
SEHEMU YA ISHILINI NA TISA
ILIPOISHIA SEHEMU YA ISHILINI NA NANE : nao wakaongeza mwendo na kuzama kwenye jengo la choo upande wa wanawake, ambao ulikuwa na vyumba sita, vya watu kujisaidia, awakujuwa yule mwanamke ameingia mlango hupi, wakaanza kusikiliza choo ambacho kitasikika sauti au uwepo wa mtu, ndani yake, lakini awakufika mbali, ilikuwa kama mzaha kwao, ni baada ya kusikia sauti ya kike nyuma yao “nipo hapa, si mnanitafuta mimi” endelea ………
wote wakageuka na kumtazama Jackline, ambaye alikuwa amesimama na usoni kwake kaachia tabasamu flani, ambalo uwa analitowa anapokuwa na hasira, lakini sura yake inakuwa nzuri, wale jamaa wawili licha ya kustuka lakini wakadharau, “tunakuitaji, kama ukiwa mpole utabaki mzima, lakini ukileta ukorofi kidogo tu! utakufa humu humu chooni” aliongea mmoja wao, huku akitoa kisu kidogo toka kwenye mfuko wake wa suruali, na yule mwingine akielekea kwenye mlango wakutokea nje ya choo, na kuufunga kwa ndani, akitumia komeo la mlango huo, Jackline alikuwa akiwatazama kwa umakini sana, huku tabasamu likiwa alikatiki mdomoni kwake, kisha taratibu akawaambia, “kama mngejuwa kuwa mmeingia choo cha kike, kiukweli mngefungua mlango na kukimbia haraka sana” wote wakacheka kwa zarau, huku yule aliefunga mlango, akatoa simu na kuanza kupiga kwa wenzake kuwasisitiza wafanye haraka, kwani wamesha mpata mtu wanaye mtaka, akawaelekeza mahali walipo kuwa, ni chooni pale dispensal, Jackline akatabasamu tena na kuongea kwa utulivu, kama yupo sehemu anaongelea jambo la kawaida, “mmefanya vizuri kuwaita, maana watakuja kubeba miili yenu, ambayo wataikuta mahali hapa” kauli hiyo iliwa stua kidogo, mbona huyu mwanamke mrembo anajiamini kiasi hiki au yupo namtu mwingine mle ndani, wakajaribu kuangaza huku na huko kuangalia usalama wao, kama kweli wapo wenyewe mle ndani, lakini wakati wanafanya hivyo, ghafla kama umeme yule mwenye kisu, alistukia mkono wake ulio shika kisu ukiwa umepigwa teke, na kusababisha kisu kimtoke na kuruka juu, akiwa anatahamaki alimwona yule mwanamke mrembo sana, akiwa ameruka juu na kukidaka kile kisu, mpaka hapo walisha gundua kuwa, yule muuwaji ndiye huyu mbele yao hivyo nivyema wakajiami, lakini alichelewa maana ile anatuwa chini, tayai kile kisu kilikuwa kimeshazama kwenye shingo yake na kumfanya ashikilie shingo yake usawa wakooni, akizuwia damu zilizo kuwa ziki churuzika kama bomba lamaji lililo pasuka, akanganda sekende kadhaa kabla yakujibwagachini,yule mwenzie ambae alikuwa ameduwaa akikodoa mimacho asiamini kama ni yule binti mrembo, ndeye anayefanya mambo hayo, aliona kweli humu ni choo cha kike, bola ajitaidi kujiokoa, basi hapo kitendo bila kuchelewa, akaruka teke kuelekea kwa Jackline, lakini Jackline akakwepa kama anacheza mchezo flani wa kitoto, na kumfanya yule jamaa apitilize na kuyumba kama mlevi, kabla ajakaa sawa alikutana na ngumi moja nzito ya shingo chini kidogo ya kidevu, iliyo mfanya ahisi kama amemeza tindikari kooni kwakwe, jamaa alichanganyikiwa kwa ngumi ile nzito, alihisi kama aamepigwa na nyundo ya kupasulia mawe, wakati anaanza kujilahumu kwa kufunga mlango, akaongezewa nyingine mbili usoni usawa wapua, nateke lakifua lililo mrusha na kwenda kujibamiza kwenye sinki la kunawia lamle ndani, na kusababisha kuvunyika kwa lile sinki na vipande vyake kuzama maeneo ya shingo lake, chini ya kisogo, kisha akajibwaga chini kama kiloba cha mchele, huku simu yake aliyokuwa ameiweka haraka haraka mfukoni, ikidondoka pembeni, hapo Jackline hakupoteza muda akasogea kwenye lile sinki buvu naku fungulia maji akanawa mikono na kujifuta damu, kisha akatoka nje, bahati nzuri hapakuwa na mtu yoyote, akatembea haraka kuelekea ndani ya jengo kubwa la ile dispensal, akamkuta Denis akiwa anamsubiri, sasa basi wakati anamchukuwa Denis iliwaondoke, akawaona vijana sita wakisimamisha gari aina ya 110 rand lover, na kuingia ndani ya despensal wakiwa mbio mbio, Jackline aliwatazama wale vijana wakielekea moja kwa moja upande wa vyoo, hapo Jackline alitabasmu huku akiingia ndani ya gari sambamba na Denis, kisha wanaondoka zao kuelekea barabara kuu na kisha kuelekea upande wa kibamba nyumbani kwao, “kumbe siyo malelia ni ujauzito” alisikika Denis akiongea kwa sauti ya furaha, akiungana na Jackline ambae aliachia kicheko cha kudeka, lakini moyoni mwake alikuwa anawaza namna ya kuwaeleza wazazi wake,juu ya ujauzito hule **wakati Denis na Jackline wakifurahia ujauzito, huku despensal mambo yalikuwa tofauti, wale vijana sita, walikimbilia moja kwa moja na kuingia ndani ya choo cha wanawake na kuwakuta wenzao wamesha aga dunia, wakaona huu ni msala kwao, na kwa maboss wao, waka pata wazo la kuwaondoa haraka sana mahali pale, lakini muda huo kuna wagonjwa watatu, wa kike wawili, na wakiume mmoja, walikuwa wanaelekea huko chooni, wakashuhudia wale vijana sita wakiwa wana wabeba wale wenzao wawili, huku wakichuruzika damu, japo wao walitaka wasionekane na kusabisha matatizo, wale watu waka tahamki, kwani waliona wazi wazi kuwa wale vijana wawili wamesha kufa, tena kwa kuuwawa, walicho kifanya nikukimbia na kurudi tena walikotoka, huku wakipiga kelele za hatari, lakini vijana wale awakujari, waliendelea kuwaondoa wenzao haraka haraka, wale wagonjwa watatu walikimbiampaka sehemu ya kusubiria wagonjwa, ambayo ilikuwa na watu wengi sana, wakiendelea kupiga kelele, “jamani kuna mauwaji yame tokea hukooooo” waliongea kwa tahamaki, huku wakipiga kelele, hapo eneo lote la dispensal lilivurugika, watu waka tawanyika, huku wengine wakipata nafasi ya kushuhudia vijana sita wakiwapakiza marehemu kwenye Rand Lover 110, kisha kuondoka zao kwa mwendo wa fujo sana, na kuingia barabara ya morogoro, na kuelekea upande wakibaha, nakupotea haraka sana, kumbe Dr Stella lisha piga simu kituo kidogo cha police cha mbezi, mbezi na dakika chache baadae police waliingia hapo despensal, na kuchukuwa maelezo toka kwa watu waliopo pale Despensal, ** insp Johnson akiwa ametulia ofisini kwake akijaribu kuwaza na kupanga mambo flani flani, asa yausuyo tukio la leo hospital ya muhimbili, mala mlango wake waofisi ukafunguliwa kwa pupa, aka ingia askari wakike aliepo mapokezi, “afande kuna mauwaji yametokea mbezi, kwenye Despnsal moja maarufu ya Matumaini, inayomilikiwa na Dr Stella” hapo insp Johnson akatoka mbio mbio, na kuagiza vijana wote aliotokanao muhimbili waingie kwenye magari, na kuelekea mbezi, huku akitowa maelekezo kwa yule sajent awapigie simu vijana wanne ambao walikuwa mapumziko siku hiyo, walipoti kituo kikuu haraka sana, maana mambo yamesha pamba moto, baada ya dakika kumi na tano police hao, wakiongozwa na insp Johnson, walikuwa wamefika eneo latukio, insp Johnson alikutana na mkuu wakituo cha mbezi, ambae alikuwa amesha fika kwenye eneo la tukio, na kupokea maelezo ya mwanzo ya tukio la vijana sita wenye Rand Lover 110, walivyoonekana wakiondoka na marehemu wawili, toka choo cha wanawake, bahati nzuri kuna mmoja kati ya wagonjwa aliisoma namba ya gari lile, insp Johnson akaiandika kwenye kinote book chake, kisha akaelekea chooni yalipotokea mauwaji, akiwa na askari wachache akaingia chooni na kuanza uchunguzi mlendani, kweli mlendani damu ilitapakaa sana kuonyesha kwamba wale vijana alikutana na kisanga cha hatari sana, lakini katika kukagua akaona simu pembeni ya vipande vya sink lakunawia lililo vunjika, insp akaomba gtovs zile za hospitali, mala akaletewa nakuzivaa, kisha akaokota ile simu, pamoja na kisu kilicho tumika kwenye mauwaji, wakaweka kwenye mfuko maalumu, pasipo kuaribu alama za vidole, baada ya kulizika na uchunguzi wao, wakaondoka na kurudi kituo kikuu, Insp Johnson akaacha maagizo kwa mtaharamu wa alama za viole, kisha akaelekea TRA, shirika la mapato tanzania, kuangalia usajili wa gari lile, ambalo alipewa namba zake, ambalo lilitumika kuwabeba marehemu, kitu ambacho hakikuwepo kichwani mwake, kwamba muuwaji wa kule despensal ni yule yule ambae ametoka kufanya mauwaji muhimbili, ** Jackline na Denis walikuwa wamesha fika nyumbani na Jackline akamwonyesha Denis majibu ya hospital yaliyo onyesha kuwa ni mjamzito wa miezi miwili na nusu, pia walipewa kipimo kidogo cha kutumia kwenye mkojo asubuhi, wote walionyesha kufurahishwa na tukio hilo la kupatikana kwa ujauzito, lakini furaha hiyo ilikatika kwa upande wa Jackline baada ya kuwaza namna ya kuwajulisha wazazi wake, asa baba yake ambaye akupenda kabisa mwanae ajiingize kwenye mausiano ya mapenzi, lakini sasa amepata ujauzito kabisa, Denis naye aliona mabadiliko ya Jackline akamwuliza “vipi Jack kuna tatizo?” “mh! nawaza namna ya kumweleza baba, maana ni mkali sana” maneno ya Jackline yalimwingia Denis, asa akikumbuka kuwa amemkuta Jackline akiwa bikira, hiyo ilitosha kumfanya ajuwe ni kiasi gani mpenzi wake alikuwa katika wakati mgumu, katika umri mkubwa kama ule, wakajadiliana kwa muda kidogo mpaka wakapta jibu kuwa wakae kimya paka ujauzito ukiwa mkubwa au akisha zaa, kabisa ndio wawaeleze ** insp Johnson alipata majibu toka kwa mtahalamu wa alama za vidole na TRA alama za vidole kwenye simu hazikuweza kutambulika kutokana na kitendo cha yule marehemu kuingiza simu mfukoni baada ya kumaliza kuongea kabla haija dondoka chini, ya pili ilikuwa ni alama za vidole toka kwenye kisu, zilifanana na zile za muuwaji wa wachungaji na Dr Ndilane, mapigo ya moyo ya Insp Johnson, yakaongeza kasi, akuamini alichokiona “mauwaji mala mbili, watu watatu ndani ya siku moja?” kijasho chembamba kilimtoka Insp, ya tatu ilikuwa ni majibu ya mmiliki wa gari alikuwa ni Mathayo K, akaletewa picha na anuani zake, ile picha aliitambua moja kwa moja, kuwa yule anaye mwona kwenye picha ni rafiki mkubwa wa baba yake, “mh! Au huyu mzee ni mmoja wawlio uwawa, kwa kuwa ushahidi ulisha fikishwa ofisini na kuolozeshwa kwenye jarida la ushaidi, ikaamuliwa kuwa Mathayo K akamatwe nakufikishwa mahakamani, huku insp Johnson akizidi kupata uakika kuwa baba yake nawenzake anausika moja kwamoja na matukio ya mauwaji hayo, na kwamba muuwaji bado anania ya kuwamaliza marafiki awa, kwahiyo baba yake ba rafiki zake, nao ni kati ya watu wanao takiwa kufa, insp akampigia PC Busungu, na kumwuliza juu ya mzee huyo ambae alimpatia jukumu la kumfwatilia, akaambiwa kuwa yuponae maeneo flani ya kimara mwisho, “ok! Endelea kuwanae kuna polisi wanakuja kumkamata” alimaliza Johnson, kisha akavuta picha ya tukio kuwa, vijana wale, ndio wale walio tumwa jambo flani na wakina mzee Masinde, sasa walimvamia yule dada muuwaji chooni, kwenye vyoo vya kike, pasipo kujuwa kuwa huyu mwanamke ambae anaonekana kuwa anat tizo la kiafya, ni hatari sana, alicho kiona ni kuongea na baba yake, ikiwezekana aachane na bihashara zisizofaa, maana Insp Johnson alihisi kuwa, pengine wamezulumiana kwenye bihashara zao haramu, na huyo mtu anaeitwa Nyati, ndio maana yanatokea matukio kama haya, hapo akaingia kwenye gari pamoja na kundi la askari wake, safari ya kwanza ikiwa ni kimara wakifwata maelekezo ya pc Busungu, kwenda kumkamata mzee Mathayo, ambae ni rafiki wa baba yake, lakini Insp huyu alifana hivyo huku akijuwa kuwa kufanya hivyo ni kusababisha mambo mengi yazidi kufahamika, na kunweka baba yake kwenye hatari ya kukamatwa kwa kazi za ualifu, mpango wa Johnson ulikuwa, akisha mkamata mzee Mathayo, aende kuongea na baba yake, akiwa na uakika pia atapatakujuwa baadhi ya vitu toka kwa mama yake, ambaye kwa sasa alikuwa amesha rudi toka kwao musoma,* jioni ya leo mzee Michael pamoja na mke wake Anitha, alikuwa mmoja kati ya watu ambao walikuwa wakiangalia habari kwenye television ya taifa, habari zilizo stuwa moyo wake usiku huu, ni mauwaji ya yaliyo tokea sehemu mbili tofauti zinazo fanana, muhimbili hospital na mbezi Despensal kwa Dr Stella, tena mzee Mathayo akiusishwa na kutorosha maiti ya vijana wawili, huku ikionyesha kuwa tajiri huyo na mmiliki huyo wa gareji kubwa na muuzaji wa magari amekamatwa na polisi, na vijana sita walio shiriki tukio hilo moja kwa moja, bado wanatafutwa na police, taharifa hiyo ilimstua sana Michael Nyati, ambae alijuwa fika kuwa mauwajii hayo yame fanywa na mwanae Jackline, kilicho mtua siyo kwa kukamatwa kwa mzee Mathayo, ambae ni mmoja wa windo lake, au vifo vya vijana wawili, au Doctor wa muhimbili, ambae ni bingwa wa magonjwa ya kina mama, na uzazi, ilicho mstua ni maeneo yaliyotokea mauwaji, kwanza ni kutokea mauwaji kwenye chumba cha doctor bingwa wa maswala ya uzazi, mawaji ya pili ni kutokea mauwaji kwenye dispensal ya docor bingwa wa mambo ya uzazi, “ina maana huyu mtoto anajambo linalousu uzazi, au ….” aliwaza baba Jack, hapo akaiwasha pad yake, ambayo alikuwa aki itumia kumfwatilia Jackline, na sasa alikuwa aiwashi mala kwa mala, sababu alikuwa amemweleza kusitisha mauwaji, Mchael Nyati alitumia dakika kazaa kukagua ile pad yeke kiangalia record ya mchana kutwa, akagunduwa sehemu zote zilizo tokea mauwaji, Jackline alikuwepo tena kwa muda uleule, wa matukio, akajuwa kuwa mwanae, anafwatiliwa na wakina Masinde, jambo ambalo lilimshangaza ni kwamba Dr Ndilani anausikaje mpaka auwawe, akashindwa kusubiri aka chukuwa simu yake na kumpigia mwanae, *** wakati huo Jackline alikuwa amelala juu ya kochi, mtupu kama alivyozaliwa, akiwa ametanua miguu yake, kama mama anaejifungua, huku Denis akiwa anamnyonya kikunde mpenzi wake huyo, awakuweza ata kufwatilia taharifa ya habari, maana kelele za Jackline zilikuwa zina sikika, akiugulia utamu, akakibana kichwa cha Denis na kukikandamiza kwenye kitumbua chake, huku akizungusha kiuno chake taratibu kwa kukigandisha ngandisha, akikaza misuri ya mapaja na makalio yake mazuri, maana utamu ulizidi kukolea, ingiza baba… ingiza baba..tayari mme wangu ing…”, mala ghafla walisitisha zoezi lao, baada simu ya Jackline kuita, achilia kumstua pia simu ile ilimchukiza sana Jackline, maana utamu aliokuwa akiupata ulikuwa siyo mchezo, kivivu na kwa hasira akachukuwa simu yake, “he! baba!” alinong’ona jackline, itaendelea …
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU