BIOLOGY TEACHER (05)

BIOLOGY TEACHER  5

Kadri siku zilivyokuwa zinaenda nilizidi kuwa karibu na shafii hata nilipokuwa shule nilimfuata nikiwa najifanya kumuuliza maswali hata ambayo nilikuwa nayafahamu jibu lake. Nia ya kufanya hivyo nilitaka anifungukie Yani aniambie Kama ananipenda maana kulikuwa na kila dalili za kuonyesha kuwa anatanani kuwa na mimi lakini hakuwahi kunitamkia zaidi ya kuniangalia na kutabasamu. Hiyo ilikuwa inanikera Sana Nilikuwa naona Kama anachelewesha Mambo ningekuwa na uwezo ningemuekeza ninavyojihisi kwake.

Ilikuwa ikifika kipindi Cha biology nilikuwa najiweka vizuri maana najua mtanashati wangu anaingia ,akiniangalia anione navutia. Basi siku moja nikiwa nasubiri aingie si akaingia mwl wa chemistry nikajikuta naropoka .
” Madam Sasa hivi Ni kipindi Cha biology.
” Najua Ila nitafundisha somo langu. Madam akinijibu na kumgeukia ubaoni na kuanza kuandika.

Baada ya kumaliza kipindi tulitoka ma pumziko nikaenda kusimama karibu na ofisini ili nimuone Mwl Shafii nilisimama muda mrefu bila kumuona na haikuwa kawaida yake Mara nyingi huwa anatoka na kwenda kantini kula pamoja na wakina Jose. Niliamua Kenda kantini niliwaona wakina Jose lakini mwl Shafii hakuwepo. Nilimfuata Jose na kumuuliza
” Jose umeniona Mwl Shafii?
” Hapana , leo hajafika .
” Kwahiyo tangia asubuhi hajafika hapa shule?
” Ndio. Nilisimama kidogo Kisha nikasema
” Ok, asante. Niliondoka na kwenda chooni nitoa simu yangu ambayo nilikuwa nimeificha kwenye taiti nikaiwasha na kuangalia namba . Wakati huo nilikuwa na namba ya mwl Shafii nilichukua kwenye simu ya Kaka Bray lakini sikuwahi kumpigia . Nilipoangalia Ile namba huku nikiwa najifikiria kumpigia. Maamuzi yangu ya mwisho ilikuwa Ni kumpigia tu. Niliponyeza kitufe Cha kupiga simu na kuanza kusikiliza muito wa simu. Baada ya dakika chache simu ilipokelewa ilikuwa Ni sauti mzito ya kiume iliyoupasua moyo wangu na haikuwa sauti ya mtu mwingine Bali Ni Shafii. Baada ya kuona siongei akirudia Tena kusema
” Hallow.
” Hallow, habari.
” Salama . Baada ya kuitikia nilitulia kwanza Kisha nikauliza
” Naongea na Shafii?
“Ndio, Nani mwenzangu?
” Alice…
” Alice?
” Ndio
” Niambie Alice.
” Sijakuona leo nikaona nikupigie simu ……
” Ni kweli leo aijafika hapo shuleni sababu sijisikii vizuri.
” Unaumwa?
” Ndio mwili wangu haupo sawa
” Umeenda hospital?
” Ndio, na nimepata dawa na Sasa nipo nyumbani nimepumzika.
” Oooh ugua pole.
” Asante.

Baada ya kumaliza kuongea nae nilirudi darasani wakati huo akili yangu ilikuwa unaniambia niende nyumbani kwake nikamuangalie . Kusema ukweli nilishindwa kujizuia niliomba ruhusa kwa mwalimu wa darasa , nilimwambia nahisi kuumwa .nilipewa ruhusa ya Kurudi nyumbani . Nilitoka shule na kuelekea moja kwa moja kwa Shafii.
Nilipofika niligonga mlango kwa uwoga , baada ya sekunde Kama tatu mlango ulifunguliwa . Shafii Aliponiona alishituka
” Alice vipi?
” Safi. Nilimjibu Akanikaribisha ndani nikaenda kukaa kwenye Kochi.
” Mbona upo hapa muda huu wa masomo?
” Nimekuja kukuangalia.
” Lakini naendelea vizuri hukutakiwa kuacha masomo na kuja hapa.
” Lakini moyo wangu haukutulia kabisa baada ya kuniambia unaumwa sikuwa na namba zaidi ya kuja kukuangalia. Maelezo yangu yalikuwa na hisia flani mpaka shafii akawa ananiangalia. Kisha akanismbia
” Asante kwa kunijali.
” Umekunywa dawa?
” Ndio
” Umekula?
” Ndio nimekunywa juice.
” Juice Ni chakula?
” Sijisikii kula chochote.
” Hapana unatakiwa kujilazimisha , unatakiwa ushibe ndipo dawa zitafanya kazi vizuri. Kuna chochote nikupikie?
” Kaangalie huko jikoni.
Nilienda jikoni nikakuta nyama pia kulikuwa na ndizi mbichi pamoja na viazi. Nilikata nyama nikabandika Kisha nikamenya ndizi na viazi baada ya hapo nikapika zilipoiva nilipakua kwenye sahani na kumpelekea sebleni nilimtengea karibu na alipokaa alafu Mimi nikakaa pembeni.
” Mbona umekaa mbali sogea tule pamoja. Alisema shafii
” Hapana kula kwanza
” Siwezi kula ukiwa unaniangalia sogea tule pamoja. Nilikata lakini shafii hakukubali alinyanyuka akasogeza meza karibu yangu .
” Usipokula hata Mimi sita kula. Ilinibidi nipokee Kijiko alichokuwa ananipatia tukaanza kula pamoja wakati huo tulikuwa tunakula kimnya kimnya. Shafii alivunja ukimnya kwa kuniuliza
” Hivi una miaka mingapi baby girl? Nilitabasamu Kisha nikamjibu
” Miaka 19 Sasa.
” Kwanini unashindwa kuvumilia baada ya kusikia naumwa?
” Kwasababu na…. Nilishindwa kumalizia kuongea , shafii aliniangalia pia Mimi nilimuangali kidogo nikaona aibu na kuangalia pembeni.

Shafii aliendelea kuniangalia kwa muda Kama vile mtu ambae alikuwa anatafakari kitu Kisha taratibu aliweka Kijiko kwenye sahani na kunisogelea karibu zaidi na kumuweka mkono wake kwenye paja langu. Nilishituka nikageuka kumuangalia hukuvmapigo yangu ya moyo yalishabadilika yalidunda bila mpangilio. Mkono mwingine wa shafii ulichukuwa Kijiko nilichokuwa nimekishika mkononi akakiweka kwenye sahani Kisha akanishika kichwa changu nae kusogeza lips zake kwenye lips zangu, tulianza kukiss hapo akili yangu ilihama nilijihisi nipo kwenye ulimwengu wa pekee yangu. Hali ilizidi kuwa mbaya kwangu nikaanza kutoa miguno, shafii alimuachia akasimama na kunibeba Kama mtoto mchanga na kunipelekea chumbani kwake alinilaza kwenye kitanda chake kikubwa nae akajilaza pembeni tukaendea na Mambo yetu mpaka tukajikuta tumefika kwenye ulimwengu wa huba japokuwa kulikuwa na misukosuko kutokana na Mimi kupata maumivu kwani ilikuwa Mara yangu ya kwanza kufanya kile kitendo . Pia ilikuwa Kama ajabu mimi kujirahisisha kwa Shafii maana Mara nyingi nilipokuwa na uhusiano na mwanaume nilimuwekea mipaka na kumuwekea sharti la kutokunigusa bila hiyari yangu. Baada ya kufika mlima Kilimanjaro wote tulikuwa hoi kila mmoja alijilaza upande wake. Nilikuwa nakisikilizia maumivu , nilinyanyuka na kuangalia shuka kulivyochafuka , shafii nae alinyanyuka akakaa na kuniangalia , niliangalia pembeni kwa aibu.
” Pole sikujua kuwa hujawahi, unajisikiaje?
” Najisikia maumivu.
” Pole.
” Asante. Shafii alinyanyuka na kwenda jikoni kuniangalia maji ya Moto baada ya hapo alikunja kuniambia
” Unaweza kwenda kunikanda au utahitaji msaada?
” Hapana nitafanya mwenyewe. Nilinyanyuka pale kitandani huku nilivuta mguu nikajifunga taulo ambalo nilipewa na shafii alafu nikaenda bafuni na kuanza kujikanda baada ya hapo nilirudi chumbani lakini sikumkuta Shafii. Nilijifuta na kuvaa nguo zangu haraka wakati namalizia kuvaa sketi , shafii aliingia akiwa kashika grass ya maji na vidonge vya maumivu.
” Meza hizi dawa zotakusaidia kupunguza maumivu. Nilizipokea na kumeza nilipomaliza alichukua grass na kurudisha jikoni. Alirudi chumbani na kunikuta bado nikiwa nimekaa kitandani.
” Nataka kuondoka.
” Unaenda wapi?
” Nyumbani
” Sasa hivi bado mapema jipumzishe kidogo, utaenda nyumbani badae. Alimuwekea mto vizuri nikataka kupanda kitandani
” Hebu subiri kwanza. Nilikaa na kumsikiliza anachotaka kusema
” Sasa best ulilala ukiwa umevaa sale za shule so zitajikunja? Nilibaki nikiwa nimemtolea macho.
” Mimi nipo sebleni naenda kuangalia movie. Alinyanyuka akaondoka hapo ndipo ilikuwa nafuu kwangu, nilivuta shati na sketi nikabakibna top pamoja na taiti ndio nikapanda kitandani na kulala nikapitiwa na kausingizi katamu.

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!