
SEHEMU YA SELATHINI NA SITA
ILIPOISHIA SEHEMU YA SELATHINI NA TANO : “zaidi ya salama, siunajuwa mimi zaidi ya kikosi cha makomadoo” alijibu Jackline kwa kujiamini, “hacha utani mwanangu, atakama ni komadoo sijuwi kitu gani, lakini kumbuka, ukali wote wakiu lakini mbele ya maji uonekana mjinga, namaanisha umeziona sikuzako, maana sielewi jinsi unavyo hema sielewi elewi” hapo Jackline akatulia kidogo na kushusha pumzi kwa nguvu, ENDELEA …….
Kisha kwa sauti ya upole na unyonge akasema “sijaziona mama” hapo Jackline alimsikia mama yake akitoa mguno wakicheko, “nilijuwa tu! maana tokea tulipo ongea asubuhi, nilihisi aupo sawa, hen! niambie ina mda gani?” aliuliza mama Jackline, inamiezi mitatu” alijibu Jackline kwa sauti iliyo ashilia uoga, “umesha anza klinic?” aliuliza mama Jackline, “hapana bado sijaanza” alijibu Jackline, ** kiukweli usiku huo ulikuwa ni mjadala wa hiyo mimba ya Jackline, wakati baba yake akisema hiyo mimba ikatolewe, huku mama yake alisema hisitolewe, mabishano yaliisha saa saba usiku, wakikubaliana kuwa Jackline ailee hile mimba mpaka atakapo jifungua, ikiwa pamoja na kupumzisha mauwaji ya maadui zao, mwisho mama Jackline akampigia simu mwanae na kumsisitiza kuwamakini wakati wakuilea hiyo mimba, na kaanza klinic mala moja, ila katika majina yake, asijiandike kuwa n Jacklin Nyati, aandike Jackline Francis, ** siku ya pili asubuhi na mapema isnp Johnson alijihimu, kwenye gereza la ukonga, na kukutana na mkuu wa gerezaakaomba kuonana na mfungwa mmoja anaeitwa Majaliwa, bwana jela akamwita askari anaeusika na kkujwa mfungwa flani yupo selo gani na anakosa gani, akamkabidhi insp Johnson amsaidie kuongea na huyo mfungwa alie fungwa kwa kosa la kuiba mbuzi wanane, mda mfupi baadae,insp Johnson alikuwa ndani ya chumba cha kuongea na wafungwa, akiwa amekaa kwa kutazama na Majaliwa, wakitenganishwa na meza kubwa “mimi naitwa insp Johnson, najuwa wewe unaitwa Majaliwa” aliongea Johnson huku akimtazaa kwa umakini kijana Majaliwa, ambae alikuwa ametulia akimtazama insp kwa macho ya udadisi, maana akujuwa shida ya polisi yule mwenye nyota tatu, “nikweli afande naitwa Majaliwa, sijuwi nikusaidie nini muheshimiwa, maana kifungo changu kinakaribia kuisha, sijuwi kama kana kunakosa jingine nililifanya?” aliuliza Majaliwa huku, akijitaidi kuficha mapengo yake, yaliyo tapakaa mdomoni“bwana Majaliwa kabla atujaaza kuongea, natamani kujuwa hayo makovu na mapengo ume yapataje pataje?” aliongea insp Johnson akijizuwia kucheka, kwani alithibitisha maneno ya yule askari sajenti, kwamba Majaliwa amepondeka usoni, kwanza kabisa Majaliwa alianza kwa kuachia kicheko, “ni mambo ya ujana haya afande achana nayo” aliongea Majaliwa, ambae leo hii kupiga mluzi ilikuwa ni kazi ngumu kwake, “ulifumaniwa nini?, alafu unasema mambo ya ujana, wakati sasa ndio kijana” aliuliza insp Johnson kwa sauti inayojenga urafiki, “afande bwana, story yenyewe ni ya aibu, nilipigwa na demu mmoja hivi, kipindi hicho tupo shuleni” alisimulia Majaliwa, akimsimulia insp Johnson, jinsi sikuile ilivyo kuwa, Majaliwa alieleza kila kitu, kuhusu siku ile akiwa na rafki zake, Kadoda na Festor, wakimvizia binti mrembo sana, aliekuwa anajifanya mgumu wa kukubari wanaume, lakini kilicho wakuta awakutegemea kukipata kutoka kwa mschana kama yule, (soma kuanzia sehemu ya 8) insp Johnson akuwa na haja ya kusikiliza marudio ya story ile, “ok! unalikumbuka jina la huyo mwanamke alie wavuruga, na anafanya kazi gani siku hizi?” aliuliza insp Johnson akijifanya kuvutiwa na ile story, ambayo aliamua kuifwatilia baada ya kusikia kuwa imetokea Songea, “mala ya mwisho yule demu nilimwona akiwa anasoma form six, baada ya hapo niliamia mtwara, sija mwona tena yule mwanamke anaitwa Jackline, ni mtoto wa mzee mmoja hivi, anaitwa Nyati” aliongea Majaliwa, na kumfanya astuke kidogobaada ya kusikia jina la Nyati, “unauakika kuwa huyo binti ni mtoto wa mzee Nyati na ilo ndilo jina lake?” aliuliza insp kwa namna ya kuitaji uakika, “nawafahamu vizuri sana wakina Jackline, tena mama yake anaongea rafudhi ya kikongo hivi” aliongea Majaliwa akionyesha msisitizo, kuwa anauakika na anacho kisema, insp akaingiza mkono mfukoni kwake na kutoa karatasi moja lililo kunjwa vizuri kabisa, akalikunjuwa na umwonyesha Majaliwa, “he! uana mchongo gan na huyu demu, unayo mpaka picha yake?” alistuka sana Majaliwa baada ya kuiona picha ya Jackline, kwenye lile karatasi, “nili wai kukutana nae mwaka moja ulio pita nimetokea kumpenda sana huyu mwananmke nataka nifike kwao nikatoe mahali,” alidanganya insp, “mh! sijuwi, kwajinsi navyo mjuwa huu demu inajibi ujipange kweli kweli” aliongea Majaliwa akionyesha kuwa aikuwa kazi ndogo kumpata Jackline, “kwani baba yake anafanya kazi gani?” aliuliza insp Johnson, “kwakweli yule mze ni mfanya biashara wakawaida tu, japo anaonekana ni tajiri sana” aliongea Majaliwa, “we unazani huyu Jackline alifundishwa nanani kupigana?” aliuliza Johnson, ambae sasa alikuwa amesha pata mwanga wakujuwa mengi juu ya muuwaji anae wamaliza wakina mzee Masinde baba yake, “kwakweli akuna mwenye uakika, japo kuwa wengi wanahisi kuwa anafundishwa na baba yake, maana nilwai kusikia kuwa yule mzee aliwai kuwa askari jeshi” mpaka hapo insp Johnson alikuwa amesha pata uakika wa kile anacho kitafuta, hapo akawaza, “nikienda kwa mzee Soud na kuweleza niliyo yasikia, laima tutapata ufumbuzi” ** mpaka kufika saa mbili asubuhi Denis alikuwa haja zinduka, na alisha mwaga mkojo lita kumi, kiasi cha kumfwanya Jackline ahisi mume wake ata ishiwa maji mwilini, saa tatu na nusu ndio mda ambao wakina mahadhi, walisimamisha gari nje ya nyumba ya Denis, baada ya kuona kuwa na leo akuja kzini, awakupiga simu kuwajulisha ujio wao, sababu Mahadhi alijuwa kuwa Denis asinge kubaliana na ujio huo, japo ilikuwa ni ngumu sana kwa Jackline, lakini alimtambua Mahadhi, aliwa karibisha ndani, na kuwaeleza kuwa Denis usiku wa juzi, alirudi nyumani hapo akiwa amelewa sana, akasimamisha gari na kulala hapo hapo nje ya nyumba, mpaka yeye aipo mbeba na kumwamishia ndani, ambako amelala toka juzi mpaka leo ajaamka, wakina Mahadhi na bosi wake walikaa pale mpaka Denis alipo zinduka saa tano, ** saa moja jioni baada ya kuaga mwili wa askari Kessy uliosafirishwa kwenda kwao singida, insp Johnson akwenda nyumbani kwake, alinyoosha kigamboni kwa mzee Soud, ambapo alitumia lisaa limoja na nusu kufika, “poleni kwa msiba wa askari mwenzenu” alisema mzee Soud baada ya insp kumsimulia juu ya matukio ya juzii na jana, “lakini kwanini amja tangaza, maana leo tena nimesikia tukio la kuokotwa watu wawili, huko kisopwa,” aliuliza mzee Soud, “sidhani kama ingekuwa vyema kutangaza lile tukio, la askari wetu, ila kuhusu hao wawili na mimi nimesikia juu juu nikiwa msibani, ila inasemekana marehemu wametambuliwa, kuwa ni matapeli wakubwa sana waliokuwa wana tafutwa na jeshi la polisi kwa mda mrefu sana” alisema Johnson ambae bado alikuwa ndani ya sale za kazi, “ok! bwana Johnson, nazani umekuja na jambo jipya, itaendelea …….
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU