
SEHEMU YA ISHILINI NA TATU
ILIPOISHIA SEHEMU YA ISHILINI NA MBILI: nao waka amka kwa pamoja, kila mmoja akimshangaa mwenzake, kilicho washangaza ni namana walivyo lala, licha ya kuwa kama walivyo zaliwa, lakini zaidi ni kitendo cha wao wote kuwa watupu kabisa, Jackline akiwa uchi kabisa na Denis akiwa dudu nje, akuna alie ijari simu ambayo iliendelea kuvuma kwa mtetemo, ENDELEA ……
Kama alie lejewa na fahamu, Jackline akavuta shuka haraka sana na kujiziba sememu zake za mbele, yani kifuani mpaka kwenye usawa wa kitumbua chake, kisha akajiinua na kuifwata simu yake, akaitazama“baba” alisema Jackline, huku akikimbilia mlango wa chumba kile, akimgeuzia mgongo Denis ambae alikuwa amekodoa macho kutazama msambwanda wa mgeni wake, ambae kila alipo piga atua kuukimbilia mlango, ndivyo makalio yake yalivyo cheza kwa kutikisika, Jackline alifungua mlango na kutoka nje ya chumba, kisha akapokea simu, nakutembea kuelekea sebuleni, akaanza kuongea na baba yake, akimwacha Denis anashangaa kilichotokea mpaka wakawa watupu kama vile, lakini akukumbuka kama walifanya chochote, kabla ya kulala, Denis akatazama muda kwenye simu yake, akaona ilisha timia saa kumi na mbili na robo “mama yangu, nimechelewa” Denis akainuka haraka na kuingia bafuni mbio mbio, Denis alitumia dakika chache kuoga na kujiandaa, mda mfipi sana alikuwa tayari kwenda kazini, wakati anatoka kuelekea nje, alifika sebleni akumwona Jackline, japo aliona aibu kidogo kwa hali aliyo jikuta nayo asubuhi, lakini Denis alitamani sana kuonana na Jackline lengo lake likiwa ni kumsoma mgeni wake, ili kutambua kama kitendo kile alikichukuliaje, kwani alihisi kutokana na ulevi waliokuwanao, labda alijaribu kumwingilia Jackline, ambae na yeye alikuwa kazidiwa na ulevi, lakini kila alipo jaribu kukumbuka akukumbuka kitu kama hicho, akajaribu kumwita Jackline lakini akujibiwa, akaona ngoja amwangalie jikoni labda yupo huko, lakini moyo wake ulimshinda, akajiuliza atawezaje kuimili kama atamkuta Jackline analia huko jikoni, hapo Denis akaghaili, alicho kifanya ni kuweka fedha mezani, kiasi cha laki moja na sabini, akijuwa kuwa baba yake Jackline amepiga simu, kusisitiza utumwaji wapesa hizo, kisha akazikandamizia na chupa ya wine, aliyo kuwa ana kunywa Jackline usiku, kisha akaliendea fliji nakutoa makopo mawili ya cola, alafu aka chukuwa bia mbili zakopo mezani, yeye anaita za kutolea lock, kisha huyo, akatoka nje, Jackline akiwa amejibanza chooni, ni choo cha public, akiwa amesha maliza kuongea na baba yake, alisikia wakati Denis akimwita, lakini kutokana na aibu aliyokuwa nayo, Jackline akakaa kimya, mpaka alipo sikia mlango wa nyumba unafungwa, Jackline akatoka taratibu akiwa amejifunika lile shuka, na kuelekea sebuleni, akachungulia dirishani, akamwona Denis akiondoka na gari, akalitazama gari mpaka lilipo potea kabisa, hapo Jackline akaliondowa shuka mwilini mwake, nakubaki mtupu kabisa kama alivyokuwa wakati anaamka, akajitazama kidogo kisha akajicheka kwa kicheko cha chini chini, huku anaelekea kwenye kochi akiwa amebeba shuka mkononi, akaa na kuwasha Tv kwa kutumia remote, na kuanza kuangalia habari za kwenye magazeti ** mzee Michael Nyati alikuwa amekaa mbele ya TV yake kubwa, huku ile Pad yake hipo mezani, sambamba na kikombe cha chai paspo kitafunwa, akifwatilia habari za kwenye magazeti, habari iliyo mvutia Michael Nyati siku ile, ni ile ya kuaga miili ya wachungaji walio uwawa, ambayo ilielezwa kuwa inatalajiwa kufwanyika kwenye viwanja vya makao makuu ya kanisa la Daraja la uokovu, Buguruni rozana kwa mchungaji Chilumba, ambae nae ni mmoja wa marehemu, lakini kitu ambacho kilimpelekea, Michael kumpigia simu mwanae na kumwambia aangalie magazeti kwenye Tv, ni gazati moja lijulikanalo kama MAMBO MOTO, lililonyesha picha ya bahadhi ya waombolezaji walio hojiwa na waandishi, siku zilizopita hapo msibani, picha moja wapo ilionyesha watu wengi wazee, wakiwa wamekaa kwa pamoja hapo msibani, moja wapo ni mzee Masinde au baba Johnson, ndipo Michael Nyati alipo tabasamu lile tabasamu la muhayo wa Simba, na mala moja kumpigia simu mwanae na kumpa maelekezo, ** akiwa njiani Denis alikuwa akiwaza sana juu yatukio lile la asubuhi, “haya mapombe bwana, sasa yuledemu si ataniaona mimi mbakaji” aliwaza Denis, akijilahumu kwa tukio lililo tokea, “dah! haya mapombe yanaweza kun kosesha yule demu, tena alivyo mkali, anaonekana mtamu kishenzi” aliendelea kuwaza Denis, ambae sasa alikuwa anaendesha gari huku ana gugumia bia yake ya kopo, “mtoto ana bamba taa duh! yani sikubari mtu mwingine ale ule mzigo, na mahadhi simwonyeshi, mpaka nimle kwanza” Denis alivuta picha ya Jackline jinsi alivyo pendelewa na muumba, kwa kuzawadiwa mwili na sura nzuri, akavuta picha ya msambwana wa Jackline ulivyo jaa na kubebwa na hips za maana, pia yale matiti ya moto yaliyo lalia kifuwani kwake, hapo Denis aliiona dudu yake ikianza kuleta fujo, ndani ya boxer yake, na mwili ukimsisimka, kitu kilicho mchanganya ni kwamba ilikuwaje mpaka wakawa vile, na kama yeye ndie alieanza vurugu, mbona Jackline alikuwa mtupu kabisa?, atakama alikuwa amelewa lakini mbona akumbuki muda aliomvua nguo, kwa kweli Denis akupata jibu, na khusu labda Jackline ndie alie fanya yale, ilo alikumuingia akilini kabisa, mwisho Denis alijilaumu kwa kuto kuwa na namba za simu za Jackline, labda angemwomba msamaha kwa kupitia simu, kutokana na kujipa mzigo wa lawama kwa asilimia miamoja juu ya tukio lile, baada ya kuwaza sana, Denis akaona bora jioni apige mtungi, ili aweze kumwomba msamaha mgeni wake, maana hivi hivi angeshindwa, Denis alijisikia vibaya sana alipo vuta hisia kuwa Jackline atakuwa amejisikia vibaya na kuona yeye anamfanyia vile kwa sababu ame mkuta anafanya vibarua vya mama ntilie, na kwamba akuwa na maali pakwenda, kingine ambacho Denis alijiuliza na kukosa jibu zaidi ya kupatwa na wivu, Jackline alikuwa anasimu kali (nzuri) na ya kisasa, kuliko ya kwake, na mazingira aliyomkuta Jackline asinge weza kuwa na simu nzuri kama ile, ** siku hiyo pia insp Johnson naye alipanga mipango yake vizuri kabisa, kisha kisha akamwita askari mmoja, ajulikanae kwa jina la PC Busungu, akamwambia awe tayari, kwa jukumu atakalopewa, hivyo aende nyumbani akabadiri nguo, toka zile za kipolisi, na kuvaa nguo za kiraia, kisha alipoti hapo kituoni kabla ya saa nne, tayari kwenda kwenye kuwa aga marehemu, hapo ndipo atakapo onyeshwa mtu ambae inabidi amfwatilie kwa ukaribu na kujuwa nyendo zake, Busungu alipewa na silaha ndogo aina ya revorvo 10 pistor, kwaajili ya zalula, maana insp Johnson aliamini kwakufanya hivyo, lazima atagunduwa kitu, juu ya uhusiano wa mauwaji ya wachungaji na urafiki wa baba yake na wenzake, ** saa tano kasoro maeneo ya Buguruni Rozana nje kidogo ya barabara iendayo ilala na kaliakoo, kwenye viwanja vya kanisa la Daraja la uokovu, watu walikuwa wengi sana, wakisubiri miili ya wapendwa wao iwasili toka muhimbili, ili waweze kuwaaga katika safari yao ya mwisho, wengi wao wakiwa ni waumi wa kanisa ilo, na watu wengine kutoka sehemu mbali mbali za jiji la dar es salaam, huku viongozi na askari wa Jeshi la ulinzi, wakiwepo kwa ajili ya kuwaaga askari wao wastaafu, pia police nao walikuwepo kusimamia usalama eneo hilo, asa ukizingatia aina ya vifo vya wachungaji hawa, katika polisi walio kuwepo eneo ilo, pia kikundi cha Insp Johnson, nacho kilikuwepo, leo walikuwa tisa na siyo kumi kama kawaida, sababu mmoja wao alikuwa ame valia mavazi ya kiraia, huyo anaitwa pc Busungu, ni askari mjanja sana, mala nyingi sana utumika kwa kazi za kikachero, kama hizi, zijulikanazo kama under cover tracking uwa anatumika yeye, alikuwa amesha onyeshwa mtu wa kumfwatilia, ambaye alikuwa ni mzee Mathayo, kwa sasa pc Busungu alikuwa amesimama karibu na mzee Mathayo, ambaye alikuwa amesimama atuwa chache kutoka alipo simama Busungu, akiwa na wazee wenzake wakina Masinde, Alex na Mwijage, pasipo kujuwa kuwa anafwatiliwa, mzee Mathayo aiendelea kuongea na wenzake ambao tayari walisha jipanga jinsi watakavyo gawana kusafiri na miili ya marehemu rafiki zao, *** katika eneo hilo lililo fulika watu wengi sana alikuwepo Jackline Michael Nyati, leo alikuwa amevalia gauni lake kubwa la kushonwa na kitenge, lisilo na mtindo wowote wa ulembo, lika fanana na kanzu, kwa sasa magauni hayo yanaitwa delah, juu alijifunika mtandio ulio funika kichwa chake chote na kuziba nusu ya uso wake, na kubakiza macho kama wafanyavyo wale wakina mama wa uarabuni, begani kwake alikuwa amebeba lile begi lake dogo jeusi, mkononi alishika gazeti la MAMBO MOTO, usinge weza kugunduwa kuwa ndani ya gauni lile alikuwa amvalia tishert jeusi na kipensi cha jinsi kidogo, ambacho leo kilikuwa kime ning’inizwa kisu kikubwa na kikali cha kijeshi, bastora yenye kiwambo cha sauti (silence barrer) na kamba ngumu ya manila na vishikio vyake, Jackline akajipenyeza mpaka akafika karibu na wakina mzee Masinde, akasimama nyuma yao akijichanganya karibu na waombolezaji wengine, akalikunjuwa gazeti mokoni mwake akalitazama kidogo, asa picha iliyo zungushiwa duara kwa mark pen, na kutazama mzee Masinde, kisha akalikunja lile gazeti, Jackline akawatazama waombolezaji wengine walio mzunguka, kama wana mfwatilia, lakini akawaona wakiendelea na mambo yao, mmoja wa waombolezaji walio kuwa karibu na Jackline alikuwa ni Busungu, ambae alikuwa anamfwatilia mzee Mathayo, japo Busungu na Jackline walisimama karibu karibu sana, lakini akuna alie mjuwa mwenzie kati yao, kuwa ni nani na yupo pale kwa lengo gani, zaidi walichukuliana kama waombolezaji, Jackline alisimama hapo akifanya mkadilio wa hatari juu ya mawindo yake, aliyokuwa amesha yaona, kumbe basi Busungu kama vijana wengine alisha mwona Jackline, aliweza kumkagua kwa macho na kugundua kuwa, licha ya mwanamke huyu kuvaa gauni pana sana, lakini aliweza kuona jinsi mwanamke huyu alie jistiri kwa ushungi kichwani, kuwa amebarikiwa makalio na mahips yaliyo chomoza vyema, japo sura bado alikuwa ajaiona vizuri, kutokana na sehemu kubwa ya uso wake kuzibwa na mtandio, “duu! Kuna watu wanafaidi jamani” alijisemea kimoyo moyo Busungu, Busungu akamtazama yule dada kwa macho ya wizi, akamshuhudia yule dada akiinuwa mkono wake ulio kamata gazeti, huku akiuachia mkono alio shikilia mtandio, nakuruhusu ule mtandio uachie sehemu kubwa ya uso wa Jackline kuonekana, hapo Busungu alishuhudia sura nzuri ya mwanake huyo, Busungu akapigwa na butwaa, aliwona yule mwanamke mrembo zaidi ya urembo anaoufikiliaga kila siku, akilikunjuwa lile gazeti, na kuangalia picha iliyopo juu kabisa ya gazeti hilo, hapo kijana Busungu akamgeukia mzima mzima yule dada, na kujifanya anaomba gazeti alipitie kidogo, ikiwa kama gia ya kuanza kuzoweana, ikiwezekana amnase binti huyu akale kitumbua, “samahani dada, naweza kuangalia kidogo ilo gazeti?” Busungu alimshuhudia yule dada akistuka kidogo, alafu bila kusema neno lolote, akamkabidhi lile gazeti, kisha haraka sana yule dada akarudisha mtandio wake usoni, Busungu alitabasamu kwa kujuwa zile ni ishara za mwanamke anaye jiheshimu, Busungu alishika lile gazati na kuanza kusoma vichwa vya habari, huku akiwaza namna ya kuanza kumsemesha yule dada, wakati Busungu akiangalia lile gazeti, macho yake ya katuwa kwenye picha moja iliyopo pale juu ya gazeti, ni picha yenye watu wengi sana lakini mtu mmoja alieone kana pembeni ya picha, alikuwa amezugushiwa duara kwa peni nyekundu, ni kama alisha waikumwona sehemu yule mzee aliezugushiwa duara, akataka kujuwa maana yake, akageuka iliamwulize yule dada, ikiwa gia yakuendelea kuzoweana “eti dada …..” pc Busungu alishikwa namshangao mkubwa sana, maana hakumwona tena yule dada, akahisi labda nimbinu za mzee Mathayo iliamtoroke baada ya kumstukia, akatazama mbele haraka sana, alipo simama mzee Mathayo na wenzake, akamwona mzee Mathayo akiwa amesimama na wenzake wakiongea, lakini macho ya pc Busungu yalituwa pia kwa mzee Masinde (akujuwa kuwa ni baba wa Insp Johnson) ambaye kwenye picha ya kwenye gazeti, alikuwa amezugushiwa duara jekundu, hapo akakumbuka kuwa muuwaji ni mwanamke, tena inasemekana kuwa mwanamke mwenyewe ni mrembo, pia akaikumbuka ile sura aliiona kwenye picha zilizo okotwa jana subuhi, kule Full dose pub, hapo akageuka na kuanza kupepesa macho huku na huku, kutazama kama atamwona yule dada mwenye begi dogo jeusi, huku akitowa simu mfukoni kwake, baada ya kuangaika kwa dakika kadhaa alifanikiwa kumwona Jackline kwa mbali, akiwa anatokomea, kwenye chocholo za mitaa ya buguruni, kuelekea upande wa barabara ya ilala na kaliakoo, hapo mala moja Busungu alijaribu kupiga simu kwa Johnson, itaendelea…… MWISHO SEASON ONE
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU