BIOLOGY TEACHER (04)

BIOLOGY TEACHER 4

Baada ya Kama dakika kumi shafii alitoka akiwa kavalia tishet ya blue na kaptula ya kadet yenye rangi ya kaki, alikaa kwenye Kochi huku akiwa anaangalia simu yake , baada ya kumaliza kuangalia alichokuwa anaangalia kwenye simu akaniuliza
” Yule jamaa Ni Nani?
” Ni rafiki yangu….
” Rafiki yako kivipi? Na mbona alikuwa mkali nilipokuja karibu yenu? Sikuwa na jibu la kumpa nilinyamaza, akaendelea kusema
” Lakini Kaka yako hataki uwe na rafiki wa kiume.
” Lakini mimi Ni mkubwa najua zuri na baya pia najua jinsi ya kujilinda.
” Kwahiyo yule jamaa ndio mwanaume sahihi kwako?
” Sikuwahi kuanza nae mahusiano Ali….. Siku malizia kuongea kwa jinsi mwl Shafii alivyokuwa ananikodolea macho akiisikiliza kwa makini ninachotaja kuongea
” Mmmh mbona umeishia katikati?
” Mwalimu Haina haya ya kuzungumza hayo. Yule mtu Sina uhusiano nae.
” Alice hata Mimi sitaki kukuona ukiwa unaongizana na mwanaume Tena wa aina Kama yule atakuharubia tu na kuishia kukukimbia .
” Khaaa kwahiyo umeungana na Kaka Bray?
” Ndio hivyo , akiniomba nikuangalie. maliza juice tuondoke.
Nilikunywa haraka ili Ni malize, bahati mbaya nikajimwagia kwenye shati la shule nikaanza kujivuta na mkono Mara Mwl Shafii alinyanyuka na kuja kunivuta na kitambaa chake .
” Usijali hii haitaisha mpaka nikifua. Nilimwambia baada ya kuona anakazana kunifuta , Aliacha kunifuta akawa ananiangalia usoni akanyanyua mkono wake na kunifuta mdomoni, nilikuwa nimezubaa namuangalia nae akanikazia macho usoni , tuliangaliana kwa muda nilikuja kushitukia midomo ya mwl shafii imegusana na midomo yangu akawa ananikiss , nilitulia mpaka aliponiachia na kusogea pembeni huku akiwa kashika kichwa ali geukia ukutani kwa sekunde kadhaa alafu akanigeukia na kusema
” Alice naomba unisamehe sana imetokea kwa bahati mbaya…. Mwl alijitahidi Sana kujitetea ili nisimfikirie vibaya wakati huo Mimi nilikuwa nimefurahishwa na kilichotokea na kutamani ijirudie Tena.
” Usijal tunaweza kwenda. Niliongea kwa upole.
Tulitoka akanipeleka nyumbani tulipofika alibaki sebleni akiwa anaongea na Kaka Bray Mimi nilienda chumbani kwangu nikatupa begi Kule alafu nikajirusha kitandani nikiwa na furaha nilifumba macho na kukumbuka busu la kwanza nililopigwa na Shafii. Uliachana na lile nililomshitukuza
Siku iliyofuata niliamka nikiwa nimechangamka Sana nilienda shule nikiwa na furaha nilipomuona Mwl Shafii moyo wangu ulipiga paaa, Mwl Shafii aliniangalia tulipokutana macho aliangalia pembeni Kama vile alikuwa anaona aibu kuniangalia.

Siku moja kilikuwa na mechi ya mpira wa miguu rafiki zangu waliniambia watakuja kunipitia twende wote uwanjani . Nilienda kujiandaa nilivaa gauni langu fupi jeupe na mkanda mwekundu pia nilibana nywele zangu vizuri nilijiremba kidogo na kujipulizia marashi nilipokuwa tayari nilitoka chumbani nikawa nashuka ngazi kuelekea sebleni . Kabla sijamaliza kushuka ngazi nilimuona mwl Shafii akiwa kakaa na Kaka Bray wakiwa wanaongea. Shafii aligeuka na kuangalia Kule ninakotokea alijikuta anaduwaa na kuniangalia moja kwa moja, niliachia tabasamu na kusema
” Kaka B nyie hamuendi uwanjani kuangalia mechi?
” Hivi leo Kuna mechi? Aliuliza Kaka Bray
” Ndio, Mimi naelekea huko.
” Unaenda na Nani?
” Rafiki zangu.
Mwl Shafii akasema
” Bray unaonaje tukaungana nao?
” Poa.
Tuliwasubiri wenzangu walipofika tulipanda kwenye gari ya Kaka Bray tukaelekea uwanja wa mpira
Tulipofika uwanjani nilibahatika kukaa karibu na mwl Shafii. Ilikuwa Ni kawaida kuwa karibu nae hata tunapokuwa shule lakini siku hiyo nilijikuta nafurahia zaidi sijui Ni kwasababu ya Lile busu alilonipiga liliteka akili yangu na kuhisi kuwa nae ana hisia na Mimi, ananipenda lakini hakuweza kuwa muwazi kutokana na ukaribu wake na Kaka Bray.

Hatimae mechi ilianza tukawa tunaangalia lakini akili yangu haikuwa kwenye kuangalia mechi nilikuwa nawaza tayari mnimeshakuwa na mahusiano na Mwl Shafii. Ghafla niliguswa mkononi na Mwl Shafii nikageuka kumuangalia akanipatia boksi la biscuit na na chupa ya soda . Nilishika box la biscuit tukawa tunakula pamoja. Kuna wakati wakati shafii aliacha kuangalia mechi akawa ananiangalia ninavyokula biscuits na Mimi nilikuwa nakula kwa pozi. Tulipokutana macho aliachia tabasamu nilitaka kuvunga lakini nikashindwa nikamuuliza
” Kuna Nini mwalimu mbona unatanasamu?
” Mmmh mpaka huku mwalimu? Mwalimu ni shule huku uraiani unaweza kuniita shafii au Kaka. Alivyiniambia hivyo nilijikuta nafurahia maana niliamini shafii amekwisha habari yake na sikuwa na haja ya kumuita Kaka kwani sijazaliwa nae kumuita shafii inatosha Sana .

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!