BIKIRA YA BIBI HARUSI (69)

SEHEMU YA SITINI NA TISA (69)

ILIPOISHIA SEHEMU YA SITINI NA NANE (68) na kuganda kwa muda, huku Edgar akiendelea kutwanga, akika Edgar nae akuchelewesha mambo, maana sekunde tano mbele, akawasikia wazungu wana sogea mlangoni, na kumwaga watoto ndani ya kitumbua cha Monalisa, wakati huo huo, ghafla wakasikia mlango wachumba chao unagongwa kwa fujo kama zote, ENDELEA ………
Kitendo bila kuchelewa, Edgar alimshika Mona lisa na kushuka nsae toka kitandani, huku mkono wake wa kulia ukifunua mto, plow, na uchukuwa bastora yake kisha akamsukumia Monalisa kwenye mlango wa kuingilia bafuni, uku na yeye akiinua bastora na kuielekeza mlangoni, ambako kuligingwa kwa mala yapili, “pumbavu ebu jiheshimuni bwana” ilisikika sauti toka nje ya mlango, ikiashilia mwongeaji alikuwa amelewa sana.
Baada ya hapo kikafwata kimya, ambacho kiliashilia kuwa huyo mgongaji, alikuwa ameondoka, Edgar aliekuwa mtupu kabisa, akashusha bastora yake, na kuingia bafuni, ambako alimkuta Monalisa amejibanza ukutani, “kumbe ni mlevi tu” alisema Edgar huku akiiweka bastora pembeni, na kuanza kuoga, “kumbe ni mlevi” alisema Monalisa huku na yeye akisogelea kwenye bomba la maji ya mvua yenye joto la vugu vugu, na kuwa karibu kabisa na Edgar Kihasi cha kugusana miili yao, “lakini sauti yake inafanana na Erasto….” alisema Monalisa, kabla aja stuka na kumtazama Edgar kwa hofu ya kumuudhi, kwa kulitaja jina hilo, wakati huo Edgar nae alimtazama Monalisa, nikama wote wawili walikuwa wapole ghafla, “samahani Eddy, lakini….” alisema Monaisa kwa sauti ya upole, lakini kabla ajamaliza kuongea lakini Monalisa, akashangaa kumwona Edgar ana mkumbatia pale pale chini ya maji, yaliyo wamwagikia, kutoka bomba la juu, (bomba la mvua) “asante sana Mona, kwakuni luhusu kuwa mwanaume wako wakwanza, naahidi kulitnzapenzi letu, na kukulinda wewe mpenzi wangu, usipatwe na hatari yoyote” alisema Edgar akiwa amemkumbatia Monalisa, uchi kama walivyo zaliwa, huku wakimwagikiwa na maji toka bomba hili la juu, akika Monalisa alitabasamu, huku ana kwepesha macho yake, na kuizungusha mikono yake kwenye kiuno cha Edgar, “Eddy wewe siyo mwanaume wakwanza, ila wewulisha kuwa mwanaume wangu wa siku zote” alitulia kidogo Monalisa, huku anainua usowake, na kumtazama usoni Edgar, nilifurahi sana siku ulipo niandikia barua, maana ulifanya kitu nilicho kua nakitamani toka siku nyingi, japo tulikuwa wadogo, na barua ilimfikia mama, lakini niliificha zawadi ya chupi uliyo niletea” hapo wote walicheka cheka kidogo, “mhhh! kweli?” liuliza Edgar huku anacheka, kicheko cha furaha, “kweli niliificha, tena ninayo ata hapa?” alijibu Monalisa akiwa bado ame zungusha mikono yake kiunoni kwa Edgar, tana sasa alikuwa ana tembeza mikono yake sambamba na maji yaliyo kuwa yana wamwagikia, “akika, nilizani kuwa, wewe ndie ulie mwambia mama yako” aisema Edgar huku ana chezea nywele za Monalisa, ambazo zilikuwa zina mwagikiwa maji, ambayo yalitililika nakupita sehemu mbali mbali za mwili wa binti huyu, “nisenge weza kufanya hivyo, sababu nilisha kupenda” Monaisa alimwambia Edgar , ambae alikuwa ana chukuwa sabuni na kuanza kupka kwenye nywele za Monalisa, na kutililisha maji yaliyo shuka chini, yakipitia kwenye maeneo ya kitumbua cha binti huyu, na kushuka chini yakiwa na alama flani ya damu.***
“Sijuwi tutajificha wapi, endapo ushaidi utakuwa wazi?” aliuliza PC MIKE, kama unamkumbuka ni yule ambae alivamia chumba cha monalisa kule Hotelini Makambako, akiwa na marehemu PC Charles, SSP Kingarame akacheka kidogo, “ondoa wasi wasi, kwanza kumbuka tuna mali nyingi sana, tuna weza kukimbilia popote” aliongea Kingarame, kwa sauti ambayo aikuonyesha wasi wasi wowote.
Bado mitaa ilikuwa tulivu sana, baridiilikuwa kali sana, na kuleta mateso kwaaskari ambae akuwama sueta au jaket, “ila nauakika Edgarna mwenzie, tuta wapata na tuta wauwa kwamikono yetu, kabla awajafika popote” aliongeza Kingarame, wakiwa wamesimama mita chache toka stend kuu, “lakini afande, naona kama kila muda unavyo sidi kwenda, ndivyo mambo yanavyo ongezeka, ebu ona, unajuwa walewa majeluhi wa makambako, ni tatizo kubwa kwetu?” hapo Kingarame akageuka na kumtazama Mike, kwa macho ya tahadhari, “kwahiyo?” swali ili la Kingarame lilionyesha wazi kuchoka na maswali ya askari wake, “afande hili swala lita tuweka pabaya, kama tukibainika, ona tumesha sababisha vifo vingi mpaka sasa ten…” alisema Mike, kwa sauti ya juu, na yaukari, kinyume na nidhamu za kijeshi, kwa askari mdogo kumkoromea mkuu wake, “mike unajuwa kuwa unaongea na nani?” aliuliza kwa ukari koplo Lusinde, huku akimsogelea PC Mike, huku akionyesha kuwa yupotayari, kabisa kufanya kumtandika makofi, “kwani ye ninani?, ona jinsi watu wasio na hatia wanavyo uwawa, nime mpoteza Chaz, na bado tunaendelea kuuwa watu wasio na hatia” lakini Mike ambae akuonyesha dalili ya uoga aliongea hivyo kwa sauti ya juu iliyo jaa hasira, “Sinde, ebu mwache nazani mpaka asubuhi tutakuwa tumsha pata jibu” alisema King, huku anamshika mkono koplo Lusinde.
Hapo nikama hali ya utulivu ililejea, maana mike na koplo Lusinde waliishia kutazama kwa hasira, SSP Kingarame aka mgeukia Mike na kumshika begani, Kisha kwa ssauti ya upole akamwambia, “nazani Mike umechoka nakazi mfululizo, ni vyema ungeenda kambini kupumzika, lafuasubuhi tutaongea vizuri” akika kam ungevuta picha ya sura na sauti ya Kingarame, ungesema ni mtu mwema na mwenye busara nyingi sana, sauti ambayo ili mfanya askari polisi Mike, ajionekuwa ni mkosefu kwa kumzukia afande wake huyu, anae mjali sana, “ni kweli afande, ata mimi nimeshangaa kuwa hivi” alisema Mike, akionyesh kujutia kitendo alicho kifanya, “usijali Mike, mambo haya uwa yana tokea kwenye shughuli kama hizi, we kapumzike” alisema Kingarame kwasauti ya upole.
Baada ya hapo, akapigasalut na kuondoka kuelekea barabara kuu, ili aelekee kwenye kambi la polisi wilaya ya Njombe, huku wenzake wakimsindikiza kwa macho, mpaka alipo tokomea gizani, Kingarame aka mgeukia koplo Lusinde nakumwonyesha ishara kwa kichwa, ambacho alikibetua kuelekeza upande alio elekea PC Mike, “sijuwi kama ata fika salam, na huyu jambazi Edgar Mbogo,?” alisema SSP Kingarame, akiigiza sauti ya majonzi, askari wote wakacheka, wakati huo koplo Lusinde alikuwa kama anatafuta sehemu ya kwenda kukojoa, “Ok! sikiliza toka kwangu, wotetutakuwa hapa, mpaka asubuhi, magari yatakapo anza kuondoka, maana wawili awa lazima wataitaji kuondoka mapema, kuelekea songea” alisema Kingarame, kwa sauti ya juu. **
Erasto aliingia ndani ya chumba namba kumi na sita, na kumkuta demu wake, yni dada mhudumu akiwa amejilaza kitandani, huku ana endelea kunywa pombe, yani hii guest yenu bule kabisa, mijitu inatomb..na inapiga kelele mpaka kelo kwa wengine” alifoka Erasto, maana ukiachilia pombe zilizo mlewesha, pia Erasto ulimshika wivu mkubwa, akihisi kuwa huko porini, Monalisa atakuwa amesha ingiziwa dudu na Edgar, “yani siku nikikutana na huyu mpaumbavu, nita akikisha na mpiga sana, sijari ujambazi wake” alisema Erasto kwa sauti ya juu, huku dada mhudumu akimshangaa, “tena ngoja nika mweleza manager wenu maana huu ni ujinga mkubwa” alisema Erasto, huku akigeukla na kuufwata tena mlango, “lakini mpenzi unge pumzika kwanza, mpaka asubuhi mimi nita ueleza uongozi” alisema dada mhudumu huku anainuka kitandani, akiwa uchi kama alivyo zaliwa, na kuwai ili akamzuwie Erasto, lakini alisha chelewa, tayari Erasto alisha fungua mlango na kutoka nje ya chumba namba kumi na sita, na dada mhudumu akaishia hapo, sababu asingeweza kutoka nje, kwa ule uchi aliokuwa nao, hivyo akamwacha Erasto aende alikokuwa anaenda
Erasto ambae aliamini kuwa wazazi wake na wazazi wa Monalisa walisha enda kulala, akaelekea moja kwa moja mpaka mapokezi, “we dada naommba kuonana na meneja wenu” alisema Erasto kwa ghazab, na kumfanya yule dada ahangae, akamtazama Erasto ambae alionekana kulewa vibaya sana, “samahani kaka, meneja hayupo ila mimi naweza kukusaidia” alisema yue dada mhudumu, wa mapokezi, “kuna wateja wenu wana tupigiakelele, yani wanatomb..na mpaka nje tunasikia” aliongea Erasto, kwa hasira za kilevi, mhudumu wa mapokezi akatabasamu, “samahani kaka wewe si mgeni wa chumba namba kumi nasita” aliuliza yule dada, hapo Erasto akaonekana kumtazama huyu dada kwa macho ya mshangao, “ndio nini sasa, kama nipo namba kumi na sita?” aliuliza Erasto kwa hasira za kilevi, “sina maana mbaya, mpangaji wa chumba hicho, nae anatabia kama hiyo” kwamaneno hayo dada mhudumu wa mapokezi, nikama aliuwasha moto, ***
Wakati huo huko nje ambako Erasto alikuwa ameeleka, Tatari makamanda wa jeshi la polisi walikuwa amesha maliza kikao, na kama unakumbuka vizuri kutoka sehemu iliyopita, RPC Iringa alikuwa ameshatoka kwenye sehemu ya vinywaji na chakula, akiwaaca wenzake, yeye aka elekea ndani ya jengo kubwa la hotel,
Sasa basi, wakati anakatiza pale mapokezi, akamwona mlevi mmoja kijajna ana bishana na mhudumu wapale mapokezi, “we m[pumbavu nini, mimi nazungumzia chumba namba kumi na saba, alafu wewe unaongea nini” RPC Iringa aka punguza mwndo kusikia kuna tatizo gani, umbea nao usika hapo, “samahani kaka yangu, ilo ndio imeniambia, lakini sisi tulilisikia la chumba namba kumi na sita” lisema yule dada wa mapokezi kwa sauti ya upole, lakini ilikuwa kazi bule, “nyie wahudumu mna nidhamu kabisa, ndio maana mna pigwa makofi, au yule mwanamke anae piga kelele nimhudumu mwenzio, maana nyie wahudumu ni Malaya sana” kauli hii ya Erasto ili onyesha kuto kumpendeza dada wamapokezi, ambae alito jibu kwa sauti ya juu na yaukari, “we kaka nahuo ulevi wako, tuheshimiane, siyo kila mhudumu malaya”
Safari hii siyo RPC pekeake, ata kule nje walisikia, na kati ya walio sikia ni wazazi wa Erasto na wazazi wa Monalisa, pamoja nadereva wao, ambao walitambua kuwa Erasto yup[o kwenye ugomvi, hivyo waka inuka kwenye viti vyao na kukimbilia ndani, hapo sasa ndio patamu, maana ile wanaingia tu wakmsikia Erasto, ambae akuwaona, akishusha tusi la nguoni, “kum..la mamako, nyie ni Malaya tu” na hapo Erasto alizidi kuuchochea moto wa mhudumu, “we! unazani kila mhudumu ni mala ya kama huyo ulie mwokota?” lakini kauri hii ya dada mhudumu wa mapokezi aikusaidi kitu, zaidi nikama ilimchochea Erasto, ambae akujari watuwalio anza kuja kushuhudia mpambano, “atawewe Malaya tu, kama mwenzio, na nita mwambia meneja wako” maskini Erasto akujuwa kama wazazi wake wamebaki midomo wazi, huku wakwezake watarajiwa wakichekea pembeni, “Malaya wewe na huyo Malaya mwenzio unae lala nae kila siku, na kupiga kelele zinazo wakela wenzenu” duh! jamani poleni kwa subiri mpaka mida hii, nawatakia mwanzo mwema wa week, itaendelea hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!