
SEHEMU YA SABINI NA SITA
ILIPOISHIA SEHEMU YA SABINI NA TANO: jamani nini kinamtokea huyu mwanamke?” aliuliza CGP, kwamshangao mkubwa sana, akuna alie jibu, zaidi walimkodolea macho na kumwona binti huyu akianza kuishiwa nguvu, na kuregea kabisa, kishaa kubwaga chini kama kiroba, huku akijitaidi kuinuka tena na kushindwa, “ebu waini haraka mkamtazame huyo mwanamke, isije kuwa amekula sumu” alipiga kelele CGP, akimaanisha kuwa isije kuwa Jackline ametumia mbinu za kijasusi, za kujiuwa kwa sumu, akikwepa kutaja wausika wenzake, ENDELEA……….
Mkuu watiba aka kimbilia mbele huku akuagizwa bahadhi ya madoctor waitwe haraka, huku yeye akiendelea kutumia vipimo vya kawaidda vya kienyeji, “afande huyu mwanamke anakila dalili ya kuwa anamalalia kalisana, nashauri akimbizwe hospital ya muhimbili, akapate matibabu haraka sana” alisema mnadhimu mkuu, wa kitengo cha tiba, “haya ufanyike utaratibu haraka sana, ila atibiwe chini ya ulinzi mkubwa sana wa askari” aliagiza CGP, ** Pale nje ya ituo kikuu cha polisi, wana habari waliokuwa wana subiri kuingia kwenye ukumbi wamikutano walishangaa wakianza kuondolewa eneo la mlango, kisha wakaona hambulance ya polisi, ikisogezwa mlangoni na kushuhwa majela, ambayo iliingizwa ndani, ambapo dakika chake ikarudiswa ikiwa imebebwa na askari wanne, safari hii, ikiwa na mtu juu yake, akionekana ni mgonjwa aututi, akaingizwa kwenye gari akiwa juu ya machela, na gari hilo likaondolewa kwa mwendo wa kasi sasna, likifwatiwa na gari tatu za polisi zilizo beba askari wengi nyuma yake, walio beba silaha za kivita, wakiwaacha waandishi wa habari wakishangaa, “sikiliza toka kwangu”ilisikika sauti ya msemaji mkuu wa jeshi la polisi, wana habari wote waka geuka na kumtazama msemaji huyo, aliekuwa amesimama kwenye mlango wa kuingilia kwenye jengo hilo la makao makuu ya polisi, “kuna zarula imetokea, hivyo mnaombwa mtawanyike, mtajulishwa muda wa kuja kupata habari” alimaliza afisa habari wa polisin na kurudi ndani, ya jengo hilo, akiacha polis wanaanza kuwaondoa wana habari, ambao walikuwa na mawili matatu ya kuhoji, ** “ndivyo ilivyo kuwa, na tulijuwa askari Nyati ameshapoteza maisha, na pia atakama angekuwa mzima tuliamini ataishia mikononi mwahasi, wa ndani ya misitu minene ya congo, sasa sijuwi aliponaje, mpaka akarudi Tanzania” aliongea David Masinde, akimaliza kusiumulia mkasa mrefu ulio tokea congo, 1988, wakati huo insp Johnson alikuwa amekaa pembeni ya baba yake, aliekuwa amelala kwenye kitanda cha hospital, ndani ya chumba cha wagonjwa maalumu wa zalula, akisikiliza story hiyo toka saa moja asubuhi, insp akatabasamu kidogo, “kwa hiyo ndio maana mkatoa taalifa kuwa amepotea?” aliongea insp Johnson na kumfanya baba yake akohoe kidogo, baada ya kushindwa kucheka, kutokana na maumivu makali sana, Johnson akamsaidia baba yake kumweka sawa, maana humo ndani walikuwa wilitu, “usijari baba yame kwisha”, mala insp akasikia mlango wa chumba kile ukifunguliwa, akamwona askari wake mmoja akichungulia, ambae ni koplo Mashiba, “samahani afande, Chef CID anasema pokea simu yako” hapo Johnson akasimama haraka sana, na kuchomoa simu yake toka mfukoni, aliyo iondoa sauti wakati anaingia kwenye jengo hili, lisilo itaji kelele ya aina yoyote, akakuta kuna miseed call zaidi ya hamsini, zikitoka kwa wakuu mbali mbali wa ngazi za juu wa jeshi la polisi, “vipi umetafutwa sana?” aliuliza mzee Masinde, ambae kiukweli zaidi ya kuchezesha domo kuongea, akuwa na uwezo wa kukutikisaa ata kidole chake, “baba naomba upumzike kidogo, nazani naitajika kwenye kikao kilicho pangwa kufanyika saa nne hii na wandishi wa habari” alisema insp huku anatazama saa yake ilikuwa saa, nne kasoro dakika tano, insp akatoka nje ya chumba kile haraka sana, na kumsisitiza Koplo Mashiba, asimamie walinzi, kuakikisha kuwa wapomakini muda wote, kisha yeye aka toka nje kabisa ya jengo lile, na kuingia kwenye gari la polisi alilo kuja nalo, na kuondoka zake, ile insp anaondoka kupitia gate la kutokeana, wakati huo huo kwenye gate la kuingilia, ambulance la polisi kisindikizwa na magari matatu yapolisi likaingia, mzee Nyati akiwa ndani ya gari lake aliona jinsi polisi walivyo kuwa makini kumlida Jackline, aliekuwa amebebwa kwenye machela hajiwezi kabisa, lakini kwa namna walivyo mlinda, utazani wana linda sanduku lafedha, mzee Nyati akacheka baada ya kumwona Anitha akiwa pamoja na bahadhi ya wauguzi wakimbadiri Jackline toka kwenye machela ya polisi, na kumlaza kwenye kitanda chenye mtaili, cha hospital, huku minyololo ikionekana kwenye miguu na mikono ya Jackline, mzee Nyati akuwa na wasi wasi kwani alishamwona insp Johnson akitoka maeneo yale, hivyo akuna wa kumtambua mke wake kilahisi, akawaona manesi walio ongozwa na doctor fake, wakisindikizwa na polisi, kuingia ndani, ambapo manesi waliokuwa wana sukuma kitanda waliongoza moja kwa moja kwenye chumba cha VIP, ambacho kita saidia kwenye ulinzi, kama ilivyo amriwa na kiongozi wa polisi, aliekuwepo eneo lile, huku wakizuiliwa kuingia ndani kwenye chumba, “kama mmekuja na askari wakike aje, ila atuta ruhusu askari wa kiume kuingia ndani, wakati matibabu yanaendelea” alisema doctor mmoja wakike aliekuwa anawasimamia wale manesi, ambao ata awa manesi awakujuwa uwa doctor huyu ni fake, “ok! tutafanya utaratibu wa kumleta askari wakike” alisema afisa wa polisi, huku anarudi nyuma na mlango ukafungwa, wakabaki manesi wawili na yule doctor wakike, “wee nenda kamwandikishe mgonjwa, waulize hao askari majina yake, na wewe nenda kalete drip inaonyesha mgonjwa aepoteza maji mengi, sana akiongea Anitha ambae alijuwa kuwa endapo ata chelewaa kidogo, atabainikia kuwa yeye siyo doctor, na kuharibu mpango mzima, wale manesi wakatoka mbio mbio mbio wakimwacha Anitha peke yake, hapo Jacklline ambae muda wote alioonekana, kuwa kazidiwa, akafumbua mcho na kumtazama mama yake, wakachekea chini, “haya chukuwa mizigo yako haraka” alisema mama Jackline, huku akitoa bastora iliyo viligiwa kitambaa cheupe Jackline akajiinua kidogo, na mama yake akaiweka chini ya godoro, usawa wakichwa, kisha mama huyu aka chukuwa kile kifunguo na kumwekea kwenye nywele, mwisho aka mkamkabidhi ile drip, wakati huo huo mlango ukafunguliwa, akaingia doctor mmoja wakiume, akiongozana na yule kamnda wapolisi alie mzuwia asiingie mlendani, muda mfupi uliopita, “ni huyu hapa doctor mwenyewe” alisema yule polisi mwenye cheo kikubwa begani, akimwonyesha kidole mama Jackline, ackline vizuri, wakati huo Jackline alikuwa ameshaitoboa ile drip, nakuanza kuinywa, kiukweli yalikuwa ni maji flani yaliyo andaliwa kwaajili ya kumpa nguvu, baada ya kumeza ule unga mweusi, mama Jackline alistuka kidogo baada ya kumwona yule doctor akimtazama kwa tahadhari, wakati huo Jackline aliwatazama kwa macha cho ya kuibia, huku akijifanya kuwa, bado amezidiwa, itaendelea ……..
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU