BIKIRA YA BIBI HARUSI (74)

SEHEMU YA SABINI NA NNE (74)

ILIPOISHIA SEHEMU YA SABINI NA TATU (73) Ndani kabisa ya Hotel chumba namba kumi na saba, Monalisa na Edgar walikuwa wanatoka bafuni, huku wakiwa watupu kabisa, n Edgar akaanza kumfuta maji mpenzi wake, huku wanafanyiana utani wa hapa na pale, “Eddy ukinioa utaniafanyia kama hivi?” aliuliza Monalisa na kabla Edgar ajajibu, mala waksikia mlango unagongwa, wote waka tazama mlangoni kwa mstuko, huku Edgar akipeleka mkono wake chini yamto na kuichukuwa bastola yake. Endelea……..
Nakuielekeza mlangoni, wakati huo mlango ukagongwa tena, Edgar ka mtazama onalisa na kumwonyesha isharaaulenani anagonga, Monalisa nae akauliza, “nani” ilikuwa sauti ya Monalisa alie jitaidi asionyeshe wasi wasi, “mhudumu naleta kifungua kinywa” ilisikika sauti ya kike toka nje, “hapo Edgar akachukuwa taulona kumrushia Monalisa, kisha yeye akaenda kujibanza nyuma ya mlango, na bastora yake mkononi, akimwacha Monalisa ana jifunga taulo, “subiri kidogo” alisema Monalisahuku ana jifunga taulo, wakati huo Edgar, alikuwa anajaribu kuchungulia kwenye kitasa cha mlango, na alipo malizaakamtazama Monalisa, na kumwonyesha ishara asogee mlangoni, kuwa nikweli alikuwa mhudumu, hapo Monaisa akausogelea mlango kwa tahadhari kubwa, ata alipo ufungua akamwona mhudumu ameshikilia trey lenye chai na vipande viwili vya mkate, pamoja na yai la kuchemsha, Monalisa akalipokea lile trey, na kufunga mlango, akimfanya yule mhudumu kuishia mlangoni.
walitumia kama dakika kumi kunywa chai, huku wakifanyiana michezo ya kimahaba, walipo maliza ndipo Edgar alipomwambia Monalisa, kuwa avae nguo ili akapige simu, na ikawa hivyo Monalisa alivaa nguo zake alizovaa jana, usiku, yani zile walizo nunua mtumbani, Edgar akamtajia namba ya simu ya nyumbani kwao, kisha Monalisa akatoka nje ya chumba hicho namba kumi na saba, na kuelekea mapokezi, kwa lengo la kupiga simu kwa mama Edgar ili amwambie kuwa wao wapo serena hotel, ili mama huyu amweleze baba Edgar ambae inasemekana yupo hapa Njombe, ana watafuta wao, iliatoe msaada,
Edgar akwa amebakia peke yake mle chumbani, akiamini kuwa hakuna mtu atakae mgundua Monalisa, kwaharaka, sababu picha zilizo agaa mitaani ni za yeye Edgar nasiyo monalisa, mala akasikia muungurumo wa gari ukiingia pale hotelini, sijuwi kwanini ulimpa wasi wasi, maana nikama ulimkumbusha jambo flani, kwamba tilia mashaka kila kitu, katika uwanja wavita, hivyo aka jionamjinga kuamini kuwa Monalisa yupo salama, na wakati jana aliona polisi wakilanda landa maeneo haya, hiyo haraka sana Edgar akiwa na bastora yake yenye kiwamba sauti, aka usogele mlango na kuufungua kidogo, kisha akachungulia kwenye upenyomdogo, ulio kuwepo, lakini akuweza kumwonaMonalisa, sababu alishapotelea kolidoi, upande wa mapokezi, ila aikumfanya kuondoka mlangoni hapo, zaidi alijibanza hapo hapo akiendelea kuchungullia, ***
Gari alilo lisikia Edgar lilikuwa ni gari la Kingarame, ambalo liliingia Hotelini hapo, likiwa na askari kumi na nne, wenye SMG Mikononi mwao, wakina mzee Anderson, misago wake zao na dereva, waliweza kulishuhudia, gari hili likisimama, na haraka sana akashuka Kingarame akiwatiwa na askri wawili mmoja wao akiwa ni sajent Idd Kibabu, na kuja usawa wa eneo la vinywaji na chakula, wakipitiliza kuelekea ndani, ya jengo kubwa la hotel, huku wale makamanda wenzake, wakiwatazama wakina Kingarame ambao walionekana wana haraka sana, mamaMonasijuwi kili mtuma nini, maana aliinuka harakana kumkimbilia SSP Kingarame, nazani aliona kuwa huyu ndie mwenye dhamana juu ya operation hii ya kumtafuta mwanae, baba Mona nae akainuka na kumfwata mke wake, ambe sasa alikuwa anamkaribiaKingarame, “samahani baba, nomba kuongea nawewe, na taka kujuwa kama mwanangu ameonekana” alisema mama Monalisa, huku akiendelea kumkimbilia Kingarame, ambae aligeuza kichwa tu, huku anaendelea kutembea, “sina muda, labda baadae” alijibu Kingarame akiwa na askari wake, wamesha ufikia mlango wa kuingia ndani, hapo mama Monalisa nika aliishiwa nguvu, kwa jibu lile aliloliona ni la hajabu, kihasi cha kujikutaanaoba aibu, mtu mzima kama yeye kujibiwa vile nizaidi ya kutukanwa, mama Mona akajikuta anatazama huku na huku, kama kuna watu wana mtazama, wakati huo mume wake aliisha mfikia, lakini mama huyu wakati ana tazama upande wa ndani ya jengo la hotel nikama kuna kitu aliona, akajikuta anatoamacho kwa mshangao akizania kuwa ni mawenge, “niyeye au macho yangu” alijiuliza mama Mona kwa sauti ya kunong’ona huku mume wake nae akitazama upande ambao mke wake alikuwa ana ukodolea macho, na yeye akamwona Monalisa, yani ni huyu huyu binti yao mpendwa walie kuwa wanamtafuta, kwamba ametekwa na Edgar, “Mona” alisema baba Monalisa, kwa sauti ya chini, huku wakimtazama Monalisa aliekuwa mapokezi ameshikilia mkonga wasimu, huku anabonyeza namba, “Monaaaa” mama Monalisa alipiga ukelele wa fulaha ya nguvu, ukelele ulio washangaza watu wote, waliokuwepo eneo lile, ata wakina Kingarame walio kuwa wamekaribia mapokezi nao wali stuka na kumtazama mama huyu, ambae amekataa kuongea nae muda mchache uliopita, wakamwona ana kuja mbio kule walipo,
Ata Monalisa aliekuwa ana piga simu kwa mama Edgar nae alisikia kelel za mama yake, na kuitambua sauti hii mala moja, akageuka upande ulipo tokea sauti, lakini basi baada ya kumwona mama yake kama alivyo tegemea aliwaona polisi watatu, wakiwa na silaha zao, na mmoja kati yao alimkumbuka mala moja, kuanzia pale walipo muuwa Lukasmpaka polisi, amesha mwona mala kadhaa, huyu alikuwa ni sajent Idd Kibabu, ambao sasa walikuwa wanatazama nje ya Hotel, ikionyesha bado awajamwona, Monalisa akaona hapa usalama ni kuwai karibu na Edgar, maana ndio msaada wake wa pekee alio utegemea, bila kungoja filimbi, Monalisa aka akachomoka mbio kuelekea kolidoni, “we! Monalisa mimi mama yakooo” ilisikika sauti ya mama Monalisa, lakini Monalisa alijuwa wazi akizubaha ata kufa mbele ya mama yake, kugeuka nyuma, akatmua mbio kuwai korido, unangoja ninibwewe piga huyo” ilisikika sauti ya Kingarame ,kumbe tayari wakina Kingarame walisha mwona Monalisa, sajanti Kibabu akainua silaha na kuielekeza kwa monalisa,huku mama na baba Monalisa wanashuhudia, “wewe usimpige, ni mwanangu huyooo” alipiga kelele mama Monalisa, huku akishuhudia sajent Idd Kibabu akielekeza bunduki kule alipo kuwepo Monalisa, ambe sasa alikuwa ana karibia korido refu la vyumbani,
“Kimbia huku unainama” ilimji sauti ya Edgar, ambae aliwai kumwambia mala kadhaa wakiwa porini, Monalisa alipiga hatua moja ndefu, kuwai ukuta wa koridoni, huku ameinama, ghafla ilisikika “pah!” risasi ilichumba kwenye ukuta juu kidogo, sentmita chache tokqa kwenye kichwa cha Monalisa, aka siyo kuinama basi ange ambulia risasi ya kichwa, nikama binti huyu alishindwa kuipata vizuri kona ya kuikama ta korido, maana alianguka, chini, lakini sota na kujikuta pembezoni mwa ukuta wa korido, huku anasikia risasi nyibngine mbili zikigonga kwenye hukuta,ambapo sasa ulimzuwia yeye, kelele za kilio cha mama yake zilisikika wazi wazi masikioni mwake,milindimo ya risqasi ili wastua watu wote pale Hotelini, walio vyumbani na waliokuwa nje, wakiwepo makamanda na asakari, ambao waliinuka kwenye viti vyao na kukimbilia ndani, ya jengo la hotel, kwatahadari kubwa, wakiamini kuwa Kingarame alishajuwa kuwa, adui yao yupo humu ndani na ndio wanakabiliana nae,
Sasa Monalisa akasikia vishindo vya watu wakija koridoni, akajiinua haraka sana, japo alishakata tamaa ya kupona, maana chumba namba kumi na saba ni mbali sana, toka pale alipokuwepo, “jamani mna muuwa mwanagu huyo siyo jambazi” ilisikika sauti yakilio cha uchungu cha mama Monalisa, alieonyesha na yeye alikuwa ana wafwata wale polisi walio kuwa wana mfwata Monalisa ili wa mwngamize, na sasa walisha lifikia korido na kumwona Monalisa mbele yao, tayari kumshambulia, “Eddy nakufaaaa” alipiga kelele Monalisa, kwasauti ya kukata tamahailiambatana na kilio cha uoga, huku anakimbilia mlango wa chumba chao, ambao kiukweli asingeweza kuuona haraka, kwa mbio zile,
Kingarame akiwa na uakika wa kumaliza kazi iliyo msumbua kwamuda mrefu, akawaona askari wake wawili wakiweka sawa silaha zao kumlenga mwanamke aliekuwa mbele yao anajaribu kujiokoa, huku mama yake akisika anapiga kelele za kuogofya na za uchungu, akiofia kushuhudia mwanae anauwawa mbele ya macho yake, ghafla mbele akaona mlango wa chumba kimoja ukifunguliwa, na akachomoza mtu ambae akutegemea kama ange tokea wakati ule, pengine alitegea kuwa ange jificha moja kwamoja wakti mwenzie anauwawa, lakini sasa akamwona amejitokeza ghafla nabastola mkononi, ikifwatia kitu kama mwanga ikionekana mble yam tutu mrefu wa bastola ile yenye kiwamba sauti, “hoo! khoooo!” ilikuwa sauti ya askari wake mmoja kati yawawili, aliokuwa nao, yani siyo Kibabu, ambae aliachia bunduki nakushika kwenye koho, huku danmu zikimwagikia kwafujo, yani tayari alikuwa amesha kufa, ila basi roho uwa aitoki mala moja, lazima utape tape, “mamaa amenipiga” yani wakati Kingarame anamshangaa yule askari akamsikia, sajent Kibabu anapiga kelele, kuwa ametandikwa, ile anamtazama anamwona Kibabu ameshikilia bega la kushoto, ambalo lilisha jaa damu, huku yule askari wakwanza akijibwaga chini kama gunia.
Hapo ndipo Kingarame alipo kumbuka kuwa anatakiwa kuchukuwa maficho, huku mama Mona na mume wake wanashuhudia Edgar akimmdaka mkono Monalisa na kuingia nae chumbani, “wakowapi majambazi?” aliuliza RPC Ruvuma, nikama Kingarame liduwaha ile kuwaona makamanda wenzie, pamoja na askari wakiwa pale, nikwamba wakati anakuja, akuwaona makamanda wenzie, pale wapolikaa “jamani siyo jambazi, ni mwangu Moalisa” alipiga kelele mama Monalisa, hapo ndipo Kingarame alizinduka, “wameingia chumba kile pale, wamesha muuwa askari mmoja” alisema Kingarame kwa sauti ya wenge, huku akijaribu kucheza na hakiri za wenzie, nikweli nikama awakumsikia mama Monalisa, RPC Iringa alimtazama OC FFU, nakumpa ishala ya kukisogelea kile chumba, namba kumi na saba, OC FFU wa Iringa aka onyesha ishala kwa askari kuwa wengine wazunguke upande wa pili, na wegione wazunguke jengo, na wengine wa bakie upande huu, wakati huo makanda wakirudi nyuma kidogo, “mzee wasishambulie kuna binti yangu mle ndani” alisemq baba Monalisa, kwa sauti ya kubembeleza, akimtazama OC FFU, lakini ndio kwanza kama waliwakumbusha kuwaondoa eneo lile, wasije kudurika na risasi.
Kitendo cha kuzunguka jengo lile na kujipanga kilikuwa cha haraka sana, huku wakiwa wamesha watoa nje wakina mama na baba Mona, pamoja maehemu mmoja, na sajent Kibabu ambae alienda kukaa ndani yagari lao, akisubiri kitakacho jili ndipo aende hospital akiwa na uakika kuwa wamesha maliza kazi, na ushaidi wamesha utia mkononi mwao. huku mama Monalisa, ana angua kilio cha mwaka, akiamini kuwa mwanae anapotezamaisha, huku anashuhudia, hapo ndipo alipo anzakukumbuka maneno ya yule mwanajeshi Kisona. “akika bintiyenu angewasikia mnachosema, angewaona kuwa ni watu ambao hamna huruma juu yake” maana mama Monalisa ameshuhudia kwamacho yake, jinsi Edgar alivyo msaidia binti yao, kwa kumwokoa toka kwenye mitutu ya polisi, wakatu huo Erasto, alikuwa amejifungia chumbani kwake, anasikilizia milindimo ya risasi, alisha jikolea pale pale juu ya kitanda kwauoga, hali hiyo ilikuwa pia kwa salma ambae alikuwa ndani ya chumba namba kumi na nane.
“Sikieni tunajuwa kuwa mpo humu ndani, nma takiwa mjisalimishe wenyewe kabla atuja shambuli” aliongea OC FFU, kwa sauti ya juu yakikamanda, lakini akukuwa na jibu lolote toka ndani, “narudia sisi ni maaisa wapolisi, mnatakiwakujislimisha wenywe kabla atuja chukuwa hatua za mashambulizi” ikawa kimya kama mwanzo, OC FFU akashika kitasa na kukinyonga, yani alijaribu kufungua, tayri mlango ulikuwa umesha fungwa kwa funguo, “tuna hesabu mpaka tatu, kama ujatoka tuna shambulia” alisema OC FFU, na kuanza kuhesabu, “moja……. mbili ……tatu” lakini akukuwa na jibu lolote kama mwanzo, OC FFU akageka na kuwatazama makamanda wenzie, mmoja wao akiwa ni RPC Iringa, ambae alimwonyesha ishala ya kumluhusu kushambulia, na yeye akawatazama askari wake, kisha akasema “fireeeee” hapo kilicho fwata askari watatu, walishambulia mlango wa chumba namba kumis aba, huku wakigeuza uza ulekeo wa silaha zao, kuakikisha risasi zinafika kila kona ya chumba kile, na walipo ishiwa risasi , wakati wana badirisha magazine, waliingia askari wengine watatu wakashambulia, ikawa hivyo mpaka OC FFU aliposema inatosha, akika mlango ullikuwa umegeuka chekecheo, la kuchujia nazi, OC FFU akaonyesha ishala askari wanne waingie kukague, huku wengine wakiwa wamekaa tayari nje ya mlango, askari wanne wenye uwezo wa kuvamia wakausukuma mlango, ambao aukuwa na jeuri tena, na kuingia ndani ya chumba kile, kwa tahadhari kubwa sana, japo waliamini kuwa, kama kweli kulikuwa na mtu, tayari atakuwa amesha kufa.
Makamanda naaskari waliokuwepo nje, ambao walikuwa wame tega masikio yao, kusikiliza au vijana wakimalizia kuwa uwa majambazi kama watakuwa wame jeruhiwa, basi walitarajia kusikia “fande tume wapata”nikweli wakasikia “chumbani hakuna mtu…” sauti hiyo ilifwatiwa na kishindo cha mtu akianguka toka ndani ya chumba hicho namba kumi saba, alafu sekunde kama mbili mbele ikasikika “pah! pah pah!” tka ndani ya chumba hicho hicho, namba kumi na saba, alafu vishindo vya watu wakianguka, hapo makamanda wote wakatazama, kwa mshangao, week hii endelea kutembelea hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!