
BINTI MDUNGUAJI (67)

SEHEMU YA SITINI NA SABA
ILIPOISHIA SEHEMU YA SITINI NA SITA : jioni hii kabla yakwenda msibani, insp alielekea nyumbani kwake kubadiri nguo, na kuvaa za kiraia, njia nzima insp alizidi kuumiza kichwa, juu ya kumsaidia baba yake, yote kwa yote aliamini kuwa, kama hiyo kesho baba yake ata mweleza ukweli, basi itakuwa lahisi sana kwa mzee Soud kumsaidia, endelea …………
Maana insp alizani kuwa mzee huyu aliewai kuwa kingozi wa ngazi zajuu wa jesh la ulinzi, ange amua kumsaidia kwa maslai ya taifa, aliwaza hayo insp Johnson, pasipo kukumbuka jeuri yake yasiku za nyuma kipindi kile alipo onekana kuwa ni shujaa sana, baada ya kifo fake cha mzee Nyati, dakika chache gari la polisi ilikuwa limesimama nje ya jengo la wajasiliamari, insp na askari wake wakashuka na kuelekea kwenye ofisi ya utawala ya jengo lile, aka wakuta wausika wakiwa katika kikao kikubwa cha kajadili tukio lililo tokea leo mapema, katika jengo lao ambao kwasasa lilikuwa limesha jipatia wateja wengi sana, na sasa walihofia kuwapoteza kutokana na mauwaji yaliyotokea mahali pale, insp alikutana na mkurugenzi wa jengo lile, nakuomba kuangalia record za kutwanzima, za camera za usalama zinazo onyesha eneo lote la jengo lile, moja kwa moja insp akapelekwa security room, nakuanza kukagua video zirizo recodiwa automatic na computer inayo ongoza camera hizo, na kujiifadhi kwenye hard disc drive, (HDD) insp Johnson akiwa na baadhi ya wana usalama wa jengo lile na askari wake wachache, walianza kutazama video za jengo lile kwa umakini sana, ** saa moja nanusu za usiku, kamasiyo jioni, mzee Masinde alikuwa nyumbani kwake sebuleni, ameishikilia chupa kubwa ya pombe kali, akiigugumia pasipo kutumia grass, huku akionekana kuchanganyikiwa na tukio la leo mahakamani, siyo kwamba alichanganyikiwa kwa kifo cha mtu wake wakaribu ila alichanganyikiwa kwakujuwa kuwa bado yeye kufa, ;icha ya mzee huyu kunywa nusu ya chupa yapombe hii kali, lakini akujihisi kulewa kabisa, “akika mwisho wangu nauona, unakuja kwa kasi sana” aliwaza mzee Masinde, huku akiendelea kugugumia pombe yake, ambayo chupa hii kwa kawaida, wangekunywa ata watu sita nakulewa vizuri tu!, mda wote mke wake alikuwa anamtazama tu!, akishindwa kumwuliza kulikoni, maana mzee huyu ni kwamuda mrefu sana amekuwa akishindwa kumshirikisha katika mambo yake, baada ya kukaa mda mrwefu akiendelea kunywa pombe, mzee Masinde akaonekana kupata wazo “mama Johnson njoo mala moja” aliita mzee Masinde, wasauti iliyo lemewa na mzigo wa simanzi, mke wake akaja mbio mbio, japo mama huyu alifahamu juu ya vifo vya marafiki wa mume wake, lakini akuelewa sababu ya vifo hivyo, ila kwa sasa alishaanza kuona uwezekano wa mumewake kuusika kwa namna yoyote na vifo hivyo, “nimekuja mume wangu” aliongea mama Johnon, baada ya kukaa kwenye kochi pembeni ya mume wake, lakini mzee Masinde alionekana kutulia akiwa ameijishika kwenye mashavu na kuinamisha kichwa chini kama kuna kitu alikuwa ana kitazama kwenye meza, alitulia kwa dakika kaadhaa, kisha aakiwa bado uso wake ameutazamisha chini, aka ongea, “sikia mke wangu, tumeishi mda mrefu kwa ugomvi mkubwa sana, na mkosaji ni mimi” alitulia kidogo mzee Masinde pasipo kumtazama mke wake aliekuwa amekaa kimya akimsikiliza mume wake, mzee Masinde akaendelea, “naitaji nafasi nirekebishe makosa yangu” aliweka kituo mzee huyu, ambae mkewake mwanzo alizani labda amelewa sana, lakini aligunduwa kuwa mume wake hajalewa kama anavyozani, “sitaki mtu yoyote katika familia yangu, alipie zambi zangu” maneno ya mzee Masinde yali anza kumtia shaka mke wake, ambaae alitulia kama amepigwa na mshangao, funga safari nenda musoma, “kaa huko mpaka muda wakurudi utakapowadia” hapo mama Johnson alisindwa kukaa kimya, “kwani baba Johnson, nikiwa hapa dar unashindwa kufanya mambo yako?” aliuliza kwa sauti ya jazba, lakini ikawa tofauti na siku zote anapotumia sauti hii, lazima ange stuka kibano kina mshukia, lakini leo alishangaa kuona, mzee huyu akiwa ametulia kama mwanzo, kisha akaongea kwa sauti ya upole na utulivu sana, “mke wangu najuwa wewe na Johnson amta nielewa, ila ukweli nikwamba, mke wangu unaitaji kuwepo sehemu salama zaidi” hapo mama Johnson akalahhisisha kidogo, kwa kujumlisha na kugawanya na matukio yavifo vya rafi wa mume wake, hivyo akajuwa mume wake anamuofia yeye, “kwahiyo wewe utabaki hapa?” aliuliza mama Johnson kwa sauti ya upole, “ndiyo nitabaki, pia kunakiu naomba unisaidie” aliongea mzee Masinde, ambae leo alimshangaza mkewe, kwa utulivu wake, “kitu gani tena mume wangu?” aliuliza mama Johnson, kwa sati ile ile ya utulivu, “najuwa Johnson awezi kunielewa, ila naomba kabla ujaondoka, mwambie asiendelee kumfwatilia Nyati, sababu atapoteza maisha yake, pengine na familia yake yote” alisema mzee Nyati kisha aiakinuka na kuingia chumbani wanako lala yye mke wake, akachukuwa koti kubwa jeusi la mvu, ambalo utumiwa na wanajeshi, au polisi, akavaa buti ndefu nyeusi, kama za jeshi, na kofia ya cap, kisha akarudi sebuleni, akamkuta mkewake bado amekaa kwenye kochi, “natoka kidogo nita rejea” hapo mzee Masinde akusubiri jibu au swali toka kwa mke wake, akatoka nje, na sekunde chache ukasikiks muungurumo wa gari lake aina ya land rover dicover, likiwashwa na kuondoka, hapo mama Johnson, akiwa na wasiwasi mwingi, akachukuwa simu yake na kumpigia mwanae Johnson, ** Denis na mkewake Jackline walikuwa wametulia sebuleni kwao juu ya kochi moja kubwa, France alikuwa anachezea gari lake dogo, chini ya carpet, Jackline alikuwa amejilaza kwenye mapaja ya mume wake, wakitazama filamu, ya kivita, mala moja moja, Jackline akimfanyia Denis michezo ya kuliamsha dudu, maana alikuwa akipenyesha mkono “waw! waw! waw! poish…..” ilikuwa ni sauti ya France, iliyo wastua baba na mama yake, Denis alistuka kwasababu akuwai kumsikia mtoto huyu, akitamka neno hili lililo maanisha polisi, kwani ata kutamka jinalake ilikuwa ni kazi ngumu, sasa leo alikuwa ana igiz na king’ora cha gari la polisi kabisa, wakati Denis ana waza hayo, mke wake alikuwa ametulia kama akuwa anawaza lolote, “polisi, umewajuwaje polisi France,?” aliuliza Denis kwa mshangao, “hen!” France aliitika huku anamtazama mama yake, Jackline akauma meno kwandani, “na wewe baba France swali gani hilo unamwuliza mtoto?, kwenye hayo mavideo yako unayo angaliaga unazani mtoto aoni?” alidakia Jackline huku ana penyeza mkono wake, na kuulaza juu ya bukta Denis, na kuishika dudu ya Denis, alievalia bukta nyepesi, kwa kuipapasa kidogo, Denis anastuka kidogo na kuudaka mkono wa mke wake, “kama hivyo safi sana, dogo anaonekana kichwa sana, nataka awe kamanda” aliongea Denis huku, Jackline akijitoa mkono wake kwenye mkono wa mume wake, kisha safari hii anaupenyeza ndani ya bukata na ikuikamata duduambayo ilisha anza kusimama, “unamfundisha mtoto ukatiri, mimwenyewe naogopa kutazama” aliongea Jackline huku akiendelea kuichezea dudu ya Denis ndani kwa ndani, “tatizo nyie wanawake ni waoga sana, ata akitokea panya hapa utakimbia na kumwacha mtoto” aliongea Denis huku akiusikilizia mkono wa mke wake ukichezea dudu kwa siri, pasipo France ambae alikuwa anaendelea kucheza, kuona kitendo hicho, “baba France usitaje wadudu usiku huu, mwenzio nitashindwa kulala” alisema Jackline kwa sauti ya uoga uliopitiliza, huku anaachia dudu ya mume wake, na kujiinua toka mapajani mwake, Denis aliangua kicheko kikubwa, huku akijaribu kuiweka vizuri, dudu yake iliyo simama, Jackline akaulaza mkono wake kwenye sehemu hiyo ya Denis, “mwambie atulie nikaweke chakula mezani, kisha akamsalimie mwenzie” aliongea Denis huku ana uchezeza mkono wake juu ya dudu ya Denis, kama anaipooza, kisha akainuka kabisa toka kwenye kochi na kuelekea jikono, ambako akukaa muda mrefu akaonekana akitoka jikoni, mkononi mwake amebeba hot pot ya chakula, na kuweka mezani, kisha akarudi tena jikoni na kuendelea kubeba tena vyakula vingine, na kuweka juu yameza kubwa, akiandaa tayari kwa kula chakula hicho, ** Johnson akiwa ndani ya ofisi za usalama za jengo la wajasiliamari, ambapo alikuwa ametumia masaa mawili kukagua video za camera za usalama, na kugundua uwepo wa Jackline Nyati ndani ya jengo lile, mida hile hile ambayo matukio ya mauwaji yalitokea, video zilimwonyesha mwanamke huyo alie valia gauni la kitenge mfano wa kanzu, na aliejifunika sura kwa nguo nyepesi sana kichwani mwake, mwanamke huyo alionekana akielekea upande wa vyoo, mala tu baada ya polisi kuzuwia watu kuingia na kutoka ndani ya jengo lile, kisha mwanamke huyo akuonekana tena, kutoka kule vyooni, “naweza kupata video ya hii record” aliuliza Johnson huku akiendelea kufatilia ile video, “inawezekana iwapo utakuwa na frash disc au external Hard disc” aliongea msimamizi mkuu wa usalama, wakati huo huo Johnson alisikia simu yake ikiita, akaitoa mfukoni na kuitazama “mama” alinong’ona Johnson, huku anapokea simu hiyo, ambayo ilimtaka Johnson, aende nyumbani kwa mama yake haraka sana, Johnson akastuka, akahisi wito ule aukuwa wakawaida, sababu mama yake aliongea kwa sauti iliyo tawaliwa na wasi wasi mwingi, ** saa tatu na nusu usiku, ndani kabisa ya kijiji kidogo cha mashambani, jirani na kibaha kongowe, kilomita kumi toka bara bara kuu iendayo mikoani, (morogoro load) nyumba zilikuwa chache sana kule mashambani, zikiwa zime tawanyi na kuwa mbali mbali sana, pembeni kabisa ya kijiji hicho nje ya nyumba mona ya nyasi, lilionekana Land rover discover likiwa limeegeshwa nje, huku mwanga afifu wa koroboi ukionekana kupitia kwenye dirisha dogo lenye kipande cha nguo iliyo chakaa, “wazee wanasema kijana mbele yako kunagiza nene” ilisikika sauti toka ndani ya kijumba hicho kidogo cha udongo, ikionyesha ni ya mtu anae miliki miaka kati ya themanini na nne au themanini na tano, “wazee wanasema aujalogwa na mtu yoyote, ila kunamtu ana kufwata kuchukuwa uhai wako” iliendelea kusikika sauti hiyo yenye mikwaluzo, “tena kuna wenzako watano wamesha poteza maisha, na wewe pekeendiyo ulie bakia” ilisikika ile sauti ikifwatiwa na muungurumo wa kama ame patwa na misimko, “nikweli kabisa babu” hapo ilisikika sauti ya mtu mwingine, toka mle ndani, ambayo inafahamika mala moja kuwa ni yamzee Masinde, “wazee wanasema ulimzulumu huyu mtu, pamoja na kujaribu kutoa uhai wake” ilisikika tena ile sauti, “nikweli babu” sauti ya mzee Masinde ilisikika ikwa na uakika, “haya kijana sema unaitaji nini toka kwetu” ilisikika ile sauti kisha mzee Masinde akaanza kuongea anacho itaji, “naitaji huyu mtu afe kabisa, ili niishi kwa amani” aliongea mzee Masinde kwa sauti kavu hisyo na chembe ya huruma wala aibu, ikifwatiwa na muungurum kama hule wakwanza, ukimalizikia na chafya tatu mfululizo, kisha ile sauti ya kikongwe cha kiume, ikaanza kuongea kwa lugha ambayo kiukweli mpaka naandika story hii, bado sija ifahamu ni yawapi, na alikuwa anaongea kitu gani, “chinjo chane nunulige, chinjwan cha kulungwa, pali onjo llilo la penepo pa lihengo” aliongea yule mzee kwa sauti yake ile ile ya mikwaluzo huku akituo muungurumo kwenye kila kituo cha sentesi yake, kisha ikatulia kwa sekunde kadhaa, “kijana wazee wamekubari kukusaidi, wata mpoteza huyo mtu anaye iwinda roho yako,” aliongea yule mzee kisha akatulia kidogo, “ila kuna ambo yana takiwa yafanyikie kabla ya kumpoteza huyo adui yako” aliongea yule mzee kisha akatulia kidogo, hukusauti ya mzee huyu ikionekana kutulia kabisa, ikionekana mzee Masinde alikaa kimya akisubiria maagizo toka kwa kikongwe huyo, ambae aliimweleza kuwa, mzee Masinde anatakiwa apelike moyo wa mwana damu kwa yule mganga, nimoyo wa mwanadamu alie muuwa kwa mkono wake yeye mwenyewe, “miezi mitatu mbele kuna siku ya mizimu, ndio siku ambayo moyo huo utatakiwa kufikishwa mbele ya mizimu, ambayo itamsaidia bwana masinde kummaliza adui yake, “sasa muda wote huu nitaishi vipi?” ilisikika sauti ya mzee Masinde ikionyesha wasiwasi wa hali yajuu, “hilo niachie mimi” ilisema ile sauti ya kikongwe ambapo ikatulia kwa dakika kadhaa, hikisikika michakato ya vitu flani flani, kisha ikaendelea, “nakupa kinga ya muda, unatakiwa kuifunga kiunoni, na pia nitakuchanja dawa sehemu mbali mbali, za mwili wako, ambapo atakama akifanyaje huyo adui yako ata wea kukupata, mpaka utapo fanikiwa kumwangamiza” ** “mume wangu, kila siku unazidi kuwa mtamu” aliongea Jackline, kwa sauti laini iliyo legea sana, kwa uchovu, huku akiwa amejiegemeza kifuani kwa Denis, juu ya kitanda chao kikubwa kilichopo jirani na kitanda cha mtoto wao France, ambae alikuwa amesha pitiwa na usingizi, hapo wawili hawa walikuwa wametoka kumaliza kuingizia dudu, ikiwa ni mzunguko wa kwanza ulio tummia nusu saa, “sikushindi wewe, yani una kum.. tamu mpaka nashindwa kuielezea” aliongea Denis kwa sauti nzito ya taratibu, kisha wote wakacheka, kivivu, “alafu kila siku unaongeza mtindo mpya, au kuna kadeu kanakufundisha?” alisema Jackline huku anamtazama Denis usoni, kwa macho ya kivivu, “uwezi nielewa tu mama France, siwezi kufikilia kuwa na mwanamke mwingine zaidi yako” aliongea Denis kwa sauti nzito na tulivu, Jackline akaachia tabasamu lililo zidisha uzuri wake, na kumfanya Denis aliekuwa anapeleka mkono wake kwenye makalio makukubwa ya mke wake, amwone mpya kabisa, muda huo huo Jackline akahisi kitu kigumu kiki mgusa gusa usawa wa kiuno, akapeleka mkono na kuugusa kitu hico, “he! wewe unataka tena” aliuliza Jackline huku akiichezea dudu ambayo tayari ilikuwa imesha simama, mala wakasikia mlio wa simu ya Jackline ikiita, wote waka stuka, na kutazama juu yameza ndogo yam le chumbani, na kwa kawaida mpigaji wa simu hii ni mzee Nyati peke yake *** saa tano za usiku Johnson alikuwa anajiandaa kuondoka nyumbani kwa wazazi wake, ni baada ya kuongea na mama yake na kumpa maagizo ya baba yake, ya kuachana na kumfwatilia mtu anae itwa Nyati, kwa usalama wa familia yake, japo kuwa akuwa ameafikiana na mama yake Johnson aliaidi kufwata kama alivyoagizwa na baba yake, muda huo huo wakasikia muungurumo wa gari nje ya nyumba yao, na baada ya gari kuzimwa ikachukuwa dakamoja kumwona mzee Masinde akiingia ndani, itaendelea …….

