
SEHEMU YA SELATHINI NA NANE
ILIPOISHIA SEHEMU YA SELATHINI NA SABA : aliongea yule dada kwa sauti laini na tamu zaidi ya ile ya mwanzo, kia akaanza uondoka, “hooo! kunakitu kingine nilisahau, ujuwe unanichanganya sana kaka Denis, wewe ni mtanashati sana” aliongea yule dada akisimama tena na kumgeukia Denis, kisha akaongea kwa sauti ya chini na yakunong’ona, “jitaidi uje peke yako, maana huyu mwenzio simuamini” endelea ………
Hapo Denis akaduwaa kidogo, akamtazama Mahadhi ambae alikuwa amesimama pembeni kidogo anamsahangaa yule mwanamke mrembo wakupitiliza, “lakini dada yangu kwanini tufanye siri kiasi hicho, wakati swala lenyewe haaliitaji siri?” aliuliza Denis kwa sauti ya chini, na yamshangao, “usijari Denis, utajuwa kwanini nafanya siri” aliongea yule binti na kuondoka zake, akiwaacha Denis na Mahadhi wakimsindikiza kwa macho, wakiangalia msambwanda jinsi unavyo cheza kila anapopiga atua, Denis ali waza sana juu ya huyu dada ambae alimwona akielekea kwenye safu ya maduka, yenye pilika za watu wengi sana, na magari yaliyoeeshwa nje ya maduka yale, “mh! hisje ikawa ya kipindi kileeee” aliwaza Denis, ambae wasiwasi wake ulipungua baada ya kumwona yule dada akiingia kwenye gari moja la kifahari sana, “Toyota landa cruzer V8, ambayo utumiwa na wakubwa ya serikali, japo lenyewe lilikuwa na namba za usajili ni za kiraia, “kaka yule mtoto anadiri gani?” aliuliza Mahadhi kwa shahuku, hapo Denis aka juwa kuwa rafiki yake akuambulia chochote kwenye mazungumzo yao na yule dada, ambae alisahau ata kumwulizia jina, “huyu nidoctor wa mke wangu, kule kilinic, sasa alikuwa ananikumbusha kuna sindano ladhima mke wangu akaichome,” alidanganya Denis, “nilikuona kama anakupa namba ya simu, uaonaje ukinipatia nicheze nae” aliongea mahadhi kwa uchu wa kumpata yule dada mrembo, “subiri kwanza nimalizane nae kisha ni takupatia” walikuwabaliana hivyo, ** mda ulisogea mpaka saa tisa, ambapo Denis aliaga ofisini kwao, kuwa anenda nyumbani, nahiyo ndiyo ilikuwa kamaratiba yake kila siku, ambapo alliluhusiwa kwenda kukaa, na mke wake mjamzito, Denis akiwa na kopi tatu tofauti za michoro ya majengo, makubwa ya kibiashara, yenye vitu alivyo elekezwa na yule dada, aliingia ndani ya gari lake Toyota noah, na iitoa ile card yenye namba ya simu, akaitazama na kuisoma ile namba akiindika kwenye simu yake, kisha akaipiga, iliita kidogo tu kisha ikapokelewa, “Felister hapa naongea nanimwenzangu?” ilisikika sauti tamu toka upande wapili wa simu, “Denis hapa wa michoro ya ramani za majengo” alijibu Denis, “hooo kaka yangu nilisha anza kukata tamaa, hupo wapi sasa?’ aliuliza Felister, “ndio natoka hapa ofisini nitakukutwa wpi?” aliuliza Denis ambae alivutika sana na ue mkwanja alioonjeshwa na yule mdada, “kama yulivyoongea njoo hapa Green Hotel nakusubiri, ukifika njoo chumba namba miamoja na sita, gholofa ya tatu” aliongea Felister kwa sauti ya uchangamfu iliyo jaa bashasha za kuliamsha dudu, “ok! nakuja” ilikuwa kama walivyo panga, maana kutoka manzese mpaka ubungo Green Hotel, nimwendo wa daka tano tu, baada ya kuegesha gari lake nje ya jengo ilo kubwa la hoteli Denis akachukuwa vitu vyake na kingie ndani ya jengo hilo, kisha kupanda ngazi kuelekea juu gholofa ya tatu, akiacha kutumia lift, uwa apendi ata ofisini kwao siku zote, uwa anapanda kwa kutumia ngazi, alitafuta mlango wa chumba namba miamoja na sita, mpaka alipo kipata, akaugonga mala kadhaa, ndipo mlango uka funguliwa na Felister mwenyewe, ambae alikuwa ameachia tabasamu pana usoni mwake, “karibu Denis, pita ndani,” aliongea Felister, kwa sauti ya uchangamfu sana huku akimshika mkono Denis na kuingia nae ndani ya chumba, Denis alihisi miguu yake inakosa nguvu, na mcho yake yanataka kudondoka kutokana na kusngaa, kile alicho kiona kwa huyu mwana dada mrembo, japo alikili kuwa akuweza kumfikia mke wake kwa uzuri, “yani we kaka mwaminifu sana, sikutegemea kama ungekuja kweli? aliongea yule dada huku akimpeleka Denis kwenye kochi dogo la watu wawili liliomo mle ndani ya chumba kile, lilitazamana na kitanda kikubwa cha sita kwasita, naikitenganishwa na meza ndogo ya kioo, ambayo ilikuwa na chupa moja kubwa ya mvinyo mwekundu wadhabibu, na grass mbili, Denis akaa kwenye kochi, “asante sana” ailijibu huku akiweka zile ramani mezani, kisha akamtaazama Felister, ambae alikuwa amevalia kinguo flani hivi, ambacho kwakifupi Denis akuweza kijuwa aiteje, maana shati siyo kutokana na jinsi lilivyo, na siyo gauni kutokana na ufupi wake, ambao licha ya kuacha mapaja nje pia kililuhusu ata chupi nyekundu ya binti huyu ionekane kabisa, kama hiyo aitoshi, kiguo hicho likuwa kinaangaza sana, akufanya maziwa yaonekane kama unamtazama mtu alie simama nyuma ya dirisha la kioo, kiukweli Denis ni wanaume kama wanaume wengine, alistuka dudu yake ikianza vurugu, na kuanza kuamka, akaona sasa anaumbuka mbele ya mtu aliekuja kuongea nae mambo ya fedha, akajaribu ku kwepesha macho asimtazame yule dada, lakini sikuzote macho hayana panzia, Denis akamwona yule dada akienda kukaa kwenye kitanda, na kutazamana nane, wakitenga niswha na meza ya kioo, Denis alimwona yule dada akichukuwa ramani moja wapo na kuitazama kwa umakini “inaonekana nzuri sana, uliibuni wewe mwenyewe?” aliongea Felister, akiwa bado anaitazama ile ramani aiishika kama ane soma gazeti kiasi cha kujiziba uso, huku akiachia kitumbua kilichpo ndani ya chupi kionekane vyema kabisa, kikiwa kime tuna ndani ya chpi na kutengeneza ramani ya mpasuko wa pale kwenye kikunde, kiukweli Denis alikuwa katika hali ngumu sana, maana dudu yake ilisimama kwanguvu, kiasi cha kuanza kumtekenya inapo gusana na nguo yake, “ndio, ziangalie na hzi nyingine, jinsi livyo nzuri” alisema Denis na Felister, akainuka akiwa na ile ramani mkononi akaelekea kwenye kabati moja kubwa languo lililopo ndani ya chumba hicho, wkati anatembea kuelekea kwenye kabati, kwa bahati mbaya ile ramani ili ponyoka na kudondoka chini, Felister akaina akielekea msambwanda wake aliko kaa Denis, na kuiokota ile ramani, hapo ndipo Denis alipo umameno kwa uchungu wa dudu, ambayo ili zidi kuvimba na kusimama, akaishia kujikoodha kidogo, yule dada alichkuwa ile ramani na kisha akaliendea kabati akalifungua na kutoa ule mkoba wake mweusi, na kuja nao pale mezani, akakaa alipo kuwa ame kaa mwanzo, akatoa simu kwenye ule mkoba na kubinyeza namba flani kisha akapiga, wakati anasubili ile simu ipokelewe, akaichukuwa ramani ya pili, na kuingalia, “hallow boss, …. ndio nipo nae” aliongea Felister pasipo kusikika upande wapili, “aina tatizo … ndio boss, naona mambo yataenda vizuri……. nitakujulisha itakavyokuwa” alimaliza kuongea na simu, kisha akakata simu, “ok! Denis, nitachukua hii hapa, nikuachie bei gani?” aliongea Felister akichukuwa ramani ile ya kwanza, “yoyote ile, maana umesha nipatia kiasi kikubwa sana,” aliongea Denis huku akijichekesha, hapo Frister akaingiza mkono mfukoni na kutoa maburungutu kumi ya fedha, akamatia Denis, “million moja hiyo nazani inatosha” aliongea Felister, huku akiiweka miguu yake vizuri, ambapo ilikuwa kinume chake kwa Denis, mana aliitanua nakuzidi kukiachia ktumbua chake kionekane jinsi kilivyo tuna ndani ya chupi yake, “yah! lakini mbona fedha nyingi sana?” aliuliza Denis kama aliekurupushwa toka usingizini, “nimekupa kama zawadi nasikia mkeo mjamzito, zitakusaidia atakapo jifungua” aliongea Felister, huku akifungua ile chupa ya mvinyo na kumiminia kwenye grass zote mbili, “asante sana dada yangu lakini mbona ume kuwa mkarim sana?” aliliza Denis kwa mshangao, yule dada akaachia tabasamu pana lakupendeza, “nashukuru kama ume uona ukarimu wangu, nazani utanisaidia kwa jambo la pili linalo nisumbua toka nilipo kuona asubuhi” aliongea Felister huku akiinua gras moja na kumkabidhi Denis ambae alikuwa akijiuliza jambo ambalo anaitaji Felister, kisha Felister akachukuwa ile nyingine, na kugonga grace zao, kisha wakaanza kunywa mvinyo, “kitu gani hicho dada Felister, ninacho hapa?” aliuliza Denis akitabasamu, “punguza haraka, au unaogopa mkeo ata kuuliza hupo wapi?” aliongea Felister kisha wote wakacheka, “hapana dada Felly, mimmi na mke wangu tunaishi kwa amani sana, tuna aminiana” aliongea Denisn na kumfanya Felister acheke kidogo, “ook! sasa kwa ujauzito wake, unajipoozea wapi?” aliuliza Felister huku anamtazama usoni Denis, “kivipi?” aliuliza Denis akionyesha kuwa akuelewa maneno ya Felister, “kwani wewe ni mtoto bwana, yani ukibanwa unaenda kupunguzia wapi?” hapo Denis alielewa, akaanua kicheko na wote wakacheka sana, na Felister nae akaunga mkono kucheka, “sijawai kufikilia hivyo, nilisha wai kukaa miaka zaidi ya kumi bila kuwa na demu, ndio nimekuwa na huku mke wangu,” aliongea enis kwa kujiamini, “hongera sana, ninge pata mume kama wewe ninge jidai sana, kwahiyo huyo mkeo ana kazi gani?” aliuliza Felister, huku akikunja nne, mkao ambao uli zidi kumchanganya Denis, “nimama wa nyumbani tu! mimi mwenyewe sikutaka kuoa mfanyakazi” aliongea Denis kisha akawaza kidogo alafu akauliza, “kwani, wewe ulinifamahu vipi mimi na mke wangu?” hapo Felister akacheka kidogo, kisha akainua grace ya mvinyo na kuigugumia, alipo maliza akamtazama Denis kwa macho malegevu, “ukimpenda mtu lazima uta mfwatilia tu, ujuwe mwezi uliopita nilikuja ofisini kwenu, kuonana na wewe tuka pisha kwenye ngazi, japo sikujuwa kama wewe ndie Denis lakini nilitokea kukupenda sana, nika ulizia habari zako, nikaambiwa umewai nyumbani kwamba mkeo ni mjamzito hivyo ofsi yenu inakupa mda wa kukaa na mkeo, kwakukuwa kupindi kile sikuwa na mda mrefu, sikukaa sana nikarudi mkoani, safari hii nikaonyeshwa wewe, nikakumbuka tulipisha kwenye ngazi, kiukweli ndipo nilipoamua nikuite hapa hotelini na kufanya swala hili liwe binafsi,” waliongea sana waliwili awa huku wanakunywa mvinyo, kiasi kwamba ikaanza kuwa chukuwa na kwa kawaida kinywaji hiki ukimblia sehemu mbaya sikuzote na kuliamsha dudu, ilisha timia saa kumi nambili za jioni, Denis alisha pokea sms sita za mke wake, akiuliza yupo wapi na nyingine akimsisitiza kuwai nyumbani, Denis akumficha mke wake alimweleza yupo Green Hotel alikuwa anaongelea maswala ya kazi, na sasa anapata mvinyo kidogo, kisha atawai kurudi nyumbani, “ok! dada Felister naona nikuache kidogo, niwai nyumbani” aliongea Denis akimalizia mvinyo kwenye grace yake, “hapana usiondoke bwana, mbona ujanipa” aliongea Felister, kwa sauti iliyo legea kwa pombe na hamu ya dudu, Denis alihisi jambo hilo, “kitu gani dada Felly, sema nikupatie maana nimechelewa sana” aliongea Denis akimtazma Felister ambae alikuwa amejilaza kwenye kochi na kuinua kile kigauni chake, kisha akaanza kupapasa tumbo lake, “sikia Denis, najuwa kuwa unamkeo, lakini namimi nakuitaji sana, nipo tayari niwe mkeo wasiri, nitakupa kila kitu unachotaka, ata ukitaka kumfungulia mkeo biashara nipo tayari” aliongea Felister kwa sauti ya kivivu ya kubembeleza iliyo jaa ulegevu wa hamu ya ngono, itaendelea ………..
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU