BINTI MDUNGUAJI (70)

SEHEMU YA SABINI

 

ILIPOISHIA SEHEMU YA SITINI NA TISA : aliulliza Jackline huku akilitazama jengo la MBOGO PLAZA, ambalo sasa walikuwa wameshanza kuliacha, “he! yani mtaa huu umejaa mabar na maguest, aliongea Denis na wote wakaachia kichekeo, huku wana zidi kuyoyoma kuelekea ubungo mataa, “baba France mi naona tuka dudue wine tukanywe nyumbani” alishauri Jackline na Denis akaunga mkono, endelea………..
Akijuwa kuwa siku ambayo mke wake anakuwa amekunywa wine, kazi uwa ni moja tu, kuingiziana dudu, kwakuwa siku inayo fwata ilikuwa ni juma pili, basi Denis akuwa na wasi wasi, safari ikaendelea huku Jackline akichukuwa simu yake na kuanza kuichezea chezea, ** Michael Frances Nyati alikuwa ndani ya sebule yake pamoja na mke akipokea maelezo toka kwa mwanae Jackline, huku akitazama kwenye Pad yeke kubwa mezani, akifwatilia ramani ya sehemu aliyo elekezwa, na mwanae kwamba kesho anamiadi na mzee Masinde, Nyati aliipata ubungo na kushuka mpaka river side, alafu aka itatazama hotel kubwa ya paradise tower, akalitazama vizuri kabisa kisha aka ingia kwenye page ya kibiashar ya hotel hiyo, na kuanza kutazama jinsi lilivyo, naye akawa anampa maelezo mwanae, ‘mazingira ni magumu sana, sababu katika jengo hilo, guest hipo kuanzia ghorofa ya sita, na mbaya zaidi ime zunguka pande zote, na upande wa nyuma wa jengo hilo akuna nyumba kubwa ambayo unaweza kuifanya kama sniper post’ mzee Nyati alimweleza mwanae, ‘nikimkosa upande wa barabarani nita mfwata ndani, nataka nimalize kazi ili niishi vizuri na familia yangu’ alijibu JACKLINE, ‘ok! jiandae kisawa sawa, maana nahisi jengo hilo litakuwa na ulinzi mkali sana, ila kwa dharula yoyote, madirisha hayana nondo’ alimaliza mzee Nyati, saa mbili usiku insp alikuwa anatazama taalif ya habari kwenye Television ya taifa, akiwa nyumbani kwake, mala akasikia simu yake ya mkononi ikinaita, akaichukuwa toka mezani huku akipunguza sauti ya Tv kwa remote aliyo ishika mkono wa kushoto, “hallow, Koplo Mashiba, habari za jioni” alisalimia insp Johnson baada ya kupokea simu, “huku safi tu afande, mambo yanaenda vizuri, wote tupo salama, na target yetu pia hipo salama” alisikika mtu wa upande wapili, “ok! kwa sasa mpo uelekeo gani?” aliuliza insp Johnson, “afane kwa sasa tupo karibu kabisa na nyumba ya mzee Masinde ambae amengia ndani na rafiki zake wawili, wakiwa na wanawake waliowachukuwa pale bar, niwahudumu, nazani wanaenda kujiburudisha kama ilivyo kuwa jana nasiku zote zilizo pita” alieleza mmoja wa askari kati ya wale wanao fwatilia nyenendo za mzee Masinde, “ok! Mashiba kama vipi nyie mnaweza kwenda kupumzika, ila kesho mapema muwe hapo, kwaajili ya kuendelea kumfwatilia huyo mzee, kama kawaida endapo kutatokea tatizo lolote au utofauti mnijulishe haraka’ alisema insp na kukata simu, kisha akaongeza sauti ya TV nyumbani kwa Denis mambo yalikuwa ni moto, France alikuwa amesha lala, Denis alikuwa amevalia bukta fupi, bila nguo ya ndani na Jackline pia alikuwa amevalia chupi peke yake, pasipo nguo yoyote, huku wakiwa na kila dariri yakulewa sana, maana makopo ya bia yalikuwa ayame tapatapakaa mezani mengi yake yakionekana tupu, pia chupa ya wine nayo ikiwa ina karibia kuisha, “alafu hiyo minywele kesho uipeleke saloon,” aliongea Denis akichezea nywele za mke wake, ambae alicheka kidogo na kujilaza kifuani kwa mume wake na kufinya chuchu za kiume, “yani umeniwai nilitaka ni kuambie hivyo hivyo” alisema Jackline, ambae sasa alikuwa anashusha mkono wake, kwenye bukta ya Denis na kushika dudu, ambayo ilijaa mkononi, ikiwa tayari kuingia kwenye shimo lake, Jackline akaichezea kidogo, wakati huo Denis akapeleka mkono kwenye maziwa ya Jackline, ambayo licha ya kunyonyesha lakini yalikuwa bado yame simama vyema, “hivi Denis kama ukipata fedha nyingi, hupo tayari kubadirisha kazi?” aliuliza Jackline, huku akiendelea kuchezea dudu ya mumume wake, “kwanini nisikubari, alafu Jack, unajuwa kunakitu uwa una nishangaza sana, yani licha ya kutokea kijijini, lakini unaonekana mwanamke mrembo, ata bila kupaka mafuta, pia unauelewa wa haraka sana, kama msomi wa chuo kikuu cha uingeleza” hapo Jackline akatabasamu kidogo, “kwani vijijini awasomi?” alijibu Jakline huku akiendelea kuchezea dudu ya Denis, nakusikilizia mikono ya Denis ikiendelea kuchezea maziwa yake, “hahahahahaha! hapo ume nijibu kisomi zaidi” saliongea Denis huku akijicheka, “eti baba France, sasa utajisikiaje kama ukijuwa nina helimu kubwa kidogo” alimuliza , “kama?” aliuliza Denis huku michezo ikiendelea, “kama form six hivi au…” alijibu Jackline, akiwa bado amejilaza kifuani kwa DENIS, akiendelea kuchezea dudu, huku mala moja moja akiiweka mdomoni na kuinyonya kama ice creem, “nitafurahi tu, ! najuwa nikipata fedha nyingi nakufungulia biashara au ofisi yoyote” alisema Denis, huku akionyesha wazi kusisimka kwa kitendo cha Jackline, kunyonya dudu, ** mipango ya kumnasa kahaba iliyo kuwa inasimamiwa na bwana Ngwema ilikuwa inaendelea, siku hiyo kahaba huyo, alikuwa anamburudisha Ngwema mwenyewe, ikiwa ni njia pekee ya kumdhibiti, na kuwa karibu na huyo mwanamke, mpaka kesho watakapo mtoa roho, ili moyo wake upelekwe kwa mganga, kwa ajili ya kummaliza mzee Nyati, taarifa zote zilikuwa zina enda kwa mzee Masinde, ambae alikuwa nyumbani kwake, akiendelea kunywa pombe na vijana wake, huku kila mmoja akiwa na mwanamke, ambae ange lalanae usiku kucha, wakati huo mzee huyo, alikuwa akimaliza makubarianao na mange wa hotel, kwa njia yasimu, akiaidi kutoa milioni moja kwaajili ta kumalizia shughuli zake, kwenye hotel ya paradise Tower, pasipo bughudha yoyote, na ata wakati wanauondoa mwili wa jkahaba wasiweze kusumbuliwa na walizi, wa hotel hile, ni kweli maagizo yalitolewa hotelini hapo, akuna kusumbuliwa mgeni yoyote wa mzee Masinde, atakae ingia hotelini hapo siku yakesho, ** saa sita za usiku, Deins alikuwa hoi bin tahabani, alisha shusha wazungu mala mbili, kwenye kitumbua cha mke wake, na kupitiwa na usingizi pale pale juu ya kochi walilo litumia kuingiziana dudu, hapo Jackline aka tumia muda huo kuandaa zana zake za kazi, atakayo ifanya kesho, aliandaa silaha yake yakudungulia, aina ya mugnum siper rifle, bastora yake aina ya mic gurlily moder 99, toka England, yenye uzingo wa mm 5.5 pia kamba na kisu chake cha kijeshi, alipo maliza aka viweka vizuri na kuingiza kwenye begi jeusi, alafu aka chukuwa viatu vilefu (buti) vyeusi na nguo, yani suluali nyeusi na tishet nyeusi, na vyo akaviweka kwenye begi lake jeusi, kisha akatoka navyo nje, na kuviweka kwenye banda la kuifadhia gari, ambalo ni mala chache sana, utumika kulaza garikuingiza gari lenyewe, akarudi sebuleni na na kujilaza kifuani kwa mume wake, ** siku ya pili ilikuwa ni jumapili, siku ambayo mambo yalikuwa mchaka mchaka, insp Johnson aliamka mapema pamoja na familia yake, kuelekea kanisani, saa mbili na nusu nyumbani kwa Denis wakwanza kuamka alikuwa ni France, ambae aliamka mapema na kutazama kwenye kitanda cha wazazi wake akuwaona, akatoka na kuelekea sbuleni akawakuta wakiwa wamelala juu yakochi, akawastua, wakwanza kuamka alikuwa ni Denis, akamwasha mke wae, Jackline nae aliamka na kunza kuandaa kifungua kinywa, ambacho kilikuwa ni supu ya ng’ombe na mboga mboga, ambazo uwa zina msaidia sana mume wake, kuondoa hang over, baada ya hapo akawakaribusha mezani na kuanza kupata kifungua kinywa, huku nako, mzee masinde, aliamka saa nne, akiamshwa na dada mhudumu wa bar, alie lala nae, akampatia kiasi cha fedha, kisha yule dada akaungana na wenzake, ambao walisha pata malipo yao, wakaondoka zao, kisha mipango ikaanza, huku wakina Ngwema wakisema kuwa wapo tayari na mzigo, yani yule mwanamke kahaba, ambae akujuwa inachotaka kumtokea siku hile, mzee Masinde huku akikumbuka ahadi yake na mrembo, aliye jitambulisha kama Jackline, akawaeleza wakina Ngwema kuwa, wamlete kahaba pale hotelini mida ya saa kumi, kwani tayari atakuwa amemaliza na yule mrembo jackline, ** saa sita mchana ndio mda ambao Jackline au mama France, alikuwa amemaliza kupika na kujiandaa, kisha akamuaga mume wake kuwa anaenda kusuka mnywelezake kama livyo shauriwa na baba France, aikuwa shida kwake sababu chakula kilikuwa kwenye mahot pot mezani, na siku zote Denis akiwa nyumbani basi France ucheza na baba yake, hapo Jackline alitoka na kuzunguka kwenye banda la gari, akachukuwa begi lake jeusi, kisha huyooooo, akaondoka zake, chakwanz kabisa alipitia saloon ambako alipoteza kama lisaa na nusu, akisukwa nywelezake, kisha akapanda daladala na kuelekea mjini, huku anachukuwa simu yake na kumpigia mzee Msinde, akitumia namba ya kwenye, card aliyopewa jana yake, “hallow, huko wapi?” aliluliza Jackline kwa sauti nyembamba iliyo legea kimahaba, “hooo ni yule mrembo wa jana?” iliuliza sauti upande wapili, “jamani inamaana jana tu! umeshanisahau?” aliongea Jackline kwa kulalamika kimahaba, “hapana mama, nilijuwa utanidanganya, mimi naelekea hotelini, vipi wewe hupo wapi?” aliuliza mzee Masinde kwa sauti iliyo jaa, huchu wa hajabu, “nipo kimara nakuja, ukifika niambie ni chumba namba ngapi” alisema Jackline, kwa pozi lile lile, “ok kuhusu chumba namba ngapi niachie mimi, wewe ukifika mapokezi mwambie ni mgeni wa mzee Masinde” hapo Jackline akakunja sura kwa Hasira, kisha aka jibu kwa sauti ile ile nyololo, “sawa baba, nitaingia muda siyo mrefu” kisha akakata simu, akampigia baba yake mzee Nyati, na kumweleza kuwa, mpaka sasa chumba ajakijuwa, “sasa unafanyaje?” aliuliza mzee Nyati, “plan B, naingia chumbani naenda kumaliza huko huko” alijibu Jackline, pasipo mtu yoyote mle ndani kuelewa anacho ongea, “ok! Jack nakutakia kazi njema, lolote nijulishe, pia kumbuka kuwa huyo bwana, alikuwa mwanajeshi” Jackline alimaliza kuongea na baba yake, ** saa tisa alahasiri, insp Jonson alikuwa sebuleni nyumbani kwake akitazama television, huku ana jipatia bia yake ya baridi kabisa, mala simu yake ya mkononi ikaita, akaitazama, alikuwa ni koplo Mashiba, akaipokea huku mapigo yake ya moyo yakimwenda mbio, “kuna nini Mashiba?” aliuliza insp kwa shahuku, “afande naona leo huyu mzee ameamua kubadiri viwanja, amekuja Paradise Tower, huku mitaa ya ubungo” alisema Koplo Mashiba, akionyesha kuitaji kauri ya afande wake kama ata aamua kuwaondoa wakapumzike, wamwache mzee Mainde ale raha zake, “mmejaribu kufwatilia amekuja kufanya nini hapo hotelini?” aliuliza Johnson ambae alisha juwa lengo la Koplo Mashiba, ambae alisha choka kumfwatilia mzee Masinde, pasipo mafanikio, na kuishia kushuhudia jinsi mzee huyu anavyo kula raha, “tumeona akiingia na vijana wake wawili, kwenye chumba namba 40, ghorofa ya sita, na pia kama anawasiliana na mtu flani ambae ni kama anamiadi nae mahali hapa” alisema Mashiba kisha Jonson aka toa maelekezo yake, “ebu subirinii mpaka muwone huyo mgeni wake kisha mnijulishe ni waain gani, alafu ndio tutajuwa kama mka pumzike au mbaki nae” aliongea Johnson kisha akakata simu, nusu saa baadae saa kumi kasoro, ikapigwa simu nyingine, toka kwa koplo Mashiba, “niambie mmesha mwona mgeni wake, ni vijana wengine wawili wameingia, wakiongozana na mwanmke mmoja alielewa sana” alieleza Kopolo Mashiba, “yupo je huyo mwanamke” aliuliza insp kwa mtuko kubwa, alioupata baada yakusikia ni mwanamke, “ni mwembamba hivi mweusi, ana vywele fupi zilizo simama, anaonekana kama kahba kwa kinguo kifupi alicho kiva” maelezo hayo ylimfanya insp kushusha kidogo pumzi, “ok! endeleeni kukaa hapo kwa nusu saa tena” alisema insp kisha akakata simu, kisha akaendelea kutazama television, wakati huo akaingia wanae Betrice wakajiunga pamoja kutazama television, huku masala na majibu yakaanza, ikatimia nusu saa nyingine, kimya zikaongezeka dakika kumi ndipo insp Johnson alipo amua kupiga simu yeye mwenyewe, ikapokelewa na koplo Mashiba, “smahani afande nimecelewa kukupigia simu sababu, Pc Ngaga, aliekuwa anachunguza karibu na mapokezi, alituambia kuwa kunamtu mwingine alikuwa ni mgeni wa mzee Masinde, tulipo enda kumtazama tumegundua kuwa ni mshana mmoja hivi tulimwona nae jana, nazani waliweka ahadi ya kukutana hapa, maana tuliona wakipeana namba za simu, lakini wakati huo huo tumegundua maongezi tofauti kwa wale vijana, walikuwa wanazungumzia kazi watakayo ifanya usiku ndani ya hotel hiyo, ndio tuka pata hamu ya kufwatili hiyo kazi” alisema Mashiba, kwa sauti ya chini sana, akionyesha kuwa akuitaji watu waliokuwa pembeni yake, “mashiba, usiangaike na hiyo kazi ya mzee Masinde, atakama ni kibaya vipi, kikubwa niambie huyo mwanamke alieingia kwa mzee Masinde” aliongea Johnson huku anainuka kwenye kochi nakutoka nje ya nyumba yeke, akimwacha mwanae Beatice akiwa sebuleni, “nimekuelewa boss, ila huyo mwanamke nazani anaenda kumburudisha mzee Masinde, sababu mwonekano wake siyo wa kibiashara, ila ni mzuri sana sijawai kuona” alisifia Mashiba, na kumfanya Johnson ashuke kidogo, “Mashiba nasma nieleze huyo mwanamke yupoje” alisema insp Johnson, safari hii kwasauti kubwa ya ukari, “sawa afande, ni mrefu kiasi mweupe kidogo, ana wowo kubwa kiasi, amevaa gauni refu kichwani amejifunika mtandio, alafu amebeba begi dogo jeusi…” hapo Johnson, ata alivyo fika ndani ya chumba chake akuelewa kwajinsi alivyo timua mbio, “Mashiba akikisheni mnazunguka hicho chumba na huyo mwanamke atoki humo ndani, mama yangu, Mashiba ebu! pandeni haraka juu akikisheni huyo mwanamke hatoki humo ndani, nimuuwaji tunae mtafuta, endelea kunijulisha kila kinachoendela” aliongea Johnson huku anabadiri nguo zake, na kuvaa nguo za kipolisi, bila kusahau vazi la kuzuwia risasi, na bastora yake, akalitumia dakika chache sana, kubadiri nguo zake, kisha akaanza kumpigia simu baba yake, lakini simu ilikuwa busy, sababu alisha bloack siku nyingi zilizo pita, hapo Johnson akapiga simu kituo kikuu, akitaka askari wote waliopo mahali pale wachukuwe, silaha kubwa za kivita, yani smg na wapewe mavazi mahalumu ya kuzuwia risasi, alafu baada ya hapo akafanya hivyo, kwa vituo vyote vya karibu kuanzia buguruni kimara ubungo, na mwenge, bila kusahau magomeni, na kawe, wote waka elekee river side, haraka sana, wakiwa na siraha aina ya smg, ** kiukweli muda huo Jackline ndiyo alikuwa ameingia ndani ya chumba na 40, alicho elekezwa na mhudumu wa mapokezi, baada ya kujitambulisha kuwa ni mgeni wa mzee Masinde, hapo Jackline, akiwa amevalia gauni lake refu, na kichwani ame jitanda mtandio, ambao kwa kihasi kikubwa ulikuwa umeficha sura yake, mbele ya kamera za usalama za mle ndani ya hotel, ndani ya kile chumba cha kifahari cha hotel hile, chenye chumba na sebule yenye kila kitu, cha thamani, aliwakuta watu watano pale sebuleni, wanaume wanne na mwanake mmoja alie onekana kuwa amelewa sana mpaka anashindwa kujitambua, tena alikuwa amelala sakafuni, pembeni yake kulikuwa na mfuko mkubwa sana wa plastiki, mweusi, “samahani wakina kaka, naomba kumwona mzee Masinde” aliongea Jackline, ambae aliwatambua wale vijana wawili, waliokuwepo jana kule kinyelzi, lakini Jackline akajifanya kuwaogopa wale vijana wavuta sigara, ambao walikuwa wanashambulia pombe kali zilizo jaa mezani, “hooo! mrembo wajana, nenda ka mburudishe mzee” aliongea kijana wakwanza, “lakini Anglia, usimchoshe sana mzee anakazi nyingine” waliongea wale vijana walio oneka kulewa sana, nakuangua kicheko, hapo Jackline akijifanya kutetemeka sana, akausogelea mlango wa chumba, na kukagonga, huku akitazama kwa umakini, eneo lile la sebule, na kuwa kagua wale vijana, naam! kwakutumia hakili ya hali ya juu, Jackline aligundua kuwa, chini ya meza iliyo jaa vinywaji, kulikuwa na visu viwili vikari, na kikubwa sana, kama panga, pia kulikuwa na kamba kubwa kama hile ya kufungia ng’ombe, mala mlango ukafunguliwa, “hooo! karibu mrembo, usiwaogope hawa ni vijana wangu, wapo hapa kwa kazi mahalumu” aliongea mzee Masinde kwa sauti iliyo zidiwa na ulevi, huku akimvutia Jackline ndani ya chumba, nakuufunga mlango, Jackline akaenda kukaa kwenye kitanda huku akiuweka mkoba wake chini, akamtazama mzee Masinde, ambae alikuwa anavuwa viatu vyake kwa pupa, na kufwatia suluali yake ambayo aliishusha kwa kuikusanya na chupi yake mpaka magotini, akiiacha dudu yake ina ning’inia, akaisogeza karibu na mdomo wa Jackline, akimtaka ainyonye, hapo Jackline akaingiza mkono kwenye mkoba huku anamtazama mzee Masinde usoni, mzee Masinde akastuka sana, nibaada ya kuliona tabasamu la huyu mwanamke, na kushindwa kutambua kama amekasirika au anafurahi, ile anatahamaki, alistuka mkono mmoja wayule mschana mrembo, ukija mdomoni mwake na kumziba haraka sana, akajuwa leo ameingia mikonoini kwa mwanamke muuwaji alietumwana mzee Nyati, akajaribu kuutoa mkono huli mdomono mwake, lakini akashangaa kumwona yule mwanamke mwenye mikono ynguvu, akimzunguka haraka kama umeme, na kumkaba shingo huku kiganja kime mziba mdomo, akishindwa kupiga kelele, hukumkono mwingine ukiwa umeshikilia kisu ambacho bila kuuliza alikitambua mala moja maana mala y mwisho alikitumia mwaka 1988, akiwa mchini congo,** insp Johnson akiwa ameungana na msafara wa magai kumi ya plisi aina ya one ten, yaliyo sheheni askari walio kuwa kimapigano, wakielekea ubungo river side, huku akisistiza mwendo mkari sana, ving’ora vilisaidia kwa magari mengine kupisha njia, na kuwasaidia wao wakachochora kwamwendo mkali sana, hiyo iliwafanya watumia mda mfupi sana kufika ubungo mataa wakiungana na polisi wavituo vya mbezi, kimara na mwenge, huku kawe wakiwa wana sikika kwambali kidogo, wakakunja kushoto na kutililikia river side, kwambali wakaanza kuona, jengo la Paradise Tower, huku wakionekana polisi wa kituo cha buguruni wakiizunguka hotel hiyo, “leo huchomoki” alisema insp Johnso ambae alionekana kuwa na kuwa na hasira zilizo changanyika na wasi wasi wa kumpoteza baba yake, itaendelea ……..

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!