: BIKIRA YA BIBI HARUSI (65)

SEHEMU YA SITINI NA TANO (65)
 
ILIPOISHIA SEHEMU YA SITINI NA NNE (64) “yani Erasto anasababisha Edgar ananinua tena, kama zamani, alipoenda kunisemea kwa mama” lilalamika monalisa kimoyo moyo, wakati huo huo maji yakaanza kumwagikahuko bafuni ikionekana kuwa Edgar alisha anza kuoga, hapo nikama monalisa alikumbuka jambo, “sijuwi leo ata lala, sasa akitaka kulala tuta lalaje na mimi sija vaa nguo?”….endelea……..
Aliwaza Monalisa, huku akiinua shuka alilo jifunika na kujichungulia, jinsi alivyo debde (mtupu) aka ishusha ile shuka na kulitazama blangeti pembeni yake, aka liondoa ile shuka haraka nkijiunika blangeti.**
Naam! Kabla atujarudi nje ya hotel ebu tuingie chumba namba kumi na sita, ambako Erasto na dada mhudumu walikuwa wame jilaza kitandani, dada mhudumu ame kiegemeza kichwa chake kifuani kwa Erasto, wote wakiwa uchi wa mnyama, huku mikononi mwao wame shikilia grass za pombe kali, “yani mepenzi toke anime kuwa, sijawai kupata mwanaume kama wewe” alisema dada mhudumu, huku ana peleka mkono wake wakushoto kwenye dudu ya Erasto ambayo ilionekana kuchoka kwa kazi za mfululizo, “nipoje kwani?” aliuliza Erasto kwa sauti nzito iliyo ambatana na tabasamu, la sifa alizopewa, “kwanza unajijali, yani unanipa ela nyingi, alafu unanitomb.. mpaka najisikia raha” alisema dada mhudumu, na kumfanya Erasto kichwa kitanuke kwa sifa alizopewa, “wala usijari, tena atanikirudi songea, nitakuwa na kutumia ela ya nauli uwe unakuja songea” alisema Erasto huku mkono wake mmoja ukichezea nywele katika kichwa cha dada mhudumu, “mh! Ukimpata mchumba wako si utani sahau” alisema madada huyu kwa sauti ya kudeka, “siwezi kukusahau” alisema Erasto, ambae alijiwa na mawazo ya ghafla juu ya Monalisa, huko alikokuwepo, na kujikuta akiwaza jambo flani juu ya mpenzi wake huyo, “yani kama nikikuta Edgar amesha mgonga, na kuaribu bikira ya Mona, nita mtukana, alafu Edgar nita akikisha anafungwa” hayo yalikuwa mawazo ya Erasto, ambae sasa alihisi dudu yake ina uma kwambali, kutokana na kuitumia mfululizo, **
Kijana Kitindi mwenye umri wa miaka 25, mida hii alikuwa amesimama nje ya kigrocer kimoja cha Neema grocer, akimsubiri mpenzi wake huyu wa siri, yani mke wa bwana Mdemu, ili afunge hiyo bar yake ndogo aliyo funguliwa na mume wake miezi sita iliyopita, baada ya kumwita toka kijijini kwao Mgongo, huko mkoani Iringa, wilaya ya iringa (zamani), lakini kwa sasa ni kehesa kilolo, kuja kufanya nae maisha, maana yeye ni mtu wa kusafiri sana, na kushindwa kuiweka sawa nyumba yao, na kupangilia maisha, na huu niutaratibu waKitindi na Neema wakila siku, toka wameanza mapenzi yao, toka miezi mitatu iliyopita, kwamba kijana huyu Kitindi, akisha funga duka lake la viatu vya mitumba, uwa lazima ampitie mpezi wake huyu, mke wa mtu, na kwenda nae au nyumbani kwake Kitindi au kwa Neema, hiyo ni kwasiku ambazo bwama Mdemu anakuwa amesafari, kama hivi alivyo safari kwenda tabora kufwata asali.
Baada ya kumaliza kufunga mlango wa kile ki bar chake Neema akajiunga na Kitindi safari ya kuelekea kupeana dudu ikaanza huku wakiongea maneno mawili matatu ya kimahaba, akika unge waona unge watamani, sijuwi kwanini maana Neema alionekana kumpenda sana Kitindi kuliko mume wake, ambae anamjari na kumpenda sana, huku akiwaudumia wazazi na ndugu zake wa huko kijijini mgongo, “lakini kama vile leo nime waona polisi wengi sana, wanazulula” alisema Kitindi, huku wanatembea taratibu yeye na mpenzi wake, huyu wa wizi, “we unawaza Polisi, mwenzio na waza siku tukifumaniwa na juwa utanikimbia tu” alisema Neema huku anauzungusha mkono wake kwenye kiuno cha hawala yake, “weee! Nani akimbie, azima nibakie nione huyu mshenzi anataka akufanye nini, nikuache peke yako alafu akikuuwaje?” aliongea Kitindi akionyesha msisitizo, wamajigambo. **
Sasa turudi Serena Hotel, na tubakie nje ya hotel hii ya Serena, ambako wakina baba Monalisa na mke wake, wakiwa wanaenda pale walipo kaa makamanda wa polisi, huku wakifatiwa na mzee Misago mke wake, wakati wanapita kwenye meza ya wakina Kisona, mala mama Monalisa akasimama ghafla, nikama kuna kitu alikiona, kisha aka geuka na kutazama meza ya kina kisona, “we! mzee, ume fwata nini huku?” aliuliza mama Monalisa kwa sauti ya juu, iliyo jaa hasira za kilevi, wote wakashangaa, ata mume wake alie kuwa ame tangulia akageuka na kumtazama mke wake, kuwa anamzukia nani, “nakuuliza wewe mzee usio na huruma, yani ndio mme mtuma huyu jambazi wenu amteke mwanangu?” sasa mama Mona alikuwa ana msogelea mzee Mbogo, ambae alikuwa kimya akishangaa kinachotokea, Kisona ndie alie wai kumzuwia mama Monalisa, “samahani mama nivyema ukitulia kwanza ndipo uulize” alisihi Kisona, “hapana baba yangu, awa wamekuwa wakimfwata fwata mwanangu toka akiwa mdogo, mpaka nika amwamisha, lakini bado wameamua kumtuma mtoto wao, amteke binti yangu” alisema mama Monalisa kwa sauti ile ile ya juu, yenye hasira, “na lengo lao nikuvuruga Erasto ashindwe kumvesha pete Monalisa” safari hii aliongea mama Erasto, yani mke wa mzee Misago.
Tayari watu wote walikuwa wana shangaa, wakiwepo askari wajeshi la ulinzi, ambao tayari walisha sogea kwenye tukio na kumsaidia Kisona kumshika mama Monalisa, “ina kuingia hakirini kweli, Edgar ajiatalishie maisha yake, kwa ajili ya kuzuwia kijana wako asimvishe pete Monalisa?” aliuliza Kisona kwa mshangao, ambae sasa alikuwa amesha acha kumzuwia mama Mona, baada ya askari kumsaidia, Kisona akamtazama mama Erasto, “ndio anaona wivu, sababu yeye amemkosa” jibu la mama Erasto liliwashangaza watu wengi pale, ata wakina mzee Mohamed, na familia yake.
Kisona aka cheka kidogo, kisha aka watazama wale wanafamilia wane, kabla aja gotesha macho yake kwa mzee Anderson, “akika maneno haya angekuwa anayasikia binti yenu, ange hisi wazazi wake ni vipofu, wa hakili” alisema Kisona, na hapo karibu wote wane waka tazama kwa mshangao, kasoro mama Erasto, yani mke wa bwana Misago, “hakuna lolote, hizo ni njama zenu tu! za kumwaribia mwanangu, na tutaakikisha mtoto wenu anaozea jela” licha ya kuwa mama huyu alikuwa amelewa, lakini akika maneno yake yalijawa na hasira na chuki ya wazi kabisa, lakini kitu cha ajabu mzee Anderson alimtazama kwa jicho flani la kumpuuza, “sidhani kama wewe mama, una ujuwa umuhimu wa Monalisa, na sidhani kama unayafikilia maisha yake zaidi ya kuwa kijana wako aowane na Monalisa, maana toka kule songea, baada ya kuzungumzia usalama wa binti wa jirani yako, wewe unazungumzia kumkomoa mwanangu” alisema Kisona kwa hasira, kisha akarudi kwenye kiti cha na kukaa, akiwaacha wale wazazi wapande zote mbili wakimtazama kwa mshangao.
Wakati huo tayari makamanda wa polisi, walishaona tukio lile na wakaamua kumtuma mmoja, akaangalie kuna nini, nae alikuwa ni OC CID kutoka Iringa, “afande Kisona, vipi tena, naona mnaletewa fujo?” aliuliza OC CID, akiwa amesha ifikia meza ya Kisona, “hakuna tatizo lolote, ni mambo madogo ya kijamii, siunajuwa tena binti yao katekwa, sasa….” Atakabla kisona ajamaliza kuongea, tayari OC CID, Alisha dakia, “hoo! Awa ndio wazazi wa binti Monalisa, wawe watulivu, majambazi wapo hapa hapa mjini na binti yao, na juhudi zinaendelea, nazani mpaka kesho asubuhi, tutakuwa tumesha watia mbaloni” alisema OC CID, na hapo nikama alisha maliza utata, maana wakina mzee Misago na familia zao wakarudi kukaa, kwenye meza yao, wakimkuta dereva akiwa anaendelea na kinywaji, **
Baridi ilikuwa inapuliza vilivyo, polisi walioongozwa na Kingarame awakuacha kuzunguka mtaani kuwasaka majambazi, sasa walikuwa pamoja na wakina sajenti Kibabu na koplo Lusinde, “afande nikweli huyu dogo, ni mwanafunzi kweli, au ni askari wa jeshi la ulinzi?” aliuliza Koplo Lusinde, wakiwa na Kingarame wanaendelea kuhaha, kwenye mitaa ya Njombe mjini, na sasa walisha maliza kukagua guest hose zote, na awakuwa wameambilia kitu, “sina wasi wasi na hilo, nazani mmeona kuwa kwa sasa atokuwa na silaha yoyote, sababu bunduki amesha iacha kule kiwandani” alisema Kingarame, ambaae sasa alisha anza kuhisi miguu ina mchonyota, kwa kuzulula, “hapo umeongea, yani kiwakute zaidi ya kilichomkuta Lukas, lazima wakazi wa mji wa Njombe wa amke kwa milindimo ya risasi” hiyo ilikuwa kauri ya sajent Idd Kibabu, ambae alikuwa ameikamata SMG yake kama wezake, ambao walimuunga mkono, “yani akuna kuchelewa, ni kumimina risasi, ata akijisalimisha, kisha tuna chukuwa chetu tunaondoka” maneno hayo aliongea Kingarame, alieonyesha jazbba ya hali ya juu, “huyu mshenzi ametupotezea watu wengi sana, alafu anahatarisha mambo yetu, mpaka sasa sijuwi kama wakina Mapombeka wamezinduka au vipi” aliongea tena Kingarame kwa sauti yenye uchungu, kabla awaja sikia sauti za watu zikitokea kwenye chochoro moja ya mtaa, wakionekana watu hao wanakuja upande wao, hapo Kingarame akaonyesha ishara ya kuwa kimya, askari wote wakatulia huku wanaweka silaha zao tayari kwa lolote.
Ebu kwanza turudi Hotelini, nazani Edgar atakuwa amesha maliza kuoga, ***
Naam nikweli Edgar alikuwa amesha maliza kuoga, Monalisa alimona Edgar anatoka bafuni akiwa amevalia bukta yake aliyoingia nayo bafuni, kifua chake kikiwa wazi, nakama unavyo juwa Edgar ni mcheza baset ball, hivyo mwiliwake ulijengeka kwa mazoezi asa maeneo ya kifua, Monalisa akiwa kitandani akamsindikiza Edgar kwa macho, akimwona anaenda moja kwamoja na kuichukuwa bastora yake pale kitandani, huku Monalisa anamtazama tu!, Edgar akachomoa magazine ndogo ya ile bastora na kuzikagua risasi, kisha aka elekea kwenye meza huku akiiweka bastor yake kwenye kiti, na kubakia na magazine, kisha akafungua kibegi chake na kutoa kimkebe kingine kidogo cha risasi, aka pakua risasi tatu na kuziongezea kwenye ile yakwanza, kisha akairudisha ile nyingine kwenye mfuko, alafu aka ichukuwa bastora yake na kuiwekea magazine, alafu aka, iweka bastola mezani kisha aka ichukuwa suluari yake, tayari kuivaa.
Mpaka hapo Monalisa akashangaa, “wewe! kwani naleo ulali?” aliuliza Mona kwa mshangao, huku akimkodolea macho Edgar ambae akujibu kitu, zaidi aliendela kuiandaa suluari yake tayari kuivaa “jamani Eddy mbona hivyo, si naongea na wewe lakini” alisema Monalisa kwa sauti ya kinyonge, iliyo onyesha kuwa, kitendo cha Edgar kuwa kimya, kina muumiza, hapo akamwona Edgar ana geuka ana kumtazama, macho yao yala gongana, kisha kwa sauti tulivu na ya upole Edgar aka sema, “Mona siwezi kulala wakati hupo hatarini, sitoweza kulala mpaka niakikishe nime kufikisha kwa wazazi wako ukiwa salama” akika amaneno hayo ya Edgar, Monalisa akuyategemea kabisa, nikama alishikwa na mduwao, akabaaki amemkodolea macho Edgar huku anaachia tabasamu la mshangao, “ina… inamaana Eddy, una nijali kihasi hicho?” aliuliza Monalisa kwa sauti iliyoashilia mshngao wa hali ya juu, Edgar akuweza kujibu swali la Monalisa, zaidi ali inuka toka kwenye kiti, na kuanza kudumbukiza mguu wakushoto kwenye suliari yake.
Kikapita kimya kidogo, nikama Monalisa alikuwa anatafakari jambo,akiwa ame elekeza macho yake juu ya siling board, Monalisa akajichekesha kidogo, “Eddy kunakitu nataka kukuomba, utanikubaria?” alisema Monalisa huku akijichekesha kidogo, “sijawai kukunyima kitu ambacho ninauwezo nacho” ilo ndilo lilikuwa jibu la Edgar, ambae alikuwa anamalizi kudumbukiza mguu kwenye suliali, “naomba uniminye minye kama sikuile kule porini, mwenzio miguu inauma” alisema Monalisa, kwa kisauti flani hivi nyololo, huku akijichekesha, kwa aibu, pasipo kujuwa madhara ya kufanyiwa massaje bubu, “ume vaa nguo?” aliuliza Edgar huku anaghairi kuendelea kuvaa suluari yake, maana aliuchomoa ulemguu aliovaa na kuiweka kwenye kiti, kisha akachukuwa bastora yake na kusogelea ktandani, akiwa na butka tupu, na kwataarifa fuopi ni kwamba ndani hakuwa amevaa chupi,
Kisha Edgar, aka inua mto (plow) mmoja na kuiweka chini yake, “sijavaa kitu, si hiyo hapo nime ifua” alisema Monalisa, huku anajitazama vizuri kama kuna sehemu ya mwili wake aliiacha wazi, akajiona kuwa yupo salama, “si maanishi chupi, maana ujavaa atasuluali?” aliuliza Edgar, akiwa amesimama pembeni ya kitanda, na vazi lake la bukta, Monalisa akajibu kwa kutikisa kichwa kushoto na kulia, maana yake akuwa amevaa nguo hiyo, alafu unataka tulale hivi, uoni nihatari kwa mchumba wa mtu kama wewe, kulala na mwanaume ukiwa uchi?” kauli hiyo ya Edgar nikama ilimchoma sana Monalisa, ambae alijiinua kidogo, huku ame libana blangeti kifuani kwake, na kumtazama Edgar, huku tayari machozi yalisha anza kujaa kwenye macho ya Monalisa, “Edgar, ungejuwa jinsi, sivyopenda jambo hilo litokee, ata usinge niambia hivyo” sauti ya Monalisa, nikama ilitaka kuangua kilio, “basi Mona, nilikuwa na kutania tu!” alisema Edgar, kwa sauti ya kubembeleza, maana anamjuwa Monalisa, alipokuwa mdogo, mala nyingi alipo mkosea alikimbilia kulia, “siyo kweli Edgar, najuwa nime kuchukiza nilipo kuambia kuwa Erasto mchumba wangu, simpendi yani simpendi kabisa” japo ilikuwa sauti ya chini, kama ambavyo wamekuwa wakiongea, toka wameingia hapa Serena Hotel, lakini sasa ilikaribia kulia, hapo Edgar akajuwa amesha chokoza kilio, na nilazima akitulize kwa njia yoyote ile kabla akijasikika nje nakuwavutia watu watake kuingia mle chumbani kwao, maana nilazima wata mfahamu, na kumsababishia matatizo mengine, Edgar akakaa kwenye kitanda, pembeni ya Monalisa, alie kuwa amejiinua na kuwa kama nusu amekaa, “sasa kinacho kuliza kitu gani, wakati nakuambia kuwa nilikuwa nakutania?” alisema Edgar kwa sauti ya kubembeleza huku anajaribu kufuta machozi, kwenye mashavu ya Monalisa, “Eddy, atamimi roho inanuma, yani naonekana mkatili kwako” sasa baada ya kumtuliza ndio, kwanza Monalisa alizidi kujawa na kitu ambacho sijuwi tuiteje, uchungu au uzuni au nini sijuwi, maana aliongea kwa sauti ambayo sasa niwazi ilikuwa ina shindana na kilio ambacho kilitaka kuchomoka muda wowote, sema Monalisa alijiwai, kwa kujiegemza kifuani kwa Edgar, huku akiuziba mdomo wake kwa kiganja cha mkono wake, maana yake aliachia blangeti, ambalo bahati nzuri lilibanwa na wawili awa, kwa ile kuegemeana, na kumfanya Monalisa abakie kulia kwa kwikwi, “sikia Mona, usiwaze hivyo, wala usilie, siunajuwaga mimi sipendi kukuona unalia, au umesahau?” alisema Edgar, kamavile alikuwa anaongea na mtoto mdogo, huku anakilaza kiganja chake kwenye mgongo wa Monalisa, uliokuwa wazi na kuanza kuupapasa, kwa namna ya kumpooza, kamavile mama anavyo bembeleza mtoto, ili alale, “lakini Edgar, mwenzio naumia roho, najuwa unazani sikupendi, kama wewe unavyo nipenda, ndio maana ume kaa kimya, umeninunia” alisema Monalisa, kwasauti ambacho ilianza kupunguza kilio kile cha kwikwi, huku akipakaza machozi yake kwenye kifua cha Edgar, “sija kununia Mona, nilikuwa kimya sababu natafakari jinsi tutakavyo toka nje ya mji huu” alisema Edgar, huku bado mkono wake unaendelea kufanya kazi yake, kwenye mgongo wa Monalisa, ambae nikama alionekana kutulia kidogo, na kuacha kulia, huku akiendelea kujifuta machozi kwenye kifua cha Edgar, “lakini bado unanipenda?” swali la Monalisa lilikuwa niswali la kijinga kwa Edgar, ambae sasa alibadiri kazi, ya mkono wake na kuanza kumbinya kwenye bega, kwa namna ya kumkanda, kama alivyo omba mwanzo, “lakini Mona, siunajuwa kuwa sijawai kuacha kukupenda?” alijibu Edgar, japo alijuwa huyu ni mchumba wamtu,hapo Monalisa akainua uso wake na kumtazama Edgar usoni, nikama alitaka kuakikisha anacho kiongea nichakweli au anatania, akamwona Edgar nae ana mtazama huku ameachia tabasamu bana, Monalisa nae akatabasamu, akionganisha na kicheko cha aibu “nikande na mgongoni kama sikuile” alisema Monalisa, huku anauficha tena uso wake, safari akukaa kama mwanzo, ila alilaza kifua chake kwenye mapaja ya Edgar, na kuacha sehemu ya mgongo ikiwa wazi mpaka sehemu zilizo ishia makalio, akika ulikuwa mtihani mkubwa kwa Edgar, naama licha ya sehemu hii ya mgongo kuonekana, pia matiti ya wastani magumu yaliyo simama vyema ya binti huyu, yali gandamiza kwenye mapaja ya Edgar, na kukandamiza duduyake, ambayo ilisha anza kujitutumua, ndani ya bukta ya kijana huyu, ilibakia kidogo Edgar amwambie Monalisa, juu ya hatari ya mkao hule, lakini akaofia kusababisha kilio kingine.
Maana alihisi msiisimko flani hivi, ulio uchemsha damu yake iliyo kimbili chini na kuzidi kuliamsha dudu, lakini akuacha kutembeza mikono yake yote miwili, akibinya binya, mgongoni kwa Monalisa, akianza mabegani na kwenye mbavu change za mrembo huyu, ambae Edgar alitamani sana kuwanae kama hivi, edgar aliendelea kumkanda na akishuka taratibu kwenye uti wa mgongo, ambao aliufwata mapaka, ulipoishia, yani kwenye mpaka wa kiuno na makalio, ambayo yalifunikwa na blangeti, kisha akaanza kukimiya kiuno, akizungusha mikono kwa kukifwata kiuno pande zote yani kusoto na kulia, akishuka chini kama vile anataka kuja kwambele, akika nikama Monalisa alikuwa anajisikia raha flani hivi, maana alianza kujitikisa tikisa, huku akibinua kiuno chake, kwa juu sambamba na makalio yake kutoa nafasi kwa Edgar, iliaweze kupenyesha mikono yake kwachini.
Akika ilikuwa burudani ya pekee kwa monalisa, ambae licha ya kufuraia kuona mwanaume huyu, shujaa katika maisha yake, anamfanyia hivi, pia alihisi mtekenyo mmoja mtamu sana, ulio mpa raha ya ajabu, Monalisa alitulia, akiisikilizia mikono ya Edgar, kiunoni mwake, huku akitamani izunguke zaidi na kumkanda sehemu zambele, hivyo alijikuta akijiinua kidogo, ili Edgar apenyeze mikono yake uvunguni, mala Monalisa akagundua mabadiriko makubwa kwenye sehemu ya mbele ya Edgar aliyo ilazia kifua chake, nikwamba dudu ya mwanaume huyu, ilikuwa imetutumka, kamavile nyoka ameona chura, “mh! Na yeye ametamani” aliwaza Monalisa, wakati huo akamwona Edgar akimwinamia na kusogeza mdomo wake kwenye sikio, “unaweza kugeuka nikukande kwa mbale?” sijuwi hapo Monalisa alijibu nini, vipi wale wakina Kitindi na Neema wanausikaje, naona leo tuishie hapo, mpaka kesho mungu akipenda, tembelea hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!