
SEHEMU YA ISHILINI NA MBILI
ILIPOISHIA SEHEMU YA ISHILINI NA MOJA: alipo maliza akanusa mkono alioshikia dudu wakati wakukojoa, akasikia harufu flani siyo ya kawaida, nikama arufu ya samaki papa, lakini ilimvutia (sijuwi kwa nini ilimvutia), Denis akajichungulia sehemu zake za siri, akashangaa kuona kwenye sehemu zake hizo pamoja na pale kwenye kiunga cha nywele za sirini (mavuzi), kulikuwa na kama alama za michilizi ya majimaji ya aliyo natia natia kama ute wa yai, au michuzi ya miwa iliyo kauka ENDELEA……
Hapo Denis aka jaribu kukumbuka kama usiku aliota ndoto ya mapenzi, pengine alipiga bao la hewani, lakini akukumbuka kitu chochote, akawaza labda kutokana kuzidiwa na pmbe amemwingilia mgeni wake pasipo kujijuwa, na kusababisha Jackline achukie, lakini akaona ni kitu ambacho akiwezekani, afanye kitu kama hicho bila kuji juwa, baada ya kuwaza sana Denis akapotezea, akapiga mswaki na kuoga kisha akavaa bukta nyingine, huku dudu yake ikiwa bado ime simama lakini siyo sana, akaingia sebleni ambako alimkuta Jackline amakaa juu ya kochi, amevalia kigauni chepesi, nakifupi, ni kati ya vile alivyo mnunulia, kikiwa kime achia sehemu kubwa ya mapaja yake mazuri, yakiwa wazi, kutokana na mkao wakupandisha miguu juu yakochi, hapo Denis akasisimkwa kidogo, na kusababisha duduyake istuke kidogo, Jackline alikuwa amesha maliza kazi za usafi, alikuwa amebandika ndizi jikoni, na sasa alikuwa anaangalia Tv ambayo ilikuwa inaonyesha habari mbali mbali za kwenye magazeti, habari kubwa ilikuwa ni MAUWAJI YANAENDELEA KUTIKISA JIJI LA DAR, wangine waliandika MAUWAJI MENGINE DAR, Denis alisimama na kutazama Tv akisikiliza mtangazaji akisoma ile habari ya mauwaji, “mh! kuna watu waongo hii dunia” aliongea Denis akiwa anakaa pembeni kidogo ya Jackline, “kwanini unasema hivyo?” aliuliza Jackline macho yake yapo kwenye Tv, “hivi ujaona hapo wanaposema pametokea mauwaji, ni pale tulipo kuwa jana usiku, sasa mauwaji gani hayo ambayo sisi atuja yaona?” Jackline ambae alishikwa na kiaibu flani baada ya kumwona mwenyeji wake ambae jana usiku alimshirikisha kwenye kupata utamu wa dudu, pasipo kujitambua, alitabasamu kidogo pasipo kusema neno, huku akiwa anatambuwa fika kwa nini Denis ana sema hivyo, kuwa atambui kama kuna tukio lilitokea pale Full Dose, “unajuwa awa polisi wakikosa kazi wana singizia matukio ya uongo, mladi tuone kuwa wanafanya kazi” aliongea tena Denis, “lakini uwezi kujuwa, pengine kweli” aliongea Jackline huku ana tazama kwenye bukta ya Denis kwa macho ya wizi, maana alipo amka mapema aliona bado dudu ya Denis ilikuwa imesimama, na sasa akawa na vizia kuitazama kama bado itakuwa imesimama au imelala, kwa kuwa Denis alikuwa karibu yake, ilikuwa kazi lahisi kuangalia akaona bukta imetuna kidogo, lakini siyo kama alivyoiona asubuhi, moyoni alijilahumu kwa kushindwa kuiingiza dudu kwenye kitumbuwa chake, “haaa wapi yani tuwepo pale pale Full Dose, alafu tusijuwe lolote” alisema Denis akionyesha kuto kukubariana na habari ile, “kumbeee ndo panaitwa full dose,” alisema Jackline akijifanya kushangaa, “ndio panaitwa Full Dose,tena mala nyingi sana uwa napenda kunywa pmbe pale” alijibu Denis akimazama Jackline ambae alikwepesha macho kwa aibu, “vipi Denis leo uta kunywa tena pombe?” aliuliza Jackline akijaribu kumtazama Denis usoni, na wakati huo Denis na yeye alikuwa bado ame mtazama Jackline usoni, macho yao yakakutana tena, Jackline alikwepesha tena macho yake, ukweli ni kwambakitendo hiki kilimshangaza ataJackline mwenyewe, maana ajawai kuona aibu kiasi hicho, ni aibu ambayo ata Denis aliiona usoni kwa Jackline, wote wakatabasamu, “kwa nini una uliza hivyo? Au jana nilikufanyia fujo?” aliuliza Denis, kimtego, ili kupata uakika wa jambo analilo lihisi kuwa amelifanya jana usiku, huku macho yake ya kituwa kwenye mapaja manono ya Jackline, matamanio ya katawala akili ya Denis, ata dudu yake ikastuka na kuongeza kusimama, Jackline aliona dudu ya Denis ilivyo simama, zikamjia hisia za usiku, akamtazama Denis usoni, akamwona anaangalia mapaja yake, akajifanya ajaona, akazidi kutanua miguu yake, huku macho yake kayaelekeza kwenye TV “hapana napenda tu kukuona ukinywa pombe, unakuwa na story nyingi” wote waka cheka kwa pamoja, “kwanini na wewe leo usinywe” liongea Denis bado wakiwa anacheka “nitajaribu leo lakini tukanunue tunywee hapa hapa nyumbani” alijibu Jackline akiwa na maana moja tu, ni baada ya kuonja utamu wa dudu jana usiku, akaona bora anywe pombe, ili aweze kuimili maumivu wakati wakujiingiza dudu, kwani alikuwa nauwakika kuwa lazima Denis atalewa sana na kulala kama jana, hivyo itakuwa lahisi kwake kufaidi dudu, “poa, tuta nunua wine kwa ajili yako, sababu wine ni tamu na wewe huja wai kunywa pombe, mimi nina bia zakutosha humu ndani” alisema Denis, akiwa na lengo moja tu, lakumsababishia Jackline atoe kitumbua mwenyewe pasipo kuombwa, alijuwa fika kuwa, wine inaongeza hamu ya kufanya mapenzi, hivyo itakuwa lahisi kwake kumpata Jackline, “he! kwani kuna pombe tamu?” aliuliza Jackline kwa shangao, huku Denis akisimama na kuelekea kwenye friji kuchukuwa soda ya kutolea lock, (hang over) akaifunguwa na kuigugu mia huku akirudi kukaa alipo kaa mwanzo “yaap… wine ni nzuri sana tena aiumizi kichwa kabisa, tena…..” Denis alikatishwa na mvumo wasimu ya Jackline, ambayo ililikuwa juu ya meza, inaita bila sauti ipo kwenye vibration, kwa sababu alikuwa karibu na simu hiyo, Denis akaona akaichukuwe ampelekee mwenyewe, lakini ile anataka kuichukuwa alishangaa Jackline amesha ameichukuwa haraka “baba” ndivyo alivyo tamka Jackline, huku akimtazama usoni mwenyeji wake, Jackline alionekana kuchanganyikiwa kidogo, maana akujuwa ataongeaje pale alipo, mbele ya Denis, lakini akaona bora apokee simu na kuzuga, ili baba yake aelewe kinacho endelea, “sikamoo baba” ** Michael Nyati alisikia sauti ya mwanae upande wapili, “marahabaaa umeangalia habari asubui hii” aliuliza mzee Michael “ndiyo baba” hayo ndiyo yalikuwa majibu ya Jackline kila baba yake alipoongea, kitu kilicho mwacha Denis asijuwe chochote kinacho ongelewa, mzee Michael alikuwa anamjulisha nakumsisitiza mwanae kuwa makini na mambo yake, pia alimpongeza sana, juu ya kumpoteza yule shaidi muhimu, kitika kesi ya mauwaji ya vijana watu walio uwawa mapambano bar, kisha akakata simu, ** kule muhimbili hospital nako insp Johnson David Masinde, alikuwa amekamata majibu ya vipimo vya alama za vidole, baada ya kukagua kwa muda mfupi kidogo, akatikisa kichwa kukubari, alama nizile zile za muuwaji alie muuwa mchungaji kileo, na walinzi wake na ndiye aliye wauwa wale vijana watatu kule manzese mapambano bar, pia ndie alie wauwa vijana watano wezi kule buguruni, ni alama ambazo ina semekana ni za mwanamke, mpaka hapo insp Johnson alichoka, akawaza na kuwazuwa, lakini hakupata jibu, ** baada ya kumaliza kuongea na simu, Jackline alimwambia Denis kuwa baba yake alipiga simu kumkumbushia fedha kwaajili ya matibabu ya mama yake, Denis aka ahidi kesho atamwachia fedha ya kwenda kutuma, maana siku hiyo ya jumapili ofisi za kampuni ya mabasi, inayo safirisha fedha na vifurushi, uwa aifunguliwi, ** insp Johnson, baada ya kutoka pale muhimbili, na majibu ya vipimo vya wale marehemu wawili, alielekea kituo kikuu cha polisi, ambako yeye pamoja na askari wake wali ifadhi silaha zao sehemu usika, maana awakuruhusiwa kwenda nazo nyumbani, ni insp Johnson peke yake, ndie aliye ruhusiwa kutembea na bastora muda wote, na sehemu yoyote, baada ya hapo insp Johnson akawaruhusu vijana wake wakapumzike majjumbani kwao, kumalizia weekend, akiwataka kuweka simu zao hewani, maana atakapo waitaji tu! wapatikane mala moja, baada ya hapo wakatawanyika, lengo la Insp ni kuelekea kwa mzee Soud, kuna jambo alitaka kulijuwa toka kwa mzee huyo, kuhusu Michael Nyati, baada ya lisaa limoja Johnson alifika nyumbani kwa mzee Soud, mji mwema kigamboni, bahati nzuri alimkuta ndio kwanza ametoka kanisani, pamoja na mke wake, mzee Soud alimkaribisha Insp Johnson, alipo maliza kuwasalimia mzee Soud na mkewe, mke wa mzee Soud aliondoka, na kuwaacha mzee Soud na mgeni wake waongee yanayo wahusu, Insp Johnson ali mweleza mzee Soud alichotaka kufahamu juu ya Michael Nyati, kitu cha kwanza kabisa, kama anaweza akamdokeza sehemu ambayo Michael anaweza kuwa amefanya makazi yake kwa sasa, ili kujuwa kama kweli yupo hai au ni hisia tu kuwa yeye ndie muuwaji au anausika, pili kama anaweza kupata kopy ya picha ya pamoja au ile ya kwake na wakina Michael Nyati na baba yake mzee Masinde, mzee Soud alikuwa ametulia akimsikiliza kwa umakini sana Johnson, adi alipo maliza kuongea, mzee Soud alimtazama kidogo usoni kijana yule, ambaye anamfahamu toka akiwa kijana mdogo sana, mala nyingi sana bwana masinde alipenda kuongozana na kijana huyu wakati akiwa mdogo sana, asa siku za weekend, pia ata mzee SOUD alipokuwa akipiga simu ya nyumbani kwa bwana Masinde, mala nyingi sana ilipokelewa na Johnson mtoto, ndipo ange pewa baba yani mzee Masinde, lakini kutokana na kuwa na umri mdogo kipindi hicho, Johnson akujuwa kuwa mzee Soud anamfahamu, mzee soud alimweleza Johnson kwa undani kidogo, juu ya mambo aliyo ulizia kwake, kwanza kabisa alimuonya na kumtaka awe makini sana, kipindi chote ambacho atakuwa anafanya hii kazi ya kumchunguza Michael, sababu Michael siyo mtu wa kawaida, akamweleza kuwa, kama huyu mtu ata kuwa mzima, basi atakuwa Songea, pia akamsisitiza jambo lingine, baada ya kuangaika na Michael Nyati, wachunguze kwanza wale watu wanne, wa kwenye ile picha, aliongea hivyo mzee Soud akijuwa sababu ita muwia wepesi kutatuwa jambo hili, pia mmoja wa wausika ni baba yake mzazi ambae atampa ushirikiano mzuri, mwisho mzee Soud alimchomolea picha moja, na kuitowa negative ambayo ilikuwa nyuma ya picha hiyo, na kumkabizi picha Johnson, ** saa moja jioni Denis na Jackline walikuwa wanaingia nyumbani baada ya kutoka kidogo kwenda kuosha gari na kununuwa wine kwa ajiri ya Jackline, waliingia ndani moja kwa moja na Jackline alicho fanya ni kuandaa chakula haraka, mpaka saa mbili kamili walikuwa wamesha maliza kula, hapo wakaanza kunywa pombe zao taratibu, ikiwa ni mala ya kwanza kwa Jackline kunywa pombe, alikuwa wine akichanganya na soda, huku mda wote akiwaza namna ya kufanya mapenzi na Denis, story zilikuwa nyingi na wote walionekana kuchangamka, kila dakika zilivyo sogea, ilifikia kipindi Jackline alionekana kuchangamka zaidi kuliko Denis, muda wote akaa kwa kujiachia sana huku akimuegemea Denis na wakati mwingine, alisababisa nguo yake kukaa vibaya sana nakupanda juu, na kuacha sehemu kubwa ya mwili wake, na kusababisha mala chache chupi yake kuonekana, nakuzidi kumtia matatani mwenyeji wake, ambae alioneka kuzidiwa na dudu yake kushindwa kuimili, ** mida hiyo ya usiku Insp Johnson alienda nyumbani kwa baba yake, ni baada yakutoka kwa mzee Soud na kurudi nyumbani wake kupumzika kidogo, adi usiku huu, alisimamisha gari nyumbani kwa baba yake mtaa wa kinyelezi, lakini alishuhudia magari matatu zaidi ya lile la baba yake, akashuka na kuingia ndani ya nyumba ya mzee Masinde, ndani alikutana na watu wengine watatu zaidi ya mzee Masinde, aliwasalimia kwa salamu za kuonyesha heshiam kwa wakubwa wake, nao wakaitikia kwa amani kabisa akajiunga nao, ni wazee anao wafahamu, licha ya kuwa nirafiki zake na baba yake, pia ndio wale wananne walio bakia, kati ya ssaba wanao onekana kwenye picha aliyo tokana yo kwa mzee Soud, Johnson akiwa pamoja na wazee wale, waliongea mengi sana, mud mwingi Johnson akiwa msikilizaji, huku lengo lake likiwa ni kumpata mmoja kati yao, wa kumfwatilia, maana kuwa kuta pale kwa pamoja iliashilia kuwepo na huusiano wa karibu wa umoja wao na mauwaji yanayo endelea, baada ya maongezi ya muda mrefu, mwishoe baba yake mzee Masinde, alimwulizia Johnson amefikia wapi katika uchunguzi wa vifo vya rafiki zake, wachungaji ambao wanatalajia kuwaaga kesho, kwenye viwanja nya kanisa la kilokole, la mchungaji Chilumba, pale buguruni, na kuwa safirisha kuwapeleka mikoani kwao, kwa mazishi, Johnson aliwa simulia tukio la jana usiku mbezi, na kumuusisha muuwaji wa wachungaji na tukio hilo, ** ilishatimia saa sita usiku Denis na Jackline walikuwa wamelewa sana Jackline ndiye aliyeongoza kwa kulewa, japo wa kwanza kutangulia chumbani alikuwa ni Denis ambaye moja kwa moja alijitupa kitandani, dakika kumi alifwata Jackline, ambaye alimkuta Denis amesha pitiwa na usingizi, hapo akaona asipoteze muda leo Jackline alizima kabisa taa na kuvuwa nguo zote, akabaki kama alivyozaliwa, na kupanda kitandani, akamtowa nguo Denis, ambaye naye alisha pitiwa na usingizi, lakini leo dudu ilikuwa ime lala Jackline akaichezea dudu, ya denis kama alivyo fanya jana, lakini leo alichezea akiwa amezidiwa na pombe, licha ya kuanza kuona macho yana kuwa mazito, lakini Jackline aliepania kuingiza dudu kwenye kitumbua, aliendelea uichezea dudu ya Denis ambae alikuwa ametopea kwenye usingizi, mpaka alipo ona dudu imesimama, akainuka na kuchuchumaa juu ya Denis, lakini kutokana na kuzidiwa na pombe akajikuta anakosa nguvu nakumlalia kabisa juu yake, kisha Jakline akatulia juu ya Denis akatafuta namna ya kujiinua na kuendelea na zoezi lake, lakini ghafla akuna aliye juwa kilicho endelea, ata yeye Jackline akujuwa ilikuwaje, na akujuwa mdagani usingizi ulimchota na kumpitia, maana wote wawili walistuliwa na mvumo wa mtetemo wa simu ya Jackline, ambao uli wastua, nao wakaamka kwa pamoja, kila mmoja akimshangaa mwenzake, kilicho washangaza ni namana walivyo lala, licha ya kuwa kama walivyo zaliwa, lakini zaidi ni kitendo cha wao wote kuwa watupu kabisa, Jackline akiwa uchi kabisa na Denis akiwa dudu nje, akuna alie ijari simu ambayo iliendelea kuvuma kwa mtetemo, itaendelea …….
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU