BIKIRA YA BIBI HARUSI (73)

SEHEMU YA SABINI NA TATU (73)

ILIPOISHIA SEHEMU YA SABINI NA MBILI (72) itakuwa lahisi kwetu kumvesha huu mzigo wote” alisema Kingarame, na askari wake mmoja aka ongea neno, “lakini afande yeye ame ondoka muda mrefu hapa, tunaweza kujuwa yupo wapi?” Kingarame akacheka kidogo, “yule ana hakiri za kitoto, lazima atakuwa ameenda kumficha Mike, hivyo mpaka sasa ata kuwa bado haja rudi hotelini, sisi tunaenda kumsubiri pale” alisema Kingarame kwa kujiamini. endelea……………
Saa tisa kasoro za usiku, mida ambayo baba Edgar alikuwa ame lalusingizi a mang’amu ng’amu, sababu bad alikuwa na mawazo juu ya wanae, mbae ame ambiwa na mke wake, yani mama Edgar, kuwa yupo hapa hapa Njombe, atawakati milindimo mingine ya risasi y mwisho iliposikika na yeye liisikia, akiwa macho, na sasa ndio alikuwa anapata usingizi, kwa mala nyingine, lakini kabla ahaja lala swa sawa, akasikia mlango w chumba chake unagongwa, na yeye akjuwa hakuna mwingine zaidi yak anal Kisona, hivyo akainuka haraka sana toka kitandani na kuufwata mlango, na kuufungua, “vipi Kisona, kuna lolote?” aliuliza mzee Mbogo kwa shahuku, “mzee nazani unajuwa kuwa tumekuja kazini, ebu vaa haraka, tuna safari ya makambako, usiku huu, utatukuta chini” alisema Kisona lie kuwa amevaa nguo zake za kijeshi, zie zinazo tumika kwenye mapigano, wenyewe wanaita kombat dress, kish akaanzakuelekea upande zilipo ngazi, za kushukia chini, huku mzee Mbogo anaingia chumbani kwake, na kuanza kujiandaa kw safari ya makambako.
Alitumia muda mchache sana kuwa amesha vaa nguo zake na kuchukuwa silaha yake, nazani unakumbukamkuwa alichukuwa smg ya polisi, kule polisi, sehemu ambayo wakina Edgar walizama kwenye tope, kisha akatoka nje, na ambako aliwaona wakina Kisona wana jikusanya, dad mhudumu wa mapokezi akuonekana pale mapokezi, tayari alisha lala, wote wakaelekea kwenye gari wakiwa na silaha zao, huku wakipepesamacho hukuna huku, kutazama kamakuna mtu ana watazama au anafwatilia mwenendo wao, wote wakaingia kwenye gari lao la kijeshi, aina land rover mia na kumi, ile kuingi ndani wot wakashnga kuona kuna mtu ndani ya gari, “huyu ni mmoja wawatu muhimu sana ambao tunawitaji kwa usalama wa Edgar na mwenzie” alisema Kisona, huklu mzee Mbogo akiliondoa gari maeneo yale ya hotel, na Mike ambae walimkuta ndani ya gari akanza kuwaelezea kilicho mkuta na jinsi mpango mzima ulivyo, kuanzia wana vamia NMC, nakuanza kumwandama Lukas Benjamin, ambae kwa sasa marehemu, Lukasa alipo mkabidhi Monalisa ile tape na wao kubadrili kibao na kuanza kuwa andama wakina Edgar, na jinsi mauwaji yanavyoendela kutokea, na jinsi walivyotumwa watu lkwenda kuw uwa wakina MAPOMBEKA, na kukutwa wame uwawa, pia alieleza jinsi alivyo koromeana na SSP Kingarame juu ya haya mauwaji yanayo endelea kutokea, na ndio kisa cha yeye kushambuliwa na wenzake, wakiofia kuwa atafichua siri zao. ***
Edgar akiwa bado amekaa kwenye kiti, ndani ya chumba chake, macho dirishani masikio ame ya tega kusikia chochote, aliusikia muungurumo wa gari likiondoka hapo hotelini, lakini akuujari sana maana magari alisha yasikia mengi sana, yakija na kuondoka hotelini hapa, akaachana nalo na kutulia zake, akiendelea kutazama nje , kwakupitia, huku mawazoni mwake akivuta picha ya tukio lililo tokea masaa kadhaa yaliyo pita, tukio ambalo alikuwa an liota kila siku na kuombe litokee, alivuta picha ya jinsi Monalisa mpenzi wake jinsi alivyo kuwa ame lala, na yeye ana mchezea kikunde, akakumbuka jinsi alivyo mwingizia dudu, na zile kelele alizopiga, alikumbuka amaneno na sauti za utamu ambao azilifwatia baadae, pia alikumbuka ahadi ya mpenzi wake huyu, ambae tete aliona kuwa inawezekana, sababu walisha pendana toka utotoni.
Wakati anawaza hayo mala akawaona polisi wana pita nye ya jengo la hotel huku mmoja wao akisohgea na kujibanza kwenye kichaka kimoja cha mauwa, kati ya vingi vilivyo oteshwa mle ndani, ya uzio wa hotel hii serena, Edgar aka stuka na kutazama kitandani, akamwna mpenzi wake Monalisa amelala fofo, maana leo ndio alipata nafasi ya kulala sehemu nzuri, akarudisha tena macho yake kwa yule polisi, akawaona wengine wanendea kupita, huku mwingine akienda kujibanza, kwenye kichaka cha mbele cha mauwa, “nime kwisha, sijuwi wame juwaje kama nipo hapa” aliwaza Edgar, ambae aliinuka na kwenda kuuungua mlango kwa tahadhari, kama alivyo fanya mwanzo, nazani unakumbuka, kisha kwa tahadhari kubw zaidi aka chungulia nje0 kwa kutumia upenyo mdogo, akaona hakukuwa na mtu, lakini akulizika nahilo, akatulia pale mlangoni na kuendelea kuchungulia nje.
Edgar ambae mwanzo alikuwa na uakika kuwa, wale polisi wapo pale kwaajili yao, alitulia pale mlangoni kwa nusu saa nzima, huku wakati mwingine akitazama kule dirishani, mala akaona kuna mtu anapita kwa wale askari na kuwapa ishara kuwa waondoke, nao wakainuka kimya kimya kama walivyo kuja na kuondoka zao, sasa majogoo yalishaanza kuwika, ikiashili kuwa tayari ilish ika zaidi ya saa tisa na nusu, za usiku, kunaeleka kukucha, “huko nje ni hatari tupu, nikisema tutoke, hakika hatuta fika mbali, lazima niombe maada nikiw humu humu ndani” aliwza Edgar huku akirudi n kwenda kukaa kwenye kiti chake, kama alivyo kaa mwanzo, nisingiacha bunduki ninge jribu kutoka” aliwaza tena Edgar akiwa ametulia anatazama nje, “lakini ningeingiaje na silaha mahali hapa?” hapo Edgr alijikuta anacheka,***
“Sijuwi ameenda wapi huyu mshenzi, maana gari lake halipo” alisema Kingarmr kwa hasira, huku anaongoza kikundi chake kuelekea barabarani, “nazani ni lile gari tulilo lisikia wakati tunakuja” alijibu sanjet Kibabu, ambae alikuwa karibu kabisa na Kingarame, hapo kikapita kimya kidogo, kishakingarame aka sema, “inamaana huyu mshenzi ana hakiri nyingi kuliko sisi, amewezaje kuodoka haraka hii, au alikujja Mike mpaka huku?” aliuliza Kingarame kwa sauti ile ile ya hasira, “isije kuwa amesha wapata wale madogo, sisi anatuchor tu”alisema Kibabu, hapo kikapita kimya kidogo, nika aKingarame alikuwa anawaza jambo, alafu Kingarame aka msogele karibu kabisa Kibabu, na kumnong’oneza, “kaa tayari, muda wowote tuna ondoka, maana kama ushaidi utakuwa wazi, basi jaji atakae tufunga kifungo cha maisha, nazani na yeye tafungwa, maana hukumu yetu ni kifo moja kwa moja” alisema Kingarame, ambae aliona mambo yanazidi kuwa magumu kwa upande wake,wakati huo huo waka liona gari linalo endeshwa na Hokololo likija upande wao, na alipowafikia, alishuka na kwenda kutoa report kwa Kingarame kuwa tayari ameshajaza mafuta, na analita mia za hakiba, “ok! muda wowote nikisema tuondoke tunaondoka” alisema Kingarame, hukuawakielekea maeneo ya stand, ambako waliaminikama ni safari, wakina Edgar lazima wataanzia hapo.**
Saa kumi na moja kasoro, ndani ya kambi kubwa la jeshi la ulinzi, isona alikuwa amesimama pembeni ya kitanda cha wagonjwa katika chumba chadharula, akishuhudia jinsi doctor mmoja wa kijeshi, anavyo toa huduma kwa PC Mike, alie kuwa amelala kitandani hapo, akiwa tayari amesha tembelea kwenye ward ya wazazi na kumwona mke wa mapombeka, ambae alimweleza kuwa jana jioni alimpelekea mtoto amesha mwona,
Pia bwana Kison lishaenda kuwaona wakina mapombeka na wenzie, lakini aliwakuta watatu nne tu ndi wenye uwezo wa kuongea na kutembea japo kwa shida, mmoja wao akiwa ni mapombeka, na mwenzie mmoja alie kuwa nae kwenye hajri ya bomu, pia wale askari wawili, ambao walichalazwa risasi na Edgar pale kwenye matope, wengine bado walikuwa vitandani, japo walikuwa na uwezo wa kuongea,
wote kwa pamoja wali mshuru sana Kisona, kwa msaada alio wapa, asa Mapombeka, ambae akujuwa aseme nini ili aonekane kweli anashukuru.
“yani nakushukuru sana braza, bila wewe ningekufa” alisema Mike, akiwa anendellea kupokea uponyaji, unajuwje pegine wasinge kuona mle chooni?” aliuliza Kisona, kama vile anatania, “mh! atawasinge niona kwanza ninge kosa matibabu, pili ninge kufa kwa harufu kali ya chooni” hapo ata doctor alijikuta anangua kicheko, “hahahaha ila kwenye kifo ibnabidi ukubaliane na mazingira yoyote, maana mle ulimojicha duh!” alisema Kisoma huku akimalizia kicheko, “ila yote kwa yote, yule dogo ni hatari sana” alisema Mike, akimsifia Edgar, “kwanini unasema hivyo?” aliuliza Kisona akitegemea kupata habari zaidi, “maana ukiachilia mambo aliyo tufanyia porini, yule dogo alicheza mchezo mmoja wa hatari sana, pale hotelini tulipo mvamia yule demu” alisema Mike, na kusimulia jinsi ilivyo kuwa, wakati yeye na rafiki yake marehemu Charles, wanajjaribu kumbaka Monalisa, kisha wamuuwe, na walivyo vamiwa na Edgar mbae ali wapola bastola, kisha kuondoka na Monalisa kiwaacha wame zimia, “hivi yule dogo ni mwanajeshi au?” aliuliza Mike, ambae alijiona yupo sehemu salama kabisa, Kisona alicheka kidogo, ni kicheko chamasikitiko, (nazani mdau unakifahamu) “sasa nyie kwanini mlimua kubaka kwanza, kabla ya kufanya kazi mliyo tumwa?” aliuliza Kisona kwa sauti iliyopoa kidogo, “kwani afande umjuwi yule demu, nimzuri sijawai kuona” hapo doctor na kisona wakacheka tena, “inamaana ulishindwa kuvumilia?” aliuliza doctor, huku anendelea kufunga jelaha la kwenye paja la mgonjwa, “nivumile wakati yule demu nilikuwaga namtamani toka zamani” alisema Mike, na hapo Kisona, nikama alimshangaa Mike, “kwani ulisha wai kumwona kabla ya hapo?” aliuliza kisona huku akimkazia macho Mike, “kwa sisi vijana hakuna asie mjuwa Monalisa kwa pale songea, mtoto mkali kinoma” ghafla kisona akamtazama doctor, ambae nae alimtazama Kisona kwa kumshangaa, mana kisona alionekana kama ameganda, kumbe kichwani mwake ilikuwa inapita suti ya mhudumu wa mapokezi, pale serena hotel, “kuna binti moja mzuri mzuri hivi ame chukuwa chumba, alisema yupo na mpenzi wake” alikumbuka maneno haya, kiasi kwamba yeye akashangaa, kwa mwanamke kuujuwa uzuri wa mwenzie tena akiusifia, ungesema ni mwanaume, au anakatabia kausagaji, “huyu hapa anaitwaaaa… Monalisa.. sijuwi nani maana jinalake la mbele lakizungu” hapo ndipo Kisona alipo kumbuka jina la binti huyu, “kum…make, nilikuwa mpuuzi sana mida ile, kwanini sikuwaza juu yahili” alisema Kisona huku akiifwata simu iliypo mezani, na kuanza kubonyeza namba flani flani, kisha akweka sikioni na kusikilizia kwa sekunde kadhaa, kisha akaanza kuongea. “jambo afande,…… ni kanal Kisona hapa, nipo makambako… ndio hafande pole kwa usumbufu….ndio afande…. naomba askari kumi na silaha zao, ….. ndio afande nipo kambini… gari moja litatosha….nipo simu ya ofisi ya mergence, … asante afande” alimaliza kisona na kumgeukia doctor, huku wenzake wakimshangaa, maana ilikuwa ghafla, “mmalizie haraka huyo yunaitaji kuondoka haraka”alisema kisona huku anaelekea kwenye mlango wa chumba kile,na kuufungua kisha akatoka nje na kutokomea zake, akiwaacha Mike na doctor wanashangaa, “unajuwa nini?, hapa amesha pata jambo flani, muhimu la kulifanyia kazi, huyu jamaa ni mtu hatari sana” alisema doctor ambae sasa, aliamia kwenye bega la Mike na kuanza kulishona.
Nje ya jengo la hotel mzee Mbogo na wakina Katembo, walikuwa wanapiga story za hapa napale, asa matukkio ya usiku, “ile kale kaharabu ka zuri, au ndio mkweo yule” alisema Katembo, akimzungumzia Salma, “hahaha, labbda ujawai kumwona huyo Monalisa, ni kazuri kweli kweli” alijibu baba Edgar akitanguliza na kiicheko, “labda awa vijana wachangamkie sib ado awajaoa?” alisema tena mzee Mbogo, wakati huo huo wakamwona Kisona anatoka ndani la jengo la Hospital, kwamwendo wa nusu mbio, “mbogo ebu nitajie jina la yule baba wa Monalisa” alisema Kisona ata kabla ajawafikia, “anaitwa Anderson, vipi kuja inshu?” aliuliza mzee Mbogo, lakini Kisona akujibu akacheka kidogo, huku anageuka kurudi ndani, akiwaacha wakina mzee Mbogo wana mshangaa,
Kisona alirudi kule Emergence, haraka sana, akmkuta doctor anaongea na simu, “huyu hapa afande, ngoja nikupe uongee nae” alisema doctor huku anatazama mlangoni, ambako Kisona alikuwa anaingia, “mkuu wakambi anataka kuongea nawewe” alisema doctor huku anaziba mdomo wasimu, Kisona akaipokea haraka, na kuweka mkonga sikioni, “ndio afande” alisema kisona kisha akatuli na kusikiliza mpaka mwisho aka sikika akisema “asante afande” alisema kisona na kukata simu, kisha aka mtazama mike “nazani tuna weza kuondoka” alisema Kisona, kishakama alikumbuka jambo, waandae wale polisi wajeruhi wanne, naondoka nao” alisema Kisona kisha akatoka nje, kuwafwata wakina baba Edgar, na alipo wafikia akatoa amri moja, “katembo na askari mmoja bakieni hapa, wengine tangulieni mlango mkuu, kuna askari wamesha jikusanya, tunaondoka nao kwenda Njombe, kumaliza kazi” kauri hii ya Kisona iliwashangaza wenzake, japo wote waliipenda, asa mzee Mbogo, ambae alijuwa huu ndio wakati wa kumwona mwanae Edgar, **
wingu lilianza kuwa jeupe, ikionyesha kuwa kunakucha, ata majogoo yalianza kuwika kwa uvivu, yani kwa kuachaiana muda mrefuuonmyesha kuwa waliamini lie sikia amesha sikia, kama kuna mtu bado kalala basi huyo ameamua, ukungu ulikuwa umetanda kwenye anga la mji wa Njombe, baridi ilikuwa kali sana, watu walionekana wakiwa kwenye mitaa na mabarabarani, wanaelekea makazini na kwenye shuguri zao, za kila siku,
Nje ya Serena Hotel walioneka askari wengi wa jeshi la polisi, pmoja na magari ya wakuu wao, kila mmoja akiwa na silaha yake, wakati huo ndani ya hotel hiyo, watu walisha anza kuamka, watu hao walikuwa ni makamanda wakuu wajeshi la polisi mikoa, walio ungana kuakikisha wna wasaka waharifu walio tikisha ukanda huu wa Njombe na makambako, mida ilikuwa ni saa kumi na mbili. kila mmoja ndani ya chumba chake alikuwa anajiandaa kwa kazi, huku vichwa vyao vikijichekecha, kujuwa nani aliepo nyuma ya swala hili, na wale vijana wanausikaje,
Wakati huo huo, chumbani kwa mama Monalisa na baba Monalisa nako, wawili awa leo waliamka mapema sana, wakipanga waanze kutmbea mitaani pengine wakabahatisha kumwona binti yao, hiyo walipanga kushuka chini wakapate supu kisha waingie mitaani awakupanga kuwastua wezao ambao, kwa sasa walijuwa watakuwa wamesha jistukia, hivyo ata chai ya asubhi toka kwa dada mhudumu iliwakuta wanaoga yatari kuanza pilika zao.
Kumbe basi ilikuwa hivyo hivyo kwa baba na mama Erasto, ambao baada ya pombe kuwaisha, walijikuta wameamka na kuanza kujadiliana kuhusu mambo yaliyo tokea jana usiku, jinsi Kijana wao aliyo haribu mambo, mbele yawakwe zake watarajiwa, “sijuwi tuta weka wapi nyuso zetu” alisema baba Erasto yani mzee Misago, kwa sauti ya kinyinge kweli kweli, “akika sikubari, yani juhudi zangu zote toka Erasto na Monalisa wakiwa wadogo, zikwame kilahisi hivi, lazima nitaongea na mama Mona na juwa awezi kutukatalia” alisema mama Mona kwa kujiamini, japo nae alikili kuwa swala lile lilikuwa zito, “ebu kwanza tukapate supu, alafu tujuwe lakuanya” alisema mama Erasto hapo wakaamka na kuingia bafuni, wakaoge ili waende kupata sup, maana chai ya dada mhudumu isinge wafaa kwa lolote.
Mzee Mohamed na mke wake walikuwa wamesha amka, na walikuwa wanapata kifungua kinywa, alicho letewa na mhudumu, kama ilivyo kuwa kwa binti yao salma Mohamed, nae alikuwa ana pata chai chumbani kwake, huku anawaza jinsi wenzake wakina Edgar walivyo ingia kwenye matatizo.
Chumba namba kumi na sita nako, Erasto alikuwa peke yake, amelala fofo, ni baada ya mpenzi wake dada mhudumu kuondokka na kwenda kusambaza chai kwa wageni, akimwach Erasto hajitambui kwa usingizi wa ulevi, na mpaka dakika hii akuwa anajuwa kama amesha vuruga mambo yote.
Wakati huo huo, chumba cha jilani na hiki, yani chumba namba kumi na saba, ndio kwanza Monalisa alikuwa anafumbua macho, na kujiona akiwa juu ya zinga la kitanda, huku amejiunika blangeti zio, lilo mpa jto tamu kweli kweli, lakini alihisi utofuti kwenya kitumbua chake, ni vimaumivu kwambali, aka tazama pembeni, macho yake yaka kutana na macho ya Edgar alie kuwa amekaa kwenyekiti, Monalisa akaachia zinga la tabasamu, lilikuw laini na lakupendeza, lililo mfanya azidi kuwa mzuri, Edgar akajikuta anatabasamu pia, lakini kivivu, “naonaaibu mwenzio” alisema Monalisa huku akikwepesha macho yake na kujiinua toka kitandani, “nazani ume amka vizuri” alisema Edgar, ikwa sauti tulivu na nzito, “ ndio nime amka vizuri, lakini huku kunahuma kwa mbali alisema Mona, akimalizia kwa kicheko, huku ana msogelea Edga na kumkumbatia kwa nyuma, yani mgongoni, huku akiwa mtupu kama alivyozaliwa,”kutapoa tu! basi jiandae ukaombe simu palemapokezi, maana mimi siwezi kwenda wata nifaamu na kutoa taharifa polisi” alisema Edgar, “haya baba vua nguo tukaoge wote” alisema Monalisa, akiwa bado ame mkumbatia Edgar mngoni.**
wakati huo maeneo ya stend kuu watu walikuwa wengi sana kila mmoja akifanya alilo lifwata, naa kulikuwa na wasafiri wapiga debe ma dereva na makonda kta wao, pia kulikuwa na wafanya biashara, huku watu wote wakiongelea tukio la milindimo ya risasi iliyo sikika mala kwa mala usiku, wakiwausisha na polisi wengi walio waona wakikagua gari moja baad ya jingine, ikionyesha kuna watu walikuwa anawatafuta.
Baada ya kuangaika kwa lisaa lizima wakipekuwa kila gari, na habiria aliekuwepo pale stend, bila mafanikio yoyote, Kingarame aka chekecha hakiri, “kama Kisona ame ondoka na Mike, lazima ata mpeleka kwa RPC, ili kufuchua siri, na kama kisha mpeleka lazima wana panga mipango ya kutukamata, hivyo inabidi niondoka kwa tahadhari kubwa” aliwaza Kingarame ambae, alitazama saa yake, ya mkononi, ilikuwa saa kumi na mbili na nusu, ndipo alipo mfwata sajent Kibabu, “sikia Kiba, huu siyo wakati wa kushangaa, ebu tufanye mpango tuondoke zetu” alisema Kingarame kwa sauti ya chini, “kwa hiyo ni sasa au?” aliuliza Kibabu kwa shahuku, “ndio tunaondoka asubuhi hii, hatuna muda wakupoteza, ila kuna jambo lakufanya” alisema Kingarame huku Kibabu akimsikiliza, kwa umakini, “inabidi twende na askari wote. kama kuna hatari ya kukamtwa, tupate nguvu ya kujilinda hili tuweze kuondoka” alisema Kingarame, na Kibabu akunga mkono wazo hili, na kuanza kuwa stua askari wapande kwenye gari tayari kuelekea hotelini.**
Wakati huo nje ya Hotel mambo yalikuwa kama hivi, ukiachilia askari waliokuwa wamejazana pale kwenye maegesho yamagari, wakiwasubiri wakubwa wao hili waondoke kuingia kwenye msako, makamanda nao walikuwa sehemu ya vyakula na vinywaji, wakipata chai, ambayo waliamua wanywe kwapamoja huku wana fanya morning call, yani kupeana habari na kuzijadiri, na habari kubwa ilikuwa ni nani anausika na swala hili, japo dalilizote zili mwangukia Kingarame, lakini hakuna aliweza kuthibitisha, kwa kutamka.
Meza ya nne toka walipo kaa wao, walikuwa baba na mama Monalisa, pamoja na dereva wao, ambao walikuwa wanapata supu, ili waingie mtaani kujaribu kumtauta Monalisa, amba wamesikia kuwa yupo hapa Njombe, na alipigia simu simu nyumbani,
Wakiwa wanaendelea kupata supu, mala waka waona mama na baba Erasto wana kuja kwenye meza yao, na walipo wafikia walisalimia na kisha kuvuta viti na kukaa, japo sura za wawili awa zilionysha unyonge na aibu, lakini mama na baba Monalisa walichangamka kama kawaida.
Ndani kabisa ya Hotel chumba namba kumi na saba, Monalisa na Edgar walikuwa wanatoka bafuni, huku wakiwa watupu kabisa, n Edgar akaanza kumfuta maji mpenzi wake, huku wanafanyiana utani wa hapa na pale, “Eddy ukioa utaniafanyia kama hivi?” aliuliza Monalisa na kabla Edgar ajajibu, mala waksikia mlango unagongwa, wote waka tazama mlangoni kwa mstuko, huku Edgar akipeleka mkono wake chini yamto na kuichukuwa bastola yake, ngoja tuishie hapa kwaleo, maana imekuwa ndefu sana….. endelea kutembelea hapa hapa k

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata