BIKIRA YA BIBI HARUSI (81)

SEHEMU YA SEMANINI NA MOJA (81)

ILIPOISHIA SEHEMU YA SEMANINI (80) hapo zikaanza kusikika ‘pah!’ huku makamanda na askari watihifu wakiona jinsi askari wa Kingarame waki tandikwa risasi za miguu, “mshenzi gani huyu?” aliuliza Kingarame alie jificha nyuma yagari la RPC, pasipo kujuwa mwenywe yupo uvunguni. endelea……….
“risasi zinatoka kule juu” alijibu Hokololo, ambae alijificha karibu na Kingarame, huku askariwalio salimika wakichukuwa maficho karibu na wenzao ambao walijificha toka mwanzao, ambao walikimbia mashambulizi ya hawa wenzao, mpaka hapo wengi wao awakuwa wanajuwa kuwa walishambuliwa na awa wenzao, kasolo bahadhi yao na RPC wa Iringa, na wa Ruvuma ambao waligundua kuwa kuna askari wao wamewashambulia, huyu atakuwa Kisona, ebu tufanye mpango wa kukimbia haraka” alisema Kingarame, huku RPC Iringa kiwa chini ya gari lake, anasikia mipango ya Kingarame na Hokololo, akishindwa kufanya lolote, sababu angekaribisha risasi kutoka kwenye mtutu wa silaha ya Kingarame, au ya Hokololo, hivyo akatulia kimya kabisa akiofia ata kupumua kwanguvu pengine wange sikia ***
Huku kwa Kibabu nako, wakina Kisona wakiwa juu ya mlima, waliweza kumwona Kingarame sajent Kibabu akichezeshwa mchezo wa angaisha bwege na Katembo, lie kuwa amesha zunguka upande wa hini, yani kushoto mwa Kibabu, na kupiga risasi, zilizo mchanganya, Kibabu alie zidi kumn’ang’ania mama Monalisa, na kubadili uelekeo akielekea upande wa kulia kwake, na kuzunguka kile kimpando, ili akatoke barabarani.
Wakati huo huo wakina Kisona walipo tazama kule barabarani ambako wapo askari polisi wengi, wakaona jinsi Kingarame alivyo ungana na askari wake na kuendelea kuwashambulia wenzao, ambao waliwashinda kwa kihasi kikubwa sana, ata yeye alipo wa saidia kwa kuwatandika risasi askari kadhaa wa saliti, lakini walijificha, na ilionyesha wazi askari wengi awa kuwa wanawajuwa wazaliti ni wepi, na ewasio wasaliti ni wepi, “sikiliza toka kwangu” alisema Kisona n wale askari wake wa jeshi la ulinzi wakatega sikio, “wewe nenda kule kwenye gari, kawaambie wakina Edgar kuwa yule mshenzi anakuja upande wao, alafu ushuke na barabara, utatukuta kule chini” alisema Kisona, huku wana mtazama sajent Kibabu alie kuwa anaangaika kumvuta mama Monalisa, akikatiza nae kwenye vichaka kuwataulekeao wa barabara kuu, “wewe twende zetu, tkamalize mchezo” alisema kisona na hapo wote wakaanza kwa kufwata ulekeo mmoja, kabla awaja tawanyika, mala tu! walivyo ikaribia barabara kuu, wakina kisona wakishuka kuelekea upande wa kulia, na yule askari mmoja akipandisha juu, upande wa kushoto, **
“ebu tuingie kwenye gari hili hili tuondoke zetu” alisema Hokololo, pasipo kujuwa kuwa Kifo kipo mkononi mwao, maana ile wana jiandaa kuingia, kwenye gari, kupitia mlango wa kushoto wa gari, upande ambao walikuwepo wakina Kingarame, mala waka shangaa, kusikia mlio wa risasi, ile kutazama, wakawaona wale askari, wanao waunga mkono, wakishambulia upande wa juu, inakotokea barabara ya Njombe, na wao waka inua vichwa vyao, kutazama upande wanao shambulia wenzao, “hapo ndipo walipo thibitisha kuwa alie kuwa anawashabulia wao ni Kisona, ambae walimwona akiwa na skari mmoha tu!, wakijibu mapigo huku wakichuwa maficho mepesi, ya viambaza vya gari.
RPC Iringa akiwa chini yagari, akaona Kisona akijibu mashambulizi ya askari wakorofi, wanao msaidia Kingarame, na mala kwa mala akiwatandika risasi za miguu na wao wakianguka huku wanashikilia miguu yao, “leo mme ingia cakike tena ukweni” alijisemea RPC , kimoyo moyo, akiwa uvunguni mwagari anaendelea kuona jinsi Kisona na askari wake mmoja walivyo shambulia ka namna ya kupendeza, kuna wakati walitawanyika na huku wanshambulia kila, mmoja akikimbilia kwenye maficho yake, na kuna wakati walirudi pamoja na kutumia maficho mamoja, awakuacha kishambulia, kitu kilicho mshambngaza RPC, Iringa na makamanda wenzake, ni kuwa idadi ya askari waliokuwa wanawashambulia mwanzo ilikuwa tofauti na sasa, maana walionekana askari sita peke yake, tofauti na kipindi kile, ambapo walionekana wengi kidogo, japo awkuijuwa idadi na sura zao, sababu nawao walikuwa wamechukuwa maficho, hivyo wasinge weza kuwaona sura za wale askari, walio washambulia, “bola amekuja huyu jamaa, atatusaidia” aliwaza RPC Ruvuma, akiwa bado chini ya vungu wagari, huku mwili wa sakri mmoja ukiwa pembeni yake, akishuhudia jinsi mpigano mepesi yanavyo endelea, alisema mepesi kutokana na mtindo wa mashambuliaji walio utumia wakina Kisona, na kuzidi kuwa maliza wale askari sita, mpaka akabakia mmoja, alie jibanza karibu na gari la OC CID, wa Iringa, ambae nae alikuwa kwenye uvungu wagari, akika ungepeta bahati ya kuwaona watu awa walio ingia chini ya vungu za gari ungeshangaa, maana ni wanene aswa, OC CID akuwa peke yake alikuwa na wenzake, wawili kule uvunguni, yani yeye askari mmoja, na dereva wake.****
Monalisa likuwakaribu kabisa na Edgar, wame simama nyuma yagari wanatazama upande wa Njombe, wakati askari wawili, walikuwa wame simama wame gawana pande za kushoto na kulia za barabara, huku baba yake Edgar akiwa amesimama upande wa mbele wa gari, akitazama kule chini waliko kuwa wanaelekea, yani yanako tokea mapigano, wote wakiwa na silaha zao ina ya sub machine gun, mikononi mwao, kasolo Monalisa alie shika bastola, “hivi Edgar, watakuwa wamesha mpata mama?” aliuliza Monlisa, huku akimtazama Edgar alie kuwa nae karibu kabisa, “usiwe na wasi wasi mama atapatikatu, yue Kisona siyo mtu wa mchezo” alisema Edgar, huku anamtazama Monalisa pia, macho yao yaka gongana, wakatabasamu, huku Monalisa anatazama chini kwa aibu, “mwenzieo naona aibu” alinong’ona Monalisa, na wakati huo huo Edgar kama alie hisi kitu kichakani upande wa kushoto kwake, yani kama unaelekea Njombe, “usipigeni mwenzetu” alisema yule askari alie kuwa analinda upande ule, wiote wakatazama upande huo, wakamwona askari mwenzao wa jeshi la ulinzi akiwa anakuja kwa kunyata, ikionyesha kutaka asikike nyayo zake, alipo tokeza barabarani, akawaonyesha ishara kuwa wakae tayari kuna mtu anakuja upande ule, hivyo wawe makini, kisha yeye aka ondoka nakushuka kule chini, alikombiwa na Kisona, akiwaach wenzie wotewanageukia upande ule wa barabara.
Hapo Edgar akatulia kidogo, kam vile anatafakri jambo, kisha akamtazama yule askari lie kuwa analinda, upande ule walio ambiwakuwa kuna mtu anaweza kuokea upande huo, yule askari nae wakati huo, alikuwa ageuza shingoyake kuutazma msambwanda Monalisa, wakajikuta macho yao yamekutana, na Edgar, ambae alimwonyesha ishala kuwa, anaenda kukojoa, nae akamwonyeshaishala ya dole gumba, kuwa poa anwezakwenda kujisaidia, lakini kimoyo moyo, yuleskariakajisemea “raia bwana, unaendekeza mkojo vitani”.
Edgar akamweleza Monalisa aingine kwenye gari yeye naenda kujisaidia, Monalisa hakuwa mbishi, aka ingia kwenye gari9, tayari wakina mzee Mbogo walishaona kitendo kile, “Edgar kuwa makini” alisema mzee Mbogo, Edgar aka itikia kwa kichwa, huku anatokomea kifwata barabara, kule waliko tokea, yani upande wa Njombe, kish kmmita hamsini hivi, wote wakashngaa kumwona akichepuka, akizama kwenye pori, upande wa kushoto kwake, yani kule waliko ambiwa kuna mtu ata tokea upande huo, “haaaa! raiabwana, sijuwi an maana gani?” alisema mmoja kati ya wale askari wawili.***
Huku nako OC CID akamwona yule askari anae onekana kuwa ni msariti, akiwa ubavuni mwa gari ana washambulia wakina Kisona, na yeye aka mtazama askariwake mmoja alie kuwa upande hule, karibu kabisa na yule askari, kisha akampa ishaa ya kumtandika yule askari msaliti, taratibu yule askari, akaiweka bunduki yake vizuri, akielekeza kwenye mguu wa yule askari msaliti, akiwa ameisogeza karibu kabisa, huku OC CID akimpa maelekezo kwa ishara, hapo ikasikika pah! ya mguu, yule askari akaenda chini, “tuondoke haraka, alisikika Kingarame, ikifwatia na harakati za kufungua mlango, w gari kwafujo, lakini ikasikika pah! “yalahaa” nimepigwa risasi yamguu, ilisikika sauti ya Hokololo akionyesha kuwa katika maumivu makali sana, huku derevahuyu wa polisi, akinguka chini, pembeni ya gari huku anaugulia maumivu, ya mguu, Kingarame kuona hivyo akajaribukujibu mashambulizi, ili kujiokoa, lakini ilisikika risasimbili tu kisha alipo minya trigger ya tatu, ikasikika “kacha! kacha!” ikionyesha bwana Kingarame alisha ishiwa risasi, “Kingarame yame kwisha sasa, weka mikono silaha chini, nyoosha mikono yako juu” ilisikika sauti ya Kisona, ambae aliongea huku yeye na askari wake wanamsogelea kingarame, kwa mwendo wa taratibu, yule askari ame nyoosha silaha kwa kingarame, Kisona ana elekeza silaha pande zote kwa awamu, kuakikisha hakuna mtu wa kuwashambulia, kauri hili ya kijeshi ili mfanya Kingarame atulie, kama amepigwa bumbuwazi, ameishikilia silaha yake, isiyo na risasi, huku aikisikilizia sauti ya Hokololo alie kuwa anagalagala chini, masikini Kingarame alisha sahau kuwa ana bastora kiunoni, “ukijaribu kufanya lolote akika sikuachii” alisistiza Kisona, wakiwa wamesha mkaribia Kingtarame pale kwenye gari, na hapo Kingarame nikama alistuka toka kwenye bumbuwazi, akaitupa ile SMG chini haraka, huku akikumbuka kuwa alikuwa na bastola kunoni,
Kitendo bila kuchelewa anaitupa tu! silaha chini, akapeleka mkono wake kiunoni, na kuichomoa bastola, lakini bahati aikuwa upande wake, maana kitendo cha haraka za idi ya haraka yenyewe, Kisona alichat, kwa kasi ya Kimbuga, huku anaigeuza SMG yake na kutwanga nayo Kingarame akitumia kitako, (batstock) kilicho tuwa kifuani kwa kingarame, ambae alitupwa na kujibamiza kwenye ubavu w gari, huku akiachia risasi moja hewani, ile ajatuliaswa swa, aka yetuliwa miguuyote miwili kwa teke la mzunguko toka kwa Kisona, ambalo alikumwacha salama, lili mrusha juu na kujibwaga chini akifikia kiuno huku bastola yake iki dondokea pembeni, karibu kabisa na mcho ya RPC Iringa alie kuwa uvunguni mwa gari, Kingarame akusikilizia maumivu akaitazama bastola yake ilipo dondokea, lakini baada ya kuiona bastora yake akakutana uso kwa uso na RPC, alie kuwa uvunguni mwagari, ile anyooshe mkono kuichukuwa bastola, sijuwi RPC alipata wapi wazo lile, maana akiwa kule chini akakita mguu usoni kwa Kingarame, ambae kabla aja piga kelele aksikia mguu wa Kisona ukituwa mgongoni kwake kwanguvu, kiisha akainuliwa kwanguvu na kubamizwa kwenye bonet la gari, kisha akakandamiziwa hapo hapo na kanal Kisona, “huo siyo utaratibu wa kumkamata mtu alie jisalimisha” alilalamika Kingarame kwasauti iliyo jaa maumivu makali, ya kuminywa, “sijazomea kukamata waharifu, kama nyie, tena unabahati ungekuwa umesha wafwata ulio watanguliza” alisema Kisona huku akiwa me minya kingarame kwa goti na mkono mmoja, huku mkono mwingine akiupitisha kwenye sehemu mbali mbali za mwili wa SSP Kingarame, akikagua kama atakuwa na silaha nyingine, au kitu chochote cha hatari.
Wakati huo koplo Katembo, alikuwa anakuja akitokea porini waliko lificha gari wakina Kingarame, samba mba na mwenzie alie tokea upande wa Njombe, yani kule waliko kuwepo wakina Edgar, mpaka hapo askari na makamanda walio kuwa wame jificha sehemu mbali mbali walianza kujitokeza, shughuli ilikuwa kwa bahadhi ya makamanda, awakiwepo makamanda wa polisi mikoa yote miwili, ambao awakuweza kutoka chini ya vungu za gari, mpaka walipo saidiwa kuvutwa na askari wao, huku kisona akicheka, “kamanda ulliingiaje huko uvunguni, mapaka unashindwa kutoka?” alisema Kisona huku akimtazama RPC IRINGA, “wehacha tu ndugu yangu yani huyu mshenzi ametufanyia usheni sijapata kuona” alisema ROC Iringa, kwa sauti ya juu juu,m iliyoambatana na mhemo wa mbio, huku anaachia ngumi nzito shavuni kwa Kingarame ambae alianguka chini na kuwaiwa na skri waili ambao walimwinua na kumfunga pingu za mikono kwanyuma, “hahahaha! utauwa kamanda” alisema Kisona, kama vile tukio lililo toka kufanyika pale ni send off, “mshenzi sana huyu, amesababisha nauwaji mengi sana” safari hii alisema RPC Ruvuma, huku akimsiogeea Kingarame na kumtwanga na kitako cha bunduki cha kwenye shavu, na kumfanya kingarame ateme jino, huku ana gugumia kwa maumivu, akishindwa kutamka maneno, kutokana na damu kujaa mdomoni, “askari ebu okoteni silaha na awa washenzi walio tandikwa risasi za miguu, wafungeni pingu, marehemu wote muwawke kwenye gari moja” alisema OC FFU wa Iringa, huku OC FFU wa Ruvuma akimshindilia mateke yatumbo Hokololo, alie kuwa amelala chini, na kumfanya aangue kilio cha machungu, “pumbavu ume muuwa ata dereva mwenzio mshezi kabisa wewe” alisema OC huyu kwa hasira kali mpaka Katembo alipo
enda kumzuwia, “nazani sasa mauwaji yatakoma” alisema RPC Iringa huku akimgeukia Kisona, ambae akujibu kwanza akaanza kutazama mtu mmoja baada ya mwingine, yani wale askari polisi, waliokuwa katika pilika pilika za kutkrlrza maagizo ya kamanda wao, kama vile kuingiza miili yawezao kwenye magari, na kuwafunga pingu wale walio onekana wanashirikiana na Kingarame, “bado mauwaji yataendelea, sababu kuna watu wengi wa kingarame amjawajuwa, miongoni mwa askari wenu” alisema Kisona kwa sauti ndogo na yachini, akisikilizana yeye na RPC Iringa, peke yao, ambae alionekana na kuamini kuwa kijana huyu ni muhimu sana katika swala lile, “he! sasa tuta wajuwaje?” aliuliza RPC kwa sauti yachini kama ile yaKisona, huku wengine wakiwa busy na kuwa chukuwa wale askari sita ongeza hokololo, huku wakiwa tandika vibao na mateke na kuwa pkiza kwenye magari, “ni jambo lahisi sana, ngoja nikupe mchongo” alisema Kisona huku anatazama kushoto na kulia, ***
Wakina mzee Mbogo walishangaa kuona Edgar anachelewa kutoka porini, kila mmoja akwa anajiuliza kimoyo moyo huyu kijana anafanya nini huko, au amebadiri maamuzi ana shusha kubwa kabisa, wakati wanajiuliza hivyo ghafla wakstuka sajent Kibabu akiibukia barabarani, huku ana mvuta mama Monalisa, nikama ata yeye mwenyewe hakutegema kuibukia mahali pale, na kuwaona askari wa jeshi la ulinzi wakiwa mbele yake, hapo hapo aka vuta mma Monalisa kifuani kwake akimkaba kabari ya nguvu, na kumfanya kama kinga yake, huku akiuelekeza mtutu wa SMG kule kwenye gari, “wekeni silaha chini, vinginevyo mna mkosa huyu mama” alisema sajent Kibabu, kwa sauti kali ya kitetemeshi, hapo Monalisa akachomoka toka kwenye gari na kutka nje, akidakwa na baba Edgar, “tulia Mona, kosa lolote tunaweza kumpoteza mama yako” alisema mzee huyu, kwa sauti ya chini, “nasema wekeni silaha chini sirudii tena kuwaambia” alifoka Kibabu huku akiendelea kumshikilia mama Monalisa, na mtutu wa SMG ume waelekea wao, “wekeni silaha chini, alisema baba Edgar, na wote wanne wakaweka silaha zao chini, yani ata Monalisa aliweka bastola chini,
wakati huo huo waka liona Nissan patrol likitokea kwa speed na lilipo waonatu lika simama kwa bleck za ghafla, hapo hapo Kibabu akapga rissi moja ya juu, “shukeni kwenye gari haraka, dah nikama mzee Anderson alikuwaamemletea kibabu gari, awakuwa wabishi waka shuka toka kwenye gari haraka sana, “chukuwa gari niachie mke wangu” alisema baba Monalisa, kwa sauti ya kuomba kweli kweli, “hahahahaha! nani alikuambia mkeo nita mwacha hapa, tena pigeni magoti na muweke mikono kichwani” ilikuwa sauti na kicheko cha dharau toka kwa Kibabu, hap[o watu sita awa kuwa na ubidhi, wakabiga magoti, na kuweka mikono kichwani, kama walivyo elekezwa na sajent Kibabu, kisha waka mwona sajenti Kibabu ana mkokota mama Monalisa alie kuwa an alia, kumpeleka kwenye gari ili atoloke nae, huo ndio wakati Monalisa alipo mkumbuka Edgar, “Edgar yupo wapi?” ile ajamaliza kuwaza akajikuta anatabsamu mwenywe, maana alimwona kijana wake huyu, ambae ndie tamu ya moyo wake, akiwa nyuma ya Kibabu alie mshikilia mama yake, akiwa ameshika kisu mkononi Kile alicho kichukuwa kwa wawindaji haramu, na SMG yake ameipachichika mgongoni, kwamsaada wa mkanda wa silaha hiyo ya kivita, Monalisa akatabasamu.
Siyo Monalisa peke yake alie mwona Edgar wote sita walimwona Edgar, ambae aliuchomoka kichakani kwa kasi ya kimbunga, ile kinbabu ana tahamaki wa watu wanatazama nini nyuma yake, ghfla alistuka silaha yake, ikiw imesha chomolewa mkononi, na kitu che nja kali sana kikipenya chini ya mbavu zake, hapo mkono ulio mkaba mama Monalisa ukakosa nguvu, na kumwachia, mama huyu ambae alianguka pembeni, akifikia kukaa, akageuka kumtazama mtekaji wake maana akujuwa kwanini kamwachia, ndipo alipo mwona mtoto wa mama Eddy akiwa amezamisha kisu tumboni kwa mtu huyu alie kuwa amemshikilia kwa masaa kadhaa, alafu kijana huyu akamtazama yule polisi jambazi usoni, wakawa kama wana tazamani hivi, “ulikuwa unanitafuta kwa siku kadhaa, unaweza kuniambia ulikuwa unataka nini kwangu?” mama Mona alimsikia kijana huyu ambae alikuwa amezowea kumwona kuwa ni mpole na mtulivu, ila alikorosna nae kwa sababu ya kijana huyu kumtongoza mwanae, tahalifa aliyo letewa na Erasto, Kibabu akuwa na uwezo wa kuongea neno lolote, zaidi alitumbua macho kumtazama Edgar, kama vile kunajambo anataka kuonga lakini sauti aikuweza kutoka sijuwi Edgar alikuwa amechoma kinini huko ndani, yatumbo la sajent Idd Kibabu.
Mama Monalisa hakuamini macho yake, wakati anashuhudia tukio hili, aliweza kuona macho ya askari huyu ambae amekuwa kitishia maisha yake muda wote, ni kama yalikuwa yana omba msaada wa kuachiwa roho yake, lakini akuweza kutoa sauti, mstuko zaidi ulimkumba mama Monalisa, baada ya kumwona Edgar akichomoa kisu toka tumboni kwa Kibabu, na kusababisha damu nyingi zimwagike, na kutawanyika ovyo kama bomba bovu la maji, na kibabu akipleka mkono mmoja ilikuzuwia damu zile, wakati huo huo mama Monalisa alishuhudia Edgar akikipeleka kile kisu shingoni kwa sajent Idd kibabu, na kuki pitisha kwa haraka sana akiki vutia upande wake, hapo sanjet Idd Kibabu aka peleka mikono yote miwili kuzuwia shingoni, mikono ikaanza kujawa na damu, zilizopenya kwenye vidolle n nyingine zikitokea mdomoni na puani mama Monalisa, akaanza kusota akirudi nyuma, kabla aja mwona yule polisi akianguka chini kama kiroba, ikifwatia mmwagiko wa damu nyingi, mufululizo, toka tumboni na shingoni, huku Kibabu akirusharusha miguu, kama vile kuku alie chinjwa.
Tukio hili lili washtua watu wote, walio shuhudia, kasolo Monalisa peke yake, ambe aliinuka pale alipo kuwa amepiga magoti, akaokota bastora yake na kumkimbilia mama yake, ambae bado alikuwa ameduwaha anautumbulia macho mwili wa sajent Kibabu, ulio kuwa una pambana na roho iliyo kuwa ina acha mwili, “mama hupo salama?, vipi awaja kudhuru?” yalikuwa maswali mfululizo toka kwa Monalisa baada ya kumfikia mama yake, wakati huo Edgar alikuwa ana kifuta kisu chake kwenye nguo za Kibabu, mama Monalisa hakujibu kitu zaidi ya kuinua uso wake na kumtazama Edgar kwa mshangao, akamwona akiinuka na kupondoka kuelekea kule waliko wengine.
Baba Edgar baba Monalisa dereva na wale askari wawili, nao walimshangaa sana Edgar, wakitumia dakika kadhaa kumtazama, mpaka walipogutuka na kuanza kuokota silaha zao, huku mama Monalisa aki saidiwa na Monalisa kuinuka pale chini, na ndipo mama huyu alipo gundua kuwa mwanae ameshika bastola, hapoaka jitoa mkononi kwa mwanae haraka sana, akiikodolea bastola mkono kwa Monalisa, wakati huo baba Monalisa nae likuwa ana mfwata mke wake pale alipo kuwa na Monalisa, “we mona unajuwa hiyo ni hatari sana” alisema mama Mona kwa uoga, lakini ndio kwa monalisa aka tabasamu, “usiogope mama, mbona nime ishika mala nyingi” na wakati huo baba monalisa alikuwa amesha wafikia na kuwkumbatia kwapamoja, “mungu mkubwa mpo salama sasa” alisema baba Monalisa, kwa sauti iliyo jaa furaha. ***
“haiwezekani, uwezi kuni shauri ujinga” alisikika RPC wa iringa, akipaza sauti kwa kwanguvu kihasi cha kuwashangaza askari wengine waliokuwa wana endelea kuwapakiza watuhumiwa kwenye magari, “lakini…” nikama Kisona alitaka kuongea jambo lakini RPC akadakia, “bwanae kazi yako imekwisha, naomba uondoke, haraka sana mahali hapa, uwezi kunifundisha kazi” alisema RPC Iringa, hapo Kisona akawageukia wenzake na kuwaonyesha ishara ya kuwa waondoke zao, wakiwaacha askari polisi na makamanda wakishangaa tukio lile, wasijuwe wawili awa waliongea nini mpaka kime tokea hiki walicho kiona, “haya sikia kutoka kwangu, marai yaliyo tobolewa matairi yote, yavutwe na magari yaliyo beba marehemu, na majeluhi, alafu gari moja zima, lipakize waharifu wote, pamoja huyu mshenzi wao” alisema RPC kwa sauti ya amri, huku akimwonyesha Kingarame, RPC Ruvuma akataka kuhoji kulikoni, “sitaki swali, kama kuna mkubwa zaidi yangu atengue amri” aklisema RPC na jambo hilo likateke lezwa, mwisho, akaongea tena, “askari wachache wapande gari la awa wahalifu” alisema RPC, na hapo hapo wakajitokeza askari watano, walio kimbili haraka sana na kupanda lile gari lililo wapakiza wakina Kingarame, na wenzao, huku wengine wakionekna kuogopa kupanda gari lile, “awa wanaonekana ni mashijaa sana, maana naona wengine wasita sita, wakati watu wame fungwa pingu” alisema RPC Ruvuma, dakika chache kabla safari aijaanza, “gari la watuhumiwa libakie nyuma, sababu ni zima, aya mengine yatatangulia” amri nyingine iliyo washangaza wenzake, ilitoka kwa RPC Iringa, “huyu amechanganyikiwa, alinong’ona OC FU wa Iringa, wakati huo Kingarame alitazama askari walioingia ndani ya gari lile ilikuwalinda, akakutanisha macho na mmoja, ambae alibinya jicho moja, wote wakatabasamu, tabasamu ambali lilonyesha pengo la SSP Kingarame, na wakati huo askari wengine pamoja na makanda wakaingia kwenye magari na kuondoka zao, huku OC CID akiingia kwenye gari la RPC Iringa, gari lake lilibeba watuhumiwa, likitanguliwa na polisi mmoja mwenye cheo cha koplo, wa kutoka iringa, alie ambiwa na RPC Iringa, wa leo ndefu sana, sijuwi kama itaweza kuingia (kufunguka) kwenye simu zenu, ikishindikana nijulisheni niikate, itaendelea hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!