nje ya mji, na usiku huu magari mengi yalikuwa ni yamizigo, ***
Turudi Serena Hotel, chumba namba kumi na sita, ndiokwa nza Erasto alikuwaametoka kumaliza mchezo, na sasa alikuwa amelala pembeni ya dada mhudumu, wote wawili wkiw watupu kabisa kama walivyotoka matumboni mwa mama yao, “leo ulinipania kweli kweli, mpaka nilihisi pumzi nzinatka kukata” alisema Erasto huku ana inuka na kuiwata meza , akashika chupa ya pombe, “dah! imekwisha” alisema Erasto, huku anatikisa chupa, “wala usijari mpenzi wangu ngoja nikachukue, yani leo akuna kulala” alisema yule dada mhudumu, huku anainuka toka kitandani na kuanza kuvaa nguo zake, “leo hakuna kulala, mpaka kum.. yako vimbembe” alisema Erasto, na dada mhudumu akacheka kidogo, itavimba yakwako siyo mimi” alisema dada mhudumu, ambae alisha maliza kuvaa nguo zake, “aya tutaona nani mshindi” alisema Erasto huku ana chukuw fedha toka kwkenye wallet yake, na kumkabidhi yule dada, ambae alitoka amala moja, kwenda kuchukuwa vinywaji vingine, akimwcha Erasto amesimama mbele ya meza, anaiweka ile pochi yake mezani.
Wakati Erasto ana weka ile pochi yake, mala akakiona kikebe cha pete ambayo inamsubiri mchumba wake, mtarajiwa Moalisa, akakiinua kile kimkebe na kukifungua, kisha akaitoa pete nzuri ya dhahabu, akaitazama kwa kuipindua pindua, huku akiijaribu kuivesha, kwenye kidole chake cha mwisho, “yani siku Mona akipatikana, nita mivisha pete, alafu nitajitaidi mpaka ni mgonge” niondoe bikira yake anayo jivunia” aliwaza Erasto, ambae Muda huo huo akasikia kicheko cha mwamke, toka chumba cha pili, akatulia kidogo akiisubiri ile sauti, ambayo alihisi kuwa nikama anaifahamu, lakini kile kicheko akikusikika tena, mpaka dada mhudumu alipo rudi chumbani, “unajuwa ndugu zako, bado wapo kule bar?” alisema dada mhudumu, huku anaweka vinywaji mezani, na kuanza kupembua nguo zake, “acha nao, sie tulezetu la raha, “ ilo ndilo lilikuwa jibu la Erasto,
Nikweli ue upande wa bar mambo yalikuwa kuliko mwanzo, mama na baba Mona pamoja na wenzao yani mama na baba Erasto na dereva wao, walikuwa wanaendelea kunywa pommbe, safari hii ilikuwa kwafujo zaidi, ikiwa ni nusu ya furaha, ya kuwa binti yao amepiga simu yupo hai.
Huku mzee Mohamed akiendelea kusubiri pengine makamanda polisi watarudi aweze kuongea nao, lakini wakati wanaendelea kusubiri mala waka waona makamanda wajeshi la ulinzi wakiwa wanaingi ple hotelini, safari hii awakupitiliza ndani, ila waliishia palekwenye ukumbi wa chakula na vinywaji, na kukaa katika makundi mawili, yani kwenye meza tofauti mbili, “mama Salma, ebu tukapateushauri kwa wale wanajeshi, pengine na wao wana msaka yule kijana” alisema mzee Mohamed, na wote waka shauriana kuwa wafanye hivyo, pengine ita wasaidia kufikisha ujumbe na kuokoa maisha ya kijana ambe anazaniwa kuwa ni jambazi,
Basi wote watatu wakainuka na kuisogelea meza ya Kisona baba Edgar na Katembo, “habari za jioni wa heshimiwa” alisalimia mzee Mohamed, na wakina Kisona wakageuka na kuwatazama walio wasalimia, wakajikutawkiachia matabasamu ya ukarimu, “safi tu mheshimiwa, sijuwi wewe na familia yako?” alisema Kisona, nazani ni baada ya kuona mwonekano wa mzee Mohamed na familia yake, ata wao wakashangaa, maana siyo kitu lahisi kwa jamii kama hii, kuikuta sehemu kama hii usiku, “akika tuna mshukuru mungu, kwa kutuwezesha mpaka sasa tupo hai” alisema mzee Mohamed, “karibuni jamani naona tunasalimia juu juu” alisema Kisona, na familia hii ika vuta viti vya pembeni na kujiunga kwenye meza ya kina Kison, huku mhudumu akiwaletea inywaji vyao, “samahani bwanaafande na pia poleni kwakazi” hivyo ndivyo alivyonza kuongea mzee Mohamed,***
Ndani ya chumba namba kumi nasaba, ndicho chumba wallicho kuwepo Edgar na Monalisa, ambao baada ya kuingia tum le chumbani, Monalisa akakitazama kitanda, kikubwa kiliicho tandikwa vizuri kabisa, sijuwi aliwaza nini hapo hapo akageuza uso wake na kumtazama Edgar, kwa macho ya aibu, huku anatabasamu, Edgar nae akatabasamu, pasipo kusema kitu, hapo waka vua mabegi yao na kuya weka mezani, kisiha wakatazamana, nikama walikuwa wanaulizana nani ataanza kuoga, na atavuaje nguo, Itaendelea hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!