BIOLOGY TEACHER 6
Nilishituka majira ya saa kumi na moja jioni shafii alikuwa kakaa pembeni yangu akiwa anatumia simu yake .
” Umeamka… Nilikaa Kisha nikasema
” Ninechelewa natakiwa kuondoka. Nilishika kitandani na kuvaa nguo zangu haraka.
” Usijali nitakupeleka.
” Hapana unaumwa , unatakiwa kupumzika.
” Basi nitakuchukulia usafiri. Nikimkubali kuchukuliwa usafiri. Nilipomaliza kuvaa nilibeba begi langu na kutaka kutoka ,shafii akanismbia
” Subiri kidogo. Nilisimama akanisogelea karibu na kumuweka vizuri kola ya shati langu iliyokuwa imekaa vibaya baada ya hapo tulitoka wote mpaka nje . Muda huohuo ilipita pikipiki shafii akaisimamisha akamuekekeza dereva sehemu nibako kwenda Kisha akalipa nauli , nilipanda kwenye pikipiki tunaondoka shafii alikuwa bado kasimama anatuangalia tunavyoondoka .
Nilifika nyumbani na kwenda kukaa chumbani kwangu nikaanza kufikiria kile kilichotokea nyumbani kwa Shafii.
” Hivi nimekitoa kiasi hiki, hivi nilianzaje? Yani mpaka naona aibu , sijui nitaweza kumuangalia shafii … Nikiwa bado najiongekea mwenyewe simu yangu iliingiza ujumbe kutoka kwa Shafii
” Vipi umefika? Nilisoma huku nilitabasamu Kisha nikamjibu
” Ndio
” Sawa , vipi bado unajisikia maumivu?
” Ndio lakini sio Sana.
” Pole utakuwa sawa.
” Asante.
Siku hiyo nilikuwa nafuraha Sana niliona Jambo langu limefanikiwa nimeshakuwa mpenzi wa mwl shafii. Basi sikuacha kumtumia message za kumjulia Hali na kumsalimia , alikuwa akinijibu tu salamu bila kuongea chochote kinachohusu mapenzi sikuwa na shaka nikajipa moja kuwa ndio mwanzo badae tutaongelea tu kuhusu maswala ya penzi letu.
Baada ya siku mbili kupitia shafii alipata nafuu akaja shuleni , alipoingia tu darasani tuliangaliana nikaangalia pbeni kwa aibu siku hiyo sikuweza kumuangalia kutokana na kike tulichokifanya siku mbili zilizopita. Aliendelea kumfundisha lakini akili yangu haikuwa darasani nilikuwa namuangalia kwani nilikuwa Sina ujanja nilijikuta nampenda mno na kujiona mwenye bahati kuwacnae maana wasichana wengi walikuwa wanajisogeza Sana kwake lakini alikuwa Kama hawaoni
Baada ya kipindi chake kuisha ilikuwa Ni muda wa mapumziko, alisogea nilipokaa akaniambia
” Alice nahitaji kuongea na wewe.
” Sawa. Alitoka darasani nikawa namfuata nyuma , tulipofika tu mlangoni Kuna mwalimu alimuita shafii akamwambia .
” Shafii walimu wote tunahitajika ofisini mkuu Ana kikao na sisi.
” Poa nakuja. Shafii alimjibu alafu akanigeukia na kuniambia.
” Naomba tuongee badae. Aliondoka na Mimi nikamfuata rafaki yangu Miriam. Tulikuwa tunakunywa chai kantiini huku Mimi nikiwa natabasamu.
” Vipi mbona unatanasamu mwenyewe?
” Miriam , unajua Kama vile siamini
” Huamini Nini?
” Am in love with teacher Shafii. Mairiam alishituka alafu akauliza
” Wewe unasema kweli?
” Ni ukweli mtupu
” Mmmh Sasa inakuwaje wakati hivyo wakati Kaka yako amemwambia mwl shafii Ni Kama Kaka yako?
” Wewe nae kwani nimezaliwa nae tumbo moja, hebu achana na maswala ya Bray kwanza nimeshakuwa mkubwa sitaki kuchungwa chungwa kana mtoto wa shule ya msingi.
” Sawa lakini kuwa makini . Muda wa mapumziko ikiisha tukarudi darasani kuendelea na masomo. Baada ya muda wa masomo kuisha wanafunzi wote walitawanyika Mimi nilibaki kwaajili ya kuonana na mwl Shafii, tukaenda kukaa kwenye darasa moja tukiwa wawili tu mimi na yeye. Shafii aliniangalia alafu akasema
” Vipi?
” Safi.
” Alice nataka tuongee kwa kile kilichotokea siku mbili zilizopita… Aliposema hivyo moyo wangu ulishituka.
” Naomba nikuombe msamaha kwa kile kilichotokea nahisi ikitokea kwa bahati mbaya hatukupaswa kufanya kile tulichokifanya….
” Kwanini unasema hivyo? Niliuliza
” Kwasababu haikustahili kufanya hivyo, nakuchukua Kama mdogo wangu pia mwanafunzi wangu…
” Kwahiyo huna hisia na Mimi?
” Ndio. Alijibu Shafii akiwa na macho makavu. Nilihisi mwili wangu umekufa ganzi nilimuangalia Mwl shafii usoni bila kupupusa macho, machozi yalianza kutililika mashavuni kwangu, nikajikuta nimeongea kwa sauti ya upole
” Lakini nakupenda, moyo wangu unakuhitaji.
” Asante kwa kunipenda hata Mimi nakupenda Kama mdogo wangu. Hili neno mdogo wangu lilikuwa linanikatisha Sana tamaa na nilikuwa sitaki kulisikia likitoka kinywaji kwa Shafii Ila yeye ndio alikazania na kukutumia Kama fimbo ya kuuchapia moyo wangu.
Nilimuangalia wakati anaondoka huku machozi yakiwa yanatililika nilijusikia Vibaya mno na nilijisikia aibu na kuona nilijirahisisga kwa shafi na nimeishia kuachwa bila ya kuonewa huruma. Baada ya kulia nilifuta machozi nikanyayuka na kuelekea nyumbani. Nilipofika nyumbani nilijifungia chumbani kwangu , Nilimaliza siku Vibaya sana siku hiyo nilishindwa hata kula.
Kesho yake nilienda Shule nikiwa bado mnyonge nilishindwa kumuangalia mwl shafii usoni kwaajili ya aibu . Miriam alishindwa kuvumilia kuniona kwenye Ile hali aliniuliza
‘” Alice mbona uko hivyo unaumwa? Nilitingisha kichwa nikimaanisha hapana
‘” sasa kama huumwi mbona umepoa hivyo alafu macho yako yamevimba. Miriam alivyoniambia huvyo nilijihisi katakana kulia lakini nilijikaza na kumwambia
‘” Niache Kwanza tutaongea badae .
‘” Unafikili naweza kuvumilia kuona upo kwenye hali kama hiyo alafu unaniambia eti nitakwambia hebu nyanyuka twende nje. Alinishika mkono tukatoka nje tukawa tunaelekea ulipo uwanja wa mpira, tulipishana na mwl shafii lakini alikuwa bize kama vile hajatuona, tulipopishana niligeuka kumuangalia Miriam akanishika begani na kuniuliza
‘” Kuna tatizo Kati yako na mwl shafii? Sikumjibu niliendelea kutembea mpaka tulipofika uwanjani nilikaa chini na Miriam alikaa karibu yangu akawa ananiangalia usoni , kwa huzuni nikasema
‘”Baada ya kumchagua ni kajitoa na kumpatia mwili wangu na kumthibitishia kuwa nampenda lakini ameishia kuniacha…
‘ eeeee una maanisha nini kusema amekuacha?
‘” Namaanisha kuachwa shafii ameniambia ilikuwa bahati mbaya , hawezi kuwa na mahusiano na mimi eti natakiwa kumchukulia kama kaka.
‘” khaaa sasa kama alikuwa anakuchukulia kama mdogo wake kwanini alikuwa anakuonyesha Dalila za kukupenda na alithubutuje kulala na wewe, atakuwa alikuwa na shida ya kukutumia na kukuacha. Ila usijali sana rafiki yangu wewe ni mrembo na una nafasi kubwa ya kupendwa na wanaume wazuri jaribu kusahau kila kitu. Miriam alijaribu kunifariji sana lakini haikuwa rahisi kumsahau mwl Shafii tena ikiwa kila siku nilikuwa namuona.
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU