
BINTI MDUNGUAJI (25)

SEHEMU YA ISHILINI NA TANO
ILIPOISHIA SEHEMU YA ISHILINI NA NNE: wakati akijiandaa kuongea neno, akashangaa ghafla, akisongwa songwa na gari la polisi, 110 defender huku polisi waliokuwepo ndani yake wakimwonyeshwa asimamishe gari lake pembeni, na yeye bila ubishi, akapaki pembeni mala moja, wale askari wa kwenye Defender wakaruka wakiwa na silaha zao na kulizunguka lile Taxi “zima gari haraka” ilisikia amri toka kwa insp Johnson, dereva akazima gari “wote shukeni nje, mikono ikiwa juu” endelea ……
Pasipo kuangalia pembeni, taratibu Dereva akashuka kwenye gari, huku akitarajia kuona abiaria wake naye akifunguwa mlango na kushuka, ndivyo pia alivyozani insp Johnson napolisi wenzake, lakini ilikuwa tofauti, awakuona mlango mwingine ukifunguliwa, awakuweza kuona ndani ya gari maana vioo vya gari hili vilikuwa na tinted, na vilikuwa vimepandishwa mpaka juu, wakati huo watu walio jaa pale kaliakoo, walikuwa wamesimama pembeni, wakizunguka eneo ilo, huku wakishangaa tukio la polisi na taxi, wakati huo polisi walizidi zaidi kuongezeka kutoka kituo kikuu, nao wakajiunga na kulizunguka Taxi, wakiwa na silaha mikononi mwao, dereva wa Taxi alikuwa amesimama kaduwaa, ajuwi kinacho endelea, mkojo na jasho jembamba vikimtoka kwa mpigo, maana licha ya kufanya kazi hii ya uderevakwa miaka umi na tano, akuwai kukutana na mkasa kama huu, dakika mbili zikapita pasipo kutoka mtu mwingine ndani gari, ndipo Insp Johnson akaonyesha ishara kwa askari mmoja, akafungue mlango wa gari, huku askari wakiwa wame elekezea mitutu ya silaha zao yote, kwenye lile gari, yule askari alisogea taratibu na kwenda kufungua mlango wa gari, yule askari ambae ni mmoja kati ya wale waliokuwepo kule buguruni Baraka shopers, alilisogelea gari kwa tahadhari kubwa, huku hofu imemtawala, muda wote ali chafuwa hewa, kwa ushuzi, huku anatetemeka, utazani kabeba bomu linalo subiri kulipuka, maana kazi ya yule mwanamke aliiona kwa macho yake, yule askari huku anatetemeka alifunguwa mlango wanyuma wagari, kisha akachungulia ndani ya gari, ghafla akaganganda kama nusu dakika hivi, akichungulia ndani ya gari, kisha taratibu akageuka na kumtazama insp Johnson, huku akishusha pumzi nakushindwa kuongea kitu, nakusababisha wenzake washindwe kumwelewa, ndipo Insp Johnson alipo kimbilia kwenye gari na kuangalia, maana alihisi jambo lakushangaza litakuwa limetokea, ni kweli akukuwa na mtu zaidi ya noti ya shilingi elfu kumi juu ya seat, insp Johnson akachoka, na kujikuta miguu inainakosa nguvu, akachuchumaa, hapo aka gunduwa kuwa, mtu anaye msaka ni hatari sana, sasa alianza kuona kifo cha baba yake kipo mbele yake, na yeye ndiye mwenye kumuokoa baba yake, japo baba yake anasema yeye siyo mmoja ya wanao takiwa kuuwawa, leo ameona picha ya gazeti imewekewa alama, ** wakati hayo yana tokea Jackline alikuwa anapita eneo hilo latukio, akiwa amelifunika begi lake jeusi kwa mtandio ambao aliutumia kujifunika kichwani, alikuwa amejichanganya kwenye kundi la watu, ambao walikuwa na shangaa tukio la polisi, na dereva wa taxi, mita kama hamsini hivi, akishuhudia yule dereva akiwa anachukuliwa na polisi kwa ajili ya maojiano, huku wale polisi nao wakiwa wanaingia kwenye magari yao na kuanza kuondoka, hapo Jackline akaanza kuondoka kuelekea kwenye kituo cha daladala ziendazo kimara na mbezi, wakati ana tembea kukifwata kituo cha daladala, ghafla akamwona Denis mbele yake, ni yule mwenyeji wake, akiwa ana tokea kwenye kundi la watu waliokuwa wana shangaa tukio la polisi na Dereva taxi, akamwona akiwa amebeba vitu flani mkononi, ni mifuko mizuri sana, kama aliyo m’bebea nguo siku ile, kitu cha ajabu wivu ulimshika ghafla, akizani kuwa Denis ana mwanamke na ndio ametoka kumnunuli zawadi, Jackline alitamani amfwate aka mchinjilie mbali, kiukweli Jackline alijikuta amesimama huku akimwangalia Denis akiingia kwenye duka flani la urembo na vifaa vya kike, hapo aka tembea haraka sana mpaka pale dukani, kwa akili ya haliya juu akajibanza nyuma ya wateja wachache waliopo mle ndani ya duka sambamba na Denis, wakinunua maitaji yao, “naomba hiyo nguo ya pink (chupi aina ya bikini), na kitambaa cha mkononi kilicho andikwa am sorry” ahayo yalikuwa ni maneno ya Denis yaliyo mfikia vyema Jackline, nakuzidi kumchoma moyoni “inamaana ana mwanamke wake, wamegombana, sasa anataka kumwomba ladhi, ngoja nimsake huyo maraya” aliwaza Jackline, “mh! kaka umesha mkolofisha wifi yangu” alisema yule muuza duka, ambae alikuwa, ni mwarabu flani, mcheshi, “yaah! si unajuwa mambo ya pombe, jana nililewa sana, sasa nahisi nimemkosea sana mke wangu” aliongea Denis, na kumfanya Jackline akumbuke jambo lililotokea asubuhi, hapo akatoka mle dukani pasipo Denis kumwona, Jackline alitoka na kusimama pembeni kidogo ya lile duka, bado wananchi walikuwa wana zungumzia matukio yanayo itikisa dar, asa ili la leo, kila mtu alikuwa anaongea la kwake, Jackline aliwasikiliza kwa umakini akikusanya maoni yao maana kuna walio lahani vikali mauwaji hayo, wapo waliosema kuna sababu pengine muuwaji yupo sahii, maana hajawai kupola wala kuchukuwa kitu chochote toka kwa marehemu anao wauwa, “wewe lazima kuna jambo hapo, unazani kwanini atujawai kusikia kuwa ameuwa na kupola kitu chochote” akiwa anaendelea kuwasikiliza watu hao, Jackline akamwona Denis akiwa anatoka dukani, na mizigo yake, hapo akatamani amfwate lakini akaangalia lile beg lake jeusi, akaona aitakuwa vizuri kama Denis ataliona, akawaza chakufanya, iliaweze kukutana na Denis pasipo kuleta madhara yoyote, akapata jibu, akajikuta anatabasamu, akaanza kumfwata nyuma nyuma, mpaka alipo mwona anavuka barabara, na kulifwata gari lake, akasongea kwenye kundi la vijana waliokuwa na ongelea tukio lile la Taxi, akamwita mmoja, na kusogea nae pembeni, wakati huo Denis alikuwa ameshalifikia gari lake, akafungua mlango wa gari nakuanza kuweka mizigo yake ndani ya gari hilo aina ya Toyota noah, wakati anajiandaa kuingia kwenye gari, baada ya kumaliza kuweka mizigo yake, mala akaja kijana mmoja hasiye mfahamu, “samahani bro wewe ndiye Denis?” Denis aka geuka kumtazama, akionyesha wasiwasi, maana hapo kaliakoo panasifika kwa wizi, “kunanini, au tuna fahamiana?” aliuliza Denis huku akichukuwa tahadhari ya hali ya juu “hapana bro, kuna dada mmoja, ameingia pale dukani, amesema ni mkeo anakuita mara moja, ukamasaidie mizie mizigo, mili muondoke wote” hapo Denis aka stuka zaidi, “mke kaliakoo, mh! yupoje?” aliuliza kwa mshangao Denis “brother hee! Inamaana ata mkeo umjuwi bwana, amesema nikikuambia anaitwa Jackline utamfahamu” alisema yule jamaa akionyesha kuchukizwa, hapo Denis aka shusha pumzi huku akitabasamu, tena alijisikia raha sana, baada yakuitwa mume, akajuwa kumbe akuna soo, alafu Jackline anajiita mke wake, japo alishangaa kidogo Jackline alimwonaje “poa poa kaka, unajuwa lazima nishangae maana nilimwacha nyumbani sasa namkuta huku” waliongea huku Denis akiurudisha mlango wagari bila kuweka lock, kisha wakaondozana kuvuka barabara kumfwata Jackline, huku akijiuliza uwa jackline amefwata nini huku, Denis alipofika pale dukani alipo onyeshwa kuwa Jackline ameingia, akaangaza macho lakini hakumwona ,akatamani aulizie lakini akaona itakuwa vigumu kwa muuzaji kumkalili Jackline pekee, akatoka na kurudi kwenye gari akiamini kuwa Jackline akimaliza manunuzi atakuja mwenyewe kwenye gari, lakini Denis alipo fika kwenye gari akashangaa kumkuta Jackline akiwa ndani ya gari, ameachia tabasamu nzito, na yeye akatabasamu huku akimtazama Jackline usoni, na macho yao ya kagongana, hapo ikawajia kumbu kumbu ya tukio la kuamka asubuhi wakiwa uchi, wakaona aibu na kukwepesha macho yao, lakini tabasamu zilikuwa bado zimetawala usoni kwao, Denis aliingia kwenye gari na safari ikaanza, kuelekea nyumbani, Denis licha yakushangaa mavazi ya Jackline, pia alimwuliza Jackline kwamba kule kaliakoo amefwata nini, Jackline akasema alikuja kumtumia baba yake zile fedha, kwenye kampuni moja ya mabasi yenye ofisi zake kamata, njiani waliongea huku wakioneana aibu, “naona uliamua kuvaa gauni la kitenge” aliongea Denis wakati wapo njiani, nimependa tu, kuvaa hivi” waliongea mengisana huku safari ikielendelea, mpaka Denis alipo mwambia Jackline wapitie sehemu wakale, maana muda wa chakula cha mchana, ulisha timia, wakiwa mitaa ya mbezi walitafuta bar nzuri iliyotulia, wakiacha kwenda fill Dose, kutokana na tkio lililo tokea juzi yake, wakapaki gari, mahari hapo walitumia masaa matatu, maana baada ya kumaliza kula, walianza kunywa pombe, wakati Deni akinywa bia kama kawaida yake, Jackline alikuwa anakunywa wine kama ile ya jana, lakini kwa kili sana, maana Jackline hakutaka kulewa sana kama ilivyo kuwa jana, huku Denis alikuwa anakunywa bia kwa fujo, kama kawaida yake, adi Jackline alipo mwomba Denis waende wakanywee nyumbani, akiwa na lengo, kuwa asije akalewa sana kiasi cha kuamua kulala kwenye gari, Denis akuwa mbishi wakanunua bia za kopo na chupa nyingine ya wine, huku ile aliyokuwa anainywa Jackline wakiondokanayo pia ikiwa nusu chupa, kisha wakaingia kwenye gari lao na kuelekea nyumbani, baada ya kufika nyumbani wakashusha mizigo yao, lakini Jackline akushusha begi lake jeusi, maana alikuwa amelificha mlendani ya gari, “Denis umenibea zawadi gani leo” alizuga Jackline, akiulizia kiujanja, baada ya kuona akabidhiwi mizigo yakeje, huku akimfwata nyuma, mwenyeji wake Denis, walipokuwa wanaingia ndani, “yaah! nie kubebea zawadi nzuri tu!, unajuwaaa nanii,…. jana bwana niliii..” hapo Jackline aka cheka kimoyo moyo, maana alishajuwa Denis anataka kusema nini, “haaa nitakuambia….. ngoja kwanza nikaogee nipunguze uchovu” alisema Denis, kwa sati ya kilevi, akiweka ile mifuko pamoja na carton ya bia mezani, na kuingia chumbani, akimwacha Jackline sebuleni, hapo Jackline haraka sana akarudi kwenye gari, nakuchukuwa begi jeusi, na kuingia nalo kwenye garage (banda la kuifadhia gari) akaliifazi vizuri sehemu ya maficho, maana kulikuwa kuna makolokolo kibao mle ndani, kisha akarudi sebuleni akafungua wine yake ambayo alisha ifikisha nusu, na kuinywa kidogo, kisha akaingia chumbani, akamkuta Denis yupo bafuni anaoga, kwa kutumia bomba la mvua, akashuudia Denis yupo uchi kabisa dudu imelegea, aikusimama kama anavyo ionaga usiku, akasimama pale chumbani akimtazama Denis, huku akifikilia cha kufanya, mpaka alipo jikuta akipata wazo moja zito, Jackline alimtazama denis ambae akuwa na habari kama Jackline ameingia chumbani, na anamtazama anavyooga, yeye akaendelea kuoga, huku akiwaza namna atakavyo mwomba msamaha Jackline, lakini ghafla akastuka kuona Jackline anaingia mle bafuni, kwanza alizani labda ni maluwe luwe, lakini alipo mtazama vizuri, naam akamwona Jackline, huyu huyu mgeni wake dada muuza chakula, akiwa uchi wa mnyama, huku akishuhudia mwili mzuri wa mwanamke huyu, ambao ulionyesha kuwa ni mwili laini ambao unatunzwa kwa ghalama kubwa sana, au fanani na mwanamke aliekulia katika tabu za kijijini, “unafwata nini huku” Denis alijikuta akiuliza kama hayawani, huku macho yake yakiwa yameganda kwenye hips zilizo beba makalio ya duara mazuri, huku kitumbuwa kikiwa kimefichwa na mapaja manene, na kuacha sehemu ya nywele za kikubwa pake yake, wayumbani kwetu wanai ta kinena kikionekama vizuri kwa jinsi kilivyo tuna, na vinywele vinavyo anza kuota vikichomoza kwa mbali, itaendelea ………..

