: BIKIRA YA BIBI HARUSI (64)

SEHEMU YA SITINI NA NNE (64)
 
ILIPOISHIA SEHEMU YA SITINI NA TATU (63) Monalisa akakitazama kitanda, kikubwa kiliicho tandikwa vizuri kabisa, sijuwi aliwaza nini hapo hapo akageuza uso wake na kumtazama Edgar, kwa macho ya aibu, huku anatabasamu, Edgar nae akatabasamu, pasipo kusema kitu, hapo waka vua mabegi yao na kuya weka mezani, kisiha wakatazamana, nikama walikuwa wanaulizana nani ataanza kuoga, na atavuaje nguo, ENDELEA……
Mtazamano huo uliishikwa wawili awa kutbasamu, “kaanze kuoga” alisema Edgar huku analisogelea dirish na kufunu panziakidogo, kisha akachungulia nje, nkaima alikuwa anatazama usalama wo, “unazani naogopa, nitavua mbele yako” alisema Monalisa huku anafungua kibegi chake akatazamakama kuna chochote kitacho mfaha, kubadirisha, pindi akimaliza kuoga, akaiibuka na bahasha ya kaki, akaitazama kidogo, kish aka mtazama Edgar alie kuwa ame maize kuchungulia nje, macho yao yaka gongana, wakaishia kutabasamu, huku Monalisa akikiweka mezani kile kibahashacha kaki, “usitazame bwana nitoe nguo yangu” aisema Monalisa, huku anaingiza tena mkono kwenye begi lake, safari hii akaibuka na chupi, akaiitazama na kujaribu kuigusisha shavuni, ilikuwa imekauka, akaipeleka puani, na kuitoa ghafla, nikama alisikia alafu ya uvundo, maana kama mdau uanakummbuka, chupi hii ilifuliwa kule kwa wawindaji haramu, na kabla aija kauka ikawekwa kwenye begi, “nitavaanini sasa, nikitoka kuoga?” aliuliza Monalisa, kwa namna flani ya kudeka, huku ana mgeukia Edgar, na kama vile Edgar alisha juwa toka mapema, maana aliinua tauro toka kitandani na kumrushia Monalisa, ambae alilidaka, na kumtumbulia macho Edgar, ambae alionekana aikikaa kwenye kitanda na kuanza kuungua kamba za viatu, pasipo kusema neno.
Monalisa nikama aliingia simanzi kwa mwenekano wa Edgar, na ule mtindo wa kuto kujibu alicho sema, zaidi ya kujilazimisha kutabasamu, Monalisa nae aka kaa pembeni ya Edgar, huku ana mtazama kwa macho ya wizi, nikama alikuwa anatafuta uchokozi, “Edgar naomba uniue iatu mwenzio nashindwa kuinama” alisema Monalisa kwa sauti ya kujidekeza, Edgar bila kuongea kitu aka acha kuvua viatu vyake na kuanza kumfungua monalisa kamba za viatu, huku binti huyu ambe licha ya kusota porini kwa siku kadhaa, lakini uzuri wake aukupotea, akimtazama Edgar, kwa macho flani y kama vile anamtafutia kiisakingine, ili amchokoze mpaka aongee, maana alihisi kilicho mkwaza ni ile kumwambia kuwa tayari ana mchumba, na mchumba mwenye ni Erasto.
Edgar alimaliza kumfungua Monalisa kamba za viatu, kisha Monalisa akajiinua kivivu na kuelekea bafuni, akiwa na tauro lake mkononi, ambako aliondoa nguo zake zote na kuanza kuoga, uzuri wa miji ya Njombe makambako Iringa Mbeya na Songea, hotl nyingi uwa wanaweka heater kwenye mbmba ya maji ya bafuni, hivyo unaoga maji ya vugu vugu, **
Huku mitaani msako ulidumu kwa msaa kadhaa, bila mafanikio, ndipo makamandawakuu walipoona wafanya jambo jambo moja la msingi, wagawe makundi mawili, makubwa, yatakayo peana zamu, ya kuwasaka majambazi, maana yake kundi moja lipumzike na jingine liendeee na kazi, ili asubuhi kundi lililopumzika liingie kazini huku kundi, lililo kasha likienda kupumzika, lakini ikitokea linaitajika ni mala moja waingie kazini, maana yake wawe stanby.
ikawa hivyo yaka giwa makundi mawili, huku Kingarame aking’ang’ania kuwa yey akuwa na haja ya kupumzika, ataendelea na kazi, huku akichagua askari wake, yani wale wanao ujuwa mchongo, ili aenao katika gari lake, makamanda wenzake, wakaondoka zao kuelekea Serena Hotel waliko fikia, wayatuma magari matatu kwenda porini, kule kwa wakulima kuamisha watu waliobakia na vifaha
Nje ya Hotel Serena, mzee Mohame, na familia yake wakiwa mezamoja na wakina Kisona baba Edgar na Katembo, akaanza kwa kuomba msamaha kwa usumbufu na kuwapa pole kwa majukumu, “sijuwi mna usika na hili swala la kuwatafuta awa majambazi?” aliuliza mzee Mohamed, hapo Kisona akatazama kushoto na kuia kama kuna mtu pembeni yao anawasikiliza, akika kila mmoja mahari pale alikuwa busy na kinywaji au chakula, “ndio tuna usika, vipi una lolote la kutusaidia, labda pengine ume waona” aliuliza bwana Joseph Kisona, “hapanabwanaafa
nde, kwaleo hatuja waona, ila samahani kidogo kama nita kuhudhi, nilitaka nijuwe unausika vipi, katika msako? maana nitakacho kueleza, akika itakuwia vigumu kuamini” alisemamzee Mohamed, ambae alionekana kuwa mtu makini sana, “labda na mimi naomba nikuulize kidogo sijuwi bwana na ni vile?” aliuliza Kisona, “naitwa Mohamed” alijibu baba Salma, “ok! bwana Mohamed, kwanini ukatufata sisi, nasiyo polisi, kuuliza kama tuna usika na msako huu?” hapo mzee Mohamed aka mtazama mke wake, kisiha mwanae wote walikuwa wanamtazama mzee Mohamed, ambe alirudisha macho kwa Kisona, “nilitaka unifikishie ujumbe kwa RPC Iringa, maana naona wanatumia nguvu nyingi, kumtafuta mtu ambae nauakika siyo jambazi, kama wanavyo mtuhumu” alisema mzee Mohamed, na kumstua Kisona, huku baba Edgar na koplo Katembo wakitabasamu, ila walishangazwa na mstuko wa kisona, ambae alimtazama mzee Mohamed kisha aka watazama Salama na mama yake, “kwa nini ulishindwa kuongea nae, maana kuna kipindi alikuwapo hapa hapa, na pengine atarudi baadae”aliuliza Kisona kwa sauti ya tahadhari, “niliomba kuongea nae, lakini akasema yupo busy, nitaongea nae baadaae,” hapo Kisona aka shusha pumzi nzito, “mzee unabahati kubwa, siku nyingine unapotaka kulifanya hili, tumia simu, au usije na familia yako sehemu kama hii” alisema Kisona kwa sauti moja tulivu, iliyoo onyesha alicho kuwa anakionge alikimaanisha, “lakini si nimekuja kutoa taharifa na lengo langu ni kumsaidia huyu kijana, mimi nina mfahamu, awezi kuwa jambazi” alisema mzee Mohamed, kwa msisitizo, huku akimtazama Kisona, “sina maana kwamba ulicho kifanya nikitu kibaya, akika nina kupongeza sana, maana unaweza kutusaidia ata sisi, ambao ni watu wa karibu wa kijana huyo” alisema Kisona, kisha akaanza kumweleza mzee Mohamed jinsi wanavyo usina na kijana Edgar, alimweleza kuwa “licha ya kumfahamu kwa siku nyingi kijana huyu, pia baba yake mzazi ni huyu hapa, na hapa tupo kuakikisiha akuna baya linalo mkuta” baada ya maneno hayo Kisona akamwomba mzee Mohamed awaelee kilekiho mleta, nae akaanza kueleza kuwa “akika nimestushwana habari kwenye redio, kuwa kijana huyu alisafiri na majambazi wenzie toka mbeya, kuja Makambako, kuungana mwenzao alie tokea Songea, wakati kijana huy nime mchukuwa mwenyewe kwenye lango la chuo, nilipoenda kumfwata huyu binti yangu” mzee Mohad alieleza kila kitu , na chazo cha kumpa lift Edgar, nikwamba yeye na familia yake nimashabiki wake mkubwa, katika mchezo wa mpira wakikapu, “nashangaa kusikia habari ambazo zina mwingiza kijana kwenye hatari kubwa, huku ikisistizwa kuwa, anatumia silaha kali kuwaangamiza polisi” alimaliza mzee Mohamed, hapo kisona akawatazama wenzake, yani baba Edgar na Katembo, “unajuwa huyu jamaa alikuwa ana uwawa mala moja endapo swala hili ange waeleza wale washanzi?” alisema Kisona, kwa sauti ya msisitizo, kisha akamtazama Mohamed na familia yake, ambao walisha anza kuingiwa uoga, “mzee fanya kama ujuwi, ila tunakuomba uendelee kuwepo hapa hotelini, maana tuna kuitaji sana, ila narudia, usimwambie mtu ata kw bahati mbaya, akika mungu wako anakupenda wwe na familia yako, ndio maana ukapata wazo la kuja kwetu, na kuaidi nitakulinda kwa nguvu zangu zote, na utakaa hapa kwa gharama zetu” alisema Kisona na wakati huo huo, wakayaona magari ya polisi yana ingia, na wakashuka makamanda wa polisi, ambao safari hii awakuingia ndani moja kwamoja, ila waliingia sehemu ya vyakula na vinywaji, na kukaa kwenye meza zao, nawahudumu wakawakimbilia haraka, kuwasikiliza, huku baba na mama Monalisa nao walikuwa wana inuka kwenyemeza zao, na kuwafwata makamanda awa wapolisi, wakifwatiwa na rafiki zao, yani mzee Misago na mke wake.
“awa jamaa wanaonekana ni profession”, alisikika RPC Iringa akisema hivyo, “yani tume saka guest zote awapo, au wameshaondoka kuelekea songea” alisema RPC Ruvuma, na hapo nikama walipata wazo jipya, “kweli jamani ebu ipigwa simu madaba na songea mjini, ili waweke road block” alisema RPC Iringa, na hapo akainuka OC CID, wa Songea na kuelekea mapokezi, akiitaji kutumia simu haraka kuwasiliana na Songea na kituo cha polisi madaba, mchezo mzima waliuona wakina Kisona, ambao awakujuwa kuwa kuna tatizo litajitokeza dakika chache zijazo.***
NNdani ya chumba namba kumi na saba, jirani kabisa na chumba namba kumi na sita cha kijana Erasto, Monaisa alikuwa amesha maliza kuoga, alitoka bafuni akiwa amejifunga tauro fupi, lililo anzia kifuani mpaka kati kati ya mapaja, huku mkononi ame ikumbatia chupi, yake aliyo amua kufua upya,Edgar aliinua macho yake na kumtazama Monalisa kuanzia miguuni mapaka usoni, akika sasa Monalisaakuwa yule wa porini, sasa alionekana akiwa ameng’aa vyema kabisa, huku hips zake za wstani zikichomoza pembeni, na kuliinua taurohili dogo lililotengeneza V ya chini, macho yao yakla kutana, Monlisa akatabasamu, lakini Edgar akutabasamu, “aya nenda kaoge basi” alisema Monalisa, akiwa amesimama kati kati ya chumba namba kumi saba” Edgar akainuka taratibu bila kuongea neno, na kuanza kujisachi, chakwanza kabisa alitoa bastora yake na kuiweka kitandani, cha pili kilikuwa Kisu, alau aka vua tishet, huku Monalisa akiwa bado amesimama akashuhudia kijana huyu, ana fungua mkanda wa suluali yake na kufwtia zip, “Monalisa akatoa macho akitarajia kuiona dudu ya Edgar, ambayo ata yeye akujuwa kwanini alitamani kuiona, nikweli alimwona Edgara anaikamata suluali yake na kuishusha, lakini akabakia na bukta, “lione kwanza linavaa nguo nyingi” alisema Monlisa kimoyo moyo, huku ana sogea kwenye nguzo ya net yam le chumbani, na kuianiaka ile chupi yake, huku akimwona Edgr anaelekea bafuni.
Edgar aliingia bafuni huku akiwaza sana juu ya uchumba wa Erasto na Monalisa, “sasa kama kule porini ning mfanya, si ningekuwa nime tembea demu wa mtu?” akika Edgar alikuwa katika wakati mgumu, mana hilo silo lililo muuma, “inakuwaje Erasto anifanyie ujinga kama hule, alafu huyu mshenzi anamkubari tu!” wakati Edgar anawaza hayo mala akasikia “Eddy njoo uchukue tauro” ilikuwa suti ya Monalisa, toka chumbani, hapo Edgar aka rudi hatua moja na kuchungulia mle ndani, akitegemea kushuhudia kile alicho kiona sikuile kwenye giza, lakini alimwona Monalisa akiwa amejilaza kitandani huku amejifunika shuka, tauro likiwa pembeni, bahati nzuri kwake Edgar akuwa amevua bukta, hivyo akatoka bafuni na kulifwata tauro pale kitandani, huku macho yake yakiutazam mwili wa Monlisa uliojichora ndani ya shuka.
Kimya kimya Edgar akalichukuwa tauro na kuelekea bafuni, huku Monalisa anamsindka kwa mcho ya huruma, maana aliminikuwa hali hii ya kijana huyu, imesababishwa na uropokaji wake juu ya uchumba wake na Erasto, “yani Erasto anasababisha Edgar ananinua tena, kama zamani, alipoenda kunisemea kwa mama” lilalamika monalisa kimoyo moyo, wakati huo huo maji yakaanza kumwagikahuko bafuni ikionekana kuwa Edgar alisha anza kuoga, hapo nikama monalisa alikumbuka jambo, “sijuwi leo ata lala, sasa akitaka kulala tuta lalaje na mimi sija vaa nguo?” jibututa lipata kesho, hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata