
SEHEMU YA NNE
ILIPOISHIA SEHEMU YA TATU: pia wanawake wawili mmoja mama wamakamo akiwa na sufuria mkononi lilionyesha linatoka jikoni, maana lilikuwa linafuka moshi, pia mdada ambae ni kijana sawa na huyu mwanaume, naye alikuwa na smg mkononi, hapo Michael akajuwa ameingia choo chakike, maana watu awa walioneka wazi kuwa ni wahasi, aliendelea kusimulia Jackline huku mume wake enis akimsikiliza kwa umakini mkubwa sana, ENDELEA….
“jambo rafiki, unalamuka?” alisalimia yule kijana wakiume, akionyesha kuwa katika hali flani ya urafiki, Michael akiwa katika hali ya kuondokewa na wasi wasi wakuwa wale jamaa ni watu wabaya, akajaribu kujibu, lakini akajikuta akishindwa kutoa sauti, kwani alisikia maumivu makali kwenye mbavu, akajishika kifua akikunja uso kwa maumivu, “bado ina gonjwa sana, kifua ina luma, awezi sema chochote” aliongea yule mama wakamo huku akiweka lile sufuria chini, aka chukua kitambaa na kuloweka kwenye maji ya moto, yaliyo changanyika na majani na vipande vya miti flani, kisha akakitoa kile kitambaa na kukikamua kidogo, na kuanza kumkanda, Michael maeneo ya kifua chake, Maumivu makali yalimjia Michael na kumfanya apige kelele, zilizo zidisha maumivu kifuani kwake, “rafiki, akuna dawa inakosa buchungu” aliongea yule kijana akitoka nje, akafuatiwa na yule mdada, mle ndani akabaki yule mama mtu mzima, na yule binti, baada ya kumkanda kidogo, yule mama akamwambia yule binti, “Anitha cha musha maji, umusafishe hule mugonjwa” yule binti aliinuka na kutoka nje, “akuna matatizo mtanzania, utapoa nakurudia kunyumba” yulemama akachukua kile kitambaa pamoja na sufuria lake, akatokanalo nje, mle ndani Michael alianza kujiuliza, awa watu ni watu gani, kwa maana ya maadui au rafiki, kama wanavyo mwita, maana wana silaha, pia wamesha mgundua kuwa yeye ni mtanzania na siyo m’congo mwenzao, wakati akiwaza hayo, Michael aliendelea kuzungusha machoyake ndani ya kile chumba, kukikagua kile vizuri, anagundua pia pembeni yake, pali tandikwa ngozi ya mnyama, kama ya ng’ombe, na kipande cha shuka juu yake, pia aligundua kuwa, yeye pia alikuwa amelalia kipande cha ngozi, kamakile kilichopo pembeni yake, ikionyesha kuwa kunamtu alukuwa akilala mahali pale, Baada ya dakika kumi, akarudi yule mschana mdogo ambae alikuwa ana miaka kati ya kumi na nane mpaka kumi na tisa, akipishana miaka michache na Michael, ambae sasa Michael alisha juwa jina lake kuwa anaitwa Anitha, alikuwa amebeba sufuria kubwa la maji, akaliweka chini, pembeni kabisa ya Michael, kisha akaenda kwenye nguo zilizo tundikwa kwenye kamba iliyo fungwa mle ndani ya kibanda, akachukua kanga moja chakavu, akakurudi pale alipo yaweka maji, muda wote Anitha alikuwa akitabasamu huku akiona aibu, ile ya kike, Anitha akaloweka ilekanga ndani ya maji kisha akaitoa, akaikamua kidogo, alafu akaanza kumfuta nayo Michael, ambae sasa aliweza kumwona vizuri kabisa yule binti, ambae licha ya kuwa na sura nzuri iliyo jaa ahibu, pia alikuwa anaumbile la kuvutia sana, Michael alimwona yule bini mzuri akimfuta taratibu na kwa umakini, alimwona akmwinua mkono mmoja baada ya mwingine, nakumfuta kwenye makwapa yake, akafwatia shingoni, usoni pia akashuka mpaka kwenye maeneo ya tumbo, akiruka kifuani, nadhai aliepuka kumwongezea maumivu , kisha akiwa meikunja ile shuka aliyo jifunika Michael, mpaka kiunoni, hapo yule binti Atitha, alipenyeza mkono wake ndani ya shuka, huku akitabasamu na kuangalia pembeni kwa ahibu, adi sehemu za siri za Michael, nakuanza kufuta ehemu iliyo zunguka dudu ya Michael, ilifikia wakati akaanza kuifuta dudu yenyewe, huku bado akitazama pembeni, kwa ahibu ya kischana, kwa upande wa Michael akuhisi chochote, kutokana na hali yake ya maumivu ya kifua, Anitha alipomaliza kusafisha sehemu hiy nyeti, alimalizia miguuni na mapajani, kisha akamfunika vizuri na kutoka nje,
Nusu saa baadae Anitha aliingia na sup ya samaki, kwenye bakuri kubwa kwa umakini japo maumivu kidogo yalikuwepo, Anitha alikiinua kichwa cha Michael na kukilaza kwenye mapaja yake, na kuanza kumnywesha supu, huku akimlisha minofu ya samaki, muda wote Anitha alikuwa mwenye tabasamu usoni kwake, wakati mwingine akimsemesha Michael, ambae akuweza kumjibu japo alitamani kujibu, “mTanzania usikuwe na woga sisi tuko rafiki wa bien, tunapenda vile mnatusaidiaga muvita” Michael alitamani kujuwa umri wa huyu binti lakini akuweza kuongea, maana alikuwa mzuri mwenye umbo zuri, pia alimwonyesha upendo wa hali ya juu sana, licha yakuwa katika mazingila magumu ya kimasikini na shida, lakini Anitha alionekana wazi uzuri wake,
Michael alikaa na Anitha muda wote akimuhudumia, wakati mwingine mama mtu mzima alimkabizi dawa Anitha, na kumpaka Michael, mpaka jioni ilpoingia ndipo alipowaona tena wale vijana wawili wakike na wakiume, wenye SMG, safari hii walikuwa wameongozana na watu wengine wanne wenye umri sawa na wao, kwa mkadilio walikuwa na miaka ishirini na mitano, mpaka selathini na mbili, wote wakiwa na silaha mikononi mwao, “ndo yule m’Tanzania wajana” mmoja kati ya wanaume walio ongezeka aliongea, “ndo yeye lakini bado awezi ongea” alijibu kijana yule aliekuwepo asubuhi “Anton walishaga patia chakula, asije kufa kwa njala hule” aliuliza mmoja wao, akimwuliza yule ambae alikuwepo asubuhi “ndiyo wameshinda wakimpatia supu, awezi kula bugari, ni muganjwa sana” walitoka nje Michael akiwasindikiza kwa macho akitamani kuongea nao jambo, lakini alishindwa, “lakini huyu gaso yuko sodaa wakweli, na unaanguka yulu kule, na unafanya siku moja tu! Unalamuka” alisikika moja wao akiongea wakiwa nje ya kibanda hicho, akimaanisha (lakini huyu mvulana, ni mwanajeshi wa ukweli, yani unaanguka juu kule na unashinda siku moja tu, ukiwa umezimia, alafu unaamka)” Michael aliwasikia, akaelewa yale wanayo ya ongea, japo kwa kuunga unga, akafahamu kuwa liletukio la yeye kupigwa risasi na major Masinde lilikuwa jana, yani ni siku iliyo pita, kwa hiyo wenzake pengine wameshafika nyumbani Tanzania
Jioni Anitha alimsaidia tena Michael, kwa kumlisha viazi mvilingo na soup ya maini ya swala, alipomaliza akamalaza tena na kumfunika kisha yule binti akatoka nje, giza lilisha tanda, msitu ulikuwa kimya, aka shuhudia wale vijana waliomzidi umri wakijipanga kwa ajiri ya ulinzi, ambapo waliingia wawili wawili, mwanamke na mwanaume, baadae Michael aligundua kuwa walikuwa, wale vijana waliishi kwa pea, yani waliuwa ni mke na mume, kasili yule mama mtu mzima na anitha ndio ambao awakuwa na wanaume, pia Michael kwa sikuile moja aliyo kaa pale akiwa amezinduka, aligunduwa uwepo wa watoto kdhaa wadogo maali pale, usiku ule msitu ulikuwa kimya kabisa, zaidi zilisikika sauti za wanyama wakali na ndege wa usiku, huku kwa mbali akisikia sauti za mivumo ya maji, ikionyesha kulikuwa na maporomoko ya maji jirana na eneo hilo, Michael aliwaza juu ya atima yake mahali pale, ambapo palionekana kuwa ni katikati ya msitu, akawaza juu ya wenzake ambao aliwaona kama maadui zake, kuanzia major David Masinde , capt Alex, lieutenant Kaijage ,ssgt Mathayo, sgt chilumba na sameja Kileo, akawaza endapo atafanikiwa kurudi Tanzania lazima alipize kisasi, kwa watu wote waliokuwepo eneo lile, pasipo kujari yupi ni yupi na alifanya nini, pia akawaza kile kibegi kidogo cheusi kilichokuwa na Almas kilikuwa wapi, michael alikosa jibu, kwa upande mwingine alijuwa kimesha potea, akawaza juu ya fedha zake alizokuwanazo kwenye begi lake kubwa, na nyingine kwenye mifuko ya nguo alizo kuwa amezivaa, ambazo kwa sasa aliziona zikiwa zimetundikwa kwenye kamba, mlre ndani ya kibanda, wakati akiwaza hayo akamwona yule binti Anitha akiingia ndani amebeba kuni yenye moto, akiitumia kujimulikia, Anitha akaiweka chini ile kuni, akachuku akikombe cha maji akakimwagia kile kikuni cha moto, kisha giza lika tawala mle ndani, akahisi Anitha akisogea karibu yake na kujilaza, kwenye ile ngozi nyingine pembeni yake, “naulale bien Tanzania, mungu iko atakusaidia” Michael alimsikia yule binti akiongea kwa kishwahili chake chenye lafudhi ya ki Congo, hapo Michael akagundua kuwa alikuwa amelala kwenye kibanda cha yule mtoto wakike, na kwamba ata usiku walilala pamoja, alishindwa kujibu, usiku hule Michael aliangaika sana kupata usingizi, kutokana na mawazo na maumivu, mpaka usiku sana alipo patiwa,
Michael alistuka asubuhi, akifumbua macho, akashangaa kumwona Anitha, akiwa amepiga magoti pembeni yake, akiwa amesogeza uso wake, karibu kabisa na uso wa Michael, akimtazama usoni huku tabasamu likiwa limechanua usoni kwake, Michaael alijikuta akitabasamu pia, akimfanya Anitha aongeze tabasamu, “unaanja kucheka sasa, akose unapona mala hii” alisema Anitha akianza kuloweka kitambaa kwenye maji ya moto yenye dawa, ** hiyo ndiyo ilikuwa ratiba ya kila siku, zilipita siku tatu, Michael akiwa ndani ya kibanda kile, siku hiyo ilikuwa mida ya mchana, mala ghafla Michaeli alijisika kwenda chooni, ni baada ya kukaa siku zaidi ya tatu, pasipo kwenda haja kubwa, huku ndogo akiegeshewa kopo, wenyewe wakiliita poo, leo zilimbana zote mbili kwa mpigo, akaona sasa ana zalilika mchana kweupeeee, hapo akajaribu kujiinua, maumivu bado yalikuwepo, lakini siyo sana yalishaanza kupungua, akajitahidi zaidi adi akakaa, akashikiria nguzo moja ya mti, kati ya miti iliyojengewa kile kibanda, ikamsaidia kusimama, akajiviliga shuka vizuri, tatizo lilikuja baada ya ujaribu kutembea, ile anavuta atuwa tu aajisikia maumivu makali sana kwenye kifua chake, kwa bahati nzuri wakti huo huo Anitha alikuwa anaingia mle ndani, “weee! tanzania shida nini, una’ta jimaliza wepeke” aliongea Anitha huku anamdaka Michael na kumkalisha chini kwenye ngozi, ambayo Michael ndi sehemu yake ya kushinda, usiku na mchana, kitendo kile, kilikuwa ni hatari kwa Michael maana mda wowote ange jisaidia, pale pale, “Nataka kwenda chooni” ghafla sauti ilimchomoka Michael, huku akishikilia mbavu kwa maumivu aliyo yapata, Michael akajaribu kuinuka tena, Anitha patwa na mshangao baada ya kuona Michael, ameweza kuongea, “chunga naendaleta poo” Anitha akakimbia nje haraka, kisha akarudi akiwa amebeba ndoo ya chuma yenye maji kidogo, na mkono mwingine alibeba kopo la lita moja, likiwa na maji ndani yake, akaweka chini kisha akamsaidia Michael kumkalisha juu ya ndoo, Anitha akatoka nje akimwacha Michael anajisaidia, Michael alipomaliza alinawa vizuri, kisha akajitahidi kujiinua kwa msaada wa nguzo za ile nyumba, akajilaza kwenye ngozi akijifunika shuka yake, Anitha naye alikuwa makini sana, akaja haraka na kumfunika vizuri, kisha aka ondoka na ile ndoo pamoja na kopo dogo, Michael alimtazama huyu mschana, akishindwa amtafsiri vipi, maana alimhudumia utazani ni ndugu yake wakaribu, tena muda wote akiwa mwenye uso wa furaha, “sijuwi nitamlipa nini huyu mtoto?” aliwaza Michael *** Siku zilisonga, taratibu Michael alianza kupata unafuu, sasa aliweza kutoka nje, kwa msaada wa Anitha, Michael akajionea mazingira jinsi yalivyo, nivijumba kumi vidogo vidogo, vilivyo zungukwa na msitu mnene, pembeni ya mto unao tililisha maji kwakasi ya kawaida, watu awakuwa wengi mahali pale, ni vijana sita, wanaume watatu, na wanawake watatu wakiwa wanaishi kama mume namke, pia mama mtu mzima ambae alikuwa anaishi na watoto wake wanne wadogo, wa miaka kati ya saba na kumi na tano, wawili wakubwa, wakiwa ni wakike na wakiume wawili wadogo, pia mtu mwingine aliekuwa eneo lile ni mscha Anitha, aliishi kwenye kile kijumba ambacho Michael, pia alikua anaishi,
Michael pia kipindi hicho, akakagua mizigo yake, ilikuwa salama kabisa, kuanzia silaha yake na risasi zote, selathini zilikuwepo kwenye box lake ndani ya begi lake, pamoja na nguo zake zote, na fedha zake za kigeni, kiasi cha dollar, za marekani elfu tano, alizolipwa kwa safari ya kuja congo, pia shilingi ya Tanzania laki moja, pamoja na faranga elfu hamsini za congo, pia katika hali ya kushangaza wakati anapekuwa ndan ya begi lake, akakuta kile kimfuko chake cheusi chenye Almas, huku ndani yake mkiwa na vipande kumi vya almas, ambavyo kama akifanikiwa kufika navyo Tanzania, angeweza kuuza kwa fedha nyingi sana, * sasa ulikuwa umesha pita mwezi mmoja, toka Michael apatwe na mkasa ule, wakupigwa risasi na mkubwa wake wa kazi, Siku hiyo asubuhi Michael alichelewa kuamka, alistushwa toka usingizini na mlio wa vyuma viki chezewa chezewa, Michael akafungua macho yake, na kutazama pembeni, ambapo ile sauti ilitokea, akamwona Anitha akisafisha silaha aina ya SMG, huku mikebe mitatu ya risasi (megazin) zenye risasi zikiwa pembeni, yake “unalamuka sahii Michael” aliongea Anitha, huku akitabasamu, pasipo kumwangalia Michael, ambae sasa alikuwa anavaa suluali yake ya kijeshi na tishet lake la kijeshi, “yaa! nimeamka, na hisi uchovu sana, vipi hiyo silaha ya nani?” Michael aliongea huku akipiga muhayo mrefu, kisha anajiinua kwa shida, maana bado alikuwa anasikia maumivu kwa mbali sehemu za kifua, “niya kwangu hii” alijibu Anitha akigeuka na kumtazama Michael, macho yake yanatua kwenye suluali ya Michael, sehemu ya zipu (lisani), anaona pametuna sana, akatabasmu kidogo kisha akakwepesha macho yake, Michael akagundua, akajaribu kujiweka vizuri, kisha akatoka nje na kwenda kukojoa, aliporudi kidogo ilikuwa afadhari, “unaweza kuitumia hiyo” aliuliza Michael akimsogelea Anitha na kuchuchumaa pembeni yake, “nafanya miaka tatu sasa na hii” Anitha alimaanisha ile silaha ameitumia kwa muda wa miaka mitatu, Michael akaduwaa, akinuka nakwenda kwenye begi lake kubwa akatoa mswaki na dawa, akachukua kikombe cha maji ambacho kilisha andaliwa na Anitha, ndivyo afanyavyo kila siku, “Michael kule Tanzania huko na bibi?” Michael alifahamu alichokuwa anaulizia Anitha, “hapana bado sijaoa” alijibu Michael akisimama mlangoni wakati anataka kutoka nje, “kwanini haukuoa?” aliuliza Anitha pasipo kumtazama Michael “sababu nina miaka miwili kazini, bado mingine minne niweze kuoa” alijibu Micahel kisha akatoka nje na kuendelea kupiga mswaki, baada ya dakika kumi Michael alisha maliza kupiga mswaki, akavaa buti zake kisha akaa kwenye ngozi yake, pale anapolala siku zote, akimtazama Anitha akimaliza kuifunga silaha yake, baada ya kumaliza uisafisha, kisha akaivuta ngozi ya pembeni anayoilalia yeye Anitha, chini ya ile ngozi, kulikuwa na ubao mpana kidogo na mrefu, Anitha akaufunua ule ubao, chini yake kulikuwa na begi la ngozi jeusi, ambalo lilikuwa ndani ya shimo refu kidogo kama mbili na nusu hivi, Anitha akailaza ile silaha juu ya lile begi, akarudishia ubao kisha ngozi alafu akajilaza juu yake, sasa wakawa wamelala sambamba na Michael, “we Anitha ni mjanja sana” alisema Michael ambae mda wote alikuwa anamtazama Anitha, “kwanini mi ni mujanja?” aliuliza Anitha huku akitabasamu, “si kama hivyo, kwani wewe unamiaka mingapi” Anitha alitulia kidogo akitabasamu, kisha akaongea kwa sauti yachini “sijuwi nikuambieje, sawa utaelewa tu! Mwezi mmoja unapita mbele, na fanya miaka makumi moja, na mingine minane, aliongea Anitha akionyesha kwa vidole, kumi nanane,
Michael na Anitha, mle ndani waliongea mengi asubui ile, asa baadaya kupata kifungua kinywa, Michael alimwuliza Anitha kuwa yeye na wale wengine walifikaje pale, Anitha akaanza kumsimulia, kuwa miaka mitatu iliyopita akiwa na miaka kumi na tano, walikimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe kule mjini Goma, ambako alikuwa akiisha na familia, yao lakini mpaka sasa hajuwi wazazi wake na wadogo zake wawili wakowapi, nayeye yupo pale akiamini hipo siku atapata kuwa na mahisha mazuri, ndoto hiyo ilidumu kichwani mwake, mpaka siku alipowaona wa Tanzania saba wakiwa upande wa juu, wa msitu ule, huko ambako yeye alikuwa na wale watoto wa mama mtu mzima wakitembelea mitego yao ya kukamata wanyama wa porini, walijificha na kuwatazama walichokuwa wanakifanya, akiwa na lengo la kwenda kuwaomba wa mbebe kwenda nao Tanzania, ambako aliamini kuwa kuna maisha mazuri, lakini alishangaa kuona wale watanzania wana mpiga risasi mwenzao, kisha wakashuhudia wakigawana almas, na baada ya muda mfupi, inatua helicopter ina wabeba wale askari sita walio bakia, inaondoka huku wakihacha begi moja la mwenzao waliempiga risasi, wao wakaenda kulichukua lile beg na kwenda kumfuata yule mtanzania aliepigwa risasi, wakamkuta amepoteza fahamu, waka saidiana kumbeba kwa machela ya kienyeji, waliyo itengeneza kwa miti na kamba, waka mleta pale kwenye eneo ambalo wana litumia kama makazi yao, watu wote pale wakashauriana yule mtanzania ataala kwenye kibanda gani, wakaona alale kwa Anitha, sababu ndie mwanamke pekee alikuwa na umri mkubwa pia Anitha mwenyewe alisema angeweza kumtazama kwa umakini, huku mama mtum zima akitafuta dawa na kumtibu * “lazima nirudi nyumbani nikawatafute hawa washenzi” Michael aliongea kwa sauti ya juu iliyojaa uchungu, baada ya kumaliza kumsikiliza Anitha
NAAM MICHAEL AMESHAPATA NAFUU, ANAWAZA KURUDI TANZANIA , AKAWATAFUTE WAKINA MASINDE JE? ATAFANIKIWA
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU