BINTI MDUNGUAJI (19)

SEHEMU YA KUMI NA TISA

ILIPOISHIA SEHEMU YA KUMI NANE : ikionekana jinsi ilivyo vimba kwenye suluwali, kwa kusimama, ilionekana kutamani kitumbua chake, sasa Jackline aka mwona mwenyeji wake chapombe, akianza kulegeza mkanda wa suruali, huku macho yake ame yakodoa kitandani alipo lala yeye, hapo Jackline Michael Nyati, taratibu alikunja ngumi, tayari kumtandika mwenyeji wake, endapo atafanya ujinga wowote, endelea……
Akamwona mwenyeji wake, akivuwa viatu na Suluwali, akibakia na boxer, dudu yake bado ime simama sana, hapo Jackline akajiweka tayari kumtandika Denis, kama angemsogelea, lakini ikawa tofauti akamwona anasogelea kabati, kisha akamwona akivuta shuka, alafu akaja nalo mpaka kitandani, na kumfunika, toka miguuni mpaka maeneo ya shingoni, alafu na yeye Denis akaelekea bafuni, mle mle chumbani, kisha ikasikika sauti ya kumwagika kwa mkojo mrefu sana, ulio tumia dakika nzima, alafu akatoka na kurejea chumbani, akajilaza pembeni ya Jackline, pasipo kujifunika shuka, baada ya dakika chache, Jackline akamsikia Denis akianza kukoroma, kiukweli kitendo kile kilimkumbusha mbali sana Jackline, kipindi akiwa mdogo, siku ambazo alikuwa na choka sana, kwa ajili ya michezo ya kitoto au mazoezi, baba yake au mama yake walikuwa makini sana, kuakikisha Jackline analala salama, mala kwa mala waliigia chumbani kwake na kumfunika vizuri, ** saa kumi na moja za alfajili, vijana nane walikuwa ndani ya gari moja aina ya land lover 110, wakitokea morogoro kuelekea Dar es salaam, ambako waliitwa kwa ajiri ya kazi muhimu, na kwamba huko Dar es salaam, wangeungana na wenzao wanne, gari lilienda moja kwamoja mpaka mbezi msakuzi, na kusimama mbele ya jumba moja kubwa la kifahari, ambalo lilionyesha kuto kukaliwa na watu, pembeni waliliona gari nyingine kama walilo kuja nalo wao, lilikuwa lime park maali pale, na vijana watano wakiwa wamesimama pembeni yake, walikuwa wanawafahamu, ni vijana wa mzee Masinde, mala nyingi uwa wanakutana kwenye matukio ya uvushaji wa meno ya tembo, na ngozi za wanyama mbalimbali, wakaungana nao baa da ya kusalimiana, wakatulia kama dakika tano ndipo yakaja magari mawili mengine likiwepo land lover 110 na Nissan patrol, yakasimama na kwenye land lover alibakia madereva peke yake, na ndani ya Nissan alikuwepo mzee Mathayo peke yake, akashuka na kuwapatia ufunguo wa nyumba, “ingieni mpumzike, mkijuwa kuanzia sasa mpo kazini kumsaka muuwaji, alie wauwa wakina Chilumba, tutawasiliana kujuwa mtaanzia wapi kazi yenu” wale vijana pamoja na madereva wa yale magari matatu, waliingia ndani huku mzee Mathayo, akiondowa gari lake na kupotea zake, ** Saa kumi na mbili na robo nyumbani kwa Denis, Jackline alikuwa amesha amka, na sasa alikuwa sebuleni akifanya mazoezi baada yakuona mwenyeji wake akuwa na dalili ya kuamka, Jackline akiwa amevaa kile kigauni chake kifupi alicho lalia usiku, ndani akiwa na kikaptula kifupi, lakini bila kisu wala bastora, alifanya mzoezi kwa nguvu sana, lengo likiwa kutumia muda mfupi, kabla mwenyeji wake haja amka, chumbani nako Denis aliamka nakujikuta yupo peke yake lakini anakumbuka kuwa usiku alikuwa amelala na mgeni wake, akainuka na kubadiri nguo alizovaa, na kuvaa bukta, kisha akaingia chooni mlemle chumbani kwake, baada ya kumaliza kujisaidia alitoka chooni, akasimama chumbani kwake, alipepesa macho huku na huku, ndani ya chumba wakati huo alijaribu kuvuta kumbukumbu, ya matukio yake ya jana usiku toka alipo rudi, “mh! siku sija haribu kweli?, maana mh! nilikuwa tungi” aliwaza Denis akiendelea kuangalia huku na huko kama anatafuta kitu, akaliona begi kubwa alilo m’bebea mgeni wake juzi, likiwa chini pembeni karibu na ukuta, juu yake kuna begi jingine, analikumbuka ni la mgeni wake, anayachukuwa na kuya weka kwenye kabati, la nguo lililo jengewa humo ndani, kisha akachukuwa mswaki akaweka dawa nakuingia tena bafuni, baada ya dakika kumi Denis alikuwa amesha maliza kupiga mswaki, alitoka na kuingia sebuleni akumwona mgeni wake , akafunguwa friji na kutowa kopo la soda, na kuanza kuinywa, huku akielekea jikoni, akamkuta mgeni wake, dada mama ntilie akiwa amelowa maji kwenye kigauni kifupi alichomletea kwa ajiri ya kulalia, (ayakuwa maji ni jasho) alikuwa ameinama anamalizia kudeki jikoni, kiukweli kule kuinama kulisababisha kigauni kishindwe kuhifadhi baadhi ya sehemu ya maumbile ya nyuma ya mwili wa Jackline, kosa kile kipens cha jinsi, tungeongea mengine, ilimfanya Denis aduwae, maana mapaja mazuri ya Jackline yalionekana kwa uwazi kabisa na ule mkao wakuinama ndio kabisaaaa, maana Jackline alijariwa makalio mazuri ya duwara yaliyo jaa vyema, Denis akajikuta mapigo ya moyo yanaenda mbio, damu ikachemka nakukimbilia chini, na kujaa kwenye dudu, nayo ikasimama, akajikuta anapaliwa na soda, aliyokuwa akiinywa, Jackline akastuka nakugeuka kumtazama mwenyeji wake, macho ya Jackline yalituwa kwenye bukta ya Denis, Jackline akashuhudia dudu ya mwenyeji wake ikiwa ime simama, kama ameficha ndizi kwenye bukta, “ho! Umeamka niliona nisi kuamshe maana ulirudi ume choka” aliongea Jackline akikwepesha macho kutaza ma dudu ya Denis, kitendo ambacho denis alikiona, “hapana tatizo niliamua kulala, sababu leo juma mosi siendi kazini” alijibu Denis akigeuka kuficha dudu ambayo ilikuwa ina mzalilisha, “hoo kwahiyo leo tupo wote hapa nyumbani?”aliongea Jackline akitabasamu, kauli ya Denis ilionekana kum furahisha, “yaa lakini tutatoka wote jioni, tuka tembee kidogo, maana umekaa sana ndani” Denis alimjaribu mwenye jiwake, kuona kama atakubari, “mh! kwani tutanaenda wapi?” aliuliza Jackline kwa shahuku, bado akionyesha furaha, “tunaenda mbezi, au wewe unaonaje?” aliuliza Denis, “hakuna tatizo, ila husinywe sana pombe mpaka tunalala kwenye kochi” wote waka cheka huku Denis akielekea sebuleni, “ngoja nika shushe mizigo kwenye gari” alisema Denis akiondoka na kumwacha Jackline akimalizia kudeki, “sawa nakuja kukusaidia” Denis alielekea nje kabisa ya nyumba, huku akiendelea kuigugumia soda ya baridi, Jackline alikuwa ameona jinsi, dudu ya Denis ilivyo shikwa na hasira, akawaza kidogo kuwa anampa shida mwenyeji wake, maana alilijuwa ilo kutokana na kufafahamu jinsi umbo lake lilivyo, na usumbufu anaoupata kila siku, toka akiwa na umri wa kischana mpaka leo mdada, kutabasamu kidogo huku anamaliza kudeki, akamfwata Denis nje namkumkuta anashusha mizigo aliyo inunua jana sokoni mabibo, akaanza kumsaidia, “hivi kaka unaitwa nani? maana ata jina sikujuwi” aliuliza Jackline, Denis naye akakumbuka, “ ni kweli ata mimi sikujuwi jina” wote waka cheka, kisha waka tambulishana majina,
Siku hiyo Denis na Jackline, walishinda pamoja siku ile, huku kila mmoja akimtazama mwenzake vizuri, maana awakuwai kukaa pamoja kama hivi mchana toka wamefahamiana, Denis alikubari kuwa Jackline siyo mtoto wakawaida, alishangaa mschana mzuri kama vile akawa anazurula mtaani, akifanya kazi za mama ntilie, kiukweli Jackline akufanana na kazi hizo, wakati Denis akiwaza hayo, Jackline naye alikuwa anawaza yake, baada ya kumtaazama Denis, aligunduwa kitu juu ya kijana huyu, licha ya kuwa mtanashati pia alikuwa mcheshi, na mwenye moyo wa upendo sana, kuna vitu alivihisi ndani yake, japo alijaribu kuvipuuza, maana hakuwai kumpenda mwanamume ata siku moja, kwani alijisikia raha sana kukaa karibu na huyu kijana, “sasa Jack hizi siku mbili huja fanya kazi, sasa uta watumia nini wazazi wako?” aliongea Denis akimuondoa Jackline katika mawazo yake, “hoo! tena wameniambia mama nimgonjwa, nika mwambia mimi sijafanya kibarua chochote, hivyo hapa sijuwi ata nifanyaje” aliongopa Jackline, ili kumfanya Denis amwamini kuwa wazazi wake wapo kijijini, na awajiwezi, “ok! usijari, utanikumbusha baadae, nikupatie kiasi cha fedha, ili ukawatumie, kwani unawatumiaga kwa njia gani” aliongea Denis akionyesha kuguswa na swala lile, Jackline akaongopa kuwa, anatuma fedha kenye bus, waliendelea kuongea, wakati huo walikuwa wanakula chakula cha mchana, ** mbezi msakuzi vijana wakazi walikuwa wana panga mikakati ya kazi yao waianze vipi, baada ya kutafakari kwa muda mrefu, waliafikiana kuwa waanze kwa kuwatafuta ndugu wa Michael Nyati, ambae inasemekana kwao ni Songea, hapo mala moja wakaanza kufanya mawasiliano na watu wao waliopo Songea, baada ya kuulizia sana kwa watu wao waliopo Songea, kwa msaada wa mzee Masinde, waliweza kugunduwa kuwa Michael, ana mtoto mmoja tu!, binti yake ambae amesafiri kuja Dar, ambae awakujuwa amekuja kufanya nini, hapo wakaona wamesha pata njia ya kumnasa Michael Nyati, mala moja waka fanya juhudi za kutumiwa picha ya binti huyo, kwa njia ya fax, japo aikuwa na rangi, lakini ilionekana vizuri, wakapanga kumtafuta na kumteka, ili wamshinikize bwana Michael Nyati, aje sehemu watakayo mwelekeza ili wamtie miikononi mwao na kumpotezea maisha, yeye na mwanae Jackline, wali waza hayo, pasipo kujuwa uwezo wa Jackline, kwa kifupi mawazo yao yalikuwa tofauti na ukweli, waliamini kuwa Michael, amekodi muuwaji wakike, ambaye amuwauwa wakina Kileo, awakuwenza kujuwa kuwa muuwaji ni Jackline mtoto wa damu wa mzee Michael Nyati, ambae wanapanga kumkamata, pia mpango wao mwingine ulikuwa ni kwamba, leo jioni wamtafute kwanza Dada mfanyakazi wa mapambano guest house, ambae aliwai kumwona muuwaji huyo wakike, pengine wangepata mwanzo mzuri wakumpata ata muuwaji wanae mtafuta, maana baada ya kufatilia, waliambiwa kuwa mwanamke huyo, yupo mbezi, anapatikana sana kwenye bar moja maarufu ya Full dose, ambapo ujifanya anamtembelea dada yake anaye fanya kazi hapo, huku lengo lake likiwa ni kuvizia wanaume wapenda vitumbua, ili ajipaie pesa za kujikimu, wakapanga jioni hiyo wajige watatu waende Full dose na wengine waende mjini, ambako waliamini wange bahatisha kumpata Jackline, kila mmoja wao alikuwa na kopi ya picha ya Jackline, huku kila mmoja akijisemea kimyo moyo kwamba Jackline mschana mrembo na mzuri sana, hivyo akimpata, lazima kwanza ale kitumbua, ** saa moja usiku, Jackline na Denis walikuwa mbezi kwenye Pub moja nzuri sana ambayo watu wengi upenda kuja kustarehe mida ya jioni, Full dose pub, walikuwa wamekaa kwenye kona moja ya kujificha wakipata kinywaji, ambapo Denis alikuwa anakunywa bia na Jackline alikuwa anakunywa soda, muda wote wakiongea kwa furaha huku wakifanyiana masihara, kama ungewaona unge sema ni wapenzi, tena wa muda mrefu, walikuwepo hapo Pub toka saa kumi jioni, Denis alisha kuwa amekunywa bia nyingi sana, alikuwa ameshaondowa ahibu, kuna muda Denis alimtazama Jackline, ambapo walikuwa wamekaa kwa kutazamana, wakitenganishwa na meza, Denis alimkazia macho Jackline kwa muda mrefu, alimtazama mpaka Jackline akaanza kuona ahibu, akakwepesha macho, na kutazama chini, Denis akashika mikono ya Jackline, ambayo ilikuwa mezani, Jack akainua uso wake na kumtazama tena Denis, macho yao yakakutana, kuna hali flani ilimjia jackline, mwili ukamsisimka, “Jack” aliita Denis “abee” kiukweli Jackline akumbuki mala ya mwisho aliitikia lini kwa mtindo huo, ilikuwa sauti nyembamba ya chini na nyororo, iliyo jaa ahibu, sauti ambayo iliamsha hisia za mbali sana za Denis, macho ya Jackline yalikuwa yamesha anza kulegea, hakuwai kutokewa na hali kama hiyo ata siku moja, “unajuwa kama wewe nimzuri sana,” Sali la Denis lilikuwa gumu kwa Jackline, alijibu kwa kutabasamu, nitabasmu ambalo akuwai kutabasamu akiwa na umri mkubwa kama huu, nitabasamu ambalo Denis akuwai kuliona ata kwenye TV, tabasamu lililo sababisha kuonekana kwa vijishimo (dimples) mashavuni kwa Jackline, nakusababisha uzuri wake uzidi mala dufu, Denis akaduwaa tena ni mshangao wawazi kabisa, mpaka Jackline akagunduwa, ni mshangao ambao ulimfanya Jack astuke kutoka kwenye hali aliyokuwa nayo, ya hisia za mapenzi mbele ya huyu mwenyeji wake mlevi, akaitoa mikono yake kwa Denis haraka sana, akajikuta ana pandwa na hasira za ghafla,akakunja sura akimtazama Denis, lakini sura yake ilizidi kupendeza “vipi Jack nimekuhudhi?” aliuliza Denis akiwa ame udhunika, kwa hali aliyo ionyesha Jackline, Japo sura yake ilizidi kuwa nzuri, “hapa, ilaaa!.. naitaitaji kwenda chooni” aliongea Jackline akijitaidi kuondoa ile hali ya chuki zidi ya wanaume iliyo ingilia ghafla, “hooo! ok! ok! ebu nikupeleke” aliongea Denis huku akijiandaa kusimama, Jackline alibaki amegana kwenye kiti akimtazama Denis kwa hasira, kwani akupenda jinsi anavyo onyesha kumjari, kwaupendo mkubwa, Jackline alimtazama Denis, akiinuka na kuzunguka pale alipokaa kisha aka mshika mkono, Jackline alishangaa moyo wa huyu kaka, akajikuta anatabasamu, huku hasira zikiyeyuka, Jackline aka inuka akimfwata Denis, na kuanza kutembea wakiwapiti watu mbalimbali, walio kaa kwenye meza zao, wanaume waliomwona Jackline akipita na Denis, walikodowa macho ya matamanio bila kificho, kwani alipendeza sana, kwa nguo alizo vaa na hips zilichomoza vizuri sana kwenye suluali ya jinsi aliyokuwa ameivaa, na pia maziwa yake mazuri yalionekana kusimama vyema, yakiinua kishati alicho kiva, unaweza kusema chuchu zake, zinaweza kutoboa ile nguo, wanaume wangine walinaswa vibao na wenza wao wakike, kwaajili ya kukodoa mimacho, kumshangaa Jackline, mmoja kati ya watu walio kuwa wakimkodolea macho Jackline, ni yule mdada muhudumu wa vyumba, wa mapambano guest house, alimwona Jackline na kumtambua mala moja, itaendelea ………

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata