BINTI MDUNGUAJI (09)

SEHEMU YA TISA


ILIPOISHIA SEHEMU YA NANE : kwa pupa kisha wakarudisha macho kwa Jackline, “poleni sana, mtakacho kipata leo ladhima kesho mnitafute tena” hapo walishuhudia tabasamu la hajabu ambalo hakuna ata mmoja wao, aliewai kuliona, kiukweli usingeweza kutambua kama huyu binti alikuwa anatabasamu au amekasirika, endelea …….
wale vijana watukutu walitulia kwa muda kidogo, wakishangaa lile tabasamu la hajabu, kabla awaja stuka wakamwona Jackline Nyati, akigeuka aliko toka, yani upande wa mjini, ambako alikuwepo mwenzao mmoja ambae ni Majaliwa, kisha akatoka mbio kumfwata Majaliwa, ambae alikuwa aelewi elewi, maana alitalajia kuwa yule binti Jackline, angeanza kuangua kilio cha kuomba msaada, tofauti yake alimwoana, akimjia kwa speed moja ya kimbunga, mpaka Majaliwa ana pata wazo la kwamba kina chofwata ni hatari kwake, alimshuhudia Jackline, akiruka juu na kutuwa karibu yake ikienda sambamba na ngumi nzito iliyo tuwa usoni kwake, na kumfanya aone giza lenye nyota nyingi za kijani, sambamba na maumivu makali, kabla aja kaa sawa, Majaliwa alijikuta akifyetuliwa miguu, yake kwa mtama wa nguvu ulio mfanya ajikut, hewani kwa sekunde kadhaa kabla ya kutuwa chini, na kukandamizwa na teke la usoni, mpaka hapo wakina Festor na Kadoda walijuwa kuwa wanae pambana nae siyo mtu wakawaida, yani ni nitofauti na sura yake nzuri wa kuvutia, Jackline alikuwa ni wanamke katili sana, hapo kadoda na Festor wakanza kukimbia, kuifwata barabara, kuelekea nyumbani kwa kina Jackline, lakini awakupata nafasi ya kukimbia, kwa sababu walishuhudia Jackline akiwajia kwa speed ya hajabu, na kuwa piga kikumbo kikubwa, kilicho wa tupa pembeni, kisha kilicho fwatia hapo, ni kichapo kikubwa sana, ambachoo kilisababisha mzee Michael Nyati aitwe kituo cha polisi akiwa na mwanae, siku ya pili saa nne asubuhi, mzee Nyati aliwasili kituo chapolisi cha wilaya, pembezoni mwa uwanja wa mpila wa maji maji, aliingia ndani akiwa na binti yake binti mrembo sana, akaelekezwa ofisini kwa OCD, OCD Lukaka Nyamakena, alikuwa amekaa kwenye kiti chake mbele ya meza kubwa, yenye vikolokolo vingi, ikiwepo na bendera ya taifa na simu ya mezani, peni makalatasi na mafile mengi, kwenye visehemu vilivyo andikwa IN, OUT na PENDING, mbele yake kulikuwa na watu sita, wanaume wote watau wakiwa ni vijana watu wazima umri ukilingana na wa Michael Nyati, wakionyesha ni watu wenye uwezo kifedha, lakini wasinge mfikia mzee Nyati, pia walionekana vijana watatu wakiwa wamevimba nyuso zao, pia wamefungwa bandeji karibu mwili mzima, wakiwa na magongo ya kutembelea mikononi mwao, mzee Michael Nyati, akiwa na mwanae waliingia na kusalia, “samahani, bwana mkubwa, awaja kuambia kama nina wageni, humu ndani?” aliuliza OCD Nyamakena, kwarafudhii ya kikulya, “nime elekezwa hapo mapokezi, nije kwako moja kwa moja” alijibu kwa sauti ya utulivu, mzee Nyati, “ok! aina ubaya, ujuwe kuna kijana mmoja mwanafunzi, amefanya ualifu hapa, ndio tuna msubiri, aletwe na mzazi wake?, ni kama unavyo ona, yani hapa hawa watoto wameletwa hapa kwa msaada wapolisi, awawezi atakutembea” akatulia kidogo kisha akawaza jambo, OCD akamtazama Jackline, “kwanini msiwe kama mwenzenu huyu, ata kwa mwonekano anaonekana ni mpole sana”, aliongea OCD Nyamakena, kabla ajainua uso wake na kumwuliza mzee Nyati,”ok tatizo nini, au linamuhusu huyu binti yako?” hapo mzee Nyati akajikooza kidogo na kuwatazama wazee wenzake, ambao walionekana wamekunja sura zao kahasira, wakinyesha kuwa, wanahamu ya kumwona mwalifu,alie wachakaza vjiana wao, “samahani kwakuchelwa mzee wangu, mzee mimi ndie mzazi mnae msubiri” wote mle ndani kasolo wale vijana watatu tu, walimtazama mzee Nyati kwa mshangao, na hasira kari, kisha wakamtazama binti yake, “unaona sasa we mzee ulivyo mkolofi, sasa mbona huyo kijana wako umemwacha?, na usije uka niambia kuwa, amekimbia nyumbani” aliongea OCD, akionyesha hasira usoni kwake, “hapana mweshimiwa, nikwamba….” kabla mzee Nyati haja malizia, mzee mmoja kati ya wale wazazi watatu, akadakia kwa jazba, “huyu asicheze na damu yangu, ikiwezekana alela lumande, mpaka kijana wake apatikane” hapo akadakia tena mwingine akionekana mwenye hasira kupita wote, “tena sikubali kabisa, watoto wao wakipigwa ndio wakwanza kukimbilia polisi, nakudai fidia, lakini yeye wakwake anamficha” OCD likaa kimya akiwatazama wale wazazi wakimshambulia kwa maneno mzee Nyati, ambae alikuwa ametulia akiwaangalia wale vijana, huku akitabasamu, akuonyesha wasi wasi, zaidi alionekana kukubali kiwango cha mwanae, katika mapigano, OCD aligunduwa kitu usoni kwa nzee Nyati, “ok! ebu tulieni kwanza,” wote wakatulia kutokana na kauli ya OCD “haya we! mzee tueleze umemwacha wapi huyo kijana wako?” huku akionyesha mwenye tabasamu, pasipo wasi wasi wowote, mzee Nyati akaongea huku akimwonesha mwanae Jackline, “mimi nina mtoto mmoja tu!, ambae ni huyu hapa,” hapo ukasikika mguno toka kwa wale wazee watatu, wakionyesha kupinga kauli ya mzee Nyati, kwamba zilikuwa ni mbinu zake za kumwokoa mwanae, “mchezo wakitoto huo” mmoja wao aliongea kwa jazba, “unauakika unacho kisema mzee wangu?” aliuliza kwa kwa mshangao OCD, ambae nae aliona mazingaombwe yana karibia kutokea ofisini kwake, “ndiyo mzee wangu” alijibu mzee Nyati kwa sauti ya upole kabisa, “na huyo Jack ..sijuwi Jackson..sijuwi nani, ninani wako?” aliuliza OCD, na wale wazee wote, wakatulia macho wakiyaelekeza kwa mzee Nyati, huku tabasamu likiwa limetawala kwenye nyuso zao, wakizani wamesha mkamata kwa uongo wake, “sina mtu nyumbani kwangu anaitwa Jackson, ila huyu binti yangu anaitwa Jackline,”aliongea Michael Nyati kwa sauti ya upole, kama kwaida tokea ameingia hapa ndani, akiwaacha wale wazee wakodoe macho kwa hasira wakizani wana chezewa mchezo wa kiuni, wakataka kuanza kuongea, lakini Ocd Nyamakena akamtazama yule binti, kisha akawatazama wale vijana, “eti nyie huyo Jack ndie huyu?” wote wakaitikia kwa vichwa, wakionyesha kukubari, maana awakuweza kuongea, midomo yao ilikuwa imevimba sana, hapo OCD alingua kicheko cha kejeli vibaya sana, “nyie manunda, leo mepigwa na huyu binti?” aliongea OCD alafu akaendelea tena kucheka, na kusababisha wale wazazi nao wacheke kicheko cha uchungu, OCD alimwaomba Jackline aeleze ilivyokuwa, naye akaeleza jinsi walivyo mvizia kwa lengo la kumbaka, lakini kilicho wapata ndicho hicho kinacho onekana, “pole kwa usumbufu baba Jack, unaweza kwenda, na mwanao” alisema Ocd akimwambia mzee Nyati, kisha akamwambia Jackline, “wakirudia tena waongezee, wasiweze ata kufika hapa polisi wabakaji hawa” alimaliza pia akawatimua wale wazazi akiwaambia “ebu bebeni hii mizigo yenu, mwende sehemu mnayozani wanaweza kuwasaidia” **
Hayo nibahadhi ya matukio ya kinyama, aliyo yafanya Jackline na baada ya kumaliza kidato cha nne, alianza kufundishwa namna ya kutumia silaha, kwanza alianza na bastola akifwatia silaha zote za kati, kuanzia SMG(AK47) UZI GUN, MMG, LMG, MIKE GALILY, mwisho akamaliza na Mugnum Snper riffle, yenye uwezo wakumpiga mtu umbali wa km mbili, hii nisilaha ya kudungulia toka mbali, pia licha ya kuwa na uwezo wakutumia mikono na mikuu kupigana, pia aliweza kutumia silihaha za jadi kama kisu na vinginevyo, chochote kilichipo mkononi mwa Jackline kwake uwa ni silaha, mpaka anamaliza kidato cha sita, Jackline alikuwa anambinu elfu moja za kuuwa pasipo kutumia bunduki, hiyo ni kwamikono yake tu! sasa ni week ya tatu yupo hapa dar es salaam, naleo ndiyo siku ambayo, amemdondosha windo lake la kwanza, kati ya sita aliyotumwa kuwamaliza, Siku zote Jack alikumbuka kuwa, baba yake alimsisitiza kutoji usisha na mapenzi, kitu kilicho sababisha, Jackline kuwafanya wanaume ndio maadui zake wa kwanza, pale wanapo jaribu kumtongoza,
Miezi mitatu nyuma ya leo, baba yake alimwita Jackline, na kumweleza jukumu lililopo mbele yake la kulipiza kisasi, akimsimulia tukio lilimtokea mwaka 1988, huko nyilagongo nchini Congo, nibahada ya kufanya uchunguzi nakufahamu wabaya wake wapo hai na shuguli wanazo zifanya akianza na afisa mteule Chilumba, ambae alikuwa mchungaji wa kanisa moja la kilokole mjini dar maeneo ya buguruni, sasa ni mwezi mmoja tangu Jackline alipoingia dar es salaam, kikazi zaidi, moja kwa moja alifikia kwenye nyumba ya wageni hiliyopo karibu na nyumba za polisi mtaa wa rozana, akajifanya muumini wa kanisa la mchungaji Chilumba, aliuzuria mala mbili huku akichunguza ratiba za mchungaji Chilumba, natabia yake, akagundua mchungaji alikuwa anatabia ya kupenda waschana, uwarubuni kwa janja ya maombi, kisha kufanyanao mapenzi, ndipo alipoomba kukutana na mchungaji,
Jackline alipatanafasi ya kukutana na mchungaji, mchungaji Chilumba akaingiwa natamaa, akaomba kukutana na Jackline, ambae alimdanganya mchungaji Chilumba kuwa, anafanyia kazi kwenye ofisi inayojiusisha na utoaji wa mikopo, kwa wakina mama wajasiliamari, zilizopo manzese kwenye jengo la Kamanga plaza, wakapeana miadi siku ile ya jumatatu, saa nne asubuhi wakutane kamanga plaza, ambapo haikuwa kazi ngumu kwa Jackline kumdungua Chilumba kutokea jengo la pili ** Sasa Jackline alikuwa amejilaza kitandani, ndani ya chumba chake alicho kikodi pale Mapambani bar, akachukua simu yake ya kisasa, akabonyeza namba na kupiga, alisubiri kidogo kabla ya kuanza kuongea “kazi tayari baba” aliongea Jackline kwa sauti ya chini “nimeona kwenye tv, kuanzia sasa makini sana, wakati natafuta walipo wengine, nikiwapata nitakujurisha, naiimani nitawapata mapema, maana tumesha wachokoza” Jackline alipo maliza kuongea na baba yake akajilaza tena, hapo yakaanza kumjia mawazo ya yule kijana mlevi, alie mgongea site mirror yake na kumsamehe, ambae alimsikia kwa mdomo wake akidai kuwa yupo tayari, kuonga gari kwa yeye mama n’tilie, Jackiline akajikuta akimchukia sana yule kijana, na baada ya kuwaza wa dadika chache, Jackline akapitiwa na usingizi * Kituo kikuu cha polisi askari polisi walionekana wakiwa katika pilika pilika za hapa na pale, huko ndani ya ofisi ya mkuu wakitengo cha upelelezi, wakuu walikuwa katika mjadala mzito, juu ya tukio la kuuawa kwa mwanajeshi mstahafu, anaye julikana kama mchungaji Chilumba, baada ya mjadala wa muda mrefu sana, wakatoa mahamuzi kuwa atafutwe inspector Johnson David asimamie hii kesi, maana yeye ni hodari sana, wakuzikabiri kesi kama hizi, Masaa machache baadae Inspector Johnson alikuwa amesha report kituo kikuu, akitokea kigamboni, alikokuwa anafanyia kazi mwanzo, alipewa jukumu la kumtafuta muhuwaji, akikabiziwa magari mawili aina ya land lover defender na askari wapatao kumi wakiwa na silaha aina ya smg, kwaajiri ya kumsaidia, kilicho wastua wakuu wapolisi na selikari, ni kwamba silaha iliyotumika ni kubwa sana, tena ni silaha mahalumu ya kijeshi, utumiwa na wanajeshi mahalumu walio pitia mafunzo mahalumu ya kivita na mauwaji ya siri, taharifa zilipelekwa kwenye makao makuu ya jeshi la ulinzi juu ya kifo cha askari wao mstahafu ** Ilisha timia saa mbili usiku Jackline akiwa amejilaza kitandani alistuliwa na mwanga wataa iliyowashwa mle chumbani kwake, akafumbua macho akakutana na sura za wanaume watatu walio shiba kweli kweli, kila mmoja akiwa na kisu kikubwa mkononi, kati yao akiwepo yule alie kuwa akiongea na mhudumu wa vyumba, kwa hiyo ni yule alie tuma ujumbe wakumtaka kimapenzi, alipoangalia vizuri nyuma yao mlangoni alimwona yule mhudumu wa vyumba, akichungulia, macho yao yalipogongana akamng’ong’a, jitahidini asipige kelele, fanyeni faster” aliongea yule dada mhudumu, kisha akaondoka zake, njemba moja kati ya wale jamaa watatu, alifunga mlango na funguo akiiweka mfukoni, “wakubwa mimi naanza alafu nyie mtamaliza” aliongea yule jamaa ambae alisha mfukuzia Jack toka jana, Jackline aliwaangalia kwa umakini sana, vijana wale watatu, asijuwe wamefunguaje mlango, wakati aliufunga kwa ufunguo, lakini akagundua kosa alilofanya, nikuchomoa funguo kwenye kitasa, ndipo yule mhudumu alipo wapafunguo nyingine wakatumia kuingilia ndani, Jackline alitulia kitandani akiwatazama wageni wake, kwa umakini sana alipapasa kwenye paja lake la kulia na kukigusa kisu chake, hapo Jackline akatabasamu kidogo “karibuni kuzimu,” ilisikika sauti tulivu ya Jackline masikioni mwa wale vijana, ambao waliduwaa wasimwelewe kabisa anacho maanisha huyu dada,ambae bado alikuwepo juu ya kitanda, zaidi walishangaa huyu mwanamke akuonyesha dalili yoyote ya uoga au wasiwasi usoni kwake, hapo walishuhudia tabasamu la hajabu sana, usoni kwa huyu dada, itaendelea.

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!